TUNDU LISSU AHOJI PIKIPIKI ZILIZOGAWIWA KWENYE MIKOA NA RAIS HELA AMEZIPATA WAPI

  Рет қаралды 13,549

Chadema Media TV

Chadema Media TV

Ай бұрын

Пікірлер: 28
@jakobongwara3038
@jakobongwara3038 Ай бұрын
Kweli leo unaonekana umechanganyikiwa ila ukweli nchi inauzwa mungu katoa bule wachache wamekua mwungu ipo siku mungu atawajibu
@ashuramuhammed3257
@ashuramuhammed3257 9 сағат бұрын
Wewe unamsema makufuli tu hem muache tz bado sana ingekua kenya kishaeleweka zamani lakin kwa siasa izo ccm haiondoki maisha
@stefanomasolwa8979
@stefanomasolwa8979 Ай бұрын
Ameuza inchi tayari watanzania amkeni funguweni Macho kama mkiona vibaya harufu ya vita ilisha anza kunuka kwenye inchi ya Tanzania
@FortunatusPhilimon
@FortunatusPhilimon 2 күн бұрын
Aisee
@SaidiSelemani-l1n
@SaidiSelemani-l1n 27 күн бұрын
Safi
@MichaelMbaluka
@MichaelMbaluka 3 күн бұрын
Tumeoigwa na kitu kizito
@user-ou1ls6oj2f
@user-ou1ls6oj2f Ай бұрын
Rushwa za ccm zimeanza pikipiki kanga kofia nk nk na tu elfu Tano tano ndiyo kawaida Yao na bila rushwa ccm Haina pumzi
@evelina9621
@evelina9621 Ай бұрын
Acheni.matusi Mungu.anawaona Lisu.binadamu.ndio.waliomfanya.kilema.ukitukana.unakoseaa.kesho.yako
@evelina9621
@evelina9621 Ай бұрын
Warabu.wakuja.mbinu.kwa.sasa.huwezi.jua.walikusudi.kuyafanya.tusubiri.mambo.yajayo
@stefanomasolwa8979
@stefanomasolwa8979 Ай бұрын
Samia suluhu alisha kuuza Tanzania yani watanzania Tuamke kweli yani nimeshangaa Samia suluhu ameenda Somalië kukopa tena Mkopo Daah
@amirkhamis8250
@amirkhamis8250 29 күн бұрын
Wewe ndio unaleta udini na ukabila. Kwani mpaka utaje uislamu au uzanzibari? Huyo Magufuli ulinayedai nae ulimsema mbona hukutaja ukristo wake au usukuma wake? Acha shobo. Mtoto wa kiume unasimama jukwaani na pumbu zinaning'inia unamsema mwanamke! Siasa imekushinda kajiunge na kundi la jahazi la Mzee Yusufu uimbe taarabu.
@josephmkinga9509
@josephmkinga9509 Ай бұрын
pikipiki za dp wd
@josephmkinga9509
@josephmkinga9509 Ай бұрын
lissu sema yoote pikpik wamepewa na dpwd
@lamsinsolo1335
@lamsinsolo1335 Ай бұрын
Acha uchochezi kama unapenda vitta anzia kkwako
@clemencemkondya8561
@clemencemkondya8561 7 күн бұрын
Huna lolote tabia yako ya hovio .umeweka tumbo ka mlima
@user-ej5ir5pu7r
@user-ej5ir5pu7r Ай бұрын
Kweli jamaa kaishiwa vibaya hana sera kabisa
@hashimchaoga9566
@hashimchaoga9566 Ай бұрын
Hayo anayokosoa ndio baadhi ya sera kuonyesha yeye hatofanya hivyo .Sera zinaendana na kukosoa
@evelina9621
@evelina9621 Ай бұрын
Pikipi.,zina.tisha.wazee.ccm.kula.kusema.katiba.hiyo.imevunjwa
@mataypanga5262
@mataypanga5262 Ай бұрын
Ni kwamba mkweli yuko mbele ya msikiti na muovu yuko nyuma msikiti au msalaba😂
@ernestwegga6557
@ernestwegga6557 Ай бұрын
Lete sera zako. Utafanya nn siyo makelele
@jakobongwara3038
@jakobongwara3038 Ай бұрын
Wewe ndio chawa lete yako
@endwardntandu3736
@endwardntandu3736 Ай бұрын
Lisu huna. Chochote shoga wewe Canada kwa mumeo
@LuganoPondo-km8ub
@LuganoPondo-km8ub Ай бұрын
Wewe una nn
@henryndosi2002
@henryndosi2002 Ай бұрын
Tundu mbwa​@@LuganoPondo-km8ub
@Noelkitoi
@Noelkitoi Ай бұрын
Izo Sera piga na Dada yako una adabu mama anauza nchi unashabikia lisu ndie mkombozi
@hashimchaoga9566
@hashimchaoga9566 Ай бұрын
Usijaribu kumziba mdomo msema ukweli au mtoa maoni yake kwa matusi na kashfa nawe inabidi ukanushe kwa hoja.Anaekimbilia matusi ni asiye na hoja
@jakobongwara3038
@jakobongwara3038 Ай бұрын
Haha mumewai kuoona
Mwanzo Mwisho Jinsi Hotuba ya Lissu Ilivyolitikisa Jiji la Arusha
49:01
WHO LAUGHS LAST LAUGHS BEST 😎 #comedy
00:18
HaHaWhat
Рет қаралды 23 МЛН
Heartwarming Unity at School Event #shorts
00:19
Fabiosa Stories
Рет қаралды 16 МЛН
TUNDU LISSU AMSHIKA KOO RAIS SAMIA KWA KUHONGA PIKIPIKI NCHI NZIMA
5:55
Chadema Media TV
Рет қаралды 18 М.