Bi harusi umetisha sana big kaka umetuimarisha wanawake ingekuwa wanaume wote wangekuwa kama ww ni na Imani wanawake tungeishi na furaha sana anyway et majirani kama umefurahi kama kaka yetu mbwela gonga like ❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@user-hm5ze9sz2v2 ай бұрын
Ayeeee jaman napend movie za mbwelaa...gonga likes km unamkubali mbwela ❤❤❤
@user-ok4jk7tk3d2 ай бұрын
Nimejitqid like kwa watu wa oman
@zuanshimchina22782 ай бұрын
Nakubali Mbwela tumetoka mbali 🚶🚶🚶
@zuanshimchina22782 ай бұрын
Mbwela kaka naomba nione hata sms kaka nimeirejea mara tano kipande cha ujauzito 😂😂😂😂
@JustineSilukala-qx6gr2 ай бұрын
Nakukubal Sana mungu akubalik mbwela shika maua yako❤❤❤❤
@user-qt8sl3sw9w2 ай бұрын
Pole daa zatiti
@user-dx9ch7vw8r2 ай бұрын
waouuuu ka vil hii mouvie ip inanikosh kbxaa ❤❤nimeipnd bur maan inapoelekea ss inaend kuw tam yaan
@FettyMungenje-yg6xq2 ай бұрын
Mbwela naomba unitumie huu wimbo naupenda Sana
@marynyota61462 ай бұрын
Wow❤❤❤❤
@sharifamohd38572 ай бұрын
natamani mume km mbwela jamani dah ana mapenz na muelewa kwa mwenziwe
@sharifftwaha88822 ай бұрын
Uko wapi😂
@bosslady12862 ай бұрын
Nimewahi leo naweza kupata likes waungwana😂😂😂❤❤
@GHgh-hq3zj2 ай бұрын
Saf kbs❤❤❤❤❤
@user-yk8em1bh8g2 ай бұрын
Yaan hata nkchelewa cjar kkubwa nmeona ❤❤❤
@Zeldaommy2 ай бұрын
Kwani watu mnalala humu ndani any way nimefika sasa🎉🎉😂😂😂❤❤
@aishaomar22872 ай бұрын
Daah,yani acha tu...watu wanalala na kuamka simu mikononi data on😂😂😂
@Zeldaommy2 ай бұрын
@@aishaomar2287 naona hivyo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@aishaomar22872 ай бұрын
Tanu ati "SubhanaAllah" 😂😂😂#mwanamke kauna mkato wa chumba anasema imetisha😮...mpo vizuri sanaaa🎉🎉🎉🎉
@eunicegerminus1932 ай бұрын
Thank you❤❤❤❤kazi nzuri
@mahmoudnajad2172 ай бұрын
Kutoka ZANZIBAR kazi nzuri Congrats!
@dinabilemanga17032 ай бұрын
Na kukubali sana sana mungu akubariki kaka mbwela 🎉🎉🎉 unaweza san
@marrialmary35102 ай бұрын
Mbwelas voice is a turn on to me❤😂eagerly waiting for the next episode love you guys
@sofiakinyia27342 ай бұрын
Majiraniiiiii😂😂😂😂😂
@user-cr8cs2qc8f2 ай бұрын
Suzy watk kuharibu ndoa ya wenyew sijapenda.kka mbwela mungu AKUONGOZE inshaallah
@Professor.Irene952 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉 kazi nzuli movie iko Sawa na uhalisia wamaisha yetu 🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@user-mu1kn5cu5n2 ай бұрын
Kamwe usimuhukumu mtu kwa mambo ya nyuma maisha yana badilika, hongera zako brother mbwela filamu nzur sana hii
@nadiasankar98192 ай бұрын
Share link bana acheni story za wakwanza 😂 🖐️
@user-fk9gs6nh4h2 ай бұрын
Wawaona eeeh kila mtu ni wa kwanza 😂😂😂
@user-yk8em1bh8g2 ай бұрын
❤❤❤
@shemsashaaban78212 ай бұрын
