CASSIAN AWAPA ONYO MKUU WAMKOA NA MWAMPOSA KUUNGANA KUPOTOSHA EV PAACHAL CASSIAN

  Рет қаралды 22,174

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL  YOUTUBE

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE

23 күн бұрын

#0766998994 #call0688199370 #

Пікірлер: 475
@bernardbaitan6539
@bernardbaitan6539 20 күн бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu. Mungu akupe ulinzi. Malaika zake wakuzingile na panga za moto, mbele , nyuma, kulia na kushoto. Amen.
@charlesrweyemamu8352
@charlesrweyemamu8352 19 күн бұрын
Asante sana bwana Cassian K kwa kuwa ujasiri; umetuwakilisha kusema kweli tena kweli tupu, barikiwa!
@goldermeirshoo1228
@goldermeirshoo1228 21 күн бұрын
Mkuu wa Mkoa safi saaana, Mtumishi Cassian uwaache Mungu awashughulikie wenyewe, kwani aliyowaumba anajua, Chalamila kwa upeo wake kashuhudiwa kuwa Kwa Mwamposa yupo Mungu, siyo kwa upeo wako, nimeona tatizo ulilonalo ni Huna Elimu na wengine woote wanaosema wenzao ni ukosefu wa ELIMU
@geeoutfitdesgner
@geeoutfitdesgner 21 күн бұрын
kweli kabisa,halafu nilichogungua huyu kadian anawivu anataman yeye ndo angekuwa BBM,,duh kwel watumishi wa mungu wanavita
@tezrantangeki5845
@tezrantangeki5845 21 күн бұрын
Urudi bss kijana! Acha kupotosha Nawe kusanya umati wako...
@AGM19697
@AGM19697 20 күн бұрын
Atuonyeshe Mungu wake na sio maneno tu. Hata Yesu alikuja na Neno lake na kulidhobitisha pia kwa matendo
@clarisbanza6066
@clarisbanza6066 20 күн бұрын
Nyinyi wote mnaopinga ukweli huu na kuteteya uyo agent wa shetani mwamposa nyinyi wote ni wajinga na vipofu wa kiroho
@FestoYohana-ll4wk
@FestoYohana-ll4wk 12 күн бұрын
ww ndio kipofu mbona yy kaz yake haionekani kaz mdomomdomo hata mgonjwa wamafua hajawahi kumuombea akapona
@jesusfirstchurch4162
@jesusfirstchurch4162 21 күн бұрын
Kweli watu wengine ni mifano ya watu duniani..nafsi ziko kuzimu.. Mungu mtie nguvu na ULINZI mtumishi wako Cassiani . Siku za mwisho tunagundua mengi..maboxi yanaongoza watu duniani mpaka wapagani wanashangaa..Wana WA MUNGU tusonge mbele .tuzalishe Wana WA MUNGU Kona zote ..Agizo kuu linatusubiri Mathayo 28:19-21
@jovettedenise2591
@jovettedenise2591 21 күн бұрын
Mungu wambingu akulinde sana manaa maaduwi wataluwa wengi kwa sababu injili yako niya ukweli lakini watu sikuhizi hawapendi ukweli Mungu akuyinuwe❤❤❤❤
@JacklineMroso-gy6ej
@JacklineMroso-gy6ej 21 күн бұрын
Paza sauti mtumishi wa Mungu hata wakati wa nuhu wapo waliomdharau lakini gharika ilivyokuja waliita sana Nuhu tufungulie lakini hawakupata msaada.Wenye kuokolewa kwa hudumu yako wataokolewa wengi usikate tamaa fanya hudumu uliyoitiwa na Mungu.
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 10 күн бұрын
Hutabaki pekee yako tupo nyuma yako tunao jua Neno la Mungu Ubarikiwe sana Muny akulinde
@irenemuia2718
@irenemuia2718 21 күн бұрын
DAMU ya YESU ikufunike daima 🙏🙏🙏
@FrankBororo-dk1fv
@FrankBororo-dk1fv 19 күн бұрын
Hata waumini wenu sasa wanachoka na mahubiri yenu ya watu badala ya kuwasaidia matatizo yao. Wanakuja makanisa kumtafuta Mungu aliyewaahidi ahadi nyingi katika neno lake. Mungu ameahidi kuwaponya magonjwa yao,kuwainua na kuwatanirisha,kuwafungua kufungwa kwao,na wanataka waone hizo ahadi za Mungu zikifanyika kweli kwenye maisha yao. Sasa ikatokea hawajazipata chini yako,na wakaenda kwa huyo mnaemuita ana nguvu za shetani,na wakapokea hizo ahadi za Mungu,sahau kuwaona tena kwako. Mnamuinua sana shetani mpaka inashangaza! Mtu kapona uvimbe wewe unasema ni shetani! Mtu kapona kifafa wewe unasema ni shetani,mtu alikua fukara sasa kainuka wewe unasema ni shetani,watu wanafunguliwa mapemo na vifungo mbalimbali wewe unasema ni nguvu za shetani!
@christopherkaroli9365
@christopherkaroli9365 18 күн бұрын
@@FrankBororo-dk1fv umeandika mambo mengi sana lkn itoshe kukuambia hivi kuwa hata shetani ana miuujiza yake, na palipo na Mungu wa kweli panajulikana tu, Mungu wetu anatafuta utakatifu sana na mengine yote tutazidishiwa je kwa nini mtu ahubiri injili ya mafanikio tu bila injili ya utakatifu? au kukemea dhambi pia nikuambie kuwa Mungu anajitegemea hatumii vitu mfano mafuta, maji mara udongo kumponya mtu, tumeambiwa kwa jina la Yesu tutatoa pepo na kuponya wagonjwa.
