DALILI HATARISHI KWENYE UPENDO - JOEL NANAUKA

  Рет қаралды 128,877

Joel Nanauka

Joel Nanauka

Күн бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.selar.co 🔥🔥🔥

Пікірлер: 384
@luiceadam385
@luiceadam385 3 ай бұрын
Mm napitia kipindi hikii sasa na usiku wangu wa leo cjui kama itafika salama asubuii mungu anisaidie sana aliyekuwepo hapa anambie kitu chochote uwenda nikaona kitu tarehe 12 april leo 2024 mungu nivushe salama hapa
@hopingtrust1284
@hopingtrust1284 2 ай бұрын
My situation Now ila mimi nimeshaachilia Aende tu😢
@medyalfayo2076
@medyalfayo2076 2 жыл бұрын
Yanii brother big up sana maana hiyo halii inatokea sana kwa vijana wengi..lakni kila kitu huwa naamini Ni mapito na mipango ya Mungu..🙏🙏
@nanjingasaidi1257
@nanjingasaidi1257 2 жыл бұрын
Yani brother kama yote unaniongelea Mimi an nayoptia dah bless sn 🙏
@ezekielyohana5454
@ezekielyohana5454 2 жыл бұрын
Big up sana broo ,unatoa madin adim sana
@happynescostat7420
@happynescostat7420 2 жыл бұрын
Pole Sana hayo yamekuwa sehemu ya wanandoa wengi,usikate tamaa endelea kumsikiliza Joel utakuwa sawa,
@immajuzo2440
@immajuzo2440 2 жыл бұрын
Pola sana ndugu
@zakayooranga2894
@zakayooranga2894 2 жыл бұрын
Yah
@latifaanuary4911
@latifaanuary4911 Жыл бұрын
Mungu ni mwema sote tunapitoa lkn tujifunze kuwaachilia waende
@sekeladuncan329
@sekeladuncan329 Жыл бұрын
Najifunza mengi kupitia wewe Joel kiukweli Mungu akuweke mana watu wengi tunaishi ilimradi hatuna furaha
@violethurassa7362
@violethurassa7362 2 жыл бұрын
Tumeumizwa wengi tunapojaribu kukemea mabaya lakini Mungu yupo anatupigania,
@nassoromussa2423
@nassoromussa2423 2 жыл бұрын
Hii mbaya sana unaachwa na mtu unaempenda kitaratibu....vinauma sana kwakweli.
@bongorecaps3558
@bongorecaps3558 2 жыл бұрын
Ukiona ameanza kukuacha taratibu we muache fasta
@tinahwilliam1918
@tinahwilliam1918 2 жыл бұрын
Kabisa
@mawiamusai1362
@mawiamusai1362 2 жыл бұрын
@@bongorecaps3558 si raisi
@bongorecaps3558
@bongorecaps3558 2 жыл бұрын
@@mawiamusai1362 Ni rahisi endapo ukiitambua thamani yako, wakati mwingine unapompenda mtu kupitiliza unampandisha hadhi kiasi kwamba inafikia hatua anaweza kujiona yeye sio level zako, Acha kufanya mambo ambayo hayapewi thamani mbele ya mwenzi wako na usifanye kile ambayo yeye pia hayuko tayari kukifanya kwaajili yako ishi kama kioo chake tu
@gracesilayo7670
@gracesilayo7670 Жыл бұрын
@@bongorecaps3558 nmeipenda io ila sasa kama mimi cwez najikuta nshafanya nabakia kuumia tyu yan 😭💔
@huss668
@huss668 Жыл бұрын
Mausiano Sahi yamekuwa na changa moto unakuta unaye mpenda nae Ana mpenda mwengine yani Duniani tume kuwa tuna fukuzana subhanallah lakini cha msingi ukiona mtu anaka mbali na wewe nawe kaa mbali nae usilazimishe kuforce kitu ukajitafutia maradhi muache aenda Mungu atakupa kilicho bora zaidi ❤️
@imranmohamed5170
@imranmohamed5170 Жыл бұрын
Hi
@user-gd6yr7qj2q
@user-gd6yr7qj2q Жыл бұрын
True
@numohd
@numohd Жыл бұрын
Kweli kabisaa
@naimamohamedi868
@naimamohamedi868 Жыл бұрын
Ila kusema kweli mimi najuta kuolewa na huyu mwanaume Yani najutaaaaaaaaaa kiru chandesa 😭😭😭
@abunationclassic4117
@abunationclassic4117 Жыл бұрын
Pole Naima
@ivomhagama9796
@ivomhagama9796 2 ай бұрын
Daaaa unauma pole, wanaume wengi wanachanganyikiwa na wasichana wa 2000
@elishadeulitv2711
@elishadeulitv2711 2 ай бұрын
Usijute huyo ndiye chaguo la moyo wako, mwombee MUNGU amponye
@lukandaguillaume4175
@lukandaguillaume4175 Жыл бұрын
Sina lengo la kukupamba mtumishi Wa Mungu. Hii,ndo nafasi yako, unatunafundisha mambo muhimu ambayo hata shuleni ,tulilipa Ada lakini hatukuyapata haya! kwa bei kama yabure, tunapata mambo muhimu sana sana. Najengeka upya kila siku!
