MAAJABU YA MAPACHA HAWA MAMA YAO MZAZI HAWAJUI/WAKIUMWA WANAUMWA WOTE/WANAWAZA PAMOJA

  Рет қаралды 774,699

Bona Tv

Bona Tv

3 жыл бұрын

Usisahau ku "SUBSCRIBE" Channel yetu kwa habari nyinginezo nyingi na nzuri
MAAJABU YA MAPACHA HAWA MAMA YAO MZAZI HAWAJUI/WAKIUMWA WANAUMWA WOTE/WANAWAZA PAMOJA
#Bonatv #Exclusive #Mapacha

Пікірлер: 822
@joyceraphael6631
@joyceraphael6631 2 жыл бұрын
kunawengine awo wanafanana Kama aho wanaishi tabata changombe mwenyezi mungu nijarihee namimi nipate mapacha wangu wa2kama aho Amina❣️❣️🙏
@neemacharles9848
@neemacharles9848 2 жыл бұрын
Mashaallah wanavyofanana mungu nijaliena nami nipate mapacha hongereni warembo😍😍😍😍
@bahatiagape7121
@bahatiagape7121 2 жыл бұрын
Hata mi ni pacha..Amabao wako pacha like zangu naomben 🙏💕👭
@nkalugiradio8140
@nkalugiradio8140 4 ай бұрын
Hongera na Mimi nawezangu tupo watatu❤
@TheoHaule-vu5ub
@TheoHaule-vu5ub 4 ай бұрын
Tupo my dear team twins community
@heriethkusigwa8469
@heriethkusigwa8469 2 жыл бұрын
MUNGU Fundi Mno 🙏🙏🙏GOD is so Adorable 🙏🙏
@hawasadik1760
@hawasadik1760 3 жыл бұрын
Ooo jaman mwenyez mungu nijalie kizaz chamapacha na mm
@husseinbakromar5865
@husseinbakromar5865 4 ай бұрын
shida ya pacha mukishikana sana kwakila kitu ila maisha tofauti kuna mmoja atafariki mapema kama mm niko na pacha wangu ila kashaniacha ashatangulia mbele ya mungu
@theonestinakajuga3628
@theonestinakajuga3628 4 ай бұрын
Hi no 6
@yasodishonest9792
@yasodishonest9792 3 жыл бұрын
MASHAALLAH. mm dada yangu anao mapacha wakike pia.yani kila siku akinitumia picha lazima niulize uyu nani kulwa au doto.paka leo siwajui kama wachina yani.mashaAllah
@dorinhasantebabaunazidikun1694
@dorinhasantebabaunazidikun1694 2 жыл бұрын
Mnapedeza. Sana Ila tu huyo pacha mwingine aolewe tu jamani wawe wanatembeleana tu,
@aminahema9714
@aminahema9714 3 жыл бұрын
Mi napenda story hiz z mapacha😍😍😍Mungu nijaalie n mm nizae vijipacha vyngu in Sha Allah
@hajrahassan1250
@hajrahassan1250 3 жыл бұрын
Inshaallah
@merryabiaza711
@merryabiaza711 3 жыл бұрын
Amen
@khadijahali4837
@khadijahali4837 3 жыл бұрын
In shaa Allah
@judithkatoto3316
@judithkatoto3316 3 жыл бұрын
Waooo.namm.pia tuko mapacha
@maryamkipenzi9953
@maryamkipenzi9953 3 жыл бұрын
Pia mm naomba mungu anijalie
@karie9030
@karie9030 2 жыл бұрын
Warembo, voices of worship and preaching...