Ka mbwela umenichekesha sana Leo.ety majiraniiiiiiiiiiiiiii😂😂😂😂
@DominiqueAsende-fj2bi2 ай бұрын
Unajuwa Nini Big , ulipotoka kwa mademe nilijiuliza kwanini huyu bro simuhoni , Ila kwahili nakubali kumbe bado mbuela kumbe bado upo , mafunzo matupu umetuwekeya umu ndani nakubali bro 🤝👏👏👏
@salomeblack02 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@user-vw4jc8yt2r2 ай бұрын
🎉❤
@ElizaMideko2 ай бұрын
Kazi nzur kakaang
@InnocentArmadillo-do9vm2 ай бұрын
Mbwela kama mbwela uamunzi wako huko sawa kabisa
@aminahhuawei11332 ай бұрын
Kila niamkapo naipiga chaboo ilaa watu munarauka sanaa daaaa nakupenda sana mbwelaa ❤❤❤❤❤❤❤🙏🙏🤲🤲👏👏🤝🤝🤣
@VumiliaOmary2 ай бұрын
Congratulations brother, mi nakukubali sana
@Mishooh2 ай бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤❤❤
@samyabahatialhiani4012 ай бұрын
😁😁😁🤣mbwera na mke wake tina mtanilipa mbavuzangu amina niwakiyana ataolewa tu❤❤❤🌹🇧🇮
@user-dw6gk3nk5u2 ай бұрын
Jmn me nikimuonà uyo mdada nakua kama namuona kakoso jmn😂
@maylucson0012 ай бұрын
Bwela unajua tena unajua tenaa 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤nakupenda ssnaa yaniii
@Mamalyzzy0042 ай бұрын
Ila kwa Snake boy alijikoroga mbwela walimponzaa😂😂😂
@mauramirioba8232 ай бұрын
Hongera hili ni darasa Kwa wanaume
@user-by7jo6dk6r2 ай бұрын
❤❤❤🎉uko.. Vizur
@gastonmulondani89002 ай бұрын
Story kali Mbwela ❤. Imenifunza sana.
@user-hm6hy6rr1h2 ай бұрын
Nisije kusahau kuwap mau yen jaman 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤ nawapenda san mwaaa mwaaa mwaaaa
@DareyOmar2 ай бұрын
Mm ni
@KileshoJr.0022 ай бұрын
Wa kwanza leo kutoka Kenya naomba like zangu
@HadijaZabroni-pu1lt2 ай бұрын
😅😅😅😅aya Yako iyo
@KileshoJr.0022 ай бұрын
@@HadijaZabroni-pu1lt Asante
@user-bh2kf5kj6t2 ай бұрын
Tukopamoja
@mamakenajma32572 ай бұрын
Naomba niowe kassm
@KileshoJr.0022 ай бұрын
@@mamakenajma3257 nipe namba yako
@paulinekombe37532 ай бұрын
Mbwela 👌👌
@Nailaty5642 ай бұрын
Wawo bi harusi imepamba moto🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@g-makangarealitymbunge92902 ай бұрын
#Mbwela Naomba link ya iyo Nyimbo Bi Harusi
@user-iv6wg1hs7v2 ай бұрын
Kk ongela unaweza Sana muvi n nzuli ila kk unatucheleweshea kuleta muendelezo kk ❤❤❤❤
@salmahoperi97832 ай бұрын
From Pakistan mbwela ni 🔥🔥
@dollar1052 ай бұрын
Kwa ii series @mbwela umetisha hongera sana
@g-makangarealitymbunge92902 ай бұрын
#Mbwela Naitaji iyo nyimbo ya Bi Harusi msanii anaitwaje weka link yake
@mbwelamedia34692 ай бұрын
Anaitwa happy voice
@mamakenajma32572 ай бұрын
Hongera kaka can't wait to see part 6 unajua 🌹
@mariamdennis95762 ай бұрын
Mimi huwaga natizama tu lakin leo nacomment 😂😂😂😂oya we majiraniiiiiiiii🙌🏻🙌🏻🙌🏻mbwela
@CharlotteMuyenga2 ай бұрын
Next please episode 6 more love from USA 🇺🇸 ❤❤