@frankmsangi
@frankmsangi Жыл бұрын
Unajua sana broo duuuuuuh 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🤣🤣🤣💯💯💯💯💯💯💯💯
@frankmsangi
@frankmsangi Жыл бұрын
Unagusa mule mule Broo yan kitu unachokisema kina uhalisia kabsa yan daah kusudi yako linagusa sana maisha yetu Broo🔥🔥🔥🙏🙏🙏🙏
@aishadulla7364
@aishadulla7364 10 ай бұрын
Mm nliogee nae mwaka mzima paka juz ndonabiwa nakupenda ukweli nyuma sikuwa nakupenda moyo ulisimama apo🥺🥺
@user-po8hz7xw9j
@user-po8hz7xw9j Жыл бұрын
Niliteseka mimi. 😭Hivyohivyo chuki hasira Ila hivi sasa nipo single
@isacknguvumali3445
@isacknguvumali3445 2 жыл бұрын
Brother ume gusa maisha yangu kwa asilimia 100% Mungu akubaliki iseee yani kama umeyaona ninayo yapitia daaa
@josephineleandri152
@josephineleandri152 2 жыл бұрын
Pole sana
@user-fv2sn7js7g
@user-fv2sn7js7g Жыл бұрын
Nikwer kabisa hata mm napitia magumu kabisa
@annahngwila
@annahngwila Жыл бұрын
Haya nimateso makubwa, sana massage fupi yaani umegusa maisha yangu kabisa
@giftamulike8650
@giftamulike8650 Жыл бұрын
Iyo me nahifahamu iyo ishara ya mawasiliano ni mbaya mno ahsanteee sana bro
@user-lh1gl6uy7d
@user-lh1gl6uy7d Жыл бұрын
Majuto niliyonayo mungu tu anajua nawish siku zirudi labda ningepata mtu sahihi😭
@ShimirimanaNoela-zn6sd
@ShimirimanaNoela-zn6sd 7 ай бұрын
Pole ndugu
@happynescostat7420
@happynescostat7420 2 жыл бұрын
Asante Sana Joel,niliumia Sana nilipofanyiwa hayo yote,nilisikiliza clik yako ya kuondoa msongo wa mawazo,inayosema furaha yako iko mikononi mwako na niambie ninaweza bila Fulani!
@mageurio9242
@mageurio9242 Жыл бұрын
Mimi hayo yote nayapitia
@yeyaboy8045
@yeyaboy8045 Жыл бұрын
Yananitokea bro lakn nikimuliza 7bu hanipi
@johnjackson4363
@johnjackson4363 Жыл бұрын
Haya yote yamenitokea nashukuru kwa elimu hiii. Imenitesa sana hii Hali na mbaya zaidi imetokea baada ya mm kukosa KAZI
@georgiaruhinda1704
@georgiaruhinda1704 Жыл бұрын
Napenda mafundisho yako,kweli hayo yanatokea na unakuwa huelewi jinsi ya kuyatatua,nafurahi .
