WAREMBO HAWA MAPACHA UTAWAPENDA/WANAVYOWACHANGANYA WANAUME/NILIMKATAA PACHA WANGU ALINIACHIA MSALA

  Рет қаралды 225,185

Carrymastory

Carrymastory

3 жыл бұрын

Carrymastory tumepata nafasi ya kupiga story na Mapacha wanne wakike na wakiume.

Пікірлер: 331
@zotempyaonline8485
@zotempyaonline8485 3 жыл бұрын
WALIOGUNDUA JAMAA WANA SOUND KAMA IDRISS SULTAN.. LIKE ZETU NI APA
@rosenalucas1906
@rosenalucas1906 3 жыл бұрын
mama yangu ana bahati sana katuzaa pacha mara mbili wa kwanza kapiga wa kiume wawili mara ya pili akaleta mapacha wa kike tena mimi na mwenzangu namuombea mama yangu maisha marefu sana kwa kutulea wote tukakuwa na maadili mema
@babasandra638
@babasandra638 3 жыл бұрын
Warembo kama wawakubli gonga like
@munaahmed8499
@munaahmed8499 3 жыл бұрын
Naomba dua Kila nikiswali Allah anijaalie nipate pacha hata mara 3 walah napenda mno
@mrguzo5962
@mrguzo5962 3 жыл бұрын
Watoto wangu ni mapacha mimi baba yao nashindwa kuwatofautisha akikosea mmoja nachapa wote. Nikitaka kuwatuma naita tuu atakae jilengesha ndo anatumwa
@mucomwizaruqaiyah4064
@mucomwizaruqaiyah4064 3 жыл бұрын
Yaa Rabii na me naomba unipe iyi zawadi
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 3 жыл бұрын
Napenda sana Mapacha, Allah nijaalie nipate Mapacha, nimewapenda sana.
@salhamrishoaish9292
@salhamrishoaish9292 3 жыл бұрын
Allah anijaalie mapacha🙏
@doreenkarimi8006
@doreenkarimi8006 3 жыл бұрын
Kama umeona hawa mmoja ni mrefu konga like ukanyange makubwa makubwa👌
@salmadalaquimane2364
@salmadalaquimane2364 3 жыл бұрын
ALLAH nijalie mmoja wa kike na wakiume inshaallah
@zamzamhassan4159
@zamzamhassan4159 3 жыл бұрын
Mashaallah napenda sn mapacha
@hawahawa6915
@hawahawa6915 3 жыл бұрын
Mashaa Allah napenda mapacha mm mapacha love you so much popote mlipo 😘
@pendomayunga602
@pendomayunga602 3 жыл бұрын
Mungu anijalie nami nipate mapacha nitajivunia sana
@nassorsada213
@nassorsada213 3 жыл бұрын
Mungu nijalie mapacha 🙏🙏🙏
@sandekingwande7271
@sandekingwande7271 2 жыл бұрын
Mungu nakuomba uniletee mapacha 🤲🤲🤲🤲
@sarahsimon8060
@sarahsimon8060 3 жыл бұрын
Wao nimewapenda mlivo mwaaaaaa
@aishamnamba1064
@aishamnamba1064 3 жыл бұрын
Hawo mapacha wa kiume wanapenda Sana
@ashasaidi1599
@ashasaidi1599
Sauti kabisa zina tofauti
@mariajili6319
@mariajili6319 3 жыл бұрын
Wasibishe mapacha wana power fulani hivi ya kuzaliwa nayo, wanavyo sema mimi na kubali kbs ❤️❤️❤️❤️🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@janedeo874
@janedeo874 3 жыл бұрын
Daah sharifa na safia st.Mary's twins umenikumbusha shule sharifa unaongea kama kawaida yako maneno 100
SPILLED CHOCKY MILK PRANK ON BROTHER 😂 #shorts
00:12
Savage Vlogs
Рет қаралды 45 МЛН
天使救了路飞!#天使#小丑#路飞#家庭
00:35
家庭搞笑日记
Рет қаралды 76 МЛН
MAPACHA WANAOUMWA PAMOJA / KUOLEWA NA MUME MMOJA
10:25
Gangana Info Channel
Рет қаралды 91 М.
MROHO WA BIRIANI | MAPACHA #twinsnation #mapacha #asmacomedian
11:11
TWINS NATION TZ
Рет қаралды 38 М.
HATARI; MAPACHA WANAO FANANA KUOLEWA NA MWANAUME MMOJA
19:54
Mbengo Tv
Рет қаралды 65 М.
Cook with Wema Sepetu S02E07 Zuchu
8:20
Wema Sepetu
Рет қаралды 541 М.
Shilole alivyokuwa Muhudumu wa Hoteli na kumtongoza Ray
19:43
Millard Ayo
Рет қаралды 356 М.
MAPACHA WACHANGANYA WATU, 'CHENCHI' KAPOKEA MWINGINE | HIVI NI KWELI
31:51
SPILLED CHOCKY MILK PRANK ON BROTHER 😂 #shorts
00:12
Savage Vlogs
Рет қаралды 45 МЛН