PART4:BILIONEA WA PESA ZA KICHAWI ALIEFILISIKA NA KUPATA KANSA BAADA YA KUKOSEA MASHARTI AELEZA

  Рет қаралды 6,615

Davistar Mata Media

Davistar Mata Media

10 ай бұрын

Пікірлер: 40
@annaandrea2812
@annaandrea2812 10 ай бұрын
Sasa kama kwa mwaka mzima walioenda mbinguni ni 5 dunia nzima Mungu si atakuwa na Hasara kubwa sana ya kuumba wanadamu na kuishia kwa shetani.Mimi ninachojua hapo shetani alikudanganya tu ili uone watu wote ni wakwake na ujione uko sehemu sahii na ana Nguvu kuliko Mungu lakini shetani ni Muongo kama lilivyo jina lake
@WilliamNamende-pc9ku
@WilliamNamende-pc9ku 9 ай бұрын
Yupo sahihi tafuta ushuhuda wa miaka 99o katika ufalme wa Giza Nae alisema hivyo hivyo
@albertchales9459
@albertchales9459 9 ай бұрын
shetan mhongo atamm siamini watu 5 apanasikweri
@cyantess8423
@cyantess8423 10 ай бұрын
shetani muongo banaa yesu alituambia
@ahmedomary2474
@ahmedomary2474 10 ай бұрын
Sheitwan anakudanganya hajui siri za Mungu na hataweza kujua Sababu akikaribia kutaka kujua siri za Mungu hupigwa vimondo mfano wa moto hivi
@nuraydasworld4431
@nuraydasworld4431 10 ай бұрын
kwelii kabisa
@user-gi9kx1yj2z
@user-gi9kx1yj2z 10 ай бұрын
​@@nuraydasworld4431nñnnnnnmn 4:1nlnn
@WilliamNamende-pc9ku
@WilliamNamende-pc9ku 9 ай бұрын
We hujui tu shetani anajua idadi ya waliokufa katika haki na waliokufa katika dhambi hivyo nilazima ajue idadi
@sukisa1234
@sukisa1234 10 ай бұрын
Tunakupenda d unazingatia maon yetu
@edithaeugeni9695
@edithaeugeni9695 10 ай бұрын
Asante kwa mwendelezo
@RojahKamalza-lw3ls
@RojahKamalza-lw3ls 10 ай бұрын
Huyu jamaa mkwel kote anako kutaja napajua
@UsafiMichael-mc8kt
@UsafiMichael-mc8kt 10 ай бұрын
Wewe ni muhaya
@africandarling6925
@africandarling6925 10 ай бұрын
Wewe pia unaishi kwa nguvu za kiza
@flm1530
@flm1530 10 ай бұрын
Part 5 please kabla MB hazijatuishia
@joshuaabell2033
@joshuaabell2033 9 ай бұрын
Yupo sawa kabisa kuna Mbingu Saba mpka kwa Mungu elohim,hapo mpka uzipite ni ngumu kweli hao malaika waasi wapo kukupinga,kama ushawai Sikia principalities ama wakuu wa anga mfano wa Dar ama kigoma,au Afrika ama Asia wanaka na wanamilili kihuhalali,mnakumbika story ya Daniel na Malaika alipambana kumpelekea Daniel taarifa mpaka yule malaika alivyokuja saidiwa na malaika mkuu Mikaeli kupambana na mkuu wa uajemi ndio Shetani na hoo watenda kazi wako,oooh yeees ulimwengu wa Rohoo ni ukweli na hiyii bwana anaongeaa ukwelio kabisaaaa
@nurumasha
@nurumasha 10 ай бұрын
Hili swala la vipodozi kuwekwa dam inawezekana kua ni kweli niliwahi kuona video wazungu wakielezea hivyo
@joshuaabell2033
@joshuaabell2033 9 ай бұрын
Ndioo maana unashangaaa mtu kawa tajirii saaana Kwa muda wa Mika 4 alafu anafilisika vibaya mnooo mnooo
@annkim2690
@annkim2690 10 ай бұрын
Hata licha ya kupewa Sia naona coz ni ulimwengu rohoni
@AllyNganganilla-bz2kk
@AllyNganganilla-bz2kk 10 ай бұрын
Tupo together
@mariamfritsi4943
@mariamfritsi4943 10 ай бұрын
Bado tunaendelea na simulizi
@tututz100
@tututz100 10 ай бұрын
J.boys 1999
@edithaeugeni9695
@edithaeugeni9695 10 ай бұрын
Sheby acha kutuchora tuletee miendelezo ya kazi zako fasta
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 10 ай бұрын
Wanaotia mawigi wote huwa na tabia za umalaya au tamaa hebu chunguza.
@kotadapotar5094
@kotadapotar5094 10 ай бұрын
Apo katika kiongozi kumjua kabra ya matukio huwa Uwambiwa kiongozi kabra ya matukio kutoka???🇹🇿🇬🇷⛴⚓
@lolguy-x9n
@lolguy-x9n 10 ай бұрын
5 people haiwezekani. Wazimu ya kuzimu hiyo.
@ashleybeby111
@ashleybeby111 10 ай бұрын
P
@ashleybeby111
@ashleybeby111 10 ай бұрын
0😊 😊L😊 0 L😊 0
@chillmusic3964
@chillmusic3964 10 ай бұрын
Kuchoma majira ni kufanya Nini ?
@bintalmasi2393
@bintalmasi2393 10 ай бұрын
Sindano za kupanga uzazi, uzazi wa mpango kwa Jina lingine huitwa uzazi wa majira( yaani wa kuacha nafasi ya muda wa kutosha mtoto na mtoto anayefuatia)
@nuraydasworld4431
@nuraydasworld4431 10 ай бұрын
jamani hakuna Malaika mbaya only ibliss
@user-nt4bl1hn9w
@user-nt4bl1hn9w 10 ай бұрын
Tuko pamoja
@RojahKamalza-lw3ls
@RojahKamalza-lw3ls 10 ай бұрын
,à ADAMĪ
@queenhenagu3496
@queenhenagu3496 10 ай бұрын
Kufikia kwenye vipodoz na majira huoo ni uongoo na siskilizi tenaaa
@happinesskitali164
@happinesskitali164 10 ай бұрын
Huyu sio wa kwanza kueleza kuhusu vipodozi uwez jua Mungu anamtumia huyu Ili uachane navyo kuwa makini mm mwenyewe nlkua mtu wa vipodozi
@Irenes_Kitchen
@Irenes_Kitchen 10 ай бұрын
namtaka baby wangu wamayo kila siku nitalia na davistar 😢 Sita comment kitu chochote mpka wamayo wangu aje hapa
@flm1530
@flm1530 10 ай бұрын
Mfwate
@Teacher_01
@Teacher_01 10 ай бұрын
🙅‍♂️
@josehkibona7565
@josehkibona7565 10 ай бұрын
Wadada wa majira hatuoni coment zenu
@Irenes_Kitchen
@Irenes_Kitchen 10 ай бұрын
Tupo 😂
@teresakapinga7947
@teresakapinga7947 10 ай бұрын
Tupo naenda kutoa kesho
IQ Level: 10000
00:10
Younes Zarou
Рет қаралды 6 МЛН
Amazing weight loss transformation !! 😱😱
00:24
Tibo InShape
Рет қаралды 62 МЛН
Double Stacked Pizza @Lionfield @ChefRush
00:33
albert_cancook
Рет қаралды 103 МЛН
Czn Burak vs Argenby Which sigma is better?
0:19
ARGEN
Рет қаралды 15 МЛН
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
0:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 34 МЛН