Nataman sana kukuona Baba unisheke Mkono nikiu yangu ya mda mrefu nataman uniongoze sala ya toba nitembee katka misingi ya Mungu unayopita ww ni kiu yangu Baba
@felistervenance886315 күн бұрын
Ashukuriwe Mungu aliyefanya uzaliwe katika nchi hii;;; Wewe ni wa thamani sana pamoja na mama Mungu wa mbinguni awatunze na kuwalinda kila siku...
@jonathandulle892115 күн бұрын
Umenena vyema Sana felister ,Mungu awalinde Sana watumishi wetu hawa
@kichwachafamilia15 күн бұрын
Mungu nipe kaz tofaut na upakarangi ili nishi katika uwep wako
@faithe406314 күн бұрын
Bure uwesi kaa katika uwepo wake?
@EsterNgasa-vq5zx14 күн бұрын
God bless kwa uamzi mzr mtii MUNGU
@kichwachafamilia14 күн бұрын
@@EsterNgasa-vq5zx aame
@kichwachafamilia14 күн бұрын
@@EsterNgasa-vq5zx aam
@kichwachafamilia14 күн бұрын
@@faithe4063 bless
@jamesloshilunye41414 күн бұрын
Wana heri kondoo uwalishao kwani wanalelewa na mchungaji wa kweli Mungu akutie nguvu mchungaji 🙏🏿🙏🏿
@apostlepetermponzi869014 күн бұрын
Mchungaji Abiud Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu NAKUOMBEA huduma yako izidi UBARIKIWE sana Baba yangu
@mch.abiudmisholi11 күн бұрын
Ameen
@jamesloshilunye41414 күн бұрын
Injili ya kristo ni tamu sana ikihubiriwa na walio pewa na Mungu 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@safieltemuofficial53758 сағат бұрын
Ninaikubali sana injili ya huyu mtumishi wa Kristo hii ndiyo injili niliyoisikia miaka ya 80 hd leo ninampenda Yesu barikiwa mtumishi wa Mungu
@BarakaMathew-zv1yy15 күн бұрын
Mungu akupe mwisho mwema baba wa watu wengi
@user-xy8pv6pp8bКүн бұрын
Amina baba, Mungu anipe moyo wa Toba na zaidi kuhisikia sauti yake na kuifata.
@VeronicaEdesiusBernard15 күн бұрын
Ee Bwana Yesu nisaidie peke yangu siwezi
@yohanachenge82Күн бұрын
Asante Bwana Yesu kwa kuyafunua haya kupitia mtumishi wako
@neemakawogo547911 күн бұрын
Ni zamu yangu kurudishwa nimegundua dhambi yang ambayo nilichukulia vyepes Mungu asante
@mch.abiudmisholi11 күн бұрын
Neema ya Mungu ikuwezeshe.
@augenmagabila308113 күн бұрын
Haya ndiyo mafundisho yenye uhai na wokovu wetu wa kweli unadhirika hapo. Jina la YESU KRISTO Lihimidiwe. AMINA.
@GroliaKamugisha12 күн бұрын
Mafundisho ya Yesu kristo yapo kwenye vitabu fine vya injili ok?
@augenmagabila308111 күн бұрын
@@GroliaKamugisha NDIYO, MCH, ANAPOSEMA HAIKUANDIKWA, IMEANDIKWA NA ALIYEBUNI HIYO DHAMBI ALISOMA vitabu yaani Biblia inapotaja TAMAA YA MWILI.
@jakoboamon94022 күн бұрын
Baba abiud Mungu akulinde kilcho ndn yako ni msaada Kwa kanisa LA leo
@user-fq9mx6fx1r14 күн бұрын
Mchungaji mungu Akupe maisha marefu wewe unamahubili ya yesu huo ni wokovu wa kweli
@evadanielgunze97711 күн бұрын
Mungu wa mbinguni akubariki sana Baba kwa kuihubiri injili ya kweli. Ulindwe siku zote, na mataifa yapate kusikia mafundisho haya wapate kumrudia Muumba wao kwa toba ya kweli. Amina 🙏
@SamweliMshana-sk1fxКүн бұрын
ubarikiwe mtumishi wa mungu kwa huduma yako
@user-ed4hn1kv2q13 күн бұрын
Thank you for preaching the true gospel
@user-sg7hj3ik2k15 күн бұрын
Asante sana baba mchungaji umeni jenga sana kwa injili ilio hai uwinuliwe mtumishi wa Bwana Mungu
@catherinemutindi503110 күн бұрын
Ni kweli watu Wameuvua mwenendo Wa kale Na kuishi kisasa .Ohio yesu tusaidie.barikiwa mtumishi
@maernov425713 күн бұрын
Asante YESU kwajili ya mafundisho naomba roho mtakatifu anisaidie kuelewa neno la MUNGU
@eunicesemere555510 күн бұрын
Barikiwa sana mtumishi umehibiri mambo makuu na ukweli dhahiri sio wachungaji wengi wanao hubiri ijili hii ni neema kubwa iko ndani yako tusaidie tujue kweli ituweke huru much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪♥️
@FabiolaAntony-up7ih12 күн бұрын
Mtumishi wa Mungu paza sauti tupone, Asante Mungu kutupa maonyo
@Melinajohn33012 сағат бұрын
Mungu wanmbingun atusaidie peke yetu atuwezi eheee nalilia baba shuka utupe moyo wa nyama utuondolee moyo wa jiwe watu wako
@valentinenjalika115646 минут бұрын
Sahihi mtumishi wa BWANA. Wasiopenda fundisho hili la maadili wameukana ukristo wa kweli.