@asmarashidi9295
@asmarashidi9295 5 ай бұрын
+
@sifajacky7779
@sifajacky7779 2 жыл бұрын
Manshaallah tabarak Allah ♥❤. Mwenyezi Mungu mtukufu Subhanah wataala awakinge na shari na husda za mahasidi Inshaalllah 🤲🏻
@fettyharoun1333
@fettyharoun1333 3 жыл бұрын
Mashallah ya rabby naomba nijalie watoto mapacha 🤲
@asmahansaid2089
@asmahansaid2089 3 жыл бұрын
Amin
@maryamkipenzi9953
@maryamkipenzi9953 3 жыл бұрын
Ameen
@liliandominaic5629
@liliandominaic5629 3 жыл бұрын
Utapt mamy mmi ninao
@rahmabebz6118
@rahmabebz6118 3 жыл бұрын
Aamin namie pia mpenzi
@fettyharoun1333
@fettyharoun1333 3 жыл бұрын
@@liliandominaic5629 mashallah my love congratulations my dear me inshallah Allah ani bless
@EmiliaKasalila
@EmiliaKasalila Ай бұрын
Ee mungu na Mimi unipe mapacha wanao fanana katika uzao wangu Amina
@aminakshamoona6900
@aminakshamoona6900 3 жыл бұрын
Kua na watoto mapacha ni raha sana mashaAllah yarrabi nijaalie na mm
@zulfahaji4666
@zulfahaji4666 2 жыл бұрын
Wamepishana. Sauti
@jaffjeff6912
@jaffjeff6912 4 ай бұрын
In Shaa Allah amiin thumma amiin Yarabbil Aa'lamin YaRahman Rahim
@mwashambagofa352
@mwashambagofa352 3 жыл бұрын
Juzi niliona picha ya kinaigeria ya mapacha ambayo wanahisi pamoja sikuamini kumbe kweli wapo,Mungu ni mkuu Sana..
@manasadunia3458
@manasadunia3458 3 жыл бұрын
Masha allah Allah nijalie na mimi nikiolewa nipate mapacha Ameen
@selinaingado2669
@selinaingado2669 3 жыл бұрын
😂😂😂
@zahrahemed9171
@zahrahemed9171 2 жыл бұрын
Nitafutie 0777 814883
@shukuranikibona5893
@shukuranikibona5893 2 жыл бұрын
0716841642...Piga nikupe nina asili ya mapacha but,Nina MKE amepacha na mpenzi wa nje anao...Karibu na wewe nikupe!!!
@manasadunia3458
@manasadunia3458 2 жыл бұрын
@@shukuranikibona5893 😂😂😂😂😂 kweli au
@shukuranikibona5893
@shukuranikibona5893 2 жыл бұрын
@@manasadunia3458 Ukweli kabisa... reality mom..!
@zainabuhussein3487
@zainabuhussein3487 3 жыл бұрын
Jamani napend mapecha Allah nijalie namimi nikiolewa unijalie mapecha amina
@neemamsacky9468
@neemamsacky9468 2 жыл бұрын
Mungu nijalie nilicho kibeba kiwe mapacha wakufanana
@florahmathew3510
@florahmathew3510 3 жыл бұрын
Kulwa ana sauti nzito na inakwaruza kuliko doto..So nice indeed
@husseinmgalula5864
@husseinmgalula5864 2 жыл бұрын
Sauti ya pombe😂😂😂
@davidole8257
@davidole8257 4 ай бұрын
Hongera kwao wanafanana sana huyu ambae Hana Mume mie nipo Tayari kuoa na nitawapenda wote Doto upo tayari
@furahakalekezi7537
@furahakalekezi7537 3 ай бұрын
Nguvu kuu asili iwalinde na kuwatunza na kuwabariki mapacha, wakubwa zangu, Mimi ni nazo ya kufuata mapacha japo walirudi Asilini Hongereni sana 😘😘😘😘😘🌹🌹🌹🌹
@hawababuu4350
@hawababuu4350 3 жыл бұрын
MashaAllah Tabarakallah.. Ila sauti zao hazifanani huezi kukosa kuwajua
@maloomaalmnsj5111
@maloomaalmnsj5111 3 жыл бұрын
Ndio
@juliethcharles1061
@juliethcharles1061 2 жыл бұрын
Sauti zao hazifanani
@zawadiramadan6336
@zawadiramadan6336 3 жыл бұрын
Mashaa Allah Mashaa Allah Mashaa Allah yaa Allah tujalie na sisi yaarabb
@agnesskasansa9959
@agnesskasansa9959 2 жыл бұрын
Nataman mungu anipe mapacha nawapenda sn
@jacklinenoel5841
@jacklinenoel5841 3 жыл бұрын
Napenda mimi jaman Eeer MUNGU nijaalie na mimi🙏
@yusrasalum
@yusrasalum 3 жыл бұрын
Nimesoma na mapacha jamani wanapendana hawa huwakuti wanamashoga yani wenyewe tu na hawagombani ovyo 😂😂😘
@bonifaceyohana2515
@bonifaceyohana2515 3 жыл бұрын
Nawapenda mapacha sana huwa nikiwaona nafarijika mno
@MuhamadiAli
@MuhamadiAli 4 ай бұрын
Mmoja mnene mwengin mwembamba. Mmoja sauti kavu na wengine sauti nzito
@ibrahimkhamis8394
@ibrahimkhamis8394 2 ай бұрын
Kweli mmoja mnene mwengine mwembamba, wala hawajafanana kiiivo unaweza kuwatofautisha😅
@margrethmshana3560
@margrethmshana3560 2 жыл бұрын
Nimewapenda hatarii,hapo in finger print ndio tofauti, kwalivyofanana huyo ni MTU mmoja ,very lovely girls.