@PeterGabriel-vm5yy
@PeterGabriel-vm5yy 18 күн бұрын
Ukiponywa magonjwa ukabaki kua mzinzi inakusaidia niji? Ukinunua mafuta na kwenda kunyunyiza baa na ukajaza wateja ukapata pesa inakusaidia nini? Ukipata pesa lakini ukawa hujui kumuheshimu Mungu kwa pesa zako inakusaidia nini? Miujiza yooote ikiwa jina lako halijaandikwa katika kitabu cha uzima ni bure. Na Mungu hutenda kwa wakati wake na hata asipotenda bado anabaki kua Mungu.
@joycelucas405
@joycelucas405 17 күн бұрын
Tatizo hajielewi na sio vizur kumsema mtumishi mwenzako vibaya.
@FestoYohana-ll4wk
@FestoYohana-ll4wk 12 күн бұрын
kama mnafikiri kasian yupo sawa mtajikuta mnaenda moron msihukumu maine mkahukumiwa mungu mwenyewe ndio anajua wakwake
@unileverldsengineering9541
@unileverldsengineering9541 12 күн бұрын
Dikika 53:32
@user-yj5es1jw8c
@user-yj5es1jw8c 21 күн бұрын
Nakukubali sana mahubili Safi yasio goshiwa mtu imala tukopamoja
@amanimushagalusa8752
@amanimushagalusa8752 20 күн бұрын
Naitwa Amani z naishi kwa inchi ya Africa ya kusini nakufatiliya kiumakini Sana Kazi zako naipenda sana Mungu anaendeya kutulinda nakukutiya nguvu
@SifaMwakisambwe-kn3yl
@SifaMwakisambwe-kn3yl 20 күн бұрын
Mwamposa ni mtumishi wa Mungu. Anamuhubiri Yesu hadharani kwa hekima kubwa Sanaa. Usiwe kama Baalamu na Baalack. Mungu alitumia punda kuubariki mji. Mkuu Mungu kamtumia kama punda kudhihirisha hakika huyu ni mtumishi wa Mungu. Usihukumu mbingu huna. Unapenda watumishi wa Mungu tuwe wanyongeee. Hubiri neno tukusikilize hii haijakaa sawa. Unampinga kristo.
@user-xd7gb9ub4t
@user-xd7gb9ub4t 20 күн бұрын
Huyu Cassian Huwa anasoma Neno ila hatafakari Neno hiyo ndio shida yake na Wala sio Mtumishi mbaya ila anahitaji Elimu tu ya Neno la MUNGU, roho wa BWANA ampatie HEKIMA yake, Ili kuyafikia mataifa ila sio katika njia hii Maana hataweza kuleta faida katika ufalme wa MUNGU, zaidi ni kupotosha...(Wanajuhudi katika MUNGU lakini si katika maarifa.
@osmondulotu2701
@osmondulotu2701 20 күн бұрын
Hakuna Mungu hapo kwa Mwamposa hakika, Tumaini la wanaadamu nimeangukia kwenye kutegemea mafuta ya Mwamposa , na kuacha kumtumaini Mungu, !!! Imefikia maali watu wanatembea na mafuta kwenye mikoba yao , Sikia wewe Mtu wa Mungu hakika huo Ni Ushirikina,!!!! Aina tofauti na mtu anayetembea na irizi,, !! Maana Tumaini lake huyo mtu lipo kwenye irizi aliyobeba,!!! Asikiaye Ujumbe huu na kuacha hizo aImani mbaya potofu, Ataokoka, Asema Bwana wa Majeshi,
@Namaize-lc8sh
@Namaize-lc8sh 20 күн бұрын
Hakika
@DaimonMwapelele
@DaimonMwapelele 20 күн бұрын
Amin cassian ni mtumish wa mungu Tena akiwa na ujumbe wa bwana Kama unawaamin akina mwaposa jua umetekwa ma umepotea akinawamposa ndio manabii wa uongo waliotabiliwa
@barakaelias1116
@barakaelias1116 19 күн бұрын
Mungu akusaidie ndio Maan anakuuzia mafuta
@ZachaliaJoseph-rp7nt
@ZachaliaJoseph-rp7nt 15 күн бұрын
Mungu akulinde mtumishi Cassian najua vita ipo juu yako lakini Mungu kasema vita ni vya BWANA piga nyundo
@christopherkaroli9365
@christopherkaroli9365 20 күн бұрын
Mungu azidi kukuinua mtumishi wa Mungu, endelea kuwafua maajenti ya mashetani yote.
@user-xd7gb9ub4t
@user-xd7gb9ub4t 21 күн бұрын
Wewe una roho ya mpinga kristo ndani yako, nahisi roho wa MUNGU alisha kuacha umebakiza maneno yasiyo na nguvu.
@user-ri9gj8uh2c
@user-ri9gj8uh2c 21 күн бұрын
Sio kweli nafikir ww biblia husomi
@WilsonEmmanuel-bs6op
@WilsonEmmanuel-bs6op 21 күн бұрын
Achaseme ukwel watu waende mbingun wew
@JJTSUPERCLEANER
@JJTSUPERCLEANER 21 күн бұрын
Acha kumsema mtumishi wa Mungu vibaya je unataka na wewe uhalalishe kuwa pombe ni soda😊?
