Kuotesha na Kuvuna Hydroponics Fodder/ Hydroponics Fodder in Tanzania

  Рет қаралды 58,689

Changamkia Fursa

Changamkia Fursa

5 жыл бұрын

Kuotesha na Kuvuna Hydroponics Fodder/ Hydroponics Fodder in Tanzania
Hydroponics fodder ni teknolojia ya kuotesha maji bila kutumia udongo ili kupunguza gharama za chakula cha mifugo mfano kuku, ng'ombe na nguruwe.
hydroponics fodder Inaweza kukupunguzia gharama za chakula kwa 50% na kama tunavyo jua kwenye ufugaji hasa Kuku chakula kinabeba hadi asilimia 85 ya gharama zote za uendeshaji wa kuku.

Пікірлер: 67
@wamboedna
@wamboedna 10 ай бұрын
After planting you harvest after how long
@estherkaidza1618
@estherkaidza1618 2 жыл бұрын
Asante kwa funzo zuri Sana .
@francismjuni677
@francismjuni677 3 жыл бұрын
asante Mkuu mungu akubariki kwa seminar
@selemanhassan3604
@selemanhassan3604 9 ай бұрын
Samahan mbn nmeshatuma hela kama mara mbili hiv ila chaa jabu napiga simu haipatikan je tatzo n nn
@modestaruta9383
@modestaruta9383 4 жыл бұрын
Nimepanda sana namna ya uandaaji wa hydroponic.
@bsrabbitfarm
@bsrabbitfarm 2 жыл бұрын
Ahsante kwa elimu shahili no mbegu za Aina gani maana sizijui
@asteriayohana3746
@asteriayohana3746 4 жыл бұрын
Hiyo nyavu uliyozungushia banda la hydroponic fodder ntaipata wapi
@edithmwebeya1218
@edithmwebeya1218 Жыл бұрын
Mbegu za ngano Kwa ajili ya kupanda ni zipi?unanunua sokono?
@yohanamagele3633
@yohanamagele3633 5 жыл бұрын
Daah mna ushawishi mkubwa sana hongereni sana
@changamkiafursa
@changamkiafursa 5 жыл бұрын
Shukrani sana
@benymwanjoka84
@benymwanjoka84 5 жыл бұрын
Pamoja mwamba
@Elllllllllllly
@Elllllllllllly 3 жыл бұрын
Naomba kuuliza hicho chakula kina kua mlo kamilikwa siku,au kuna haja ya kuwachanganyia na chakula kingine mf.pumba?
@mapejr8626
@mapejr8626 Жыл бұрын
Jinsi gani unavua hiyo Hydroponi, Unawapa yote au unakata majani kidokigo kwa mkasi?
@selemanhassan3604
@selemanhassan3604 9 ай бұрын
Na jina limekuja hamis rashid je hii namba ulioieka kwenye skriin ni ya kweli
@happynessngereza7202
@happynessngereza7202 4 жыл бұрын
Je inatakiwa mwanga was kiasigani ili kupata zao
@peterchalo7502
@peterchalo7502 5 жыл бұрын
Good work
@selemanlukas5431
@selemanlukas5431 3 жыл бұрын
Sijaelewa mbona hajaweka udongo?
@mshangamsuya6152
@mshangamsuya6152 2 жыл бұрын
Hizotray zinaingiakilongapi kabla yakuloweka? Nazinapatikanawapi?
@twororeturimekijambere5491
@twororeturimekijambere5491 2 жыл бұрын
🇧🇮🇧🇮🇧🇮kwl asanteni
@zainabuyahaya258
@zainabuyahaya258 4 жыл бұрын
Nimependa sana kuandaa hydroponic
@changamkiafursa
@changamkiafursa 4 жыл бұрын
Safi sana
@rosemichaelmagere-kavishe1147
@rosemichaelmagere-kavishe1147 3 жыл бұрын
Jaman hizo plastic naweza kuzipata wapi? Msaada
@twaibuvarishtuvarishtu2220
@twaibuvarishtuvarishtu2220 4 жыл бұрын
Kwa kiswahili inaitwaje iyooo
@festokimuli1129
@festokimuli1129 2 жыл бұрын