@magrethgavan9353
@magrethgavan9353 2 жыл бұрын
Warembo kweli mungu awape Maisha marefu 🤗
@felisterbaraka209
@felisterbaraka209 3 жыл бұрын
Mungu anijalie nani mapacha
@rehemanyale2212
@rehemanyale2212 3 жыл бұрын
Mashaalah, wamefanana mpaka sauti, warembo sana
@cantonaiddy6042
@cantonaiddy6042 3 жыл бұрын
Hpn sauti hazifanani huyu wa kushoto ana sauti ya mapozi
@cantonaiddy6042
@cantonaiddy6042 3 жыл бұрын
Wa kulia sura yake pana kidogo
@rehemafungo5042
@rehemafungo5042 2 жыл бұрын
Asante wajina umeandika kiswahili🤔🤔
@gloryandrew9428
@gloryandrew9428 3 жыл бұрын
Ee mungu nijalie na mimi mapacha
@mdungikona1968
@mdungikona1968 2 жыл бұрын
Acha kuwataka hao wasumbufu niulize mimi
@mariamhakim1463
@mariamhakim1463 4 ай бұрын
Mamayangu ana mapacha namimi nikiolewa nizae mapacha insha allah❤😅😊
@shanibaniyas6308
@shanibaniyas6308 4 ай бұрын
Ameen🤲🏽
@aishadotto3640
@aishadotto3640 4 ай бұрын
Ameen
@aminatumbo7410
@aminatumbo7410 3 жыл бұрын
Katika pacha nnao wapenda bas ni hawa wa mfuko mmoja nice hutenganishwa na kifo tuu ila sio binadamu
@ericklaura7511
@ericklaura7511 3 жыл бұрын
Mungu awajalie moyo wa kupendana hivo hivo milele🌹💖👏
@ashanassour1139
@ashanassour1139 3 жыл бұрын
Ya rabbi nijaalie na mm nipate mapacha wawili dua zenu naomba
@zennahmtoto1867
@zennahmtoto1867 3 жыл бұрын
Amiin sote Yarabbi
@lucyhusein4043
@lucyhusein4043 3 жыл бұрын
Sasa akipata mime!!!??
@ericklaura7511
@ericklaura7511 3 жыл бұрын
@@ashanassour1139 Ameni. Hitaji la moyo wako likatimie kwa uweza wa Mungu.
@ericklaura7511
@ericklaura7511 3 жыл бұрын
@@lucyhusein4043 si umesikia amesema yeye hata asipoolewa ni sawa?
@barakatabdul3212
@barakatabdul3212 3 жыл бұрын
Mapacha sana mwenye mwili mdogo ndo yuwatoka mbele 🤣🤣🤣
@beera.g5302
@beera.g5302 2 жыл бұрын
Hadi nikatamn, eeeh Mungu niajalie namie🙏 mapacha
@husnamahadhi7437
@husnamahadhi7437 2 жыл бұрын
Amin atujaalie sote in sha Allah
@princessmeggyclement7591
@princessmeggyclement7591 3 жыл бұрын
Yarabby nijaalie namimi Amiin👏👏
@dotahamad6640
@dotahamad6640 3 жыл бұрын
Amiin
@halimaabdillah8440
@halimaabdillah8440 3 жыл бұрын
Had rah mashaallah
@jacklinejohn9415
@jacklinejohn9415 2 жыл бұрын
Nice wame pendeza xana na kuhusu wanacho kizungumzia ni kweli kuhusu wa toto mapacha mmoja Aki umwa ni wote hata Mimi ninao pia nawangu niwakike pia
@jeniphachristian2131
@jeniphachristian2131 3 жыл бұрын
Woooooh ni nzur but hapo kwenye Mume Sasa...😊😊🤗
@evelynmallya2361
@evelynmallya2361 2 жыл бұрын
Sasa mimba mlipataje
@simonkiprotich3300
@simonkiprotich3300 2 жыл бұрын
Beautiful due to their twin bonded love; could they hav been patient may be the Lord may have bless them married by twin bros too.
