Chozi la Mkurugenzi baada ya Mbunge wa Chadema kumchongea kwa JPM

  Рет қаралды 1,771,915

Millard Ayo

Millard Ayo

5 жыл бұрын

Rais Magufuli amefanya ziara yake Wilaya ya Serengeti, kuongea na Wananchi kupitia mkutano wake.

Пікірлер: 958
@ashanaftali4319
@ashanaftali4319 5 жыл бұрын
Pole sana mkurugenzi, tunakushkuru muheshimiwa Raisi kwa kumfuta mkurgenz machozi. Pamoja Sana mkurgenzi wetu
@roseissa56
@roseissa56 Жыл бұрын
G'g
@HightechTz
@HightechTz 5 жыл бұрын
😂😂Mbunge huyoo aibu tele😎😎😎
@salmakassim3975
@salmakassim3975 5 жыл бұрын
Jmni naipenda hii video 😂😂 mheshimiwa Rais Magufuri asante baba
@annamwakibinga527
@annamwakibinga527 2 жыл бұрын
Natamani ungekuwepo jmn kweli kizuri hakidumu. RIP baba
@zaituniyusuphjuma415
@zaituniyusuphjuma415 5 жыл бұрын
Asante rais mungu akuzindishie sana. Pole sana mkurungezi mungu amekuheshimisha sana maana siyo kwa kuchafuliwa huko pole sana. Pia namshukru rais mungu emekupa jicho latatu 🌷
@elizabethlucas4983
@elizabethlucas4983 5 жыл бұрын
Hv hili libunge liliwaza nn? Baba wa watu analia haya machozi hayatamuacha huyu mbunge salama,cjui nani alimteua,ila nashukuru kabaki na aibu,hongera sana raisi wng Mungu akulinde
@mankakileo8423
@mankakileo8423 5 жыл бұрын
Hadi machozi Hongera mkurugenzi chamsingi omba Mungu sanaa ktk kazi zakoo na Mungu akubariki hapa kazi
@boazmaobe7245
@boazmaobe7245 2 жыл бұрын
Mungu ailaze roho yake mahali pema....nlipenda Sana uongozi wake na kamwe hakutawahi tokea kiongozi zaidi ya hyu..big up
@delitonavaia3503
@delitonavaia3503 5 жыл бұрын
mungu amfichi mnafiki
@hamisikabwe3980
@hamisikabwe3980 5 жыл бұрын
Kwa nchi za mbele hapo huyo mbunge angejiuzulu kwa hicho alichokifanya.huwezi kufikisha ujumbe kwa style hiyo,hata kama ni kweli alichosema,bado hawezi kupewa sheria kulingana na kufikisha ujumbe kipumbavu kabisa.
@monicajulius905
@monicajulius905 5 жыл бұрын
Mungu wangu mbariki sana huyu raisi Magufuli,mpe maisha marefu na yenye amani tele.Huyu mkurugenzi kanifanya mpk nikatoa machozi(Mungu akuongoze🙏🏿)like za nguvu kwa Magufuli plz💪🏿
@patrickmbarugwa3190
@patrickmbarugwa3190 5 жыл бұрын
Barikiwa sana rais wa wanyonge
@danieljacob557
@danieljacob557 4 жыл бұрын
I
@danieljacob557
@danieljacob557 4 жыл бұрын
I
@diwanikatayankonko2671
@diwanikatayankonko2671 2 жыл бұрын
Daaah bahati mbaya mungu akamchukua..so sad
@jonizamosmayenga3528
@jonizamosmayenga3528 2 жыл бұрын
rest in peace
@emmanuelmogela5871
@emmanuelmogela5871 5 жыл бұрын
Pole mkulugenzi ndio changamoto za kazi
@edinazegu7173
@edinazegu7173 5 жыл бұрын
Jamani yote anataka mwenzie atumbuliwe pole Kaka angu ndio siasa hizo zimekufanya mpaka uumwe lkn Mungu atakutia nguvu linapita
@hassanhassan8351
@hassanhassan8351 5 жыл бұрын
Mti wenye matunda ndiwo upigwao mawe, hongera mkurugenzi kwa uadilifu wako. Ahsante mheshimiwa JPM kwa kujali
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 5 жыл бұрын
Pole sana mkurgenzi na hongera pia Mheshimiwa Rais kwa kumfuta machozi mkutugenzi
@chandrnyoeliakim1006
@chandrnyoeliakim1006 5 жыл бұрын
Pole Sana mkurugenzi ndio changamoto za kazi baba
@mamalinamtei326
@mamalinamtei326 5 жыл бұрын
Saumu Ha.ssan
@patricknduwimana2840
@patricknduwimana2840 5 жыл бұрын
Saumu hassan nauku umefika?
