SUGU ARUKA NA RAIS SAMIA JUU YA MKURUGENZI MPYA WA TRA

  Рет қаралды 21,668

Chadema Media TV

Chadema Media TV

22 күн бұрын

Пікірлер: 38
@Globalpeace123
@Globalpeace123 20 күн бұрын
Umeongea vizuri sana Sugu Mungu akubariki na akulinde Jamani watanzania ni wakati umefika wa kuiondoa ccm madarakani wametuibia imetosha enough is enough Mwenye masikio na mpenda haki lazima aiondoe ccm madarakani Na ccm inaondoka madarakani na tunaomba Mungu atusaidie.
@ahmedalasmi8005
@ahmedalasmi8005 19 күн бұрын
CCM lazima iodoke haifati kabisa miaka 63 ziro
@user-qb1jv2dy2d
@user-qb1jv2dy2d 20 күн бұрын
Nchi hii imekuwa na Bahati mbaya sana kwa Ku tawaliwa na na watu roho mbaya mnoo!
@emmanuelrutaihwa6545
@emmanuelrutaihwa6545 11 күн бұрын
Watu wanaojiita Tulia wakanitapeli pesa yangu.
@bukurunestory3540
@bukurunestory3540 16 күн бұрын
Mr II a.k.a Jogwe
@noellema9109
@noellema9109 15 күн бұрын
Akuna matibabu bure, mama yangu ni mzee tunamtibu kwa garama kubwa sana
@IsaacBaluhya
@IsaacBaluhya 10 күн бұрын
Wow for youtube media unstoppable
@IsaacBaluhya
@IsaacBaluhya 10 күн бұрын
U-tube'sterm of Service Agreed
@user-my7fj6wn7y
@user-my7fj6wn7y 13 күн бұрын
Nakataa kujibu maswali yasiyo na, msingi
@akonaayako7185
@akonaayako7185 17 күн бұрын
Ni kweli VAT iwe 5% watu wengi watalipa. Kuliko ilivyo sasa wanakwepa. Laki 200 katika Milioni 1 si hela ndogo.
@jessalmas2122
@jessalmas2122 20 күн бұрын
pamoja makanda
@akonaayako7185
@akonaayako7185 17 күн бұрын
Huyu Mbunge amejieleza vizuri. Kuliko Wabunge wa CCM. Wao wanampigia debe Rais. Badala ya kueleza wamefanya nini kwenye Majimbo yao ktk kipindi cha Miaka 5.
@hilaliusjohn8386
@hilaliusjohn8386 10 күн бұрын
Hivi hakuna jema hata moja mnaloliona linalofanywa na CCM?
@salummohamed2689
@salummohamed2689 15 күн бұрын
Ukiona watanganyika walivyo makini kusikiliza mikutano ya hadhara utafikiri wana kadi za kupigia kura na wengine hata kitu kujiandikisha hawajui. Watu wa namna hii ndo wanatupa mateso ya kuwa na watawala wa namna hii. Jamani tukahakiki majina na au kujiandikisha ili wakati wa kuangusha hili gogo choka iwe rahisi.
@JJ-fb9jp
@JJ-fb9jp 17 күн бұрын
Sana Rais
@jakobongwara3038
@jakobongwara3038 20 күн бұрын
Kiangazi mungu akupe maisha malefu
@rashidabeid172
@rashidabeid172 15 күн бұрын
Waambieni wananchi kuwa wasikilize yanayoendelea Arusha kati ya Makonda na Wananchi. Hii ni picha tosha kuwa VIONGOZI WA CCM HAWAWAJIBIKI. NDIYO SABABU WANANCHI WANAJAZANA KUELEZA KERO.
@user-uo6zj2jm3e
@user-uo6zj2jm3e 16 күн бұрын
❤❤❤❤
@simonyohana8995
@simonyohana8995 17 күн бұрын
Zilijengwa na nani punguza uongo barabara ya rami inagarama chadema kili kuwa selikali ndo ilijenga si wewe ulijenga kama ujenzi wa ofisi unataka mchango Asante kwa kukili kuwa uliomba ccm ikakupa kupitia watumishi wake