Naomba kujua aina chanjo
@25matonya
@25matonya 4 жыл бұрын
Hizo trey ni sh ngap
@abdallahshariff9369
@abdallahshariff9369 2 жыл бұрын
Naweza kupata namba zenu?
@nertowokerjonathan5239
@nertowokerjonathan5239 5 жыл бұрын
Mm ninaswali je utatambuaje ni wakati gani chanjo ya vifaranga
@wannaproducts
@wannaproducts 5 жыл бұрын
Chanjo INA ratiba maalum...
@neriacharles955
@neriacharles955 4 жыл бұрын
Je unaweza kutumia uwele? Na pia ukiwapa haina haja ya kwapa chakula kingine tena kwa siku hiyo?
@changamkiafursa
@changamkiafursa 4 жыл бұрын
Unaweza ndio. Unafanya kwa mgawanyo wa asilimia 50 kwa 50
@laulentmuhere6702
@laulentmuhere6702 3 жыл бұрын
Hizo tray zinapatikana wapi
@nertowokerjonathan5239
@nertowokerjonathan5239 5 жыл бұрын
Swali langu LA pili na je utambuaje ni wakati gani kuku Wa kubwa kipindi cha chanjo
@wannaproducts
@wannaproducts 5 жыл бұрын
Chanjo ya kwanza ya Kuku ni Newcastle ambayo hutolewa siku ya saba tangu Kuku watotolewe, siuku ya 14 unawachanja tena gumboro, 21 unarudia Newcastle tena utawachanja ndui wiki ya nane
@twaibuvarishtuvarishtu2220
@twaibuvarishtuvarishtu2220 3 жыл бұрын
Kwaiyo pia naweza nikaanza kuwapa hidroponik ktk hii week ya 4 sio
@abdalasaidngozi554
@abdalasaidngozi554 4 жыл бұрын
Nauliza kilo 1 ya shayiri au ngano hydroponic YAKE ya siku 4-5 kwa ajili ya KUKU itakua Na uzito GANI.swali la PILI MAJI ya kuoshea MBEGU kabla ya kupanda uwiano GANI Na DAWA
@amosicronery7730
@amosicronery7730 Жыл бұрын
kilo moja ya mbegu inaweza kutoa kilo 5+ za hydroponic. subiri kwa siku 6-7 ndipo ulishe. Loweka mbegu kwa saa 24 kabla ya kuotesha. Loweka kwenye maji mengi yafunike mbegu
@mohammedyahaya1530
@mohammedyahaya1530 4 жыл бұрын
Talk in English so that we understand
@dmm3770
@dmm3770 3 жыл бұрын
Naweza penda sana kujua jinsi ya kukuza hizi chakula ya kuku
@amosicronery7730
@amosicronery7730 Жыл бұрын
Uneshaanza kuotesha mbegu?
@emmanuelngonda1600
@emmanuelngonda1600 2 жыл бұрын
Hilo banda limeezekwa na bat
@francismay1620
@francismay1620 4 жыл бұрын
Nina swali kama vile ukiwa ni mkenya unapasiwa kutuma kiasi gani cha pesa ? Na je hunarusiwa kujiunga!
@changamkiafursa
@changamkiafursa 4 жыл бұрын
Unaruhusiwa, kwa kenya unatakiwa kutuma 500 kutoka safaricom kwenda m-pesa 255752209073
@blacktiger2781
@blacktiger2781 4 жыл бұрын
Iyo hydroponic unatakiwa kuwapa vifaranga kuanzia umri gani
@changamkiafursa
@changamkiafursa 4 жыл бұрын
Wiki 6
@abdul-azizali3567
@abdul-azizali3567 3 жыл бұрын
Hii unawez kulishia kuku wa mayai n kuanzia muda gani unawez kuwalisha
@abdul-azizali3567
@abdul-azizali3567 3 жыл бұрын
Na nataka kujua itakua nafaida gni kwao
@loympangala4330
@loympangala4330 5 жыл бұрын
Hill banda lina ukubwa gan na linachukua kiku wangapi?????
@changamkiafursa
@changamkiafursa 5 жыл бұрын
Kuku 1000, ukubwa ni 200m sqr
@dullahjohn4423
