@@KisiyajrKenyattajr miee ndiyo sitoki hapa hadi nimuone mzee saidi 🤣🤣
@abdulhalimsalim13862 күн бұрын
❤❤❤❤ mzee saidi m'mungu akujaalie afya njema na umri mrefu unawaliwaza watu wengi inafaa tukupige tafu japo chochote kila alie kuwa nacho si haba watu wengi wapo pamoja na ww inshaallah kheri
@abelimaganga4172 күн бұрын
Chagamba mwenyezi Mungu akubariki kwa kutuletea watu kama Hawa mzeeeee Wang said ni furaha sana❤❤❤❤❤😂😂😂😂
@WilondjaDaudiКүн бұрын
Mzee Uyu duh Niatari naombaa ata like 10 tuh
@ngido2552 күн бұрын
Mzee side kwenye one n two mpeni likes zake jaman😅
@ChenchiKing2 күн бұрын
Mzee Said Uwaga Anatupa Raha Kweli Usichoke Kumtafuta🔥❤️🎉
@erickemmanuel948615 сағат бұрын
Amtafutie endorsement
@user-iv7wc5vi3w2 күн бұрын
Nakukubali sana Mzee saidi
@ShabanMateso2 күн бұрын
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉 nakukubali sana mzee wangu Mungu akupe afya
@abelimaganga4172 күн бұрын
Mzeee wangu msimu huu utafurahi Sana ❤❤❤❤
@ismailmohmed47402 күн бұрын
Mzee said nakuelewa sana
@DufuMachine2 күн бұрын
Kiukweli bando yangu hailipi bila kumuona mzee saidi
@iddimngazija19572 күн бұрын
Hivi Aziz ki anamjua mzee Saidi kweli😂😂😂😂
@salimmalaka2562 күн бұрын
AKIWA ANAMJUWA WALA USISHANGAE 😂😂😂
@queenmwasanguti23702 күн бұрын
Jamani huyu Said kanifurahisha sana 😂😂😂😂😂
@user-dd3nc9py2i2 күн бұрын
Hamna shabik wa Simba au yanga anaweza kuogea vizuri ka Mzee said
@allymwashambwa59202 күн бұрын
very true
@--------GEO_SPORT_EARTH_EA2 күн бұрын
Wapo ... Ila tunatambua Mzee Said anazungumza vizuri
@MandindiGuluguja2 күн бұрын
😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 Daah huyu mzeee
@AlmasRamadhan-cl7rnКүн бұрын
😂😂 kwan mzee said wawap??
@marcokaroje898021 сағат бұрын
Mnyamwezi huyo mzee@@AlmasRamadhan-cl7rn
@mahmoudaziz47172 күн бұрын
Mzee wetu mzee saidi😂namkubali sana
@josephmandala22252 күн бұрын
Chagamba fanya hivi , siku moja muombe Aziz KI amtembelee Mzee Said kama surprise .
@azizamuharam3941Күн бұрын
Atazimia😅
@annankwama245316 сағат бұрын
Wazo zuri😂😂😂😂😂
@ummusumayyah-e8k16 сағат бұрын
😂😂😂😊@@azizamuharam3941
@yustusmalende92632 күн бұрын
HA HA HA HA HA HA HA HA HA DAAH LEO NIMECHEKA SANA..LIVE LONG MZEE SAID.
@imrankweka47522 күн бұрын
Huyu bwana Saidi ananifanya nacheka na simu,yaani ananipa starahe sana😅😅
@bahatisafi75212 күн бұрын
Uyo mzee nitamulipiya ticket match ya kwanza ya yanga aende kumuona Chama
@angellomarcel56772 күн бұрын
😅😅😅😅 huyu mzee chenga..eti I'm going to my home😅😅
@HassanMussa-vk3tj2 күн бұрын
Chagamba mzee said mpelekee aziziki
@user-pj4mx2ro4h2 күн бұрын
Mzee said🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@mwanaidimtengo81512 күн бұрын
Jaman Mzee Saidi anatufurahisha sana,tusipomsikia yaan hatuna raha kabisaaaaaa
Uyu mzee bana et saa 6 afu wanamtambulisha abib kyombo😂😂😂
@marcemarco3747Күн бұрын
Huyu mzee namkubali sana aisee... Respect
@galatonetz2 күн бұрын
Mzee said me namkubali sana wallah!!. 😂
@adamkihile25962 күн бұрын
Inabidi tuandamane ili tupate namba ya Mzee Saidi tafadhali.