@mariammariam57232 ай бұрын
Kazi nzur ❤
@Ummykassimtz2 ай бұрын
Leo wa 17 mbwela nipe like zangu uja wahi nipa like ata
@Mrsmussa-wn6kv2 ай бұрын
Wewe nahuku opo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@FanielyAbdih2 ай бұрын
Bi gapuu san🎉🎉🎉
@user-gh6ds9ok5w2 ай бұрын
Big up mbwela ,unakuja moto balaa
@Hawadadi-kt9bz2 ай бұрын
mbwela uko vizur nakukubal sana
@user-cn9tw7yi3h2 ай бұрын
Kazi nzuri sana kaka mbwela🎉🎉🎉❤
@jacklineteresia26292 ай бұрын
Kazi nzuri Sana ongera 🎉🎉🎉 twende nalooo ❤❤❤
@faudhiahassan79072 ай бұрын
Basi msicheleweshe pls
@RizikiZiki2 ай бұрын
Biharusi kaisha wasili🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
@user-mi8lu8jn1x2 ай бұрын
Kazi nzuri sana Kaka 🎉naipenda kutoka kenya 🇰🇪
@ashaomary2492 ай бұрын
❤❤
@user-xu5rh6ub5j2 ай бұрын
Safi sana
@HadijaAballa2 ай бұрын
Jamani
@user-dz4jc5vr9s2 ай бұрын
Hongereni wapendwa ki ufupi munaweza
@hafsahmassemoh35982 ай бұрын
Wow Funzo zr kwakwel
@rehema-lg5cl2 ай бұрын
Kuna cha kujifunza hapa ndani hongera sana
@FatumaMwinyi-ox8qi2 ай бұрын
𝕨𝕒𝕥𝕦 𝕞𝕟𝕒𝕛𝕦𝕒 𝕜𝕦𝕣𝕒𝕦𝕜𝕒😂😂😂😂
@lizchepkorir20002 ай бұрын
who else laugh with Mbwela 😹😹🔥🔥🔥🔥
@asmaseif20222 ай бұрын
Hii movie imenifanya nikumbuke mengi Sana kipindi dada angu anaolewa na Kaka binam
@magnibrondi31522 ай бұрын
Sandra walikuona wa nni familia yakina tanas kwa sasa wanakuona wasamani. Unanifunza mengi pia nilio yapitiya
@ashamwanganzi64002 ай бұрын
Wow ❤❤
@user-wy7wn7cf6s2 ай бұрын
Bwela wewe hongera sana kaka
@tajilimtoto50092 ай бұрын
Mbwela❤weka ingine
@fatumakushonda42772 ай бұрын
Watu husahau km mke unaweza kumpata baa n akabadilika,akaishi kwenye ndoa yk pk kifo
@SummaiyaKassim-zv5nt2 ай бұрын
Zatiti na mumeo fanyeni ibada maana suzy ana mpango wa kukuroga lakini hakuna mchawi mkubwa mbele ya Allah
@icitegetseesperance85952 ай бұрын
Mbwela ❤❤❤all team
@user-pz3py2qu4w2 ай бұрын
Kaz nzur apo❤❤
@user-eq5iz5hb3y2 ай бұрын
Ukiona mwanamme Amekuoa na Aliona picha zako za utupu sbs uyo mwanamme mueshim sana 😢😢😢😢
@user-ct6vd7ld7s2 ай бұрын
Nakubali kaka mbwela
@mwanah36432 ай бұрын
Mbwelaa💐💐💐💐❤
@NdaisengaZainabu-vn6hk2 ай бұрын
Mbwela leta muendelezo
@irchaddjoumoi54232 ай бұрын
Mimi Pia wakwanza kutoka comoros naoba nazakwangu piaa
@Melvy-kb3lcАй бұрын
😂😂😂😂😂sasa mbwela ndio uite majirani kisa mimba nmecheka kma chizi
@FrankMwita-jc2bo2 ай бұрын
Kaz nzur
@gakobwaadija79492 ай бұрын
❤❤🎉
@J239762 ай бұрын
❤❤❤❤
@Cuteeeee4772 ай бұрын
Jamani imefikia patamu Mbwela uwe unatuekea Kila baada ya siku moja 🎉🎉🎉❤❤❤❤
@Agyy6282 ай бұрын
Nataka mme km mbwela😅😅😅😅
@user-gr5iw8uj6f2 ай бұрын
😢
@RukiaSalim.Ай бұрын
Bwela tumefurahi sana kwa hii thamthilia ila xx ungetoa season two bc cuz kumalizia hivi sio sw bwn plz