BILIONEA WA PESA ZA KICHAWI ALIEFILISIKA NA KUPATA KANSA BAADA YA KUKOSEA MASHARTI AELEZA SAFARI

  Рет қаралды 11,695

Davistar Mata Media

Davistar Mata Media

10 ай бұрын

Пікірлер: 32
@justinecharles5000
@justinecharles5000 10 ай бұрын
Haya ndio mastori ninayo yapenda Sasa, pamoja sana Bwana davista
@user-mz4ry1sl8l
@user-mz4ry1sl8l 10 ай бұрын
Hla haya maisha jaman tumuombe Mungu watot wetu wasiptie hya,maana kuna watu wanaptia magumu sna toka utoton mwao mpka ukubwani,Mungu uturehemu na uwasaidie watot wetu.
@ahmedomary2474
@ahmedomary2474 10 ай бұрын
Hongera davistar umetuletea kitu
@sukisa1234
@sukisa1234 10 ай бұрын
Dante davesta::mwambie karibu tunamsikiliza🎉🎉🎉
@rahaisacl9954
@rahaisacl9954 10 ай бұрын
Story nizipendazo ❤❤
@clasclass
@clasclass 8 ай бұрын
Pia mimi dadangu
@user-bz1gm3jq3u
@user-bz1gm3jq3u 10 ай бұрын
Hahaha davistar umechapia ..🤣😁😁 ATI mtumisii
@tahirnephessalum3678
@tahirnephessalum3678 10 ай бұрын
daah afadhali hatimae tumepata Story ya kufatilia
@paulndoya5805
@paulndoya5805 10 ай бұрын
First
@pettiecranwel7588
@pettiecranwel7588 10 ай бұрын
Pamoja sana davistar
@annkim2690
@annkim2690 10 ай бұрын
Waa jamani Mungu tusamehe ATI unamuacha ndio afe waa anagoma kufa
@gaomariwa7637
@gaomariwa7637 10 ай бұрын
Sure story hizi ndo zenyewe asee davista usizicheleweshe tulianza pamoja mzee kutoka zile za kufikirika
@user-oc2fi8qc6b
@user-oc2fi8qc6b 10 ай бұрын
Daa uyu wa nyumbani kabisa lumashi kama ajaenda kwa mahara uyu jama
@clasclass
@clasclass 8 ай бұрын
Naomba number zake tafadhali, nmemtafuta sanaaaa
@bakari-si1pw
@bakari-si1pw 10 ай бұрын
Safi sana karibu sana
@mosesjohnswilla9926
@mosesjohnswilla9926 10 ай бұрын
Huyu mbona anataka kufanana na yule Flateni aliyetekwa na waasi Burundi?
@ochidovictor9531
@ochidovictor9531 10 ай бұрын
Yea😊 wakwanza
@flm1530
@flm1530 10 ай бұрын
Type Link ya mwendelezo please tuna mb za kutosha
@KaswahiliDaud-yv8gq
@KaswahiliDaud-yv8gq 10 ай бұрын
Leta story kama hzi za wazee wa scudi na bakora za kimkakati
@masoudsmasoudmasoud-8419
@masoudsmasoudmasoud-8419 9 ай бұрын
Ile ya magere haitatokea bonge la story
@user-xk5hd3rg5n
@user-xk5hd3rg5n 10 ай бұрын
Kivuli anamaanisha nafsi. Kama story inaanza kunoga frani vile
@user-fy9zl1oq7x
@user-fy9zl1oq7x 10 ай бұрын
Mwendereza plz davistar
@praygodmaro1443
@praygodmaro1443 10 ай бұрын
Inaonekana hii itakuwa nzuri Sana
@josehkibona7565
@josehkibona7565 10 ай бұрын
@tututz100
@tututz100 10 ай бұрын
J.boys 1999
@user-oq3gu9zi3m
@user-oq3gu9zi3m 10 ай бұрын
Ulikwenda kukaa sehem sehemu gani?
@kotadapotar5094
@kotadapotar5094 10 ай бұрын
Kwanini wengi wakishafanya majabu ya kishetani ya kuzimu badae wanajifanya kuokoka?????🇹🇿🇬🇷
@user-ev8kp3lb8e
@user-ev8kp3lb8e 10 ай бұрын
Siyo wanajifanya Kwan wewe mchawi? Lazim Aokoke ili asife hat mim nimeokoka na majin shetan kanikimbia
@edithaeugeni9695
@edithaeugeni9695 10 ай бұрын
Na wengi wanakuwaga ni wachungaji kumaanisha ya kwamba shetani huwa hashuhuliki na wasio kuwa na kipawa shetani hapendi nguvu kazi ya Mungu ikiongezeka
@bintalmasi2393
@bintalmasi2393 10 ай бұрын
Msaada wao unafikiri wangeutoa wapi, ulinzi je baada ya kuacha uchawi? Huwa unasikiliza kweli hatari ya kuacha uchawi??
@user-ev8kp3lb8e
@user-ev8kp3lb8e 10 ай бұрын
@@edithaeugeni9695 uko sahih au watu wenye nyota nzur
@catherinesamky5796
@catherinesamky5796 10 ай бұрын
Kusudi la Mungu
Inside Out 2: Who is the strongest? Joy vs Envy vs Anger #shorts #animation
00:22
Double Stacked Pizza @Lionfield @ChefRush
00:33
albert_cancook
Рет қаралды 103 МЛН
RIPOTI YA LEO  FRANK VOLUME 05
28:18
SHARE & HEAL
Рет қаралды 10 М.
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
0:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 34 МЛН
The cat chose the right one 🥰🥳😸
0:32
Ben Meryem
Рет қаралды 46 МЛН
这是王子儿子吗
0:27
落魄的王子
Рет қаралды 4,1 МЛН
БИМ БАМ БУМ💥
0:14
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 3,1 МЛН
ПИЩЕВОЙ ВАНДАЛ НАКАЗАН
0:20
МАКАРОН
Рет қаралды 2,4 МЛН