@samuelthiga477610 күн бұрын
Mafunuo na mafundisho mazuri ambayo Mungu amekupa,utukufu wote kwake.Mungu akuzidishie Neema.From 🇰🇪
@henrychfestobrown10 күн бұрын
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu, Neno la Mungu ni Hakika Ndio na Kweli na Taa Mwangaza katika Maisha yetu. Neno la Leo na Mungu atu Rehemu.🙏
@obedimunguachiza843412 күн бұрын
Asante Mungu kwa kuzidi kufunulia watumishi wako siri za kuzimu, big up man of God. Hakika sisi wanaume tunaenda må salons naamini kwa injili hii tumepona. Nimepona kweli.
@anchilankobelelwa973523 сағат бұрын
MUNGU Akubariki sana Mchungaji kutii sauti ya MUNGU hata Mimi nimekua Sikuona nguo ya ndani ya mama au ya Baba nimejifunza kutoka kwako Mtoto awezi kuomba nguo yangu ya ndani MUNGU Akubariki sana tena sana
@geofreymwasaka26029 күн бұрын
Mungu akutunze pastor Abiud naomba siku moja Mungu nami anikumbuke
@AmosTanganyika2 күн бұрын
Baba Mungu akubariki kwa ujumbe huu
@tumainichanya326812 күн бұрын
Mch Abiud nakupenda Hadi mwanzo ,kuanzia nyimbo zako hadi mafundisho yako hujawahi tetea uovu
@mch.abiudmisholi11 күн бұрын
Ameen
@DativaMbowe6 күн бұрын
@@mch.abiudmisholi niliwai kupata muhijiza kupitia wimbo wako wa tenda muhijiza mimba ilikuwa imepitilizza baada ya siku mbili Nika jifunguaa baada yakupitiliza wiki 3😢😢😢nakumbuka ilikuwa 210
@DativaMbowe6 күн бұрын
@@mch.abiudmisholiwiki mbili
@user-xd7uj8sz5w15 күн бұрын
That's the spirit of Jezebel.God bless you Man of GOD
@nursechunga447013 күн бұрын
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu, ni kweli baba siku izi mambo yamebadilika sana🙌
@LindaJohn-fy1in14 күн бұрын
Ee mungu nirehemu sikuyajua haya yote nilijua nikosawa kiroho kumbe kuanika nguo za ndan ni dhambi asante mungu kwaajili ya mtumish wako abiudi umenitoa kwenye kusuka na surual hadi hapa ni neema wachungaji semeni yote ili tupone
@user-od2mc4mj4e14 күн бұрын
Ubarikiwe sana
@dastankalinga44211 күн бұрын
Barikiwa kwa kujali
@dastankalinga44211 күн бұрын
Waebrania 2:3 (KJV) sisi je! Tutapataje kupona, tusipojali wokovu mkuu namna hii? Ambao kwanza ulinenwa na Bwana, kisha ukathibitika kwetu na wale waliosikia;
@RachelRachel-zx6dx11 күн бұрын
Ameeni kwauponyaji
@ireneauxley88027 күн бұрын
Amina
@PaschalJohn-f4t7 күн бұрын
Balikiwa Sana mtumishi mungu akujalie huo moyo wa kusema ukweli bili kujali ya watu.watumishi wengi wanachumia tumbo hawasemi ukweli wanahofia kuwapoteza waumi.
@ChangalaweSamwel6 күн бұрын
MUNGU akubaliki, akulinde, kiuhalisia mmebakia wachache sana kama wewe (God bless you.