@lilianachieng2382
@lilianachieng2382 2 жыл бұрын
Asante sana brother kwa mawaidha ningeomba siku moja tukutane ili inisaidie na njia ya Synology please 🙏
@frankmsangi
@frankmsangi Жыл бұрын
Daaah Aisee broo hii point ya kwanza nimeipenda sana umeielezea vizuri sana Aisee Asante san. 🔥🔥🔥🔥💯💯💓💓🙏🙏🙏
@annahngwila
@annahngwila Жыл бұрын
Aisee, nimelia sana hata kujali , nimependa haya mafundisho
@IbrahimIdrisa-tl6wm
@IbrahimIdrisa-tl6wm Жыл бұрын
Asante kwa somo zuri la kutufunza na kuongeza wigo wa kufahamu zaidi
@mikeroh489
@mikeroh489 2 жыл бұрын
Hongera Mr, unasaidia Sana Jamii yetu.
@timothykengere2535
@timothykengere2535 2 жыл бұрын
Ukweli mtupu Ndugu Nan 📚📚📚 🎙️ shukran.
@magrary2455
@magrary2455 2 жыл бұрын
Hali pia mimi iliwahi kunikuta na mpenzi wangu aliniambi niko busy muda wote sikuamini kuhusu kauli hiyo niliamua kufatilia kujua kama kweli alimaanisha nikajua kweli alikuwa akimaanisha na alikuwa anaonekana kama haniitaji katika maisha yake na hatimaye niliamua kukaa mbali na yeye pale nilipoona dalili ya kushindwa hata kufanya mambo yangu kwa kuzidi kwa maumivu. Ahsantee kwa kutupa na suluhisho kwa wakati mwingine tuweze kuitumia.
@geraldlaurent6750
@geraldlaurent6750 Жыл бұрын
Hata Mimi yamenikuta mtu ananiambia Yuko busy mda wote aise inauma Sana
@mussakhamis2377
@mussakhamis2377 2 жыл бұрын
My life coarch joel nanauka kwa hakika ww ndio faraja yng
@mapoluchalya280
@mapoluchalya280 Жыл бұрын
Kwel kaka yani unatusaidia sana ambao tunafanyiwa haya yote,inauma sana sana mim napitia haya,yote kw yote mungu akubariki kaka
@zuwenaally6403
@zuwenaally6403 Жыл бұрын
Brother hiyo nikwelii kabisaa nimelia sana mie😭😭😭😭😭imaum sana wallahi???
@bornmwambemba8497
@bornmwambemba8497 2 жыл бұрын
Nimekusoma j! Nimejifnza kitu.
@lizzydiy4590
@lizzydiy4590 2 жыл бұрын
Duuuh yan huyu ni mm ndio nlikua naongelewa hapo 😁
@monicakauky8914
@monicakauky8914 Ай бұрын
Ndiyo nimeshawahi kupenda nikafanyiwa kama ulivyosema.Naomba Mungu anisaidie niweze kupenda Tena.
@shavakhantz7960
@shavakhantz7960 2 жыл бұрын
We n bora zaidi napenda sana kitu unachokifanya
@user-vz6kk8id2f
@user-vz6kk8id2f 2 күн бұрын
Tulioko hapa 2024🎉 tujuane
@mkramazani2759
@mkramazani2759 2 жыл бұрын
I always follow your teaching man love u. Mungu akubariki👌
@bernadetachari7648
@bernadetachari7648 Жыл бұрын
Zipo umesemaukweli sana mafunzoyAko nimazuri sana asante
@shorashora2003
@shorashora2003 Жыл бұрын
Nakukubali sanaa kaka nakuombea ukuze kiwango cha kutuelimishe mimi nimeteseja sana kwakutokewa nahayo mambo❤❤❤
@shaababy2570
@shaababy2570 2 жыл бұрын
😅😅😅Mimi WA kwangu alikua ivo adi akishtuka usiku ananiambia km akma kashtuka au Kuna ndoto kaota 😅😅akaja akabadilika saiv unaweza ukatuma msg saa moj jion ikajibiwa kesho asbh saa 4.... Na mm nikajionea ya nini mie? Yanini nimeachia💃
@bonifaceferdinand566
@bonifaceferdinand566 2 жыл бұрын
Pole Sana shaa Baby
@bongorecaps3558
@bongorecaps3558 2 жыл бұрын
Ahahahah itabid tuunde chama chetu tulioamua kuyaachia mahusiano
@swaumamiriy2234
@swaumamiriy2234 2 жыл бұрын
😃😃😃😃
@swaumamiriy2234
@swaumamiriy2234 2 жыл бұрын
@@bongorecaps3558 kwakweli
@denisenery7358
@denisenery7358 2 жыл бұрын
Umeachia nn
@nuruanaelisha8731
@nuruanaelisha8731 2 жыл бұрын
Kaka,Mungu akutangulie ktk maisha Yako,akufungulie njia zako zote unazotaka kufanikisha ktk Jina la Yesu, umeongea ,yote yamenigusa Sana.