@missmoona4497
@missmoona4497 3 жыл бұрын
Kabla hujawauliza nan mkubwa nan mdogo tayar kwakuwatazama tu nikajua nan mkubwa nan mdogo usually nina mapacha Alhamdulillah pia mama zangu wadogo mapacha my family kuna mapacha fully na ninaomba mungu anipe tena mapacha inshaallah.
@missmoona4497
@missmoona4497 3 жыл бұрын
Lkn pia mama zangu mapacha hao waliposwa pamoja, waliolewa siku 1 na waume zao nimarafik mno wanaopendana kias kwamba mungu akawapa wake mapacha maashallah
@LyidiaMororo
@LyidiaMororo 3 ай бұрын
Jamani mapacha wazuri mungu awalinde ,nami pia ninao wakike na wakiume ila wananitoa jasho naniwakubwa miaka 15 lakini ni hatari
@maryjoseph787
@maryjoseph787 3 жыл бұрын
Mungu anijalie na mm niwapate... inshallah 🙏
@husnamahadhi7437
@husnamahadhi7437 2 жыл бұрын
Amin atujaalie sote in sha Allah
@edsonjonas2775
@edsonjonas2775 2 жыл бұрын
Ata Mimi mke wangu ni mapacha wanafanana Sana alafu mke wangu nlishawahi kumuita shemeji alafu nao walibeba Mumbai pamoja na wakazaa watoto wanafanana Sana mpaka nlpata tuhuma kwa baadhi ya watu kuwa huenda nilideti nao wote
@happinessteven2401
@happinessteven2401 2 жыл бұрын
😅pole
@juliethkipeja4791
@juliethkipeja4791 2 жыл бұрын
Mungu nipe hitaji la moyo wangu
@ihsan304
@ihsan304 Жыл бұрын
Mungu awaeke in sha Allah 🤲
@valentinanduku8718
@valentinanduku8718 2 жыл бұрын
Mmefanana sana Mungu naomba unijalie mapacha
@fedhumafundikila2100
@fedhumafundikila2100 3 жыл бұрын
Mashaallah ❤️❤️ jamani wamefanana kweli💥nimewapenda nami natamani nipate mapacha🙏🙏
@selinaclarence878
@selinaclarence878 3 жыл бұрын
Tofaut zao mmoja nwongeaji sana kuliko mwingne
@juliethkipeja4791
@juliethkipeja4791 2 жыл бұрын
Na kulwa kasura kake kembamba kidogo
@ezekiel2034
@ezekiel2034 3 жыл бұрын
Waaa this two girls are indeed beautiful ❤️❤️👏👏👏👏👏💐🎉
@user-vm8wn4qg6j
@user-vm8wn4qg6j 4 ай бұрын
Mungu simama na mm nipate mapacha
@preciousjohn9405
@preciousjohn9405 3 жыл бұрын
Mapacha wote huwa wanapendaga siyo hao tyu
@thisiszai2045
@thisiszai2045 3 жыл бұрын
Masha'Allah wazuri
@juliekashindi1919
@juliekashindi1919 7 ай бұрын
Mungu nijaliye na mimi wa Toto mapacha 🤲🤲
@edinahmaganga3528
@edinahmaganga3528 2 жыл бұрын
😘😍😚😗 warembo sana Mungu awalinde
@eshialabonita7736
@eshialabonita7736 3 жыл бұрын
Wow Masha Allah
@elinabaltazali9055
@elinabaltazali9055 2 жыл бұрын
Mungu ni wa ajabu sana.Mungu,uliewaumba hawa,na mimi naomba unipe mapacha wa kiume
@michelinemapendo6652
@michelinemapendo6652 2 жыл бұрын
kabisa mimi piya
@salhatyusuph2305
@salhatyusuph2305 3 жыл бұрын
Mashaallah nmewapenda
@tundaspodo6955
@tundaspodo6955 3 жыл бұрын