@GeofreyKalo-ot3we
@GeofreyKalo-ot3we 21 күн бұрын
@@user-xd7gb9ub4t ndugu yangu Mimi nilishaona Muda mrefu sana kuwa huyu mtu ni mpinga Kristo anaejificha kwenye uinjilist
@deniskilumile612
@deniskilumile612 21 күн бұрын
No .paschal yuko sahihi..na ukiona kitu kinaongelewa jua kipo au kipo njiani..au know that kuna something wrong
@isacksimonmahungilo
@isacksimonmahungilo 21 күн бұрын
Iko Sawa hapa naona machawa wanawaka wazee wa mikate na bia piga nyundo Kaka usiangalie mashabiki Hata akiwa mmoja mtu nmuhimu kuliko Hao vipofu
@AGM19697
@AGM19697 20 күн бұрын
Z 10:18 humo humo kwenye mikate na bia watu wamepata neema ya kumjua Kristo
@ignatiomatimba3554
@ignatiomatimba3554 21 күн бұрын
Usihukumu usije ukahukumiwa na toa kibanzi kilichomo jichoni kwako na ndipo utoe boriti kwenye hicho la mwenzio. Pascal anajinadi kuwa alikuwepo huko kwenye ujenzi huru na akajitoa, je, amepewa uhalali na nani kuwasema watumishi wa Mungu ambao hakubaliani nao? Tuendelee kumhuburi Mungu wetu wa kweli bila kunyoosheana vidole hakuna ubaguzibwote tunaitaka Pepo njema ya YESU KRISTO WA NAZARETH
@DottoMussa-ro6rw
@DottoMussa-ro6rw 20 күн бұрын
sio kweli nyamaza kabisa,,sauli alikuwa wapi na mtu wa namna Gani kabla hajawa Paulo,,je maisha ya manabii na wafalme yalikuwaje na hatmae za manabii zilikuwaje?,,km unapenda maneno Laini muujiza na upako,,basi huo sio utume wa paschal,na Mungu anao watu wake sehemu mbali mbali wengine bado ni makahaba kwa sasa,ila watakapo itwa ndipo mtakapo pishana milango wataingia nanyi ntatoka,,km neno limekukera basi Kuna shida ndani Yako,,omba sana hio roho iondoke ili uridhike na maonyo yakubadilishe na yasikukasirishe
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 10 күн бұрын
❤❤Amina mtumishi wa Mungu Mungu awe nawe daima ponya nafusi za watu zinazopotea
@bithiasizimwe660
@bithiasizimwe660 12 күн бұрын
Damu ya Yesu ikufunike
@justinocarlitosduas7357
@justinocarlitosduas7357 21 күн бұрын
Wewe umebarikiwa na mungu ntumisi
@SteveMulenga-i1c
@SteveMulenga-i1c 21 күн бұрын
Mtumishi wa mungu paza sauti kukemea uovu Ili watoto wa mungu wasipotee Asante sana mtumishi wa mungu ubalikiwa na bwana.
@bernardmushi4869
@bernardmushi4869 20 күн бұрын
Kukusanya watu wengi hata MICHAEL JACKSON alikusanya watu wengi sana lakini usingeweza kusema MICHAEL JACKSON ni MTUMISHI WA MUNGU.PASCHAL CASSIAN AMETUMWA NA MUNGU,WENYE JICHO LA ROHO MTAKATIFU TUNAONA.WENGI WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA.
@christianmwasakogo5579
@christianmwasakogo5579 20 күн бұрын
You're right
@dorahisinika7576
@dorahisinika7576 21 күн бұрын
Mathew 14:13b-16..[.I LOVE JESUS SO MUCH ] ❤
@dyanamotz
@dyanamotz 21 күн бұрын
We nae unatuvuruga!! Yaan mtu anatani akufatilie lkn kutwa hutii moyo watu unaongelea mabaya watu tu !! Sasa siuwatafute uwaambie mbona unazunguka
@CatherineDaniel-t5b
@CatherineDaniel-t5b 15 күн бұрын
@@dyanamotz Hizi siyo nyakati za kutiana moyo mpendwa mara utanunua gari utajenga nyumba wewe amka
@CadiaOnesmo
@CadiaOnesmo 17 күн бұрын
Ana mizaha sana huyu mkuu wa Mkoa hata kwenye mambo ya Mungu ajiiangalie sana ni bora afanyie kwingine lakini kwa Mungu amuulize Belteshaza
@geeoutfitdesgner
@geeoutfitdesgner 21 күн бұрын
anawivu huyuuuuuuuuu kaaah pole sana na kanisan kwako hatuji hutuacheee😂😂,mbona huwasemi dini zngine unasema wakristo wenzio acha wivu baba😂
@gilbertbidimbuka9104
@gilbertbidimbuka9104 21 күн бұрын
Hakuna Mkristo aliyesemaa hapo ila kawasema waganga wakienyeji na waovu wale wa mfuatao
@geeoutfitdesgner
@geeoutfitdesgner 20 күн бұрын
kwa kuna waganga wanaotaja jina la yesu????,au wakristo ndo huwa wanajata jina la yesu mkuu tafakar na uelewe bac
@user-jn4vw5mv5s
@user-jn4vw5mv5s 18 күн бұрын
Nyie msio elewa ndo mnapotea sasa na vile hamtaki kulielewa neno la MUNGU linasema nini mnajiona mko sawa kabisa
@jubilethfestourio450
@jubilethfestourio450 15 күн бұрын
Sema kweli watu waponeDamu yayesu ikulindi mtmsh wa Mungu aliehai
@FrancisHaonga-mp8oy
@FrancisHaonga-mp8oy 13 күн бұрын
Wenye maskio na wasikie neno ilo mwenye macho watazame bwana yu karibu Mungu azidi kukupa maisha marefu mpaka kusudi lake litimie kwako
@martinahlighare6495
@martinahlighare6495 21 күн бұрын
Kujaza watu na kutenda miujiza sio hoja, hoja ni kuhubiri neno la Mungu kikamilifu kwa moyo wako wote. Naam, baki mwenyewe kuihubiri haki ya Mungu kwa wahitaji wanaona kweli yako, nao waokoke na kufanyika wana wa Mungu. Mungu akutunze na akuepushe na adui.