@beatricekamengekamenge5543
@beatricekamengekamenge5543 5 жыл бұрын
Walai saum nihatari
@MdMd-th9vh
@MdMd-th9vh 5 жыл бұрын
POLE SANA
@saidbanga
@saidbanga 5 жыл бұрын
Inauma sana... Ila magufuli nakukubali kwani akili zako unazijua mwenyewe...
@eliasaphbussa9332
@eliasaphbussa9332 5 жыл бұрын
Njia nzuri ni kuoa hata dada zake ili aman iwepo 😂😂😂😂
@emmymasoud6385
@emmymasoud6385 5 жыл бұрын
Zambi Sana kumchafua mwenzio ikiwa ww unayako kibao nyuma ya pazia.... Allah bless you
@neemawilliam1960
@neemawilliam1960 5 жыл бұрын
DA aiseee mchawi wa binadamu ni binadamu mwenyewe, kweli unamcjongea mwenzio afukuzwe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣magu bhana et akaoe dada zake na mbunge
@johnnjogundegwa9799
@johnnjogundegwa9799 5 жыл бұрын
Good for your solomonic leadership. THANK YOU FOR THE LOVE AND BEING SERVANT OF THE PEOPLE.
@fernandovictoralfredo2834
@fernandovictoralfredo2834 2 жыл бұрын
Etiópia
@victoriabayo7704
@victoriabayo7704 2 жыл бұрын
Daima tutakukumbuka
@chandewaleo3853
@chandewaleo3853 5 жыл бұрын
Duuuh wa 3 leo hahaa naeza kua mkurugenzi badae
@stephenmassawe218
@stephenmassawe218 5 жыл бұрын
Isije ikawa ni chuki ya kisiasa hapo!!! Busara ni muhimu katika mambo haya, mbunge kwa mujibu wa sheria ni mjumbe katika baraza la mawaziri.
@rajeep-ni7lh
@rajeep-ni7lh 2 жыл бұрын
I miss this maguful rest in peace always I miss you❤❤❤❤❤
@chandewaleo3853
@chandewaleo3853 5 жыл бұрын
Iwe juma 3 j4 j5 uta kaa hapa hapa .hahahaha ili kumkomeshea huyo kaoe hata dadaake ....kina juma hebu wekeni like hapa
@wechemakambo2182
@wechemakambo2182 5 жыл бұрын
chande waleo nime-like ila mm siyo Juma 😆
@chandewaleo3853
@chandewaleo3853 5 жыл бұрын
@@wechemakambo2182 hahahaa pamoja sana uende ukaoe dadaake mbunge
@wechemakambo2182
@wechemakambo2182 5 жыл бұрын
chande waleo mmh kwa shemeji huyu siwezi...
@bintiiddy7043
@bintiiddy7043 3 жыл бұрын
😂😅😅😅
@ommymvp884
@ommymvp884 5 жыл бұрын
See how God is protecting His people.#mkurugenzi
@manyotaskipper5765
@manyotaskipper5765 5 жыл бұрын
Ommy Mvp Allah Akbar
@musamasiko4925
@musamasiko4925 5 жыл бұрын
Ommy Mvp fact
@evemangare1732
@evemangare1732 5 жыл бұрын
Ommy Mvp ooh yeah
@antoniasanga3563
@antoniasanga3563 5 жыл бұрын
Usilie jaman Mungu hamtupi mwenye Haki Amini Rais bado anakupenda pia zidi kufanya kazi
@issaissa8047
@issaissa8047 5 жыл бұрын
Uyu mbunge anachuki mkurugenzi mchukulie Dada ake akuheshimu raisi Wetu oyeeee
@nataekuolopilinjo2504
@nataekuolopilinjo2504 5 жыл бұрын
woyeeeeeee😂😂😂😂😂😂
@arafatalshabani1372
@arafatalshabani1372 5 жыл бұрын
Baba angu issa issa nimefurahi
@bintiiddy7043
@bintiiddy7043 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😁😁😁😁
@malonemalick1999
@malonemalick1999 2 жыл бұрын
Daah mzee pumzika kwa amani tutakukumbuka daima😭😭😭😭😭😭😭
@mendoramasaki3567
@mendoramasaki3567 5 жыл бұрын
Hongera sana Rais wetu Mungu akupe maisha marefu kwakuwa unatenda haki pasipo kumuonea mtu. Pole sana mkurugenzi Mungu yuko nawe aibu amezipata huyo mbunge kwa majungu yake
@kisigaanna3422
@kisigaanna3422 5 жыл бұрын
dawa ya muongo nifupi sana haaaa mbunge ngumbalo huyo ndokaja ili amchongee mkurugez matokeo yake yy ndokaaibika jmn cdm mbona hamuishiwi vituko?