@hajihassan5433
@hajihassan5433 17 күн бұрын
Wambea wanaongea sasa!
@ANGELUSLIJUJA
@ANGELUSLIJUJA 17 күн бұрын
SUGU JUWA MAKUFULI NDIO ALIKUSEVU WEWE NA MALIZAKO ZIPO KATIKA ENEO LA SERIKALI
@SamsonJohn-mo7en
@SamsonJohn-mo7en 20 күн бұрын
😂😂😂
@suleimanabdillah7490
@suleimanabdillah7490 11 күн бұрын
Najiulizaaaa ivi kuwa mwisho wa tz ndio kuwa wa mwisho,kiakili.hizi propaganda zinakujaje za utekaji Kila mnapopewa huru
@MageAwe-hl5zb
@MageAwe-hl5zb 15 күн бұрын
Chadema mlipita bonde la uvuli wa mauti nasasa jiandaeni wako wazee wa goli la mkono wapo wasiomwogopa Mungu
@YahayaKishakwi
@YahayaKishakwi 20 күн бұрын
Mbona chadema mikowa yapwani kimya au pwani hawana viongozi
@AlphaxardMRusweka-jr1wi
@AlphaxardMRusweka-jr1wi 20 күн бұрын
Pwani ni CCM,ukiondoa Dar es salaam,hata Kuna watu wetu humo tutakusanya pia kura zetu huko
@YahayaKishakwi
@YahayaKishakwi 20 күн бұрын
Naona TU kanda tatu simechangamka nyasa kazikazini kuSini mwenyekiti angepita kwanza mikowa yote kuwamusha uchagusi serekali za mitaa badala ya mikowa mitatu
@NDEWARA
@NDEWARA 17 күн бұрын
CHADOMOOOO 😂😂
@warrenmgode1837
@warrenmgode1837 17 күн бұрын
Sugu uko vizuli
@user-gr9px4pi2w
@user-gr9px4pi2w 17 күн бұрын
Huyu jamaa kasahau hotel yake ilikua ivunjwe Magufuli ndio kazuia isivunje leo huna shukrani,,,kweli wema ni ajali...Sasa Samia kawapa UHURU wa kupiga domo nae wanamshambulia ...duu binadam hana wema kabisa
@stevenghambi3471
@stevenghambi3471 16 күн бұрын
Ilikuwa halal wangebomowa
@ErasmusMakavery
@ErasmusMakavery 19 күн бұрын
watapambana lakini hawatashinda,alitaka kuia chadema akafa yy!!pambana kaka hii ninchi yetu sote.
@agustinoandrea6030
@agustinoandrea6030 17 күн бұрын
Sana nduguyangu nashukuru ww nimuelewa
@jakobongwara3038
@jakobongwara3038 20 күн бұрын
Kamanda pp
@LangiMwampamba
@LangiMwampamba 20 күн бұрын
Sugu amebeba watu na magari bana mbona wengi hivo ameficha magari yake wapi?
@FrankMwakatundu-cu6bd
@FrankMwakatundu-cu6bd 20 күн бұрын
Pole Sana!!!
@cyprianboniphace-oz5lw
@cyprianboniphace-oz5lw 19 күн бұрын
Na bado,watu wamevurugwa safari hii kitaeleweka tu.
WORLD'S SHORTEST WOMAN
00:58
Stokes Twins
Рет қаралды 64 МЛН
IQ Level: 10000
00:10
Younes Zarou
Рет қаралды 4,4 МЛН
Как бесплатно замутить iphone 15 pro max
00:59
ЖЕЛЕЗНЫЙ КОРОЛЬ
Рет қаралды 8 МЛН
JUSSA AFICHUA SIRI NZITO YA MUUNGANO
34:06
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 56 М.
Celebrations in Kenya as Court drives last nail on Ruto
9:33
Rogers Kakasungura
Рет қаралды 35 М.
Why Is He Unhappy…?
0:26
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 38 МЛН
Девушка ограбила мажора, но…😳
1:00
Trailer Film
Рет қаралды 7 МЛН