@AGM19697
@AGM19697 20 күн бұрын
10:18 Fika ukajionee mwenyewe usihadithiwe mitaani na vijiweni. Kila siku watu wanafungiliwa na kumpokea Yesu bila shida. Baada ya kujua kumbe Mungu ni halisia na sio maneno matupu
@AGM19697
@AGM19697 18 күн бұрын
@@martinahlighare6495 Ndugu achana na story za vijiweni chukua hatua msikilize Mtumishi Mwamposa hata kwa utube ndio uncomment. Huwa anahubiri neno kwa ufasaha, anafungua watu vifungo vyao kwa njia rahisi kabisa, mwisho anaongoza watu sara ya toba kwa yeyote atakaye kumpokea Yesu. Mm nimwokoka na natokea mojawapo ya madhehebu makubwa ya kilokole, nimemsikiliza mara nyingi sana na sijaona wapi pa kumpigia mawe. Acha ushabiki chukua hatua binafsi kufatilia
@renatus5687
@renatus5687 21 күн бұрын
Wewe casian muhuni tu sem unajua wa tz wanapenda umbeya ndo maana unawapiga kanisa ulilokuwa ukiomba sadaka umalizie kulijenga liko wapi kama n ww sio muhuni tena unachuki sana ww jamaa na wivu mkubwa
@PiusMaira
@PiusMaira 21 күн бұрын
SoMa maandiko mtumishi , Mwamposa anafuata maandiko , acha kashifa unatenda dhambi na usipo badilika utakinyea kikombe. Na tutajuaje umetumwa na Mungu make inaonesha hufahamu neno .
@Berenaldo77
@Berenaldo77 21 күн бұрын
No
@Leeeeeeee-96
@Leeeeeeee-96 21 күн бұрын
una akili sana kuna manabiii wanaomsema kana kwamba anatumia biblia ya kuzimu kila mtu na wito wake naona angezingatia kuhubiri zaidi wati wafunguliwe
@epifaniamilinga2848
@epifaniamilinga2848 21 күн бұрын
Mungu anasema.ombeni lolote.mtapata.Basi mwuombeeni Mwaposa.kuliko kukashifu.hapo hamna jibu.
@bethmahela2182
@bethmahela2182 20 күн бұрын
Acha uongo bwana toka lini pepo akamtoa pepo mwenzie,
@BYAMUNGUGERLASMASHAURI
@BYAMUNGUGERLASMASHAURI 15 күн бұрын
Endelea Ku pasa sauti Zaidi na Zaidi. Tunakuombea Mungu Aendelee kukusimamia
@user-fw6tj8kt4n
@user-fw6tj8kt4n 16 күн бұрын
Kwanini hatutaki kusoma neno la Mungu . Binadamu tusimame kwa neno la Mungu mbona linatufundisha vizuri.
@Anza_tz
@Anza_tz 21 күн бұрын
Sasa kaka pascal hivi unashindwa kuongea bila kukioromesha hiyo sauti yako watu tunasikia vizuri tuu ukiongea kwa ukawaida wako maana sauti mpaka tunasahau ulianzia wapi na umeishia wapi....Jambo lingine kama ni kweli Roho wa Mungu amekuambia mwamposa sio mtumishi wake basi mimi ninakupa support 100000% lakini mtumishi kama una hubiri kwa hisia zako nataka nikupe tuu onyo kuna siku unachokiumba kitakurudia na wewe kuna watu watainuka juu yako kwa maana auae kwa upanga atapigwa sawa sawa
@goldermeirshoo1228
@goldermeirshoo1228 21 күн бұрын
Wanaokwenda huko wanalijua neno , ina maana Mungu anaongea na wewe tu duniani, watumishi woote hawaendi anavyopenda Mungu, jichunguzeee vizuri mtumishi, ina maana dunia hii ni wewe tu unaejua neno la Mungu
@user-ks9ui8td7y
@user-ks9ui8td7y 21 күн бұрын
soma BIBLIA utaona kwaba anasema ukweli
@clarisbanza6066
@clarisbanza6066 20 күн бұрын
@goldermeirhoo1228 wewe ni ibilisi isiye jitambuwa kuwa makini ujuwe kwamba hapa ni mazabauni pia MUNGU atakupiga vibaya kama utoacha kizarau neno la kweli
@julianajeremiah4353
@julianajeremiah4353 18 күн бұрын
Nawe unapenda kukosoa sana Sasa we ndio umetumwa na Mungu kila kitu unakosoa umewaita wewe? Na ukifika Mungu hayuko hivyo we inuka hubiria injili watu waokoke unadhani ukisema ivyo ndio utazuia? Na Bado unataka michango ya watu ukianza kuhubiri injili tutachanga lkn kukandia watu hapana
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 10 күн бұрын
Ukweli ndo huo na haupingiki Muñgu alishakazaza vileo casssia mtumishi ubarikiwe
@goldermeirshoo1228
@goldermeirshoo1228 10 күн бұрын
@@clarisbanza6066 Mungu Ahache kukupiga wewe unae simama na madhabahu za wenzako, ACHA KUSIMAMA NA MADHABAHU ZA WATUMISHI WENGINE, HUBIRI NENO, ACHA KUHUBIRI MADHABAHU ZINGINE HATA KAMA HAWAENDI MBINGUNI SI UWAACHE
@jesusfirstchurch4162
@jesusfirstchurch4162 21 күн бұрын
Wanaalika watu kwenye maadhimisho ya ugonjwa wa figo na tunaambiwa pombe ni chanzo kikuu wanadai matibabu ni gharama kubwa na watu wanakufa leo kiongozi anahamasisha kweupeee..si uislamu wala ukristo unakubaliana na kauli hiyo.. Mungu akutane nae uso kwa uso
@ShukraniChomolla
@ShukraniChomolla 21 күн бұрын
Kwani lazima ukihubiri utaje watumishi wengin sasa mwamposa anaingiaje hapo badala uwahubirie watu neno la Mungu
@justinmayback5552
@justinmayback5552 20 күн бұрын
huyu jamaa anajiona yeye yuko sahihi mpuuz sana anaongelea watumishi tu
@ShukraniChomolla
@ShukraniChomolla 20 күн бұрын
@@justinmayback5552 yeye ahubirie watu wapone na si kutaja watumishi wengine bana
@SifaMwakisambwe-kn3yl
@SifaMwakisambwe-kn3yl 20 күн бұрын
Usihukumu usije ukahukumiwa. Tukifika mbinguni utashangaa taji zao zinang'aaa. Mungu akusaidie mtu wa Mungu.