Mapacha wangu haooo nawapenda Sana Awana tabu na mtu
@mamafatuma138
@mamafatuma138 2 жыл бұрын
Ma sha Allah Allah awaeke in sha Allah
@user-ji1fm7eh1p
@user-ji1fm7eh1p 5 ай бұрын
Mungu naomba nijaalie nami nipate mapacha
@jimmymbella997
@jimmymbella997 2 жыл бұрын
Nimewaakubar sana wadogo zangu❤️
@fakiibabalao4185
@fakiibabalao4185 3 жыл бұрын
Mtangazaji na mapacha wanavithethe kama umegundua hili weka like hp
@nishrash3637
@nishrash3637 3 жыл бұрын
Kurwa saut yake inakwaruza na anakithethe Sana kuliko doto waskilize kwa Makin! Na kimuonekano Doto siyo muongeaje sana
@leylasadiki4951
@leylasadiki4951 2 жыл бұрын
Mungu nijalie na mm nipate mjawako inshallah
@aaa64sa13
@aaa64sa13 2 жыл бұрын
Ameen inshaAllah
@asmintambwe9547
@asmintambwe9547 3 жыл бұрын
In shaa Allah mungu nipe namie mapacha
@mauwashomari8160
@mauwashomari8160 3 жыл бұрын
Mungu namiye mimba yangu ya kwanza nipate mapacha
@muniraally6066
@muniraally6066 3 жыл бұрын
Amiin mung atakujaalia ila na mm mung anilijaalia saiv wanamiak 7 mung aniwekee
@farajamwakamyanda3014
@farajamwakamyanda3014 2 жыл бұрын
Amen
@halimahalima1488
@halimahalima1488 2 жыл бұрын
Amiiiin thumma amiiiin mmi mwenyewa nataka ivo
@saumumunisi8013
@saumumunisi8013 4 ай бұрын
Half ni wazuri nimewapenda sana
@kamikazisalma5209
@kamikazisalma5209 3 жыл бұрын
Manshallah ya Allah nijalie namimi mapacha Allahumma Amiin 🤲
@zalhathasaid2060
@zalhathasaid2060 3 жыл бұрын
Amin na mm
@rahimaaaaa5682
@rahimaaaaa5682 3 жыл бұрын
Usiseme atamm nawataka kwer
@raheemaal-hady9328
@raheemaal-hady9328 3 жыл бұрын
In Shaa Allaah Mungu atakupa Mume bora Mammy Dotto... Nawapenda sana mammy zangu Allaah awalinde na killa shari.
@sophiamakani6133
@sophiamakani6133 2 жыл бұрын
U look very beautiful 😍 ❤
@saudalilingani9264
@saudalilingani9264 2 жыл бұрын
Mnanikumbusha mbali sana Sisi ktk mtihani ilikuwa tunajisahau tunaandika jina moja sasa hapo kazi kwake mwalimu hizo alama aweke kwa sauda au saida 🤣😂
@sisiliabugerheghon4745
@sisiliabugerheghon4745 3 жыл бұрын
Nice identical,,....❣️
@user-pp8bm9un5j
@user-pp8bm9un5j 4 ай бұрын
Jmn wanafanana kama sisi tunavyofanana lkn kuna tofauti kidog kweny saut lkn pia kulwa n mwembamba kidog Dotto mnene kidog. Yaan story yao haina tofauti na yao kama vle mama, marafk, majran na ndg wengne kutuchanganya n kawaida sana. Na cc wakat mwingne huwa anauliza ww n kulwa ama Dotto?, Kuhusu kuumwa na yenyew n hivyo. Kiufupi the way walivyoelezea halika n kwel. Nmependa mnavyoishi Mungu awape maisha marefu. Nmefeel vzr sana kuwasikiliza natamani niwaone jmn live ❤❤🎉🎉🎉
@maalimali5513
@maalimali5513 4 ай бұрын
Kweli kuna tofauti kidogo Doto ana uso mpana kidogo kuliko Kulwa
