BASI TU TUBU PASCHL CASSIAN
7:09
14 күн бұрын
Пікірлер
@evangelicalmiraclesfellowship
@evangelicalmiraclesfellowship Минут бұрын
Tunamtaka makonda wetu ,na wote walio husika na kumpa sumu kama ni kweli wale woteee waliohusika wafee kwa Jina la Yesu viongozi wao watano walio wakubwa wafe kwa Jina la Yesu.
@user-cg3vf2bl6b
@user-cg3vf2bl6b 3 минут бұрын
😢😢Mimi mkenya lakini KAZI ya makonda napenda Sana,mwanzo vile anafuatila kesi za wanyonge Mungu amsaidie
@OmarMohamed-bs2hf
@OmarMohamed-bs2hf 12 минут бұрын
Ewe molo wetu mutunzie uhaiwake kaka etu makonda iliatuwekee uwazi kwa hawa wasio julikana
@Elizakilisipinilikolika1996
@Elizakilisipinilikolika1996 24 минут бұрын
Mungu naomba umponyeshe makonda
@menyajoseph9729
@menyajoseph9729 Сағат бұрын
OOoo kumbe mwalimu wawanasiasa jpm alitolewa hivi hivi sasa maama Samia tusaidie kutafuta watega sumu hao, wao mashetani washindwe may god bless Paul christian makonda poleni sana na Salam kutoka Jinja city Uganda
@mathewdaniel4341
@mathewdaniel4341 Сағат бұрын
Oi kiboko ya wachaw ww piga hera mzeee kikubwa ushapata mtaji
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 Сағат бұрын
Kwel kabisa Makonda ni next level mtenda haki namba moja kabisa nchi hii,,ananiuma sana aisee..harafu tujiulize mbn wanaotupenda na wanaotutendea sana haki wanyonge ndio wanaopata dhorba jpm katuliza na sasa faraja yetu iliyobakia nayo hadi sasa hatujui alipo..its so sad HAKIKA TUPO MWISHO WA DUNIA WATZ NA WAPENDA HAKI WOTE TUENDELEE KUMUOMBEA MAKONDA
@Margrethjonesmshana
@Margrethjonesmshana Сағат бұрын
MUNGUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU WA MBINGUNIIIII INUKAAAAAA KWA AJILI YA HUYU KIONGOZIIIII, JAMANIII MUINUE POPOTE ALIPO AWE SALAMAA,
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 Сағат бұрын
Mungu amuinue Makonda tena,watanzania tunakupenda,,binafsi niko na maumivu sana kusikia Makonda kapewa sumu😢
@WILLIAMDOMISIO
@WILLIAMDOMISIO 2 сағат бұрын
Mungu ana watu wake hata leo, haijalishi kanisa lina moto gani leo bado ndio kanisa la kweli la Mungu, hubiri neno na sio kulichambua kanisa lilivyo, kazi tuliyopewa ni kuutangazia ulimwengu Habari njema za Ufalme wa Mungu....
@YvetteShabani
@YvetteShabani 2 сағат бұрын
Amena mama Mungu akusamehe sana ata mimi ninakusamehe
@FrankBella-qe4tj
@FrankBella-qe4tj 2 сағат бұрын
Mungu mponye makonda
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 2 сағат бұрын
M/MUNGU msaidie apone arudi kuwajibika wewe ndio muweza wayote
@jalinachilala8465
@jalinachilala8465 2 сағат бұрын
Hafii ng'ooo na ubaya utawarudia wanawomtakia mabaya Allah awa laani laana tu llahi
@elizabethvenans3672
@elizabethvenans3672 3 сағат бұрын
Tunavunja roho ya mauti kwake kwa jina la Yesu
@elizabethvenans3672
@elizabethvenans3672 3 сағат бұрын
Mungu sikia maombi ya watu hawa tunaomba umponye kwa jina la Yesu
@user-ks9ui8td7y
@user-ks9ui8td7y 3 сағат бұрын
Amen
@user-fi1yg4qj1i
@user-fi1yg4qj1i 3 сағат бұрын
Sahihi tunataka tujue makonda wetu yupo wapi😔😔
@johnmaganga44
@johnmaganga44 3 сағат бұрын
Mungu Muumba Mbingu na nchi na vyote viujazavyo ulimwengu Tunaomba Umponye na uzidi kumlinda Rc Paul Christian Makonda. The Spirit of JPM is operating in him
@drona29tv
@drona29tv 3 сағат бұрын
Mtumishi kwanza mungu akulinde kwa ujasiri wako
@silasponeka1773
@silasponeka1773 3 сағат бұрын
Amponye Kama Tundu lissu alivyomponya .
@user-yu2hh7kh8o
@user-yu2hh7kh8o 3 сағат бұрын
duuuu ni balaa ssna
@fatmasalim8293
@fatmasalim8293 3 сағат бұрын
Mimi ni musalaam lakini nampenda sana makonda mungu amlinde na watu mahasidi Amen ❤❤❤
@fatmaallyabdul1732
@fatmaallyabdul1732 3 сағат бұрын
Mungu amlinde huko aliko
@NoelyWilson
@NoelyWilson 3 сағат бұрын
Tx au😊😊😊
@user-nr2xh4ui2f
@user-nr2xh4ui2f 3 сағат бұрын
Kabisa kaka
@greenermichael2057
@greenermichael2057 3 сағат бұрын
Kabisa
@FabienMuteba-fv6nu
@FabienMuteba-fv6nu 3 сағат бұрын
Endeleya kupiga kelele kwa kwambiya makosa yao na nyumba ya yakobo (isaya 58:1)
@user-ks9ui8td7y
@user-ks9ui8td7y 3 сағат бұрын
Usiogope Mungu atakutia guvu utashinda 🙏🙏🙏
@JosephDamas
@JosephDamas 3 сағат бұрын
Mungu hatuachie Makonda Hasituumize Guys
@geofreydamas1697
@geofreydamas1697 3 сағат бұрын
Kuabudu kunamleta Mungu karibu na nyimbo za kuabudu na tenzi za rohoni .But siyo hayo mapigo ya kidunia
@vagashappnecy4850
@vagashappnecy4850 3 сағат бұрын
Damu ya Yesu ikamsafishe simu zote na awe mzima tena
@samwelndaki201
@samwelndaki201 3 сағат бұрын
Kweli mtumishi tag imebaki kujivunia tu kwakusema eti TAG nikanisa nzuri sana hcho. nikiburi kwani makanisa mengine ya kilokole nimabaya?