@jacklinedavid550
@jacklinedavid550 2 жыл бұрын
Ujumbe huu umenigusa sana. Bless you more
@scollalema4674
@scollalema4674 2 жыл бұрын
Ahsante kwa somo zuri.. MUNGU akubariki 🙏
@eddysonmboya1651
@eddysonmboya1651 Жыл бұрын
Nashukuru sana mentor nimejifunza vitu vya kutosha, pia kuna dalili umezitaja zinarelate kabisa na anavyofanya mpenzi wangu
@mwajumamany6402
@mwajumamany6402 2 жыл бұрын
Kaka mi naona kweri kabisa mana mi ndio yangu imekuafa kabisa mana si kwaukimya huo
@mazwichannel2120
@mazwichannel2120 5 ай бұрын
Thanks Kaka joel .That my situation now kila ulichoongea ndo nakipitia now binafsi nimeamua kukaa kimya nakuendelea na maisha mengine.Mbaya zaidi nipo ndani ya ndoa kaka @joelnanauka
@lovenoor988
@lovenoor988 2 жыл бұрын
Ahsante kaka kwa somo zuri Mungu akubariki
@victoriamerura9382
@victoriamerura9382 Жыл бұрын
Thanks so much, cz ur speaking the reality my brother may God bless you 🙏
@LucyMwikola-vc1lc
@LucyMwikola-vc1lc Жыл бұрын
Daaah nimejifunza kaka 🙏
@hidayakisensi2747
@hidayakisensi2747 Жыл бұрын
Channel inayonimalizia mb zangu barikiwa sana kaka joel🙏🏻
@nimenyajoseph8959
@nimenyajoseph8959 Жыл бұрын
Thank you,nimejifunza jambo SKU yakinikuta nitajua namna ya kukabiliananalo,
@amanimakury9686
@amanimakury9686 2 жыл бұрын
Ni kwli
@kizazijeur7518
@kizazijeur7518 2 жыл бұрын
Somo zur dr umegusa sehem muhim San. Hongera
@ImpressiveFacts
@ImpressiveFacts 2 жыл бұрын
Ahsante kaka kwa somo zuri.
@bupekibiki5151
@bupekibiki5151 2 жыл бұрын
Mungu akubariki sana brother Joel
@HappyPaul-xn3ei
@HappyPaul-xn3ei Жыл бұрын
Kwelii brooh umeongea kweli
@aikasolomon7781
@aikasolomon7781 2 жыл бұрын
Namshukuru Mungu kwa upendo
@jonfredkewe3451
@jonfredkewe3451 Жыл бұрын
I love this man
@merinamsofe5798
@merinamsofe5798 2 жыл бұрын
Bro kama unaniongelea mm jamn daaaaanh inaumaa sana
@reginaldipeter2272
@reginaldipeter2272 2 жыл бұрын
Ubarikiwe kwa Huduma nzuri Mungu akulinde (Zekaria 2:5)
@hellendeus7809
@hellendeus7809 Жыл бұрын
Mara nyingi tunaowapenda kwa dhati ndio wanaokuja kutuumiza saana ....dah!
@issaathumani7610
@issaathumani7610 Жыл бұрын
Kabla hujaamua kumkabidhi mtu moyo wako unapaswa kwanza umjue kuwa ni mtu sahihi ktk maisha yako na ana upendo wa dhati kwako na kujali hisia zako na kutambua thamani yako.Kwa UPENDO ni maisha yako ukikosea kupenda utakosea maisha yako utapoteza furaha yako utajikuta unakuwa mtumwa kwa unayempenda,hivyo ni lazima umshirikishe Muumba wako kwasababu yeye ndiye anayetujua undani wetu kuliko tunavyojijua ametuumba yeye na akatuumbia upendo,kupenda na kupendwa ni ibada sio dhambi bali wale wenye kuwatenda wenzao wakati nyoyoni mwao kumbe wana yao hawa Mungu naye atawadhalilisha pia ikiwa hawatatubia,Mtake msaada Mwenyezimungu Mtukufu na umshirikishe ktk safari yako ya UPENDO yeye peke yake anawajua waja wake wema na wabaya.