@rehemanyitu640
@rehemanyitu640 5 жыл бұрын
ha ha ha ha mbunge jipu uyooooooooo
@fatumarajabu810
@fatumarajabu810 5 жыл бұрын
Ha ha ha........ Mr president na muendlezo wake wa tungo tta ...hbu gonga dole tumpe pngez
@mcrahaleo688
@mcrahaleo688 5 жыл бұрын
Hahaaaaaaa, na ni tungo tata kweliiiii, hili libunge ni likarai kabisaa hili
@tugesyegemwakatumbula8125
@tugesyegemwakatumbula8125 5 жыл бұрын
mungu mkubw Sikutengemea kama mkulugenzi angeweza ata kijitete ,inauma kwakweri😢😢😢
@fettybernard8695
@fettybernard8695 5 жыл бұрын
Kwer sio kila mtu anakupenda mungu ndo Mtetezi wa kila jambo mtegemee mungu tu
@zachariamishai7258
@zachariamishai7258 5 жыл бұрын
Asant sana #Mh Rais😘😢
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 5 жыл бұрын
pongezi sana raisi hakika amemchafua mwenzie hazarani kwa siasa ya kijinga kaka juma hamsini endelea kufurahi raisi ana imani nawewe
@kwizeraelly9261
@kwizeraelly9261 5 жыл бұрын
Mungu yupo!!!!!!! Wanaoonewa wote walie na Mungu mimi nimemwona mara nyingi.
@HightechTz
@HightechTz 5 жыл бұрын
mwaka huu tutaona mengi 😂😂😂😂😂😂😂
@stephanokaaya1881
@stephanokaaya1881 5 жыл бұрын
mbunge huyu ni O
@mussakatoto3125
@mussakatoto3125 5 жыл бұрын
rais hongera sana
@mr.furahamalele1854
@mr.furahamalele1854 5 жыл бұрын
Daaaaaaah, Mungu Kweli Wa Wote Ninaanza Kuamini Maana Daniel Alitupwa Ndani Ya Shimo La Simba Wenye Njaa Hawakummeza, Leo Mungu Amesimama Upande wa Mkurugenzi, Kweli Hila Hazimpati Mtoto wa Mungu, Nakuombea Mkurugenzi na Mhe. Rais Pigeni Kazi Wana Wa Mungu!.
@salmadalaquimane5303
@salmadalaquimane5303 5 жыл бұрын
Yaan chadema cjui mkoje daaah mmekalia chuki2
@furahamudende6316
@furahamudende6316 5 жыл бұрын
Nampenda sana Rais wa Tanzania,anaakili sana,busara na hekima.tungempata rais kama huyo congo aiseee inchi yetu ingeendelea saaana.big up baba JPM
@nachokyale1915
@nachokyale1915 3 жыл бұрын
Wa congo unamjua kiswahili
@binurarassi8156
@binurarassi8156 5 жыл бұрын
Rais mtenda haki, Msema kweli, Mwenye huruma, Tulio wengi Tunaokuombea siku zote, uendelee Kiongozi, Mungu anatuona, Anasikia Na InshaAllah Atapokea Maombi yetu, Aamina q
@victoriabayo7704
@victoriabayo7704 2 жыл бұрын
Rais Magufuli akuweke mkono wake wa kuume ulale salama kipenzi cha watanzania umetenda haki hakika tunaendelea kukumbuka
@hadijaabdallah5477
@hadijaabdallah5477 5 жыл бұрын
Maskini baba mpaka analia na mm nimelia jamaniiii huruma rais hongera sana
@yusuphsabega3936
@yusuphsabega3936 5 жыл бұрын
Hadija Abdallah usijal
@evelynmon6491
@evelynmon6491 5 жыл бұрын
Yaan mimi mwenyewe nimelia jaman baba kaniliza huyo jamani
@evelynmon6491
@evelynmon6491 5 жыл бұрын
Yaan hii mijitu mingine inakurupuka tu mbunge mzima kaaibika vibaya kweli dume zima majungu tu mfyuuuuuu
@haibreus2005
@haibreus2005 5 жыл бұрын
Ndio ujinga wa wanawake mtu akilia tu huruma
@fatmax8710
@fatmax8710 5 жыл бұрын
@@haibreus2005 hahahaha hayo ndio maumbile yetu tuvumilie tu
@sembosayenda7182
@sembosayenda7182 5 жыл бұрын
Libunge LA chadema ...libaki huko huko chadema
@annajoram9370
@annajoram9370 5 жыл бұрын
Baba hapo hongera sana kweli unamjua mungu,mungu akuongoze baba
@denismakweba3870
@denismakweba3870 5 жыл бұрын
Uzadiki umewajaaa viongozi,wote mnahudumia wananchi kwann msipendane💋
@lukombesoemmanuel7271
@lukombesoemmanuel7271 5 жыл бұрын
Mkurugenzi kanifanya nitoe machozi..huyu mbunge kuazi kwelikweli
@omegajustin9926
@omegajustin9926 5 жыл бұрын
Pole mkurugenzi ndo changamoto za kazi hizo baabaa limemrudia mwenyewe chapa kazi
@emilydavidmdoe3552