@finiaskagenda6258
@finiaskagenda6258 3 сағат бұрын
MUNGU Baba, Muumba wa vitu vyote, mwenye uweza wote, unayejua yote, Ninakuomba umponye Paul Makonda ktk Jina la YESU. Kama kazi uliompa kamaliza basi mapenzi yako yatimizwe Amina.
@issotv1736
@issotv1736 4 сағат бұрын
Kama anapitia changamoto kwasasa
@CarolineLwaho
@CarolineLwaho 4 сағат бұрын
Mungu tunamkabidhi mikono mwako mtumishi wako Makonda apokee uponyaji,apone haraka jitihada zake bado zinahitakika Kwa watanzania
@geitandelwa299
@geitandelwa299 4 сағат бұрын
MUNGU AKULINDE MIWIGI NA MAPAMBO VISULUALI VIMEJAA HAKUNA KAHABA WALA MUINGIA KANISANI WOTE TUMEJITITIA NYIMBO TWAIMBA HAZINA UPAKO KISA DHAMBI OLE WETU
@IsakaKiyalo-s3v
@IsakaKiyalo-s3v 4 сағат бұрын
Amina mtumishi wa mungu
@geitandelwa299
@geitandelwa299 4 сағат бұрын
Sasa tutaimba nj na ss ni masengenyo tu na kuchukuana kujichubua uongo uzinzi na miwigi kibao na uzinzi nguo za ajabu aaaa hali ni mbaya mno kwetu wengi na MUNGU ATUHURUMIE SS NA WATOTO WETU
@AbdalahMtambuka-rh1dp
@AbdalahMtambuka-rh1dp 4 сағат бұрын
Mimi namtukana mtu yeyote asie mkubali makonda
@konderaeriasi6251
@konderaeriasi6251 4 сағат бұрын
Mmmhhh ngoja nipite siongei chochote mm
@user-th4yr2jn1t
@user-th4yr2jn1t 4 сағат бұрын
Jamani yani mtu akiwa mkweli anachukiwa hivi .mungu tenda muujiza kwa makonda
@SamwelilaitayokLaitayok
@SamwelilaitayokLaitayok 4 сағат бұрын
Serikali ya Tanzania inafeli sana hawataki watu wenye maono ya mbali wanataka mambumbu wasiojielewa ndo inanyima inchi maendeleo ila mungu anawaona mtakuja kujutia
@ManenoSimkoko-df9yj
@ManenoSimkoko-df9yj 4 сағат бұрын
Hauta kufa Bali utaishi utayasimulia matendo makuu ya mungu , mungu akusimamie mh rc makonda Mimi binafsi napenda sana kazi zako
@catherineamani7671
@catherineamani7671 4 сағат бұрын
da mwenyezi amponye jamani
@Frolian-j9o
@Frolian-j9o 4 сағат бұрын
Hii nchi ni ya hovyo kama mama samia kwer ni kiongozi Bora aliangarie hili na Ili tupate suruhisho inabid katiba yetu na Sheria zetu tunazo zitumia Kwa nchi yetu Tanzania zinabid kubadilishwa Ili Viongozi wanafanya maovu ziwabane
@tinershayo6191
@tinershayo6191 4 сағат бұрын
Tanzania mmezidi kuuwa watu wazuri wanaochapa kazi kwa nini na wewe usichaps kazi upendwe mmebaki kuzurumu wananchi
@raskise7493
@raskise7493 4 сағат бұрын
Ni Sawa kabisa tunajua Mh Makonda ni kiongozi anayegusa mioyo ya watu, tunamuombea Mungu amlinde,,,,,,,,, ila usipitishe tangazo kusema uchangiwe kwa hudumu, kuongea na kutupa taarifa kwa mb za buku2 unanata tusaport nini hapo,,, kwenye vitu vyenye mantiki tutachangia ila msijisikie tu kusema kila kitu ni mchango, vingine fanyeni kwa moyo
@thanksrjhood9508
@thanksrjhood9508 16 минут бұрын
Kutoa ni moyo, sio dhambi kuomba kuchangiwa. Na sio lazima kumchangia. Ni wengi wana_habari_ka kupia yy.
@user-oj3on2hn9q
@user-oj3on2hn9q 4 сағат бұрын
Vyama. Pinzani. Vyama tuweke. Pembeni. Tusimame. Pamoja. Juya nduyetu. Makonda. Aman. Namubarikiwe. Sana. Bai. Rotani. Mwana waadam. Furom. Bukuba. Buhigwe. Kigoma.
@rehemashariff3119
@rehemashariff3119 4 сағат бұрын
Ameeeen Yesu kwa kurudisha mwanao utusamehe kwa kukutenda maovu Yesu