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 18 күн бұрын
Hawa manabii wa uongo waabudu mashetani watakokota wengi kuzimu. Wateule tuwe macho, Yesu yu karibu malangoni.
@faridashabanifaridashabani5950
@faridashabanifaridashabani5950 21 күн бұрын
Kwakweli Mungu ndo anasitahili cheo hicho Ila ukiona Mungu kanyamaza basi siku ikifika msiseme hamkuwambiwa kiongozi waserikali unaongea hivyo kweli shetani amewalewesha Mungu atusaidie 🙏
@AGM19697
@AGM19697 20 күн бұрын
Nijuavyo mm taarifa za kiongozi ni za nyakati mbili tofauti. Moja kabla hajafikiwa na neema ya Mungu na nyingine baada na yeye kufikiwa na neema hiyo. Mtu haukumiwi kwa matendo ya kale. Anahukumiwa kwa matendo ya sasa
@haloterinternant
@haloterinternant 20 күн бұрын
Achaa unafiki we ubili neno la MUNGU Achana na mwamposa mtumishi wa MUNGU
@SafiAkinyi8361
@SafiAkinyi8361 21 күн бұрын
Mimi husoma tu comment za watu lakini acheni niwaambie watu ambao mnatusi huyu mtumishi wa BWANA na ametumwa jueni ya kwamba mnajichimbia kaburi lenyu wenyewe na ndo huwa mnasikia watu wakisema tumerogwa na kumbe ni nyinyi wenyewe mnajiroga kwa kutukama mtumishi wa MUNGU huyu MWINJILISTI Cassian ametumwa na BWANA Aliye hai so endeleeni kukaidi mtakipata cha kwenu Amen God cannot be mocked ukweli utajulikana as soon as possible
@GeorgeChitemo-kt8sw
@GeorgeChitemo-kt8sw 21 күн бұрын
@@SafiAkinyi8361 Acha kusema mtumishi WA Mungu wakati muadu rusifa
@cellinamuro6872
@cellinamuro6872 21 күн бұрын
Hizi ni zilebnyakati mbaya wanakuja kama kondoo lakini ndani ni mbwa mwitu asikiae na afahamu kuwa hu ni ule wakati wa manabii wa uongo ndio huyoooooo watu watasombwa sana kuzimu hata wateule biblia imesema
@YOSHUAMWAMPETA
@YOSHUAMWAMPETA 21 күн бұрын
CASSIAN PASCHAL anampinga Mungu hakuna aliyempinga Mungu akafanikiwa . NAJUA HILO TOKEA KITAMBO NA Nimemshauri sana kwa njia hii AMESHUPAZA SHINGO.NAMWACHIA MUNGU ATAMJIBU KWA WAKATI NA MAJIRA YAKE
@user-jl5un4wf3u
@user-jl5un4wf3u 21 күн бұрын
shetani hana chamkuuwa mkoawala wafalme wala wenye akili baali ana vivutio vyakukupeleka kwenye aanguko akiwemo namwenyewe swalanikujua kweli yaneno huge nimkuuwa moka wakuzimu siwaraiawa wa jamuhuri ya Tanzania hatagamoliayake hata viongoziwakeanawadhalilisha hatofautishi mvinyowa wayahudi wa wakatiule navyakula vyao vyamikate hiyo walishushia kunywa juice zabibuiliziwasaidie kupatahajakubwa kwa urahisi saanyingine niushamba uliopitiliza kutamukamaneno sawanamatapishi yakomwrnyewe mbele yaumawadunia nzima halafu unadhalilisha walikuteua kujaza watusisikitu chakipimo chawenye hekima wewe. Charamila mpingakiristo uliwahikuona analoga? au anajifanya yeyekamakiristo ...hujifanya yeyenizaidi ya Mungu hivyo chungasana ulimiwako we ye jamii. Wananchi wanaujuzuzi kulikowewe chukuahilo.
@user-tt7cu2et1x
@user-tt7cu2et1x 21 күн бұрын
Yahn watu wako tayari kujaa kwenye maovu na cyo kutubu uovu wao😢😢😢ole wa inchi na wote wakaao juu yakee..mwamposaa siend mybe niwe maiti at Roho mt amenishuhudia saana alishaasi.njia ya msalaba tulianza naye maimoriaa. Akiwa na hema na mikesha ya maombi alikua vizuri.after kufika dar basii iman ya kwel aliichia mosh😢😢😢😢jamn watu mkikanywa msikiee
@andreachanai6658
@andreachanai6658 21 күн бұрын
watumishi wa Mungu mnatuchanganya sana badala la ya kuhubiri neno mnatumia muda mwingi kusemana nyie watumishi we hubiri neno watakakufuata watakufuata lakn sio kutupiana madongo kwa kuwataja watu majina hapo unakosea mtumishi
@geeoutfitdesgner
@geeoutfitdesgner 21 күн бұрын
kweli
@chrisophermazanza6499
@chrisophermazanza6499 21 күн бұрын
Kasome biblia yohana mbatizaji alikuwa akifanya Nini juu yaungoz
@user-kr9xx8br4o
@user-kr9xx8br4o 5 күн бұрын
Soma Neno la Mungu, usijiegemeze kwenye wanadamu, wala hutachanganyikiwa.
@user-fw6tj8kt4n
@user-fw6tj8kt4n 16 күн бұрын
Njia ni mobility za kwenda mbinguni tukumbuke njia nyembamba watakao ingia ni wachache . Na njia pana watakao ingia ni wengi.