@user-uf1oz7zc3q
@user-uf1oz7zc3q 3 ай бұрын
Ila wazur sana
@maalimali5513
@maalimali5513 3 ай бұрын
Allah kawajaalia Mashaallah♥️
@saudalilingani9264
@saudalilingani9264 2 жыл бұрын
Mapacha ni raha saaana, tulipokuwa watoto tulisumbua sana watu, yaani hadi leo mtaani watu wanachemka wakimuona saida humuita saida yaani wanahisi wamemuona sauda, watu huja kunilaumu eti nilimchunia
@user-pu5hf9eg4w
@user-pu5hf9eg4w 4 ай бұрын
Pacha wang na ww😂😂hta me n pacha saida na sauda
@user-pu5hf9eg4w
@user-pu5hf9eg4w 4 ай бұрын
Ndoto yngu kuja zaa pacha allah takabal dua
@hadijambwana9068
@hadijambwana9068 3 жыл бұрын
Mungu anijalie pchaa
@pendomarco8928
@pendomarco8928 3 жыл бұрын
Ee Mungu Kama utapendezwa
@aminasamwel3379
@aminasamwel3379 3 жыл бұрын
Ee mungu naomba nibariki na Mimi pia mapacha
@husnamahadhi7437
@husnamahadhi7437 2 жыл бұрын
Amin atujaalie sote in sha Allah
@user-cx7rh6jt6y
@user-cx7rh6jt6y 4 ай бұрын
Jmn Mungu🙏 nawapenda ❤❤❤❤
@davisnkoba2683
@davisnkoba2683 2 жыл бұрын
You are real beautiful twins NAPENDA tu vile wanavyopendana l do love them.
@watendeabdallah6587
@watendeabdallah6587 3 жыл бұрын
Mashaaalah napenda mapacha mm 😍❤️
@Feisal379
@Feisal379 2 жыл бұрын
warembo sana napenda xana
@husnamahadhi7437
@husnamahadhi7437 2 жыл бұрын
Mungu akujaalie
@user-su1eb3im6t
@user-su1eb3im6t 4 ай бұрын
Yaan wanaongea wao mapacha nacheka mm😂😂😂jaman napenda sana ila sipati . Namuomba Allah anijalie nipate inshallah 🙏🙏🙏🙏
@saudalilingani9264
@saudalilingani9264 2 жыл бұрын
Mimi na kulwa wangu tulitoa kali std 1 hadi form iv darasa moja na benchi moja enzi hizo hkn viti, tulikuwa tunakalia madawati, Ila mapacha watu huwa wanawapenda mnnooo lkn walishindwa kututenganisha Pia pacha huwa na hila mbaya hujiona wao ndio ndugu sana kuliko ndg wengine japokuwa wote wamezaliwa na baba na mama mmoja
@sadanassor4992
@sadanassor4992 3 жыл бұрын
Mungu anijalie mapacha 🙏🙏
@happynesbaemuhappynes8813
@happynesbaemuhappynes8813 3 жыл бұрын
Amina yarab
@ummuhkhalfan5542
@ummuhkhalfan5542 2 жыл бұрын
Ameen ya Rabbi
@mariamhinda6710
@mariamhinda6710 2 жыл бұрын
Amen
@husnamahadhi7437
@husnamahadhi7437 2 жыл бұрын
Amin
@fatmakhanii1676
@fatmakhanii1676 7 ай бұрын
Mimi siwataki ulezi mgumu 😢 na hao mapacha kwenye familia yetu ndio usiseme mpaka naogopa
@user-lo2zq4fy6j
@user-lo2zq4fy6j 4 ай бұрын
Jmn mpka raha ❤❤❤❤, nawapend san mapcha
@priscamagambo5320
@priscamagambo5320 2 жыл бұрын
Waoooo Kama wadogo zangu wanaonifata,Ila wao Ni wakiume
@barakasalim7406
@barakasalim7406 3 жыл бұрын
Ewe mwenyezi mungu, nijalie mapacha katika uzao wangu insha allah.
