Chris Mauki: Kwa dalili hizi hafai kuwa mume

  Рет қаралды 65,069

Chris Mauki

Chris Mauki

Жыл бұрын

Kabla hujaji ingiza sehemu ambayo itakutoa machozi ya muda mrefu basi ngoja nikupe dalili ambazo ukiziona tu ujue hafai kuwa mume. K imbia

Пікірлер: 261
@elizakasian5388
@elizakasian5388 2 ай бұрын
Habari Dr. Mauki ,ninakufuatilia Sana mafundisho yako ofisi yako iko wapi natamani kufika ili nami nipone kwakweli
@eliamanminja6008
@eliamanminja6008 9 күн бұрын
Ubarikiwe sana kwa masomo
@user-co7nu4kj1k
@user-co7nu4kj1k 4 ай бұрын
Ahsante Sana mpaka hapo , no comment zaidi umenisaidia sana
@ministerpd2588
@ministerpd2588 Жыл бұрын
Thank u so much sir for you teaching.
@NeddyMwakatimbo
@NeddyMwakatimbo 3 ай бұрын
Asante baba kwa somo zuriiii🙏🏿
@glorymbuya393
@glorymbuya393 Жыл бұрын
Asante kwasom zuri nimejifuz San mungu azid kuku bariki
@MONIKALOBI-hu8pv
@MONIKALOBI-hu8pv 10 ай бұрын
Umeogea saahii kabisa dokta me Niko namume hapa duuh mungu tu ndo anajuwa lakn nashukuru sana kwa ushauli wako kwakweri unatusaidia sana vitu vigi tunajifunza kutoka kwako mungu azidi kukulnda akupe maisha malefu🙏🙏
@nuruyohana3946
@nuruyohana3946 Жыл бұрын
Thanks so much sir for this
@user-cx2us8wu8l
@user-cx2us8wu8l 5 ай бұрын
Merci sana dr kwa mafundi sho unayotupatiya kila Siku tukotuna faidika sana tena vyakutosha
@MagrethShedrackIsaka
@MagrethShedrackIsaka 11 ай бұрын
Your very very true thanks alot
@jeangodelo5349
@jeangodelo5349 Жыл бұрын
Ahsante kwa somo nzuri,🙏
@neemaryan9947
@neemaryan9947 Жыл бұрын
Shukran Dr kweli mtu akidangangwa au akateswa ni uzembe wake mwenyewe umetufunza mengi sana🙏🙏🙏
@lovenesshonest9299
@lovenesshonest9299 10 ай бұрын
Yani kanisumbua hataree analia nakupenda nakupenda hajui kulipa kodi hajui msosi hajui A wala Z tofauti yake nn akikupa elfu5 wew utampa laki moja duuh yamenishinda nyie nimemuweka ndani ili tuepukane😂😂😂😂
@hamisimkoma7380
@hamisimkoma7380 Жыл бұрын
Kwa mambo ya ndoa huwa simusikilizi yoyote zaidi ya kureje ktk qur_an na sunnah kwa kuwa kila kitu Mungu ametuelekeza humo
@Dafetty
@Dafetty Жыл бұрын
Shukran sana
@bupekibiki5151
@bupekibiki5151 Жыл бұрын
This insight 👏👏👏👏
@linetsamweli4731
@linetsamweli4731 Жыл бұрын
Asante Kwa somo Zuri nimejifudza kitu
@tuombemamila1364
@tuombemamila1364 Жыл бұрын
Dr be blessed una mafunzo mazuri sana
@nurusewando7160
@nurusewando7160 4 ай бұрын
Asante dr
@JescaRabson-mh9wt
@JescaRabson-mh9wt 9 ай бұрын
Hili SoMo Asante sana kaka angu ubarikiwe sana
@adijashaban4793
@adijashaban4793 Жыл бұрын
Shukran 🙏
@user-pl4li8pt1o
@user-pl4li8pt1o 7 ай бұрын
Mungu akubariki sana doctor
@user-fl2vn1jb6k
@user-fl2vn1jb6k Жыл бұрын
Dr. Chris unatisha sana, endelea kutuelimisha.