@hellendeus7809
@hellendeus7809 Жыл бұрын
@@issaathumani7610 thank you.
@husnamohammed8199
@husnamohammed8199 Жыл бұрын
​@@issaathumani7610 ndio kaka kuna watu wabaya wanafich makuch yao mtu hujifany mwema anakupend vizur kumbe huwa muongo na mtu mbaya utamjuwa mwisho akishakukupotezea mda hivi binaadam ndivyo tilivyo hatupendan kwa ajili ya allah halafu yy mtu anachukulia pow tu wala hajali km anakudanganya na mwish wa siku mtu km huyo hukuach njiani na maumivu yy anaendelea na maisha yke mtihan kwa kweli allah atusitiri
@husnamohammed8199
@husnamohammed8199 Жыл бұрын
​@@issaathumani7610 lkn mungu huwa analipa utakalo mfanyia mwenzio na ww unakuj kufanyiwa ni malipo hayo mungu huwalipa maana mtu hujitafutia deni la makusud mtu unasema uongo wa makusud uongo sio mzuri
@ruthmoses6565
@ruthmoses6565 Жыл бұрын
My teacher,be blessed sana
@catherinejackson5614
@catherinejackson5614 Жыл бұрын
Joe I like u beyond all the stars aise..upo na madini nakufatilia sana unanifumbua kwa mengi Joe..much love😍🌹🌹
@nurdinchilambo1486
@nurdinchilambo1486 2 жыл бұрын
utakuta anae kuonyesha hizo dalili ukiamua kumuacha kmya kmya tu ili uendelee na Mambo yako ataanza kukulalamikia mbona siku hiz unitafut
@jacklinedavid550
@jacklinedavid550 2 жыл бұрын
Hakika
@user-ep5sj9kt3k
@user-ep5sj9kt3k Жыл бұрын
Exactly 💯
@kisurakisura9757
@kisurakisura9757 Жыл бұрын
Exactly 💯
@hadijaally4772
@hadijaally4772 9 ай бұрын
Kwel yan
@Tayloryoung2405
@Tayloryoung2405 3 ай бұрын
​@@jacklinedavid550😂😂😂🎉
@yvesniyongabo9437
@yvesniyongabo9437 Жыл бұрын
Mafundisho mazuri sanaa Joel, asante sanaa
@AngelMassawe-nz9sk
@AngelMassawe-nz9sk 5 ай бұрын
Napenda sana kufatilia mafunzo yako ubarikiwe kama Ibrahimu na uzao wake
@seraphineniyonzima962
@seraphineniyonzima962 Жыл бұрын
Aah unaingeya kweli kabisa
@gracekazi5492
@gracekazi5492 Жыл бұрын
Daaaaa! Asante sana bro maisha hayo ndo nayaishi sasa😭😭
@noeljames7960
@noeljames7960 9 ай бұрын
Ansante mtumishi lakin binafsi kuna mdada nampenda sana lakin yote unayosema yapo Ansanteeee sanaaaa
@neemashirima6121
@neemashirima6121 2 жыл бұрын
ubarikiwe hayo ndo mm napitia kwa Sasa.
@irenebosco7411
@irenebosco7411 Жыл бұрын
Hali niliyonayo kwa sasa😭😭.moyo unauma na kosa lang mim ni kua mwaminifu
@gracesilayo7670
@gracesilayo7670 Жыл бұрын
Najikuta naumia acha tyu nina maumivu hadi natetemeka moyo wangu unable majeraha acha tyu unakua mwaminifu mtyu hajali yeye ni kupita na mambo yake tyu hajali kuhusu wewe
@gracesilayo7670
@gracesilayo7670 Жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭💔💔💔💔
@luiceadam385
@luiceadam385 3 ай бұрын
Mm napitia leo hiii hapa 12 April 2024 cjui kama kesho itafika Salama Hali yangu mbaya sana mungu anisaidie
@williamloserian5999
@williamloserian5999 Жыл бұрын
##Thanks you my brother Joel Nanauka kwa SoMo zur....