@mnabukulakasaka2 күн бұрын
Jamani naomba muniunge kwenye group la simba
@AlexMakanta-zn3zc2 күн бұрын
Mimi pia Jamani group la simba
@jaffjeff69122 күн бұрын
Mzee Side mzee Mpili kashasema atakayemloga Chama anaruka naye mchana kweupe acheni nongwa
@yahayabakari93872 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂 et naiangalia hairudi
@chandeyusufu95702 күн бұрын
Nakukubali sana mzee saidi nipo dubai nakufatilia sana mzee wangu
@jumannemohamedy14562 күн бұрын
😂 😂 😂 😂 😂 😂 Ila huyu mzeee banaah ni vicheko
@NdeonasiaMahava15 сағат бұрын
Tunakushukuru Chagamba Kuendelea kutuletea Mzee Said atufurahishe
@jacksonmatenga91842 күн бұрын
Chagamba kachekew kuirush bhan
@BADAWY5752 күн бұрын
Big up Mzee Saidi ww pekeyako ndio shabiki wa mpira na mpira unaujua .ila wale wengine kina kisugu kina miraji kina mzaramu mipasi milioni GB64wote wale wanafiki .wewe pekeyako Mzee Said unajua mpira na unaipenda timu yako umenifurhisha sana hao wachezaji wapya ww unagojea kuwaona ww mwenyewe asante sana Mzee Said .ila simba nyie ni omba omba wa babujiii yani nyie wanafiki wote fukuza muhindi yule
@salimmalaka2562 күн бұрын
MKIMFUKUZA GHALIB GSM NA SISI TUTA MFUKUZA 😂😂😂😂😂
@BADAWY5752 күн бұрын
@@salimmalaka256 ww kweli ni chizi GSM yeye ndio anaejipendekeza sasahv .mwanzo ilikua ni timu ikijipendekeza lakini sasahv tunajidai tushakua
@salimmalaka2562 күн бұрын
@@BADAWY575 VP MZEE MPILI KESHAMROGA AU?? YEYE NA MALI ZAKE ANAJIPENDEKEZA BASI LIMBWATA HIYO HAHAHAHHH
@BADAWY5752 күн бұрын
@@salimmalaka256 ndio na mali zake .umeona kuwa nyie ni machizi bro timu ni taifa kubwa fungueni macho hasa tanzania nchi nzima mashabiki wamegawanyika kwa timu mbili tu.hizi timu zetu ni timu tajiri sana africa nzima sasa ujue kuiendesha timu na mashabiki wa subscribe tu .uwanachama tu .basi hapo ma boss wote wataikimbilia hy timu
@ChuiAdam-wz2htКүн бұрын
Mzee said ni mtaalamu na ni mchambuzi mzuri sana
@rodrickkajala45322 күн бұрын
Ila mzee saidi😂😂😂😂
@deogratiaspmwolo19422 күн бұрын
Mzee said wewe kweli shida. Ingewezekana huyu mzee akutanishwe na Aziz maana anafurahisha sana. Pig up mzee mie yanga lakini nakufagilia sana.
@user-ff1it9og8y2 күн бұрын
Mzee saidi leo kanifurahishaaaa ni kibokoo Simba mpeni Tawi mzee saidi jamani anaweza na Modweji mlete Feitoto
@Mloka_designer2 күн бұрын
Mzee said 😂😂😂🔥🙌
@ShabanMateso2 күн бұрын
Mzee said ❤❤❤❤
@frankjohn24252 күн бұрын
😄😃😀mzee saidi we noma
@MashakaJuma-uu3ph2 күн бұрын
Chagamba huyu mzee uta tua mana namkubali sana😅😅😅
@chricjoseph13402 күн бұрын
Asa mzee saidi analalamikagatu heee😂
@Izzoh202122 сағат бұрын
Ila huyu mzee bahna hohohoho Chama gamgambile hoho
@jonathanmpangala7057Күн бұрын
Mzee Said mahojiano makini anafurahisha sanaaaa
@user-xi1vi6mn7d2 күн бұрын
Aziz ki am going to my home😂😂😂😂 mzee said 😂😂😂
@bahatisafi75212 күн бұрын
Chagamba uyo mzee ni mkali kabisa
@user-rt7uh4fn3w2 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 ila huyu mzee nampenda san so kwakumchukia huko azz kii had kanishinda mimi duuh
@adrophinamwanguse151021 сағат бұрын
Ivi wewe mzee saidi unanini lakini kkkkk he mbavu zangu mie❤🎉🎉🎉🎉
@mswakisaid23202 күн бұрын
😀😀😀😀😀huyu mzee mumemtoa wapi uyu?😂😂😂😂
@costadaraja23272 күн бұрын
🤣🤣🤣🤣 eti anakimbia kama roboti hahahah
@idybwoytz84852 күн бұрын
Mzee saida bhn 😂😂😂😂😂😂 so pw na enjoy 😉 😄 nikiwa Cape Town 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@edvesmshayo5092 күн бұрын
Chagamba hata kama hauna mada nenda Kwa Mzee Saidi tuongeze siku
@abdallayunnus3475Күн бұрын
Nkubali mzee said na chagamba
@patrickgabriely-wi4rw2 күн бұрын
😢😂Mzee said raha sana nafurahi mno
@fahadhassan78942 күн бұрын
😂Mwambie Mzee Saidi Kuna Chama Day Sasa 😂😂😂
@RabsonSalmon-ys7bf2 күн бұрын
Chagamba weka namba za Mzee saidi nimpe soda
@LilianKimaro-d1yКүн бұрын
Uyu namkubari Sana mzesaidi
@malietamalieta96582 күн бұрын
😂😂😂duuh ila Mzee said ety kangamle kangamle Cham x2 nimecheka kinoma yani hii tuombe na Aziz ki abaki utafurah pila gamondi jmn
@fortunatusmwizarubi4546Күн бұрын
😂😂😂😂 said bhana endelea kuwepo mzee wetu salute 🫡 chagamba