@dullahjohn4423 4 жыл бұрын
@@changamkiafursa Nataka kujenga banda la Kuku 500 urefu uwe mita ngapi na upana uwe Mita ngapi?
@changamkiafursa
@changamkiafursa 4 жыл бұрын
Urefu 17m na upana 5m kisha gawa vyumba viwili
@dullahjohn4423
@dullahjohn4423 4 жыл бұрын
@@changamkiafursa nigawe katakati au?
@januaryyotham8652
@januaryyotham8652 4 жыл бұрын
Kwaiyohapo hakuna udongo?
@changamkiafursa
@changamkiafursa 4 жыл бұрын
Ndio
@spstv106
@spstv106 4 жыл бұрын
Kama sina nutrients naweza kuzalisha hydroponics
@changamkiafursa
@changamkiafursa 4 жыл бұрын
Ndio
@spstv106
@spstv106 4 жыл бұрын
Kuku Wa umri gani wanastaihili kupewa hydroponics fodder
@changamkiafursa
@changamkiafursa 4 жыл бұрын
Wiki 6 unawazoesha taratibu
@khalfanbungu7109
@khalfanbungu7109 5 жыл бұрын
Nauliza mtama unao zungumziwa hapo ni mtama mweupe au mwekundu?
@changamkiafursa
@changamkiafursa 5 жыл бұрын
Wowote utakaopata
@khalfanbungu7109
@khalfanbungu7109 5 жыл бұрын
ChangamkiaFursa Tv Shukran
@imamkassim3969
@imamkassim3969 4 жыл бұрын
Ninauliza kutoka kigali Rwanda iyo hydroponics hakuna madawa unacanga namaji kwahiyo hydroponics
@changamkiafursa
@changamkiafursa 4 жыл бұрын
Unaweza kumwagoa nutrients au ukaacha
@dorcassilupwa4209
@dorcassilupwa4209 2 жыл бұрын
Ninataka.kujiunga.wasap
@nertowokerjonathan5239
@nertowokerjonathan5239 5 жыл бұрын
Mm ninaswali je utatambuaje ni wakati gani chanjo ya vifaranga
@amoslameck2601
@amoslameck2601 4 жыл бұрын
Hiyo shed net nibei gani
@infinixhot1971
@infinixhot1971 9 ай бұрын
Habari yenu Mimi niko Rwnda Asante kwa kujuza Rakini iyi chakura kwa ajiri ya kuku kwa sungura mbone inamaji hayitayiuguza Ao mutu anapaswa kuyikausha
Hydroponics fodder. we make 8kg of fodder from 1kg of barley.
11:49
Farm Business EA
Рет қаралды 149 М.
A clash of kindness and indifference #shorts
00:17
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 133 МЛН
Red❤️+Green💚=
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 84 МЛН
Spot The Fake Animal For $10,000
00:40
MrBeast
Рет қаралды 176 МЛН
MAMBO MUHIMU YA KUFANYA KILA SIKU ASUBUHI
10:10
Changamkia Fursa
Рет қаралды 45 М.
Upandaji wa Azolla Kwaajili ya Chakula cha Kuku
8:19
Changamkia Fursa
Рет қаралды 14 М.
IJUE CHANJO YA TATU MOJA
11:38
farmers centre
Рет қаралды 10 М.
Jinsi Kuanza Ufugaji wa Kuku Chotara Kuroiler na Sasso
10:43
Changamkia Fursa
Рет қаралды 17 М.
Low Cost Hydrophonic maize grass..
10:42
GROW ORGANO
Рет қаралды 127 М.
KILIMO CHA AZOLLA |Jua jinsi ya kupanda,kuvuna na kulisha AZOLLA|
6:01
MKULIMA SMART TV
Рет қаралды 4,3 М.
How To Grow Hydroponic Fodder
10:00
Hand in Hand Eastern Africa
Рет қаралды 143 М.
How to make green feed for chicken || Hydroponic farming at home
7:02
Raebareli unique poultry
Рет қаралды 142 М.
A clash of kindness and indifference #shorts
00:17
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 133 МЛН