@emilydavidmdoe3552 5 жыл бұрын
Aah kumbe Moro Safi kazi nzuri hongera Kaka yangu
@deklein4731
@deklein4731 5 жыл бұрын
Hili libunge kwanza lina pua kubwa uso utazani chapati iliyokosa mafuta....cjui walilichaguaje tyuu
@alexkapaya8909
@alexkapaya8909 5 жыл бұрын
Wa kwanza leo kwa Millard Ayo
@chandewaleo3853
@chandewaleo3853 5 жыл бұрын
Wa kwanza fadhia
@cleverlove6225
@cleverlove6225 5 жыл бұрын
Pole sana mkurugenz
@gracethomas683
@gracethomas683 4 жыл бұрын
Dooh! ndiyo naiona leo daah! Juma amepitia mengi hapo 🙌🏽... Mungu amemuona
@silasteven8956
@silasteven8956 5 жыл бұрын
Pole sana mkulungenzi kila kazi namagumu yake usiogope baba piga kazi
@kelvinroberty2797
@kelvinroberty2797 5 жыл бұрын
mkurugenzi ridhiki yako anaepanga ni mungu , bado hajakuacha ulipochafuliwa yy tumain lako hatokuacha uaibike
@omanphone3455
@omanphone3455 2 жыл бұрын
Daaaaah mungu ulituokoa kutupatia hilijembe watanzania ila asante pia kwakua kaziyako hainamakosa tunateseka sana watanzania
@giannajoji7944
@giannajoji7944 5 жыл бұрын
Wivu tu,mbona kaumbuka!chezea Magufuli wewe!
@agnesmkude12
@agnesmkude12 5 жыл бұрын
Dah inasikitisha asije akafa na presha mungu akusimamie
@chimamychimychimamy8482
@chimamychimychimamy8482 5 жыл бұрын
Gud job president love you magufuli from Kenya+254
@ggmmjasiliamalionline2746
@ggmmjasiliamalionline2746 5 жыл бұрын
Love u Kenya asee +255 Luna upinzani wa kisiasa na Si kimaendeleo
@simonmagembe7140
@simonmagembe7140 5 жыл бұрын
It is true that magufuli is now popular
@sifasanga7866
@sifasanga7866 5 жыл бұрын
Magufuli kumbe kuna wakati ana huruma sana. Baada ya kugundua Mkurugenzi kaumia moyo amerudia rudia sana manano kumweka sawa. Pole sana Mkurugenzi hawa wapinzani sometime wamekua waongo sana. Jamaa anakusema bila haya na ushahidi hana pole kaka
@lawagustino1887
@lawagustino1887 5 жыл бұрын
sifa sanga kweli kabsa
@matyshirima1242
@matyshirima1242 5 жыл бұрын
Hata angekua na ushahidi kumchongea mwenzie afukuzwe sio vizuri
@mbaroukabdi1918
@mbaroukabdi1918 5 жыл бұрын
Hii shutuma ingekuwa kwa mpinzani Rais angejibu hivo kwa mfano
@saadachara943
@saadachara943 5 жыл бұрын
Baba magufuli oyeeee Mungu akuzidishie imani kwawananchi wako tunakupenda sana 2020utapat kurayangu alfajir namapema
@laurentemanuel8559
@laurentemanuel8559 5 жыл бұрын
Duuuu ama kweli Serengeti tuna hali mbaya kama mbunge ndo huyu wa chuki zisizokuwa na maana,,, atapata faida gani mkurugenzi akifukuzwa huyu mbunge ndo mwxho wake 2020 hatunae tena
@hildababyabdullah5627
@hildababyabdullah5627 5 жыл бұрын
Chozi limenitoka pole mkurugenzi iyo ndo kawaida ya wanadam hutizama lamwezie tuu lakwake halion Allah akuongoze vyema ktk utendaji wako kazi, upizani co watu wazr alitaka ufukuzwe mbele ya qadam nnas chozi lako halipotea kwa huyu mbunge lazima litalipa magufuli hongera umekua mfano wakuigwa ktk uongozi wako
@frankmmary6371
@frankmmary6371 5 жыл бұрын
chapa kazi mkurugenzi mazuri yakwako yote anayajua mwenyenzi mungu.
@sifaupindo8384
@sifaupindo8384 5 жыл бұрын
Omar Alofi roho imeniuma jamani, Pole sana Baba Mungu yupo nawe kila sekunde
@allykazoa7065
@allykazoa7065 5 жыл бұрын
magufulli wewe ni rais wa mfano mkurugenzi amejiereza vizuri sana uyo mbunge ni chizi
@collinsmwaipasi7580
@collinsmwaipasi7580 5 жыл бұрын
The truth shall set you free
@salimakuyela8212
@salimakuyela8212 5 жыл бұрын
Huyu mbunge mwehu magu mungu akujalie kumfuta machozi mkulugenzi🙏🙏🙏🙏
@husnajohn7466
@husnajohn7466 5 жыл бұрын
Christopher Mganga hahaaa
@lucascheyo4849
@lucascheyo4849 5 жыл бұрын
.
