Ndoa yangu Mimi imekua na mizumbazumba na pia kwa saizi ni miezi sita alishaa toa pete yetu ya harusi sasa mm najiuliza Mimi niendelee kuivaa yangu ama nitoe
@YuniceMalema5 сағат бұрын
Kuna huyu ambae alikuwa na hizo tabia kabla hajanioa zikaja Zika evaporate
@CatherineKalua-bk8vg7 сағат бұрын
Napenda kujifunza mafunzo yako mwalimu ,yananisaidia Sana
@floridanyabikwi93048 сағат бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi nimeelewa niko upande upi leo
@TausiKapaya10 сағат бұрын
Na kama yupo mbali kikazi je nifanyaje
@fatmasaid480615 сағат бұрын
Naomba namba yako kaka nikutafute privatw ili tuongee zaid ktk mambo yangu plzzz
@annayambayamba861416 сағат бұрын
Hii naisubiri kwa Ahamuu zote😊😊😊
@carolinetoto870617 сағат бұрын
Ni kwel
@jacklineminja202219 сағат бұрын
Asante Dr Chriss
@Srene022519 сағат бұрын
Utajuaje uko kwenye penzi 1.Utajisikia utayari wa kutumia muda na mtu husika(Spending quality time together) 2.Kusema mambo yako ya ndani kwa urahisi(Being honest and open to him) 3.Utayari wa kuwajibika kwa ajili yake(Being responsible for his/her needs)
@OdetteKahambu19 сағат бұрын
Affirmatif. Na Ku shukuru sana.
@CikeTanzania21 сағат бұрын
SubhanaAllah 😢😢
@OdetteKahambu21 сағат бұрын
Aksante sana.
@LwogaAngel-ed4gv22 сағат бұрын
Kaka ang nisaidie mm na mpnz Wang tunagombn sana yote n kwasbb mm nashindwa kuzicontrol hisia zangu mda wote namkwaz na nampnda sitak nimpotez ananivumilia sana ipo siku atachoka nisaidie nifanyaj
@BeatriceMbwambo23 сағат бұрын
Asante Dr nimeelewa daa ninapitia tabia hizo
@nchabhilondade6228Күн бұрын
Docta mm ata nikimwambia ukifika niambie ata hajisumbui au anaeza kunuambia nitajuchek badae lkin ad mm nintafyte tena
@elizabethyohana9808Күн бұрын
3 pure me
@SajidaMwamedКүн бұрын
Ivi jaman wanaume tutatoa wap kila mwanaume anakasolo tutabak kubadili badil wanaume
@TaubaMussaКүн бұрын
Mmmh nimtihan jaman mi ndo nishachoka kwakwel
@RenifridaMsigwaКүн бұрын
Nisomo nzuri sana kwakweli
@francisbernadetaКүн бұрын
🎉🎉
@devothafrederick4352Күн бұрын
Nimepata jambo hapa
@PriscaPeresiКүн бұрын
Kwakweli
@QueenMunisi-x6zКүн бұрын
Nimejifunza mengi kwako mungu akupe maisha mrfu nafatilia san video zako lakin bado najikuta nang'ang'ania penzi fake sijui nashida gan nampenda mtu ambae hana mda na mimi namtumia txt hanijibu anajibu akijisikia na nikimwambia hiyo tabia sipendi anaomba msamh lakin bado anarudia kile kile usk .naomb nisaidie kaka nijitoe uku nashindwa
@mlishohadija6923Күн бұрын
😂😂nimependa 😊😊
@jessicamasepo8320Күн бұрын
Ni kweli, tabia ni ngozi haibadiliki
@MillieMweroКүн бұрын
Huo ni ukweli ak
@piusnyamari77262 күн бұрын
It's❤❤😊 2:51
@riddedaudi39332 күн бұрын
Nyieee🙌Mungu tutetee Najifunzaa mengiii BABA🙏
@GraceMlimka2 күн бұрын
❤
@GraceSteven-qq5hn2 күн бұрын
Asant
@mwanas22 күн бұрын
Hakika maneno yakweli kabisa.Mi nimepitia mengi kwa kukosea ili swala mpaka always i wish i could reverse my life.
@vicentnyoda32192 күн бұрын
Dr umenifunza kt nilkua napotea kuua mahusiano yangu
@SamsonMbiduka2 күн бұрын
Kaka ushauri wako naukubar sana Tena mno😂
@HenryMwamasage2 күн бұрын
umetisha jamaa langu
@BabaQayllah-p8d2 күн бұрын
Thank you brother
@LightnessAyo-n9l2 күн бұрын
Mungu nisaidie niwe mke bora kwa mume wangu jamani ❤
@AishaOman-qz7tn3 күн бұрын
🙏🙏😘
@linetakware61753 күн бұрын
How can i get your contacts, am more blessed through your teachings but i wod like to share with you part of my story for more advice
@jessicamasepo83203 күн бұрын
❤
@charleslyuki6913 күн бұрын
Ukijishusha mateso yanazidi
@EmmyOmond-kx8gh3 күн бұрын
Kweli
@KalabaKlb3 күн бұрын
Kitabu hicho ni dola ngapi
@user-gt9eu2hg8f3 күн бұрын
Naomba no za Dr Mauki
@SimonJosephMdafu-qf4or3 күн бұрын
Mpaka muda huu tunaongea nayapitia najuta kuingia moyoni mwake maumivu makali sana napitia mapenzi yanaua 😩😭😥😢