@bonifaceferdinand566
@bonifaceferdinand566 2 жыл бұрын
Brother yote uliyosema ni sahihi
@ismailramadhan1493
@ismailramadhan1493 2 жыл бұрын
Blessed sana brother
@FlolaKalan-kg1dp
@FlolaKalan-kg1dp Жыл бұрын
Amen mtumishi ahsantee kwa mafundisho mazur nimejifunza kit kikubwa sana
@fatmahkhamis9510
@fatmahkhamis9510 2 жыл бұрын
Asante kaka kwa somo zuri
@sharmilarashid6270
@sharmilarashid6270 2 жыл бұрын
Dah nilipita haya ty miaka 9 nyuma. Lkn alhamdulilah Sasa imebaki story, Asante kwasomo
@preciousdominicy138
@preciousdominicy138 2 жыл бұрын
Kaka Mungu akubariki saana 🙏
@joycejacob6263
@joycejacob6263 Жыл бұрын
Habari za kwako mwalimu
@bensontemu9356
@bensontemu9356 2 жыл бұрын
Dah!! Mule Mule Bro Kama Ulikuwepo,, Eti Ndo Nachana Nywele,,😃😃😃😃😃
@swaumamiriy2234
@swaumamiriy2234 2 жыл бұрын
We acha tu, unaongea nae had a nafika job au akitoka had a nafika hom afu vinakatika daah sad
@mfaume7057
@mfaume7057 2 жыл бұрын
Duu asante sana iyo hali nipo nayo sana hadi leo naumia
@ZAINABUIsmail-gx5qp
@ZAINABUIsmail-gx5qp 2 ай бұрын
😂😂😂
@fathimamohamed684
@fathimamohamed684 Жыл бұрын
Mafunzo mazuri👌
@dr.bonye1
@dr.bonye1 2 жыл бұрын
Thank you my brother 🙏
@mwanatz5980
@mwanatz5980 Жыл бұрын
Nimecheka 😀saivi najichana kweli unamwambia kilakitu.
@bizimunguadolphe1973
@bizimunguadolphe1973 2 жыл бұрын
Good job brother 💪
@soccerupdates5
@soccerupdates5 Жыл бұрын
Hii ndo inanitokea mim saiv nashuhudia, nikimtafuta ananijibu tu anavyojisikia, 😭😭😭
@luiceadam385
@luiceadam385 3 ай бұрын
Same to me cjuii kwann nimeamua kumpenda uyu Msichana
@ivomhagama9796
@ivomhagama9796 2 ай бұрын
Ujue yupo anaembembeleza na kumjibu vizuri sana
@soccerupdates5
@soccerupdates5 2 ай бұрын
@@ivomhagama9796 me mbona nishafungua moyo awe huru tu aende huko apendapo, Me saiv sina mahaba ya kumuwaza mtu asee nimeridhika kuwa single Mbona life linasonga tu
@lilianamukoya7156
@lilianamukoya7156 Жыл бұрын
Mm.nmefikia hapo n I'm happy ,,
@richardvalson4313
@richardvalson4313 2 жыл бұрын
Umesema kweli mr #NanaUka ✊
@taturajabu1806
@taturajabu1806 2 жыл бұрын
Inauma kumpenda mtu asiekupenda
@mawiamusai1362
@mawiamusai1362 2 жыл бұрын
Inauma sana
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤nikigundua naanza kuboresha hakuna kuachana
@khadijajuma7142
@khadijajuma7142 Жыл бұрын
Mm ndo napitia kipindi hiki aisee!!!! Hadi najishangaa, mtu niliekua nampenda, sitamani nimpoteze, akisema anaumwa naomba kila saa Mungu amsaidie apone haraka, nilikua nakosa furaha kabisaa hata nikihisi kuna kitu nimekosea. Imekuja kutokea kila mara anaongea maneno yakujirudia na yananiumiza vibaya sana, yeye anaona kawaida nikajikuta nimemchukia nakuomba tena Mungu aniweke mbali nae 😥😢 Yaani upendo niliokua nampenda umeyeyuka hadi anahisi labda nina mpenzi mwengine lakin sinaa. Dalili zote zinanihusu sasà miezi 2....
@ashaamini8384
@ashaamini8384 Жыл бұрын
kaka shukrani sana nakufatilia sana pia kiukweli hayo yalinitokea .