@brunomeela1436
@brunomeela1436 19 күн бұрын
Luka.5:31-32.Yesu akawajibu akawaambia,Wenye afya hawana haja na tabibu,isipokuwa walio hawawezi.Sikuja kuwaita wenye haki,Bali wenye dhambi,Wapate kutubu.Mheshimiwa alisimama kwenye madhabahu ya Mungu aliyeumba mbingu na nchi na kuombea Amani kwenye taifa lake.je,ulitaka asimame wapi?Kwa Waganga wa kienyeji au kwenye Madhabu ya Mungu aliyeumba mbingu na nchi.Je angesimama kwenye huduma yako na akatamka hao ya Kumsifu Yesu Kristo ungesemaje?Mitume na Manabii Mlioitwa na Mungu aliyeumba Mbingu na Nchi endeleeni kuwasaidia watu.Walio wagonjwa,wasiozaa wazae.Waganga wote wajisalimishe kwenye madhabahu ya Mungu aliyeumba Mbingu na nchi.Katika Jina la Yesu kristo Amen.
@user-mn2hb7xt9k
@user-mn2hb7xt9k 19 күн бұрын
Hata waumini wko walienda Kwa mtumishi WA mungu mwamposa mpakwa mafuta
@MeshackDaniely
@MeshackDaniely 10 күн бұрын
Mungu tusaidie kabisa mana duniani kunatisha
@feddymwanga5462
@feddymwanga5462 15 күн бұрын
Kaka Acha Mungu awaumbue
@bernardmakengochuma5989
@bernardmakengochuma5989 21 күн бұрын
Acha hzo ww Cassian unawivu sana huna lolote hujui bible Sasa ww mkuu wa mkoa amekukosea nn mwambosa amekuzidi Kila kitu ww unawivu kwa sababu huna waumini alafu ujue kumkashifu mtu nikosa kisheria ww ni mpuuz sana
@Pendopasilika
@Pendopasilika 21 күн бұрын
Mweeee!! Jamani😢😢😢😢 pamoja na cheo alicho nacho lakini shetani anasema sikuachii lazima unitukuze
@pastormichaelkayombopendec2497
@pastormichaelkayombopendec2497 10 күн бұрын
Tunakupenda tuko pamoja na wewe kupigwa sio kosa acha wakupinge lkn kweli imefika
@user-ij7tw5zl1c
@user-ij7tw5zl1c 15 күн бұрын
Ushindwe kwa damu ya yesu na ushindwe na mazabao yako
@shakuratradeservices5919
@shakuratradeservices5919 15 күн бұрын
Mungu gani kamtuma mtumishi kushambulia wengine kila siku? TUJITAFAKARI
@Davidgeorge-xq8me
@Davidgeorge-xq8me 10 күн бұрын
Jamani tunaishi nyakati za hatari,msiambiwe YESU Yuko huku,mara kule mkasadiki,wateule muwe macho ,YESU yuko hapo ulipo ni wewe kumwamini tu na muombe MUNGU lolote kwa jina la YESU utapewa
@barakaelias1116
@barakaelias1116 19 күн бұрын
Amina niko na wew mtumishi niko zanzibar nakufatilia
@PROPHETLWITIKO-rr4gc
@PROPHETLWITIKO-rr4gc 16 күн бұрын
BROTHER Pasco kasiani acha kuchafua MTUMISHI WA MUNGU BONIFACE MWAMPOSA mimi namjua BONIFACE MWAMPOSA akiwa anatumiwa na MUNGU zaidi ya miaka 20 iliyo pita MBEYA miaka iliyopita nimemuona MUNGU Akimtumia BONIFACE MWAMPOSA brother wewe ndiye unsye halibu kazi ya MUNGU uengeenderea kiimba tuu
@CatherineDaniel-t5b
@CatherineDaniel-t5b 15 күн бұрын
@@PROPHETLWITIKO-rr4gc KUMJUA MTU SIYO TATIZO MPENDWA MOYO WA MWANADAMU NI KICHAKA
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 21 күн бұрын
Kazi imeanza wao kwa wao
@reginamarwa8636
@reginamarwa8636 21 күн бұрын
Sauti ya mtu aliaye nyikani......
@feddymwanga5462
@feddymwanga5462 21 күн бұрын
Cassian hubiri neno
@user-cz7bd9tc5k
@user-cz7bd9tc5k 19 күн бұрын
Mkuu wa Mkoa sio Mtumishi Wa MUNGU Yeye ni Mtumishi wa Selikali Na jua Yeye Ha muamini Mungu kwa imani yako Wewe kwake kila kitu sawatu Makahaba ni Mali ya MUNGU Walevi pia Yeye ndie Aliye Waumba
@EnaraMfwango
@EnaraMfwango 20 күн бұрын
Nakupend xàn kak but tuhubilie nen la mungu usituhubilie abar za mwamposa tumechok ndug tuhubilie abàri za mungu na namn gan tutaingia mbinguni kil xik mwampox mpak tumechok mpak tut kuj tukuon unamuhubur mwampox
@goldermeirshoo1228
@goldermeirshoo1228 21 күн бұрын
Hawa unaowazungumzia mtumishi hawana mbingu, achana na habari zao, wewe hubiri neno la Mungu bila kuwataja watu majina yao, kweni huwezi kutoa neno bila wao,labda hawamuabudu Mungu wako, wewe hubiri neno la Mungu, Chalamila ni Mroma, wanaruhusiwa kunywa, hubiri neno achana na Mambo ya watu
@jeniphermyingajeniphermyin8029
@jeniphermyingajeniphermyin8029 21 күн бұрын
Binafsi namwamini huongea vinginr kweli,lkn kwann wnahubiri kwamajina yawatu jamani,ama WOTE waongo YEYE ndiye mkweli PEKEE.,mmmh ALISEMA MTU mmoja SK zinakuja wakristo mtapigana wenyewe kwawenyewe.
@Leeeeeeee-96
@Leeeeeeee-96 21 күн бұрын
basi dunia n nzima yeye ndo wa kweli umeongea point sana kila madhabahu anaisema 😊​@@jeniphermyingajeniphermyin8029🎉🎉🎉🎉
@mwakatimbamahenge3196
@mwakatimbamahenge3196 21 күн бұрын
Umenena vema sana, yaani kama yeye ametumwa kuwaokoa watu basi awahubirie watu hata siku moja. Anasema tusiwaamini hawa sawa enhe tusipowaamini tukamwamini yeye then anatuhubiria nini sasa?