@pelagiamtabazi5285
@pelagiamtabazi5285 Ай бұрын
Ohhhh My Asantee sana Mtumishi wa Mungu Nakuelewa sana
@MatengenezoEliya
@MatengenezoEliya 6 ай бұрын
Asante ubarikiwe mno
@MwanaishaHemed-xi6rj
@MwanaishaHemed-xi6rj Жыл бұрын
Asante sana
@lydiaedwin6911
@lydiaedwin6911 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana
@wemakalama6458
@wemakalama6458 9 ай бұрын
Ubarikiwe dr mauki
@TiffFatma-lw5mf
@TiffFatma-lw5mf Жыл бұрын
Hahahaha nimefurahi sana hili somo. Limenipa akili mpya... mungu akusimamie daima kaka
@asmaahibrahim4454
@asmaahibrahim4454 Жыл бұрын
Asante kwa somo 🙏🙌
@divinemushi1417
@divinemushi1417 Жыл бұрын
Ahsnte sanaa Dr.
@lucyjoseph4025
@lucyjoseph4025 Ай бұрын
Asantee san dr🙏
@mariamsemwa226
@mariamsemwa226 Жыл бұрын
Asante Mungu wangu hana hizo tabia
@emmyteyani4194
@emmyteyani4194 3 ай бұрын
Duh hii dalili ya mwisho ipo kwa huyu baba mjengo kaabisa😂😂😂duh c.mauki MUNGU akutunze baba unaona lyf zet kbs znavoenda shukrani
@sophiaabdallah5814
@sophiaabdallah5814 Жыл бұрын
Absolutely doctor
@janethurio2453
@janethurio2453 Жыл бұрын
Brother mauki, wewe ni 🔥🔥🔥🔥 nimecheka hatari. Mungu akuzizishie miaka.
@EliminaHemedi-if4tp
@EliminaHemedi-if4tp 6 ай бұрын
God bless u
@elisebakhasiama32
@elisebakhasiama32 Жыл бұрын
Asante kuniamsha kwa usingizi
@TheresiaJohn-dy1op
@TheresiaJohn-dy1op Жыл бұрын
Wakwangu namba 2 na 3 ni kero Nashukuru Mungu nimeacha a nae
@lovenesshonest9299
@lovenesshonest9299 10 ай бұрын
Yan dokta sijui umeona maisha yangu ndio ukatoa somo daaah umenigusa mweeeeee
@ppendo3611
@ppendo3611 Жыл бұрын
Wangu anafaa kuwa mume hayo yote hana I can't wait to enjoy my marriage 🙏🙏🙏
@kimamybeautypoint9656
@kimamybeautypoint9656 Жыл бұрын
kama bado hujaingia kwenye ndoa tulia 😢
@ppendo3611
@ppendo3611 Жыл бұрын
@@kimamybeautypoint9656 kwanini miaka yangu imesonga daa niko 27now
@mamakevoobiero7465
@mamakevoobiero7465 Жыл бұрын
​@@kimamybeautypoint9656😂
@EliminaHemedi-if4tp
@EliminaHemedi-if4tp 6 ай бұрын
Mungu akubariki mtumishi
@eunicemwalsumo2166
@eunicemwalsumo2166 11 ай бұрын
Dr Chris ww fire nimejifunza kitu
@user-oj6qq8up7f
@user-oj6qq8up7f 3 ай бұрын
Ahsante kwa somo zuri
@CAROLYNESIMIYU-pw8ph
@CAROLYNESIMIYU-pw8ph 6 ай бұрын
everything that you said here is true dr ubarikiwe
@pauline.joshua_
@pauline.joshua_ Жыл бұрын
Ukweli mtupu wallai asante sana mtumishi
@user-uw9of3vy7u
@user-uw9of3vy7u 9 ай бұрын
thanks
@user-fx6hp5wt4r
@user-fx6hp5wt4r 11 ай бұрын
Hii n kwel tulikosana n mtu wangu juu y kuombaomba pesa kila wakati
@shaomymusic4510
@shaomymusic4510 5 ай бұрын
Ahsante sana kaka kwa elimu
@oliperamani8914
@oliperamani8914 Жыл бұрын
Thank you for good speech
@salmamohamed1769
@salmamohamed1769 7 ай бұрын
Jamani Dr Chris hio ya pili kutoka mwisho na ya pili kutokea mwanzo ndio chanzo kikubwa huku znz ndoa kuvunjika ubarikiwe sana Dr
@gloriakawago6223
@gloriakawago6223 Жыл бұрын
Jaman nilikaa mda mrefu sina mahusiano nikaamua kumpa nafas huyu Msambaa cha kwanza baby nikopeshe lak 2 nilipie mzigo nikampa, hajanilipa bado naomba elf 50, kukawa nasafar tupo wote tena ananipiga kibom nitumie elf 10 nikamjib mm sio boya wako waombe hao wengine leo kimya hata salam
@josephinalibaryo4798
@josephinalibaryo4798 Жыл бұрын
Ilinikuta hii hata mimi salam hakuna
@MeryMpmba
@MeryMpmba Жыл бұрын
Wengine n tulibadilishiwa mpka na namba 😂😂😂😂
@QueenSophie-rj7hu
@QueenSophie-rj7hu Жыл бұрын
Mmmmh wewe umerogwa au😢 unampaje mwanaume pesa?
