SIRI YA KUPUNGUZA GHARAMA YA CHAKULA CHA MIFUGO KWA ASILIMIA 70(HATUA ZA KUANDAA)

  Рет қаралды 57,116

Eknotz

Eknotz

6 жыл бұрын

Ni wazi kuwa wafugaji wengi wanagawana faida na maduka ya vyakula vya mifugo,mbali na kuwa bei ya vyakula hivyo kuongezeka mara kwa mara, suluhisho ni chakula lishe cha mifugo(hydroponic fodder)
Hichi ni chakula kinachozalishwa chenye virutubisho vyote muhimu kwa mifugo vinavyomuwezesha mifugo kukuwa haraka na kwa muda mfupi zaidi.chakula lishe humpunguzia mfugaji gharama ya kununua vyakula vya madukani vya mifugo kwa asilimia 30-70
kwa maelezo zaidi NA MAHITAJI YA MAFUNZO,PEMBEJEO,TREY NA CAGE YA KUKUZIA CHAKULA LISHE(Hydroponic fodder)
wasiliana nasi kupitia:0712223052,0625694651
FACEBOOK PAGE: Eknouk

Пікірлер: 61
@eknotz
@eknotz 4 жыл бұрын
Kwasasa tunatoa pia Cage's za hydroponics fodder za kuhamishika,cage hizo zinakuwa tayari na Trays,net maalum,na stand yake...wasiliana nasi kupitia 0712223052
@abdallahissah7550
@abdallahissah7550 4 жыл бұрын
ni njia nzuri sana, nitawatafuta kwa msaada zaidi
@mariamnimbo8394
@mariamnimbo8394 4 жыл бұрын
Good job guys! Keep the spirit, you'll definately reach somewhere. I love the project! Will keep in touch.
@eknotz
@eknotz 3 жыл бұрын
Thanks Aunty
@mariamnimbo8394
@mariamnimbo8394 3 жыл бұрын
Aisee. Nikija fuga nitwatafuta mnifundishe. Mungu awabariki namwomba wafungulie milango zaidi.
@eknotz
@eknotz 3 жыл бұрын
Karibu sana
@ejtjr2647
@ejtjr2647 6 жыл бұрын
I have been looking for such knowledge for long. Hope to do business with you soon.
@eknotz
@eknotz 5 жыл бұрын
welcome Jr
@djumapilijay6959
@djumapilijay6959 3 жыл бұрын
Asante kwa ilimu mnayotowa
@eknotz
@eknotz 3 жыл бұрын
Karibu sana Jay
@faidhasaidi4436
@faidhasaidi4436 2 жыл бұрын
Asante kwa somo hili
@eknotz
@eknotz 2 жыл бұрын
Asante kwa kuangalia
@margaretkanji9785
@margaretkanji9785 3 жыл бұрын
Thenx i have ren samething I didn't know
@eknotz
@eknotz 3 жыл бұрын
Your welcome Margaret
@sitefanolichadi2357
@sitefanolichadi2357 2 жыл бұрын
mbona kama vile hicho chakula kina garama sana
@brasiusmwashalula1432
@brasiusmwashalula1432 Жыл бұрын
Je sugura wanaweza kulishwa
@ramakheri9824
@ramakheri9824 5 жыл бұрын
Vzuri cna bro,iyo mbegu ulotumia n mbegu gni
@eknotz
@eknotz 5 жыл бұрын
shahiri au ngano
@eknotz
@eknotz 5 жыл бұрын
shahiri au ngano
@hamadkhamis7869
@hamadkhamis7869 Жыл бұрын
Mawasiliano yenu
@adammaziku6521
@adammaziku6521 Жыл бұрын
Chakula hicho Kwa kuku ni lazima kuchanganya na chakula cha viwandani Kwa uwiano upi?
@leilashariff1397
@leilashariff1397 Жыл бұрын
Chakula cha kuku haujamlizia kinakuwa na kilo ngapi na kuku wangapi wanaweza kula
@alih561
@alih561 4 жыл бұрын
Ahsante sana kwa somo, lkn ni tray ya size gani ambayo itatosha kwa 2kg za shairi
@eknotz
@eknotz 3 жыл бұрын
Asante Ali naomba wasiliana nasi kwa no 0712223052
@mogellai
@mogellai 2 жыл бұрын
@@eknotz safi sana.
@mogellai
@mogellai 2 жыл бұрын
Mnapatikana mkoa gani?
@AziziMsuya
@AziziMsuya 6 жыл бұрын
Safi sana vijana. Mimi nina kuku wa kienyeji wachache ila Ningependa sana niwalishe chakula lishe. Je! Gharama itakuwa ni bei gani?
@eknotz
@eknotz 5 жыл бұрын
naomba tuwasiliane ili tujuwe idadi ya kuku uliyo nao tukushauri
@julesbakita7966
@julesbakita7966 5 жыл бұрын
Kaka nguwe umoja anakulakiyasigani?
@julesbakita7966
@julesbakita7966 5 жыл бұрын
Mimininatumiyagaramanyingisana kuwalishanguwe wangu
@julesbakita7966
@julesbakita7966 5 жыл бұрын
Je nakuku wanakulaiyochakula?
@jessiejuma3235