@eliagospel
@eliagospel 21 күн бұрын
Cassia Yuko sahihi
@eliagospel
@eliagospel 21 күн бұрын
Jaman Cassian ametumwa tusipuuze ipo siku huyu mtumishi atakumbukwa na mungu ana makusudi naye
@RUBENNGAYA
@RUBENNGAYA 21 күн бұрын
EE MUNGU TUREHEMU,TUFUNZE KUHUBIRI NENO LA MUNGU KAMA MWINJILISTI CHRISTOPHER MWAKASEGE,Sijui kama kuwasema wengine ndo KUHUBIRI?? TUOMBE TOBA NI MAKOSA KUWASEMA WENGINE,MUNGU MWENYEWE AMEKATAA,LET LOVE OF JESUS CHRIST LEAD US.
@asteriashios1852
@asteriashios1852 21 күн бұрын
Pambaneni Mimi sipo nacomment tuu hapo wanangangania sadaka 😅😅😅
@IbuGang
@IbuGang 5 күн бұрын
Sio kweli ,huna roho mtakatifu hubiri yakok huna macho ya ndani tena unamtakashari
@user-jf2gp7wb9i
@user-jf2gp7wb9i 20 күн бұрын
Sasa wewe shida iko wapi km Chalamila na mwamposa wanamamakosa wewe sio Jaji muachie Mungu mwenyewe unaweza wewe ukakuta una makosa wivu anao Mungu wewe nyamaza unampenda mama Samia wengine hawampendi acha wivu mchungaji
@samweljoseph-kp8ne
@samweljoseph-kp8ne 9 күн бұрын
Yesu akusimamie mtumishi sema ukweli
@Leeeeeeee-96
@Leeeeeeee-96 21 күн бұрын
kaka tuonyeshe mungu alie ndani yako na kazi zake zizihirike akuna aja ya kupambana na mwamposa wala manabiii wengine sioni kiutumishi kama inaleta afya
@GeofreyKalo-ot3we
@GeofreyKalo-ot3we 21 күн бұрын
Huyu Jamaa ni mnafiki na wivu
@DamianUlaya
@DamianUlaya 21 күн бұрын
Afya gan unaitaka wacha waseme ukwel
@misscesty5817
@misscesty5817 21 күн бұрын
​@@GeofreyKalo-ot3wewanadamu hampendi ukweli ndio maana neno la mungu hamjisomei wenyewe
@WilsonEmmanuel-bs6op
@WilsonEmmanuel-bs6op 21 күн бұрын
​@@misscesty5817Amin umeongea ukwel dada
@Leeeeeeee-96
@Leeeeeeee-96 21 күн бұрын
@@DamianUlaya aendelee kuongea mdomo mali yake lkn kiutumishi kila mtu anatakiwa kuwa na hekima 😂😂😂😂😂
@user-fw6tj8kt4n
@user-fw6tj8kt4n 16 күн бұрын
Nyesu ni Mtoto wa Mungu alijaribiwa na shetani lakini Yesu alimushinda shetani kwa Neno la Mungu .
@CatherineDaniel-t5b
@CatherineDaniel-t5b 15 күн бұрын
@@user-fw6tj8kt4n Hee! 😳😳Nyesu tena
@IbuGang
@IbuGang 5 күн бұрын
Nunua mwenyewe vyombo vya mziki ,wivu tu ulionao Mwamposa ni mteule wa Mungu
@PaulDavis-wz7rd
@PaulDavis-wz7rd 13 күн бұрын
Njia ya kwenda mbinguni ni ngumu mno kuliko vile wanadamu wanavyoichukulia! wokovu sio kitu rahisi! sio kujaza watu mamilion! sio kusifiwa na watu!
@EstherjesseySenyagwa
@EstherjesseySenyagwa 15 күн бұрын
Ww baba uko sahihi toka nipo mdogo sijawahi kukanyaga madhabau za watumishi feki coz najua everything kuhusu shetani ni nani na watumishi wengi wanajificha ushetani wao usionekane ila sisi wenyewe macho ya rohon tunaona vingi
@WiltodiMgombela-cn2ec
@WiltodiMgombela-cn2ec 20 күн бұрын
Amina kubwa mtumishi wengine wanaingia mikataba na shetani kupofosha watu Kwa maneno
@GeofreyKalo-ot3we
@GeofreyKalo-ot3we 21 күн бұрын
Acha wivu imekuuma sanaaaaa! Na bado
@christopherkaroli9365
@christopherkaroli9365 20 күн бұрын
Acha mpigwe na shetani wenu
@FudidohwcbOfficial
@FudidohwcbOfficial 21 күн бұрын
Yani wewe unafuta bangi sana mimi nakwambia kila siku mbona unapenda sana kwingilia kanisa la Mwanzako inakuuma nini moyo wako kwa mwamposa?
@user-zz9gr1vd9h
@user-zz9gr1vd9h 21 күн бұрын
Siku Mungu ashuke na gadhabu yake ndipo watakapojua nisawa kama hawajarudi kuwambia watu watubu kwa gadhabu aliyoshusha
@irenemuia2718
@irenemuia2718 21 күн бұрын
JAMANI Vijana na WATOTO wetu ,eee MUNGU wa huruma tuhurumieee 😭😭😭😭😭
@GiftMkwizu
@GiftMkwizu 21 күн бұрын
Amen mungu akubariki
@victorngimbwa5558
@victorngimbwa5558 19 күн бұрын
Wewe kweli unaona,Wewee Ni kipofu ambaye hujui kama kipofu
@mako331
@mako331 19 күн бұрын
Wewe una akili sana huyu Mkuu wa mkoa hana akili sasa nimejua, wingi si hoja Mkuu njia ya upotevuni ni pana na wengi wanaifuata
@MosesWiliam-ms8hu
@MosesWiliam-ms8hu 21 күн бұрын
Ira usiwe unagusa viogoz kaka hao ndo wenye madaraka
@kayombotv9758
@kayombotv9758 20 күн бұрын
Hatukuelewi una hubiri enjili au kazi yako kuwasema watu. Tena untumia hasira nyingi sana ya nini ndugu.