@ghelimafilemon9653
@ghelimafilemon9653 Жыл бұрын
Wasambaa wakoje, kujeni huku mnielimishe😂😂
@tasokwamichael2433
@tasokwamichael2433 Жыл бұрын
Haya ya Hela kuombwa nimeombwa Mpaka nimekuwa gaidi siamini Mwanaume kuhusu kuomba hela
@Nnietechnology
@Nnietechnology 3 ай бұрын
Dr No2 na no3 ni noma leo naacha 🤣🤣mtoto wangu nitalea mwenyewe akii, hili ni tatizo 😢kuliko kuendeleaaa kumuomba Mungu amrekebishe, bora nimuombe Mungu anitunzie Mwanangu😅😅😅
@user-pf4bo7gz6n
@user-pf4bo7gz6n 3 ай бұрын
Asante Kwa SoMo zur
@azizaidd1998
@azizaidd1998 11 ай бұрын
Hapo mwisho 😂😂mume wangu mtarajiwa eri my husband 😂😂😂
@neemanyimbi2355
@neemanyimbi2355 Жыл бұрын
Na mwanaume ukiwa na hizo tabia utachelewa Sana kuoa akuna mwanamke anaependa maudhi hayowengine wameolewa lakin nahisi saizi wanajuta
@user-th3th6qb2e
@user-th3th6qb2e 6 ай бұрын
Ikiwemo mimi😢
@user-lj6hl1rp8n
@user-lj6hl1rp8n Жыл бұрын
Tayari ushaniokoa mwee..🙏🙏
@user-nh5on9kp8i
@user-nh5on9kp8i 9 ай бұрын
Asantee kwa somo limetuingia wallah
@onderinyaboke
@onderinyaboke 10 ай бұрын
Exactly 💯
@adelaideshisila749
@adelaideshisila749 Жыл бұрын
Nilijikuta katika hii Hali Hadi nikajiondoa na watoto watatu
@sikudhanisaidi8835
@sikudhanisaidi8835 Жыл бұрын
Doctor this point thank
@aloycebrown3425
@aloycebrown3425 2 ай бұрын
Asant kwakwel
@StellaMasanyiwa
@StellaMasanyiwa 8 ай бұрын
Amina
@user-fe1ny4qc7r
@user-fe1ny4qc7r 10 ай бұрын
Thunks
@abcmnbb2610
@abcmnbb2610 Жыл бұрын
❤❤Asante kaka ❤❤
@rehemaedward9494
@rehemaedward9494 Жыл бұрын
nkufuatilia sana br cris,,
@user-gj1pw9tq6i
@user-gj1pw9tq6i 10 ай бұрын
Daaaah haya yapo tena mm siwez jaman kupa pesa mwanaume ila kwasababu nampenda ndo mana nampa daaaa ina umwa ila nime jifunza mungu akubaliki kaka
@GIFTJOHN-ko3qj
@GIFTJOHN-ko3qj 11 ай бұрын
More than fact 💯📌📌📌
@DavidTafugong-qk5gn
@DavidTafugong-qk5gn 8 ай бұрын
Broo kiukwel umekuwa mtu bora kwenye maisha yng kwasababu najifunza vitu ving kutoka kwako kama fans wako nataman nikuone
@rosemuhandoofficial5676
@rosemuhandoofficial5676 11 ай бұрын
Ila hapo kwa kuombomba hela kwa kweli mpaka wanakera, !! Yaani haoni haya!!