@DionistaMsack
@DionistaMsack 3 ай бұрын
Najifunza mengi sana jamni hiyo imenitokea ila kwenye mahusiano Kuna changamoto
@janethkomba4485
@janethkomba4485 2 жыл бұрын
daaaaa wewe umeona safar yangu ninayopitiya🙏
@user-fv2sn7js7g
@user-fv2sn7js7g Жыл бұрын
Kwakwer kabisa hata mm njo ivo
@vailethyona832
@vailethyona832 Жыл бұрын
Asant wengine tunapenda San mpaka ujinga mwingine no ndug yako Ila inabid umovn
@levinalyimo6240
@levinalyimo6240 10 ай бұрын
Yaaan hayo yote yako kwangu utafikiri uko hapa kwangu. Na sijui nini Cha kufanya zaidi ya kuachana
@annahngwila
@annahngwila Жыл бұрын
Yaani mapenzi
@mariamjohn4412
@mariamjohn4412 2 жыл бұрын
for really nimecheka kwa sauti mwanzo hua raha sana
@rafidaomar210
@rafidaomar210 Жыл бұрын
Walhi mapenzi shikamoo
@evertheobald1811
@evertheobald1811 10 ай бұрын
Mkishazoeana mmmmmmm hakika shikamoo mapenzi 🎉🎉🎉🎉
@samiasalehe339
@samiasalehe339 2 жыл бұрын
Utafanyaje sasa kama umemkosea na hataki kusamehe
@ivomhagama9796
@ivomhagama9796 2 ай бұрын
Hilo kosa umelifanya mara ngapi
@faridaaloyce7672
@faridaaloyce7672 2 жыл бұрын
Angekuwa mama yangu ningeogopa
@leaahzablon4154
@leaahzablon4154 2 жыл бұрын
🙆Hee...🙌🙌🙏🙏🙏 Hakika n ya kweli hayo...ubarikiwe sana Mr. Joel
@mwanarusiropia8363
@mwanarusiropia8363 Жыл бұрын
Shukran sana nime jifunza kitu ubarikiwe bro😢😢😢
@AbdulKifundo-xp2jd
@AbdulKifundo-xp2jd Жыл бұрын
Dalili zote hizo ulizozitaja zimetokea kwa mke wangu
@ivomhagama9796
@ivomhagama9796 2 ай бұрын
Pole Kuna jitu nje linahusika hapo .
UNAMPENDA LAKINI YEYE HAKUPENDI - JOEL NANAUKA
9:15
Joel Nanauka
Рет қаралды 198 М.
EPUKA MAMBO HAYA - JOEL NANAUKA
9:19
Joel Nanauka
Рет қаралды 100 М.
Why Is He Unhappy…?
00:26
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 26 МЛН
WHAT’S THAT?
00:27
Natan por Aí
Рет қаралды 14 МЛН
Double Stacked Pizza @Lionfield @ChefRush
00:33
albert_cancook
Рет қаралды 96 МЛН
路飞太过分了,自己游泳。#海贼王#路飞
00:28
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 28 МЛН
Njia Tano (5) Za Kurudisha Thamani - Joel Nanauka
10:21
Joel Nanauka
Рет қаралды 102 М.
KUSUDI LA MAISHA YAKO - JOEL NANAUKA EPISODE 02
10:00
Family of Praying Women
Рет қаралды 9 М.
Vitu Vinavyowakera  Wanawake - Joel Nanauka
8:50
Joel Nanauka
Рет қаралды 180 М.
Dr. Chris Mauki: Dalili 5 kwamba upo kwenye mahusiano feki
31:04
Chris Mauki
Рет қаралды 456 М.
Dr. Chris Mauki: Ukiyaona haya, hata kama unampenda, mwache aende
10:14
LIFE WISDOM : VITA YA MAPENZI  - JOEL NANAUKA
14:48
Joel Nanauka
Рет қаралды 16 М.
Dr. Chris Mauki: Mambo 8 ya Kukusaidia Kuishinda Hofu
12:14
Chris Mauki
Рет қаралды 31 М.
Dalili Za Mtu Anaekuacha - Joel Nanauka
6:05
Joel Nanauka
Рет қаралды 114 М.
Why Is He Unhappy…?
00:26
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 26 МЛН