@OmbenOmary2 күн бұрын
Barikiwa Dana Mtumishi was MUNGU songs mbele usiogope
@SinaidaKiswaga7 күн бұрын
Ubarikiwe pastor nakuombea siku Moja uwe mchungaji wa waadventista wasabato
@ElishaBenson11 күн бұрын
Amina baba unge kuwa baba yangu ninge kuwa mbali zaidi ya hapa nilipo
@LucyLucy-q2e5 күн бұрын
Mungu anisaindiye niweze kukaa kwa njia zake asanti kwa mafundisho amen
@loveandrew969414 күн бұрын
Mungu aendelee kukupa unyenyevu ili uendelee kukemea dhambi na habari za Yesu kurudi....maana tumebaki na wahubiri wachache sana.
@jothammakenzi93412 күн бұрын
Amen Amen Amen Servant of God. May the Lord our God Protect you. Thanks for this powerful encouragement word of God
@mch.abiudmisholi11 күн бұрын
Ameen
@JescaMgunga7 күн бұрын
Ubarikiwe sana baba mungu alikutumia naminikapona
@JENIPHAIBRAHIM13 күн бұрын
Mungu akutumie zaidi kutuambia ukwel baba
@andrewkasongo136814 күн бұрын
Ameen Ubarikiwe sana Na Mungu mtumishi wa Bwana!!
@RoseMayige-gn9qb14 күн бұрын
Ahsante Yesu kwa maonyo yako kupitia Mtumishi wako. Ila huku Ulaya watu wanahitaji haya mahubiri, maana watu wamepotoka sana! Kuonyesha miili yao kwa watoto wao ilishakua ni sehemu ya maisha ya @ siku licha ya kuvaa nusu uchi huko mitaani! Nguo zao za ndani zinatupwa tupwa hovyo hadi watoto wanazichezea!! Mungu aturehemu kwakweli!
@gggghhhbh575512 күн бұрын
Funzo lilo bora na ni ukweli kabisa mungu akubariki pasta Abuiid
@dominicmuoki11 күн бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi kwa kwa kuubiri true Gospel of Jesus Christ keep it up...waambie ukweli ndio wakaweze kuwekwa huru❤
@mch.abiudmisholi11 күн бұрын
Ameen
@isaacjosephjoseph273311 күн бұрын
Natamani sana hushiliki chakula hiki Cha uzima nikizuri mno mimi nakitafuta sikipati dunia imejaa manabii wauongo tupu hakuna NENO tena.
@AnethSam11 күн бұрын
Barikiwa baba nimeanza kuipenda huduma yako nilikuwa sikuelewi kabisa lakini mungu alivyo anza kusema namimi hakika naelewa mafundisho yako barikiwa
@rebecca-nj6wl12 күн бұрын
Ameeen Ameeen Bwana akubariki sana mtu wa Mungu
@caritasmushi889615 күн бұрын
Sema baba ni kweli. Mungu atusaidie sana
@PaulNdonga-ns1vd11 күн бұрын
CONGRATULATIONS CONGRATULATIONS FOR PREACHING THE TRUE GOSPEL HII DIO INJILI KWA SASA ×××× ...SIO KUHUBILI PESA NA UTWALIZI ... ONGEZEA NA TOMBA NA UTAKATIFU ALAFU UWAABIE YESU ANARUDI IVI KALIBUNI .
@veronicahkhaikwa492910 күн бұрын
Wow amen
@PhilipMgala13 күн бұрын
This is a Powerful messege .May God bless you Pastor, Amen.Philip Mgala from Malawi.Chitipa
@mch.abiudmisholi11 күн бұрын
Ameeen, God bless you
@user-zr2tf8ej7m6 күн бұрын
mungu akubarik sana mchungaj wetu kik nikisikiliz mahubir yako nakuwa na amani najifunz mengi, nikikusikiliza mahubir yako hadi vinyweleo vinasisimka unaguna maish yang
@kizuben13 күн бұрын
Amina baba wewe ni baraka kwa kizazi hiki tunaendelea kujifunza mengi kutoka kwako mwenye sikio na asikie neno lile Bwana aliambia makanisa.
@naomichristopher394113 күн бұрын
Ahsante mtumishi wa Mungu , umenisaidia .
@Inkubutembo777914 күн бұрын
Mchungaji, waambie wanawake wafunike vichwa vyao wanapoenda mbele za Bwana. Ni maagizo ya Mungu hayo.
@PrityKinitha13 күн бұрын
Na pia vifua 😨😨
@janengaga292812 күн бұрын
Amina
@SamwelMchungaj10 күн бұрын
Ubarikiwe Sana Baba mchunga Mungu wambinguni aipiganie utumishi wako
@SikujuaEmmanuel-fj4mg12 күн бұрын
Mungu akubariki baba ,injiri iletayo wokovu kwa mataifa yote,,tupone kabsa
@ReubenSimwanza12 күн бұрын
Pastor Abiudi thank you preaching very good gospel.