@fatimaabdulla6967
@fatimaabdulla6967 4 жыл бұрын
@Change Mindset asay aibu kweli kweli mi ni Wa 254 ila na fanya bidii Kuja Tanzania ni muone maghufuli wallah sija ona raisi wa kuigwa kama huyu
@allykazoa7065
@allykazoa7065 5 жыл бұрын
ivi uyu mbunge amechaguliwa na watu wenye akili timamu kweli atakujieleza awezi embu ccm jitaidini 2020 chukueni ilo jimbo
@selemanikiwande5137
@selemanikiwande5137 5 жыл бұрын
Wallah km k ungekua na sheria ya kumtumbua MTU anae mdharirisha mwenzie basi Leo angetumbuliwa huyo mbunge kwanza anatakiwa amuombe radhi mkurugenz hongera sana kwake mh. Rais kwa kazi Nzuri sn anazozifanya mungu ampe maisha marefu azidi kulitumikia hili taifa kwa kutenda haki. Me pia machoz yamenitoka kwa kumnafikia mkurugenz. Pole sn kaka yangu kwa changamoto unazozipata hata mitume walipitia vikwazo na changamoto nying sn lkn walishinda na kukamilisha yote walioagizwa
@levinajoeli3465
@levinajoeli3465 5 жыл бұрын
Christopher Mganga Good mkurugenzi
@magorimagori9264
@magorimagori9264 5 жыл бұрын
Christopher Mganga umesema kweli kaka
@ggmmjasiliamalionline2746
@ggmmjasiliamalionline2746 5 жыл бұрын
Hapa ndo wananchi tujifunze hali hii hatujawapa ikulu tukiwapa waingie ikulu watatupeleja wapi hawa kaka maendeleo jamn tufanye maendeleo sio chuki Za upinzani jamani wananchi wanatusoma kwa picha mbaya Santa chadema alafu 2020 tuseme tumeibiwa kura ni kweli acha ccm iendeshe nchi sisi ng tukue kwanza wapinzani tuna akili za kitoto wananchi wametuamini bas tusiwaangushe dah inauma asee afu hata kujieleza hajui maskini dah nandomana wanaohama wanahama kwa kauli mbiu kwamba wanaenda ccm kuunga juhudi za muheshimiwa rais kwa style hii huwez kuunga juhudi zinazofanywa name rais acha wanaojielwwa wahame tuu
@cholowao
@cholowao 3 жыл бұрын
Tumetekeleza agizo
@gabrielemmanuel4348
@gabrielemmanuel4348 5 жыл бұрын
Pole mkurungenzi wangu usilie jaman baba angu pole mungu mkubwa sana
@irenemwanaa8160
@irenemwanaa8160 5 жыл бұрын
Pole mkurugenzi mungu yupamoja na we we chapa kazi.
@osumrope2096
@osumrope2096 5 жыл бұрын
Mbunge snitch sana huyu, mbowe piga chini huyu kunguni.. hii ni picha mbaya sana kwa upinzani
@dictarchelsea
@dictarchelsea 5 жыл бұрын
Mbunge kasema ukweli
@dictarchelsea
@dictarchelsea 5 жыл бұрын
Sio uongo Ni kweli
@happynesselemani7162
@happynesselemani7162 4 жыл бұрын
Osu Mrope
@tumainimano9953
@tumainimano9953 4 жыл бұрын
Huyu mbunge hamno nazo kichwani mnafki mkubwa
@awesuhassani6212
@awesuhassani6212 5 жыл бұрын
Xikuwai kuku fatilia mzee wangu raixi wangu na mtanzania mwenzanu pokea hongela zangu, hongela raixi kwa kutenda haki kwa hili.
@joycemashikolo9096
@joycemashikolo9096 5 жыл бұрын
Mungu ni mwenye haki.umetafuta kumwaibisha juma. umejikuta aibu imekurudia mwenyewe na umepata aibu ya maisha yako kizazi chako chote kitaona jinsi ulivyo kichwa maji.
@olivamushi5843
@olivamushi5843 5 жыл бұрын
kila nikiangalia hii video nalia sana we mbunge muombe msamaha mwenzako
@farajamwakasaka4221
@farajamwakasaka4221 5 жыл бұрын
Joyce mashikolo.