@Antigu-j8z
@Antigu-j8z 22 күн бұрын
Rose❤
@josephmwangi8335
@josephmwangi8335 Ай бұрын
Mwanamke anafanya vitu zakumiza roho yangu nifanye kitu gani.ukahaba.
@gloryjimson9831
@gloryjimson9831 Жыл бұрын
Hii ilinikuta mimi namba 2 jamani khaaaaaaa uuuuwiiiiii mi staki hata kuwaza
@onesthamasatu3703
@onesthamasatu3703 Жыл бұрын
Namba 3 hiyo umegusa wangu mie, yan anatamani hata chakula asiwe ananunua😅😅 ..mungu tusaidie jaman
@user-eq9yi7pz4i
@user-eq9yi7pz4i Жыл бұрын
😂,
@user-wu7ns1gg2v
@user-wu7ns1gg2v 5 ай бұрын
Somo nzuri
@user-eb3sr5wi5v
@user-eb3sr5wi5v Жыл бұрын
Jaman duuuu mtihan,Bora tujifinze wanawake😂
@saidatyusuphu849
@saidatyusuphu849 Жыл бұрын
Kweli kabisa
@upendojohn
@upendojohn Жыл бұрын
Jamani nn😭😭😭🙌🙌🙌
@FurahaFeza-yd8jr
@FurahaFeza-yd8jr 10 күн бұрын
Wow
@shaaonga4894
@shaaonga4894 Жыл бұрын
Mtu hakiwa anakaa kwao ana kigezo cha kuhoa duh! Iyo mpya.ila hana ruhusiwa kuzini
@LeilaSpembo
@LeilaSpembo 2 ай бұрын
Hbr dokta mm nakuftiria sana alafu nina mwanaume ana tbia ngumu sana doctar naomba tuonane doctar
@KhadijaKarani-ji6nc
@KhadijaKarani-ji6nc Ай бұрын
kweli haaa anasikiliza mama yake baba yake hana maamuzi yani nashukuru nimemuacha bahati baya nimezaa nae
@Ramlathassan-b3z
@Ramlathassan-b3z Ай бұрын
Exactly chris umeongea point
@claraluoga3588
@claraluoga3588 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 shikamoo Mauki
@Fatma87-wy4iq
@Fatma87-wy4iq Жыл бұрын
@user-ox6fs6qi9z
@user-ox6fs6qi9z 8 ай бұрын
Kwa kwel Mwl unazid kuupiga mwingii Kwa madini haya💪💪
@halimahalima1984
@halimahalima1984 Жыл бұрын
Kweli kabisa bgp🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦
@MS.independent8934
@MS.independent8934 10 ай бұрын
Ahsate sana Dr.😂😂😂
@jenipherkavusha1661
@jenipherkavusha1661 Жыл бұрын
Ni kweli baba jaman wanaume hawa ni tatizo
@winfridamwigilwa2107
@winfridamwigilwa2107 Жыл бұрын
Kazi ipo. 😢😢😢😢😢
@user-vr5bi8rb8y
@user-vr5bi8rb8y Жыл бұрын
Thank Doctor
@AishaOman-qz7tn
@AishaOman-qz7tn Жыл бұрын
🙏🙏🙏
@ndegwapolly5762
@ndegwapolly5762 3 ай бұрын
This is very true
@user-eb3sr5wi5v
@user-eb3sr5wi5v Жыл бұрын
Jaman eeee,eti mbwa huyu heeeee watu wanahasira😂😂😂😂😂😂😂😂
@africahome447
@africahome447 8 ай бұрын
True
@ElizabettEmanuel
@ElizabettEmanuel 4 ай бұрын
😂😂😂😂 hahahaha omba omba wanaume mpooo
@rosegitari7889
@rosegitari7889 Жыл бұрын
Hello i love the way u teach mungu akubariki nimezifunza mengi mazuri kutokana na mafundisho yako thanks alot❤❤
