Huna point Mzee nchi inawatu waelewa ila ipo siku mtajuta tutakumbizana Kama kuku mitaani nyinyi tuchukulieni Kama hatujielewi
@ChristineElias-bn4dwАй бұрын
Nenda kwenye point achana na kutoa mifano Alfu mtuachie mpina wetu
@mickyjoseph5492Ай бұрын
Mafisadi plus mafisadi is equal to mafisadi plus plus.
@user-oh6pc7zd4sАй бұрын
Hata Mpina ndie fusadi mkubwa alikuwa kwenye serikali ya kifisadi akiwa waziri.serikali hiyo ilikthiri kweye mauaji,utekaji,ubambikiaji watu kesi za uongo,kupiga watu risasi tena kenye bunge uwanjani mchana kweupe huku akina mpina wakiwa wanezizima camera za cctv wakiwanyanganya watu mali zao na kuzichukua wao binafsi mfanno prebargaining mabilioni yote yale yaliyochukuliwa hayakurudi hazina,wizi wa uduwani na wabunge nchi nzima mpaka pemba ushenzi wote huo waratibu walikuwa ni akina mpina.Huna unalojua wewe unazikiliza uvumi tu nenda kacheze kifuuu na mchanga.
@w.j6088Ай бұрын
Muhuni tu naye huyu hana point yoyote, wananchi siyo vilaza tena
@EmanuelMandooАй бұрын
Porojo za nini! why bei iko juu kuliko nchi za jirani
@fredysiwale5413Ай бұрын
Mwizi ameletwa kuwatetea wezi . Hilo jedwali lake hakujibu hoja za mpina twambie kwa nini waagizaji walisamehewa kodi wao wakatuuzia bei juu. Mzee danganya ulio wahonga sio sisi tunao kutazama na kukusikiliza.
@KimonKambeneАй бұрын
siasa nyingi sana
@OscarAsukenieАй бұрын
Kuna wakati najiuliza, hivi mungu baba hawa watu wanaofisadi nchi yetu hawaoni? Kwa nini asiwazime chap wapumzike watuachie nchi yetu!!! Daah mungu baba sema na nchi yetu tunaibiwa sana.
@napoleonmutungi6866Ай бұрын
Nadhani huyu anapotosha kusema serikari haiweze kuhujumu kampuni ambazo ina hisa kwani wanaohujumu ni watendaji sio serikali kama entity
@PeterNyange-o5vАй бұрын
Mmmm
@zxcvbnmmkhАй бұрын
Nguo zimeshavuka siku nyingi. Uongo wa Mpina kama wanavyodai ujibiwe kwa taarifa ya kitaalamu waambatanishe ushahidi kama Mpina ili ijulikane, wazi. Pia watuambie vielelezo vya Mpina amegushi ama ni halali, je kwa mujibu wa sheria utaratibu ulifuatwa ama ni maamuzi ya watu wachache?. 😮😮😮
@billimambo9517Ай бұрын
Bashe anatapatapa alishapigwa BAO na kamanda mpina
@OscarAsukenieАй бұрын
Ukiona jambo linatajwa wazi baada ya kusemwa na mbunge, kuna asilimia karibu 80% jambo hilo lilikuwa na watu wengi nyuma yake. Kwa nini wasiseme kabla ya mpina kusema?
@user-ze6lx9ng6sАй бұрын
Ninyi bodi ni genge la, mafisadi, waziri bashe ni wakutumbuliwa,
@machujamathias7165Ай бұрын
Leo ndio mmetoka mlikuwa wapi, afuu baada ya mkubwa wenu kukamatwa, unaonesha sura ya mla rushwa
@MrutaJustoАй бұрын
Katumwa huyu
@richardnott4403Ай бұрын
Mbona wazalishaji juzi wamesema hawaitambui hiyo sukari iligizwa nani
@musahamza7086Ай бұрын
Jizi hata kujieleza linashindwa
@user-gx4jx4gv9lАй бұрын
Huyu mwizi tu.
@user-lx7ez3rq4cАй бұрын
Machawa na makupe
@hamisijuma3276Ай бұрын
Heri ungenyamaza, unazidi kuharibu mada
@MusaOgwokoАй бұрын
Wako wengi ufasadi hoeeeee
@SanziNzigeАй бұрын
Hii NCHI magufuli aludi jamani MUNGU mludishe magufuliii?.tumeachiwa Nini hii Sasa jamani
@AnnoyedDove-oo3kkАй бұрын
Hoja ni kwamba kwa nn sukari bei juuuuu mpina is correct hata usituchanganye mzee
@ZainabuBakari-yb4vjАй бұрын
Kweli kabisa
@linogodson6478Ай бұрын
Tatizo sio uagizaji tatizo mfumo WA Serikali umefuatwa kama kanununi ilivyotajwa anaetakiwa kuagiza NI mzalishaji
@hildandumbalo5827Ай бұрын
Mh Mpina kawatikisa sasa ni Sukari tu mwachieni mzalendo huyo
@waluohopaulo2116Ай бұрын
Mpina alitumwa na wafanya biashara wakora wenye wana ficha sukari ndio bei iongezeke wapate faida haramu
@barakakevela245Ай бұрын
MUWE MUNAWEKA MAMBO MAPEMA ILI KUFANYA WATU WASIILAUMU SERIKALI NA NDUGU YANGU BASHE SASA MNAMUACHA BASHE MPAKA ANACHAFUKA
@SanziNzigeАй бұрын
Pumbafu wewe mnatetea wizi hakuna lolote.tika hko huna lolote na kabashe kako
@JacksonBoaz-yu8ukАй бұрын
Acha kutudanganya mzee alieleza ukiona watoto wasimba wanachezacheza jua kuna mama yao ama baba yao nyuma,sisi siyo wajinga hizo poropoganda kamweleze mke wako
@jumatophiliАй бұрын
Muogo wewe
@OscarAsukenieАй бұрын
Kuna wakati najiuliza, hivi mungu baba hawa watu wanaofisadi nchi yetu hawaoni? Kwa nini asiwazime chap wapumzike watuachie nchi yetu!!! Daah mungu baba sema na nchi yetu tunaibiwa sana.