@abdulshaban6343
@abdulshaban6343 5 жыл бұрын
ndo mm huwa nasema kwann uupe mdogo ujasiri wa kuongea wakat ujaipanga akili yako papara kwa magu ni sawaaa na kukurupuka kuingia msikitin na ndara
@rodasegere4029
@rodasegere4029 5 жыл бұрын
Masikini wa Mungu Mkurugenzi katoa machozi,,, ww mbunge jitathimini machozi ya huyu baba hayatakuacha salama,,, hongera Sana Rais wetu kwa kumwaibisha huyu nyumbu wa Serengeti nation park
@kindolek9257
@kindolek9257 5 жыл бұрын
Mbunge kafyatuka bila kuwa na uhakika anamdharirisha mwezake mbele umat bila ushahd aibu yake sasa, HONGERA AYO saut saf picha iko vzur pia
@joycechacha7344
@joycechacha7344 3 жыл бұрын
Umeonaeeee
@kruverthmasanula9914
@kruverthmasanula9914 5 жыл бұрын
safiiii jamaa kaumbuka vibaya hahahahahha
@amanimlembe2170
@amanimlembe2170 5 жыл бұрын
pole sana mh.rais kwa hali hii mungu akusaidie maana wengi wanakuzunguka
@rosehillary6884
@rosehillary6884 5 жыл бұрын
Rais wewe nakupenda sana wewe ni Baba, ni mlezi, na unamjua Mungu.
@anwaryrutenge5695
@anwaryrutenge5695 5 жыл бұрын
Dar. Pole sana mkurugenzi Juma. Hongera mzee baba Magufuri
@winfridagama2280
@winfridagama2280 5 жыл бұрын
Hongera Mkurungezi
@pascoiddy1592
@pascoiddy1592 5 жыл бұрын
Anwary Rutenge qhv
@binurarassi8156
@binurarassi8156 5 жыл бұрын
Mungu akulinde Rais wetu Wasiokutakia mema, Watashindwa kwa Nguvu za Mungu.
@DottRoBroc
@DottRoBroc 3 жыл бұрын
I am an italian man. I studied Magufuli, a politician I discovered and appreciated for his complaint against the effectiveness of tampons. He was a great and courageous president, an honest man who had reduced his salary (from $ 15,000 to $ 4,000) defended the interests of the people. I also appreciated his position on covid and against dangerous vaccines. In my opinion they killed him even though he officially died of heart problems. Magufuli will forever remain a political example of integrity for all. I agree about Magulification of Africa!
@billyblanks099
@billyblanks099 2 жыл бұрын
Thank you for pointing this out. Africa is killed by the puppets of the imperialist and neo-colonizers in the pretense of being friends of Africans. It will only take Africans themselves to develop Africa.
@jumatamimu6841
@jumatamimu6841 Жыл бұрын
U7(tygyttt
@aminasenkuni3844
@aminasenkuni3844 Жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭 Inna lillah waina illah ragigune wee mwenyezmungu muodoshee kila lililobaya kwenye kabur lake.
@mkobainnocent2368
@mkobainnocent2368 5 жыл бұрын
Ukisikia Mwisho was Ubaya in Aibu basi ndio hivi,,, huyu mbunge hafai, kabisa na kwa majungu haya 2020 hapati kitu,Mkurugenzi wa watu Na baba wa familia ya watu ametoka machozi,,Rais anahekima sana aisee
@officialkamdudu
@officialkamdudu 5 жыл бұрын
mkoba innocent mbunge mpaka anazomewa na wanachi wake hadi aibu. Na angekua sio mbunge angekiona cha mtema kuni leo
@officialkamdudu
@officialkamdudu 5 жыл бұрын
mkoba innocent mbunge mpaka anazomewa na wanachi wake hadi aibu. Na angekua sio mbunge angekiona cha mtema kuni leo
@mozetz850
@mozetz850 5 жыл бұрын
mkoba innocent mwadasu
@elizabethjames292
@elizabethjames292 5 жыл бұрын
Huyo anaeongea anauhakika ngani ,hajielewi hata kidogo MTU mzima ovyo kabisa,yy amekamilika
@tumainimango8140
@tumainimango8140 5 жыл бұрын
mkoba innocent sanaaa
@nicholaustvraphael4102
@nicholaustvraphael4102 5 жыл бұрын
Hongera Sana Mh raise nakukubali Sana unamsimamo nikikutana nawewe nitakuthibitishia kwa maneno
@eliasmajani9787
@eliasmajani9787 5 жыл бұрын
Huyo mbunge hana chake. Asihangaike kugombea tena 2020
@sakinaomar301
@sakinaomar301 5 жыл бұрын
Nani kaona mkurugezi akipandisha suruali yake alivyoitwa na Rais😁😁pole sana baba yangu umeniliza jamani umepata maradhi yamoyo ulivyoanza kuwatumikia wananchi wako pia nimejifunza kitu"wewe unapambana kwenda mbele kuna pimbi mmoja anakurudisha nyuma m'mungu amemuabisha leo "God is good all the time "#chozi lako halijakutoka bure unamengi moyoni but M'mungu atakutianguvu 😘😘.
@kinggembo7135
@kinggembo7135 5 жыл бұрын
Sakina Omar all the time GOD is good
@sakinaomar301
@sakinaomar301 5 жыл бұрын
M'mungu atamlipa wallah
@johngeorge6182
@johngeorge6182 4 жыл бұрын
Mkurugenzi chapa kazi ukweli utabaki ukweli tu! Uongo umesjindwa.