@rosegitari7889
@rosegitari7889 Жыл бұрын
Niko Kenya naweza pata wapi vitabu viako pls
@Zaburi-
@Zaburi- Жыл бұрын
Mungu/MUNGU sio mungu
@gilbertmusyimi7574
@gilbertmusyimi7574 Жыл бұрын
Dalili ya nne do,,,,,na nayatano😜😂😂😂😂😂acha nirudi dotoni😂😂😂😂
@magrethmwambu3637
@magrethmwambu3637 11 ай бұрын
Dr Mungu akupe maisha marefu utufungue zaidi na zaidi jamani. Somo nimelielewa vzr sana
@user-nt8vo1hp8f
@user-nt8vo1hp8f Жыл бұрын
Mme wangu wamerudiana bibi walioachana baada ya miaka kumi namimi nimenzaa na yeye watoto watoto wawili na amenilipia mahali sijui nifanye hana aja na mimikabisa
@MariamuOboto-vc1sh
@MariamuOboto-vc1sh Жыл бұрын
Acha kupambania mapnz Dada ondoka kwa ajili ya aman ya maisha yako
@Kasweety6786
@Kasweety6786 Жыл бұрын
B4 uoleke na mtu alikua na mke jaribu kujua nininkilimfanya mkewe haende
@user-gv3si2mv3l
@user-gv3si2mv3l Жыл бұрын
Pole aki mapenzi haya
@hildakayun6445
@hildakayun6445 11 ай бұрын
Kwenye ndoa za watu mnaendaga kufanya nn ili umkomoe Sasa ww ndo utajuta maisha yako yote
@happynescostat7420
@happynescostat7420 11 ай бұрын
@@MariamuOboto-vc1sh pole Ila wafundshe WENYE Tabia za kuchukua waume za watu wakome,
@user-fj1gm2ik6n
@user-fj1gm2ik6n Жыл бұрын
Asanteee Kwa SoMo. Utasikia baba amesema nianze kujenga wakat kipindi chote mmepigishana kelele mpaka basi
@liannsambu7264
@liannsambu7264 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 hakika wakaote tena
@jojotanzan609
@jojotanzan609 Жыл бұрын
😂Dah umefanya nimkumbuke mshenzi mmoja ila nilimpotezea nilimuona ni chuma ulete hadi pesa ya kodi ananiomba nilimchamba😂
Mama vs Son vs Daddy 😭🤣
00:13
DADDYSON SHOW
Рет қаралды 43 МЛН
WHAT’S THAT?
00:27
Natan por Aí
Рет қаралды 14 МЛН
ПРОВЕРИЛ АРБУЗЫ #shorts
00:34
Паша Осадчий
Рет қаралды 7 МЛН
Chris Mauki: Dalili 5 ameshakutoa moyoni mwake
6:27
Chris Mauki
Рет қаралды 151 М.
FAHAMU VIASHIRIA VYA KUWEPO KWA HESHIMA KATIKA MAHUSIANO
16:41
Mwl. JOYCE KISHA
Рет қаралды 3,3 М.
SABABU 3 ZA MWANAMKE KUKUACHA
12:56
Mbeki TV
Рет қаралды 33 М.
DALILI HATARISHI KWENYE UPENDO - JOEL NANAUKA
8:33
Joel Nanauka
Рет қаралды 128 М.
Dr. Chris Mauki: Ukiyaona haya, hata kama unampenda, mwache aende
10:14
Dr Chris Mauki - Utajuaje penzi la mpenzi wako limeisha?
12:39
Chris Mauki
Рет қаралды 346 М.
Aina 5 za Wanaume kwenye Ndoa | Uponyaji wa Familia | Deo Sukambi
1:00:36
Mama vs Son vs Daddy 😭🤣
00:13
DADDYSON SHOW
Рет қаралды 43 МЛН