@aminabashiru9171
@aminabashiru9171 3 жыл бұрын
Na mm mungu nijalie nipate mapacha nawapenda sana
@nananishimwe1963
@nananishimwe1963 5 ай бұрын
Napenda.apacha
@irenebellabellah4003
@irenebellabellah4003 3 жыл бұрын
Mungu naomba nipe na mimi.kama hawa
@mohammedabdallah465
@mohammedabdallah465 3 жыл бұрын
Jamani nimewapenda Sana hao mapacha huyo doto niko tayari kimuoa
@kanezajoella6663
@kanezajoella6663 3 ай бұрын
Sauti ni tofauti pia kulwa ame changamka sana wazuri ❤❤❤❤
@deborahlagila6351
@deborahlagila6351 2 жыл бұрын
Wanafanana sio ajabu mama kuwachanganya me mwenyewe wa kwangu wana miaka 7 nikitoka safar nawauliza
@JaniJann-xv2nq
@JaniJann-xv2nq 2 ай бұрын
Wangu hawafani lakini wakiumwa na tabia wanashare ❤❤❤❤ maanake walishare placenta moja
@diananjoki6788
@diananjoki6788 2 жыл бұрын
indeed fearfully and wonderfully made.
@musitemusite4316
@musitemusite4316 3 жыл бұрын
Maashaallah
@matatomlik1846
@matatomlik1846 2 жыл бұрын
Maashallah maashallah maashallah maashallah
@oman7710
@oman7710 2 жыл бұрын
Masha Allah Mungu awape umri mrefu
@user-kk7dd3xm8t
@user-kk7dd3xm8t 4 ай бұрын
Ameen
@salamabakari8384
@salamabakari8384 Ай бұрын
Namimi munguanijalie nizae mapacha
@gloryqueen6296
@gloryqueen6296 3 жыл бұрын
Hongereni..sauti azifanani
@user-wc3hn4kt1x
@user-wc3hn4kt1x 2 ай бұрын
Kitu ambacho sitaki kabisa ni mke wangu kuniletea mapacha. Ee Mungu naomba watoto tofauti ila MAPACHA sitaki
@surujajwie4768
@surujajwie4768 3 жыл бұрын
mashaallah hongern❤❤❤
@user-jj9xf7nt9k
@user-jj9xf7nt9k 5 ай бұрын
Wawo mungu nijalie na mm
MZUNGU ALINIGEUKA TUKIWA NJIANI KWENDA KUMTAMBULISHA KWA WAZAZI NA KUNIFUKUZA
57:11
Official Dating Assistance
Рет қаралды 72 М.
Best father #shorts by Secret Vlog
00:18
Secret Vlog
Рет қаралды 19 МЛН
버블티로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 125 МЛН
THEY made a RAINBOW M&M 🤩😳 LeoNata family #shorts
00:49
LeoNata Family
Рет қаралды 35 МЛН
Incredible magic 🤯✨
00:53
America's Got Talent
Рет қаралды 72 МЛН
Ijue familia ya Rais Samia Suluhu -mume, watoto na historia yake
13:38
Zanzibar Kamili TV
Рет қаралды 942 М.
MAPACHA WENYE DREAD WAWACHANGANYA JUDGES
5:51
BongoStarSearch
Рет қаралды 517 М.
PENZI LA DADA WA KAZI 💞 | Love Story
30:06
DONTA TV
Рет қаралды 4,7 МЛН
THE UNTOLD STORY OF APOSTLE JAMES MAINA NGANGA  COMMANDER-HUMBLE BEGINNINGS PART 1
1:00:30
MAPACHA WACHANGANYA WATU, 'CHENCHI' KAPOKEA MWINGINE | HIVI NI KWELI
31:51
PENZI LA MAPACHA EP1
26:08
ABA SWAHILI
Рет қаралды 743 М.
МЛАДШАЯ СЕСТРА И МОРОЖЕНОЕ ИЗ АРБУЗА
0:41
ОЛЯ ПЕРЧИК
Рет қаралды 3,3 МЛН
Обезьяне пересадили голову??? #факты
0:31
Время знаний
Рет қаралды 1,1 МЛН
У Котика Отняли Игрушку 🥺
0:15
ДоброShorts
Рет қаралды 4,6 МЛН
育児6年目の韓国人父が娘と遊ぶ方法4 #shorts
0:11
ミョリムMyorimu
Рет қаралды 22 МЛН
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
0:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 1,2 МЛН