@agnessjosephath4330
@agnessjosephath4330 5 жыл бұрын
Aibu yao jamani cdm mkoje kwa nini mnapenda kuwazushia uongo Rais mpenzi wa watu.mpaka nimelia kwa nn tufike huko jamani sisi wote ni watanzania
@nasraalobaidani3194
@nasraalobaidani3194 5 жыл бұрын
fitna haina faida kasimam miship uson kwaunafk ili kumkomesh mwenzie kimbe ajiaibish mwenyewe ulaaniwe ww usio nautu daim hutofanikiw kwarohoyko mbya pole sn kakaang juma ALLAH akuongoz ,ALLAH ambarik sn rais wetu nakupend sana dc magufuli daima nitakuombea
@barytz5977
@barytz5977 5 жыл бұрын
Imebindi nicheke2 maana jamaa mpaka suruali imeshuka
@annetmsafiri6704
@annetmsafiri6704 5 жыл бұрын
Mbunge macho kodo aibu cdm aibu tu mmezoea vya kunyonga jamani sasa kazi kwenu laana hiyo itakufuata la hilo chozi tubu
@mohamedrashidi6495
@mohamedrashidi6495 5 жыл бұрын
chadema mko wapi!!? huyu katia aibu kiongoz muongo, wa nini huyu!!!?
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 5 жыл бұрын
Imeniuma sanaa kwa kutoa chozi mkurugezi kwa kusingiziwa na hili fisadi hili bunge ningekua mimi ningelifukuza kabisa
@anithaflorian1157
@anithaflorian1157 5 жыл бұрын
Pole sana mkurugenz Mola akutie nguvu maana si wote watakao kukubali Mungu aibariki kazi ya mikono yako
@stevenlubala9237
@stevenlubala9237 5 жыл бұрын
Mungu zaid kukushikilia daima mkurugenzi uko Safi sana ahsante rais hapa kazi tuu
@mapenzi_tz1511
@mapenzi_tz1511 5 жыл бұрын
Mm nasemaga Hawa Chadema,, Akili awana wao tushawazoea kilakitu wanapingatu ndio kimewakuta Leo adharani
@innocenthamisonndalahwa9541
@innocenthamisonndalahwa9541 5 жыл бұрын
Siasa chafu na za chiki hazifai mkurugenz ana umiza kichwa kuhakikisha shughuli na miradi ya maendeleo ina kwenda na kusimamia utekelezaji lazima tuwaheshimu na kusamini kile wanacho kifanya huyu mbuge hafai kabisa kwanza ni muongo
@isaacmakiro1140
@isaacmakiro1140 5 жыл бұрын
Molove Momapenzi tuliza tako acha uboya
@modestaabeli3389
@modestaabeli3389 5 жыл бұрын
Kweli RAIS umeongea safi cn yani hata mie nimelia pole mkurungezi mungu yuko nawe
@mbaroukabdi1918
@mbaroukabdi1918 5 жыл бұрын
Kwa mfano shutuma hizi angepewa upinzani Raisi angejibu kama hivo?
@tuntulusekelo4191
@tuntulusekelo4191 5 жыл бұрын
we jamaa hupo vizuri ahh ahh ahh
@totally_aisha8010
@totally_aisha8010 5 жыл бұрын
mbunge bora anajenga urafiki na sio chuki
@salimkambona2798
@salimkambona2798 5 жыл бұрын
Nakukubali sana kiongozi,,tuchape kazi siasa tuziache jamani!Jpm hajakosea ktk kuteuwa watendaji wake!Mungu awe nawe daimaaaaaa
@alexfrance5486
@alexfrance5486 5 жыл бұрын
Pole saaana mkurugenzi Mungu atakulipa
@barakahenula1370
@barakahenula1370 5 жыл бұрын
Nampenda sana Raisi wangu,hapa kazi tu
@salmakassim3975
@salmakassim3975 5 жыл бұрын
Namimi nimewah leo
@petermwenda5179
@petermwenda5179 5 жыл бұрын
magu mungu akupe maisha maisha marefu utuokoe sisi wa hali ya chini
@joxevictus3720
@joxevictus3720 4 жыл бұрын
Dah huyo kunguru sijui hata sura yake ataweka wapi wananchi wameamua kumvua nguo hatharani😂😂lkn mijitu ya chadema hainaga aibu sijui inavutaga bangi kwanza ndo maana inaongeaga mavi
@nicholasmeshak9673
@nicholasmeshak9673 5 жыл бұрын
I just love this kind of government...