@mercykariithi7919
@mercykariithi7919 21 күн бұрын
Cassian ana sema ukweli juu ya mwamposa huyu mwamposa ni mwongo na ni agent wa shetani
@user-ij7tw5zl1c
@user-ij7tw5zl1c 15 күн бұрын
Mchawi mkubwa tena nasema Achana na Mtumishi wa Mungu Mwamposa
@israelimarco6465
@israelimarco6465 18 күн бұрын
kabla cjakusifia naomba kujua wewe umeitwa kwenye eneo gani alafu nije kanisani kwako na nimfuate Mungu wako
@PatrickTimoth
@PatrickTimoth 21 күн бұрын
Mi naona haina haja ya kuongelea watumishi wote kikubwa Mungu ndiye anaejua nakila mtu ataenda kwa wakati wake Mungu tu atusaidie
@user-kr9xx8br4o
@user-kr9xx8br4o 5 күн бұрын
HAONGELEI WATUMISHI WA MUNGU
@WinbirdFrancis
@WinbirdFrancis 21 күн бұрын
Mungu hakuweke milele
@user-kr9xx8br4o
@user-kr9xx8br4o 5 күн бұрын
UPONYAJI WA YESU KRISTO HUJA KWA MSAMAHA WA DHAMBI, NA WALA SI KWA KUKANYAGA MAFUTA.
@comsmkemwa2671
@comsmkemwa2671 20 күн бұрын
Nchi hii vichaa hawataisha, wewe pascal na Mbarikiwa ni wivu tu
@jesusfirstchurch4162
@jesusfirstchurch4162 21 күн бұрын
Usipokuwa wa rohoni Kuna mengi yatapongezwa na mawakala wa dunia hii maana wako kazini.. Hata Afrika kusini Kuna kanisa la wanywa bia.. Fimbo ya Bwana itembee
@user-zj9op4fb7w
@user-zj9op4fb7w 20 күн бұрын
Mungu akulinde Kaaian
@ed2simon
@ed2simon 20 күн бұрын
EV CASSIAN-- UMENENA VYEMA MUNGU AKUBARIKI SANA ZIDI KUFICHUA YALE YANAYOFANYA ILI KOMBOA NDUGU ZETU WANAO ANGAMIA HUKO
@GraceMollel
@GraceMollel 16 күн бұрын
MUNGU ana watu wengi sana
@user-jc1do5gf3w
@user-jc1do5gf3w 21 күн бұрын
Du mnyukano huu,yangu macho
@mashakalupindo
@mashakalupindo 21 күн бұрын
Wewe inaonekana mtu mwenye wivu mkubwa sana na huduma za watumishi wenzio, Fanya kile MUNGU amekuitia. Lakini wivu utakupoteza katika huduma Yako.
@WilsonEmmanuel-bs6op
@WilsonEmmanuel-bs6op 21 күн бұрын
Muache aseme ukwel mungu hamemuita kusema ukwel
@EmmanuelErnest-r7g
@EmmanuelErnest-r7g 20 күн бұрын
Chapa kazi baba kemea fundisha onya, watu wengi hawaitaki kwel wanatak mahubiri ya mafanikio tu
@ObadiahKabulente
@ObadiahKabulente 20 күн бұрын
Nenda mwamposa atakupea 16ml Bure
@Taysonmick-q1f
@Taysonmick-q1f 20 күн бұрын
Watu sasa hivi kama bendera hata hawasomi someni bibiria Muna zan paschar amepanga sawa anaseme kwr
KANISA TAG KUPOTOKA CASSIAN ALIONYA NA ASIKOFU MTOKA MBALI EV PASCHAL CASSIAN
1:27:19
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 44 М.
마시멜로우로 체감되는 요즘 물가
00:20
진영민yeongmin
Рет қаралды 35 МЛН
Playing hide and seek with my dog 🐶
00:25
Zach King
Рет қаралды 33 МЛН
Самый Молодой Актёр Без Оскара 😂
00:13
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 11 МЛН
НРАВИТСЯ ЭТОТ ФОРМАТ??
00:37
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 7 МЛН
NAKUONYA WEWE NA MKEO KWA KUPOTOSHA UKRSTO KUTOA KAFARA EV PASCHAL CASSIAN
1:27:51
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 15 М.
ALIE MUWEKEA SUM MAKONDA KIFO CHA MAKONDA! SERIKALI WIVU UMEWAJAA EV PASCHAL CASSIAN
32:28
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 89 М.
Dhambi mpya  Hiihapa :  Mch Abiud Misholi
34:25
Mch. Abiud Misholi
Рет қаралды 67 М.
KIBOKO YA WACHAWI ATOA UKWELI WAKE JUU YA MANABII WENGINE WA MAKANISA MENGINE TAZAMA HII
5:57
PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI
Рет қаралды 21 М.
Jua kali leo Jumapili Full HD
19:27
Tamthilia Kali
Рет қаралды 10 М.
SIRI NZITO ZA MANABII WA UONGO ZA FICHULIWA  WAIBIKA  HAZARANI  EV PASCHAL CASSIAN
1:02:31
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 62 М.
Крокодил получил по-заслугам! 😱
0:32
КиноСклад
Рет қаралды 8 МЛН
КАЧЕЛИ ИЗ АРБУЗА #юмор#cat  #топ
0:24
Лайки Like
Рет қаралды 1,9 МЛН
КАЧЕЛИ ИЗ АРБУЗА #юмор#cat  #топ
0:24
Лайки Like
Рет қаралды 1,9 МЛН
БАТЯ И ТЁЩА😂#shorts
0:58
BATEK_OFFICIAL
Рет қаралды 3,4 МЛН