@ShedrackKitule23 сағат бұрын
Sema Mtumishi Wa mungu tupone
@Derrickcontez-sj3qf12 күн бұрын
Amen man of God nehema ikutoshe
@user-nx9qt3tp5s12 күн бұрын
Ukweli usemwe tuweze kuhurithi ufalme wa MUNGU, barikiwa sana mtumishi🇰🇪
@mch.abiudmisholi11 күн бұрын
Ameen
@mariahyera373714 күн бұрын
Neno lisilogoshiwa, Ubarikiwe sana Mtumishi wa MUNGU.
@user-ke3ne5ws8z2 күн бұрын
Amen Amen ubarikiwe sana
@AidaRaphael13 күн бұрын
❤ Asante YESU kwa ujasri uliompa mtumishi wa wako, YESU Tuponye.❤
@user-ru4sj5lp8b12 күн бұрын
Eee mwenyezi Mungu uturehemu kwa maana tumekutenda dhambi
@stellahokworo394715 күн бұрын
Mungu nipe mwisho mwema ❤❤
@PhilmonAkonaay-yw5ll14 күн бұрын
Nakuelewa sana mtumishi Mungu
@Lilianmbeyu-ev2rw11 күн бұрын
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@elwinsimumba13 күн бұрын
Mungu ashukuliwe kwa dunzo hili mtumishi wa Mungu
@mahirmohd193115 күн бұрын
Yaani injir za huyu BABA waga nabarikiwa sana,👏👏👏🙌🙏
@PeterClaude-ym2nw14 күн бұрын
Nabarikiwa sana Mch Abiudi ipo siku kama Mungu akinijalia lazima nije nikusalimie apo kanisani
@mch.abiudmisholi11 күн бұрын
Karibu sana
@MeshackmarwaKihengu-in3sn12 күн бұрын
Daah moyo unauma! Mungu atusaidie wat wake
@martinmligo30211 күн бұрын
Mungu turehemu watoto wako...Amina.🙏🏻
@Zimnana-rp6dq14 күн бұрын
Amen Baba mchungaji,,,,,kuingia mbinguni sio rahisi
@luciamajula471912 күн бұрын
Powerful God bless you man of God
@barakajohn12 күн бұрын
Barikiwa sana Bishop nami nilikuwa napenda kunyoa kwenye berbar shop hizo lakini niliacha hiyo nimeipenda nzuri, maana nikaona kabisa utukufu wa Mungu unaondoka.
@mch.abiudmisholi11 күн бұрын
Ubarikiwe sana
@mesamale11 күн бұрын
@@mch.abiudmisholi Baba Nina jambo naomba nikufuate inbox
@jescakazungu502712 күн бұрын
AMEN,Baba Mungu Akubariki
@user-wo2ht2ei9o13 күн бұрын
Mungu akubariki sana kwa mafunndisho haya hadimu duniani
@EvelynMwaipungu7 күн бұрын
Mungu azidi kukubariki sana mtumishi Abiud
@MimyBinenunyer10 күн бұрын
Mutumishi wa Mungu ubarikiwe umenibariki sana 🇨🇩 bunia ituri
@BarkaHaidary12 күн бұрын
Amen baba ubarikiwe sanaa kwa mafundisho mazuri tumejifunzaa
@mch.abiudmisholi11 күн бұрын
Ameen
@user-dn6tu7zq2h10 күн бұрын
MUNGU wa mbingini azidi kukutunza sana Sana mtumishi wa Mungu alie hai, Mungu anisamehe sana Mimi tena Sana, watoto wangu wameona zangu, pia ata mimi nimeona za babangu maana namuuguza anaumwa alikua hajiwezi kabisa.
@JacqueJoseph14 күн бұрын
Mungu akubariki sana Mtumishi ❤
@mutindamuthama412411 күн бұрын
Mungu nisaindie , nisamehe Mimi ni mwenye dhambi natubu sasa
@tulimwaipopo-eq3be14 күн бұрын
Mungu akukumbuke baba yangu
@RachelRachel-zx6dx11 күн бұрын
Ameeni pastor ubarikiwe sana
@hbwayesuphilibert-lv1kg10 күн бұрын
Ujumbe mdhuli sana mtumishi Wa Mungu
@user-lb2ob1gv2n13 күн бұрын
Baba nimekuelewa sana na mungu akubariki sana
@emmilianamlewa323910 күн бұрын
Ubarikiwe baba maamuzi magumu yametufukuzisha ila tupone barikiwa baba❤❤
@user-kk6bf6bt6f8 күн бұрын
Mungu akubariki Sanaaaaa mtumishi
@michaelwanyanga13 күн бұрын
Abiud Misholi, you are one among the chosen one. Be blessed and continue with the real gospel of Jesus Christ. I'm blessed for you❤❤❤