@gbbuku4714
@gbbuku4714 5 жыл бұрын
Huyu mbunge anapiga kelele sana anataka kumchonganisha rais na mkrugenz sio vzuri aelewe kuna maisha baada ya siasa ona kwanza wananchi wanavomzomea mbunge hufai
@yusufumajaliwa1958
@yusufumajaliwa1958 5 жыл бұрын
elias njoji: Elewa waliokaa mbele ktk mkutano huo ni CCM, ulitaka waseme nn? Mikutano aina hii ni sawa na akina Mama wanaposutana jikoni au uwani hivyo ningemsihi Mkuu aache uchonganishi juu ya majukwaa hayasaidii zaidi ya kuleta mtafariku.
@gbbuku4714
@gbbuku4714 5 жыл бұрын
Sasa mkuu kachonganisha nn hapo zaid ya mbunge wenu wa chadema na kwanza ilitakiwa ashitakiwe kwa kumdanganya mh rais
@yusufumajaliwa1958
@yusufumajaliwa1958 5 жыл бұрын
elias njoji:Hakukuwa na haja ya kumuita Mbunge wala Mkurugenzi kutuhumiana mbele ya Umma kitu ambacho kinaleta chuki kati yao.
@gbbuku4714
@gbbuku4714 5 жыл бұрын
@@yusufumajaliwa1958 aloanza kumtuhum mwezie ni nana kama sio mbunge wenu baada kumtuhum ndo rais akaona amuite mteule wake amuulize ulitaka baada ya ile tuhuma rais asimuulize mkrugenz nn kinachoendelea
@sikireonard977
@sikireonard977 5 жыл бұрын
Akamuulize Haman aliyeamrisha wayahudi wrote wauwawe jinsi kibao kilivyomgeukia
@inocentedward8856
@inocentedward8856 5 жыл бұрын
Safi sana mh rais! Kuna watu wana roho za kimaskini sana!
@joanithasalvatory9707
@joanithasalvatory9707 5 жыл бұрын
Haaa nimecheka hapo akaoe haya Dada wa mbunge ,yeye kaona kumchongea mwenzie rahaa daa ,mpaka kalia mkurugenzi Mh .Rais huwa hatumbui ovyoovyooo tu anachunguza ,nakupenda Sana'a tungepata viongoz wengi wa aina yako hakika Tanzania ingekuwa ni Nchi ya kuigwa
@hamidahamadi3609
@hamidahamadi3609 5 жыл бұрын
Yani nimempenda Raisi wang hongera sn magufuli umetumia hekima sn!!
@sadickemmanuel3209
@sadickemmanuel3209 5 жыл бұрын
Asante presdaa
@mbwanaomary7537
@mbwanaomary7537 5 жыл бұрын
Hawa waropokaji walizoea kuwatengenezea ajali wenzao leo imewageuka, hujidai wao ni wasafi kumbe ndio waizi wakubwa, na huo ndio mfumo wa chama chao kuishi kwa porojo tu
@josephwilliam4727
@josephwilliam4727 5 жыл бұрын
Marwa we mtapeli wa siasa huna lolote nenda kula kumchongea mwenzio si dili.
@saadachara943
@saadachara943 5 жыл бұрын
Lwakweli daaaaah chozi limenitoka jamani tuwaheshim wazazi wetu wanapitia changamoto nyingi sana pole sana babangu mungu niwawote nahaki ikitendeka lazima pawe nachuki fanya halali yako babaet, juma
@amosmisent7209
@amosmisent7209 4 жыл бұрын
Mkurugezi juma kaza moyo kiongozi wangu hizo ni changamoto 2 za kazi Mungu akutangulie baba angu
@elishamartine9852
@elishamartine9852 5 жыл бұрын
I appreciate you ptlresident
@frankrowland2884
@frankrowland2884 5 жыл бұрын
Jamaaa hajui kama yupo katikat ya ccm,chochote atakachoongea atazomewa.
@hellenmgungus1979
@hellenmgungus1979 5 жыл бұрын
Frank Rowland hakulijua hilo
@joshuakiwovele8664
@joshuakiwovele8664 5 жыл бұрын
Frank Rowland kazingua mwenyewe utaongeaje maneno kama Yale mbele za watu
BREAKING: JPM Atembelea Shule Aliyosoma Nyerere
13:30
Global TV Online
Рет қаралды 238 М.
JPM Awabana Mawaziri, Askofu 'Njooni Hapa Mchangie Msikiti'
14:14
Global TV Online
Рет қаралды 350 М.
HAPPY BIRTHDAY @mozabrick 🎉 #cat #funny
00:36
SOFIADELMONSTRO
Рет қаралды 18 МЛН
Does size matter? BEACH EDITION
00:32
Mini Katana
Рет қаралды 20 МЛН
MHE. RAIS SAMIA AKITEMBELEA KABURI LA HAYATI DKT. JOHN MAGUFULI
9:42
Ikulu Tanzania
Рет қаралды 624 М.
HAPPY BIRTHDAY @mozabrick 🎉 #cat #funny
00:36
SOFIADELMONSTRO
Рет қаралды 18 МЛН