@jessiejuma3235 5 жыл бұрын
what is the name of the seeds in English please
@eknotz
@eknotz 5 жыл бұрын
barley
@gabrielsabath4016
@gabrielsabath4016 4 жыл бұрын
@@eknotz barley ni ngano? au ni nini?
@melkiorylogo6376
@melkiorylogo6376 2 жыл бұрын
P
@hollojumannemlimi4496
@hollojumannemlimi4496 2 жыл бұрын
Je ukitumia chakula hicho tu bila kingine kwa kuku na Bata inawezekana?
@eknotz
@eknotz 2 жыл бұрын
Habari, tunashauri utumie kwa asilimia mpaka 75% kulingana na aina ya kuku unaowafuga
@mgawerevocatus8582
@mgawerevocatus8582 2 жыл бұрын
Cage yenye uwezo wa kuzalisha Chakula Cha kulisha kuku 100 mnauzaje?
@eknotz
@eknotz 2 жыл бұрын
Cage ya kulisha kuku kuanzia 150 tunauza 250,000 ambayo inakuja ikiwa na Net,stand na trays. Kuanzia kuku 300 tunauza 350,000 Pamoja na nafaka za majaribio
@abdulibakari1352
@abdulibakari1352 2 жыл бұрын
Vp mbona bata sion habari zake kina sem kuku tu
@eknotz
@eknotz 2 жыл бұрын
jamii zote za ndege imejumuisha kwenye kundi la kuku
@dastanfussy4898
@dastanfussy4898 4 жыл бұрын
Tofaut na azola?
@eknotz
@eknotz 4 жыл бұрын
Ndio Azola inaota kwenye bwawa la maji ila hydroponics fodder inaota kwenye tray na cage maalum
@nahumumgwama2280
@nahumumgwama2280 4 жыл бұрын
Hicho chakula ni ngano au mpunga,?
@bigvision9909
@bigvision9909 4 жыл бұрын
Hiyo ni ngano
@lucasmsuka8252
@lucasmsuka8252 5 жыл бұрын
asnte kwa shule hii. ila ningependa kujua pale tunapomwagia maji je ni kiasi gan cha maji kinahitajika kumwagia naomba tuwasiliane nami kwa namba hii 0715657145 maana nina mifugo aina ya mbuzi kwa sasa na ninajiandaa kufuga kuku wa kienyeji. asante sana
@eknotz
@eknotz 5 жыл бұрын
habari Lucas hatupimi maji ,utamwagia mpaka pale utapoona yameanza kushuka chini..
@lucasmsuka8252
@lucasmsuka8252 5 жыл бұрын
@@eknotz asante nimekuelewa
@kelvinkivike1008
@kelvinkivike1008 5 жыл бұрын
VP kama utatumia aina nyngn za mbegu
@eknotz
@eknotz 5 жыл бұрын
haina shida ili mradi tu iwe na protein content nzuri
@gabrielsabath4016
@gabrielsabath4016 4 жыл бұрын
@@eknotz asante kbsa..
@lesthermulagha6687
@lesthermulagha6687 2 жыл бұрын
Je sungura hawawezi kulishwa?
@eknotz
@eknotz 2 жыл бұрын
sungura wanalishwa pia
@davydany9648
@davydany9648 4 жыл бұрын
Kaka naweza kupats namba yako
@eknotz
@eknotz 4 жыл бұрын
Sure... 0712223052
@rehemaisango9119
@rehemaisango9119 3 жыл бұрын
Mpunga unafaa
@eknotz
@eknotz 3 жыл бұрын
Hapana hatujaufanyia uchunguzi
@lilymugisa3926
@lilymugisa3926 3 жыл бұрын
Ndio lakini ina 8% ya protein
@jessiejuma3235
@jessiejuma3235 5 жыл бұрын
what's the name of the seeds in English pleases
@eknotz
@eknotz 5 жыл бұрын
use barley or wheat
@alicempuya5238
@alicempuya5238 Жыл бұрын
Hydroponic folder
Kuotesha na Kuvuna Hydroponics Fodder/ Hydroponics Fodder in Tanzania
14:05
아이스크림으로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 47 МЛН
DEFINITELY NOT HAPPENING ON MY WATCH! 😒
00:12
Laro Benz
Рет қаралды 15 МЛН
Wait for the last one! 👀
00:28
Josh Horton
Рет қаралды 156 МЛН
From dairy farming to a more profitable Pig farming - Part 1
12:57
Simple Home-made Hydroponic Fodder Tray Making
5:38
Farmers Point
Рет қаралды 1,5 МЛН
How to Grow Wheatgrass at Home? (Without Soil)
10:10
Gardening Secrets
Рет қаралды 1,6 МЛН
FUGA KIASILI NA EKNO
23:11
Eknotz
Рет қаралды 150
How to make maize and surface silage by hamiisi semanda +256773343283
11:11
Hydroponic fodder Tanzania,Sayansi ya kuotesha nafaka kwa kutumia maji
5:20
아이스크림으로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 47 МЛН