hao ni moja ya wachezaji niliowapendekeza kuachwa safi
@michaelashery34443 күн бұрын
Huyo Hana maajabu.unasema mchezaji mzuri sana.anakuchezeaga nyuma?
@ShaabanRamadhanKombo3 күн бұрын
aende duka hilo
@taseleli91812 күн бұрын
Tunalisubiri hilo pira biriani huko upande wa pili, tutawapenda wengine wanaokuja hata hao walipokuja hatukuwa na upendo nao ila baada ya kukaa nao tukawapenda.
@bushiringamba69713 күн бұрын
Sasa hapo hongereni viongozi simba.mlichoharibu Ni kukaa kimya ilitakiwa mumpe thank u ya kwanza kabisa.huyo alikua duka kwa yanga,mmeshindwa kuwataja
@rehemambwanji38833 күн бұрын
Aende
@anithawidambe75433 күн бұрын
HV KWANN HUWA MNAONGEZEA CHUMVI MNAPOONGEA?
@revocatusmalimi45253 күн бұрын
Wewe utazima tu fegi,simba hatuna cha kujutia
@user-uu8zi1dd2o3 күн бұрын
Ni kweli kisugu ni mropokaji sana halafu naamini hajaenda shule. Lina ongea kama zero brain