Sheikh Nahitaji jina langu kwenye Dua. Allah akujaalie.
@ZenaMoshi24 күн бұрын
Aasalam aleykum shekh mimi naomba mume wangu Anuwar kazi awataki kumwandikisha awa kila siku wanampiga tareh na piya kaka yangu haji issa bado anaumwa Aliwahi kufika kwako lakini bado mambo ayako sawa rizki piya Tunaomba duuu
@fatoukarekezi182925 күн бұрын
Cheikh Mimi naitwa Fatma kutoka Belgium, naomba dua!
@user-mo8fn6yy5h25 күн бұрын
Ndugu yangu Ana jini anamsumbua vibaya sana
@ashanassoro649225 күн бұрын
Allah akubariki
@yusufuheri652425 күн бұрын
Inshaallah
@pilichambo110725 күн бұрын
Sheikh majini mahaba yanatutesa hata rizki kupata ni shida ndoa yataka kuvunjika
@khaulalivigha872225 күн бұрын
Nimeolewa ndotoni na jina naitwa habiba hamisi
@mzeemzee750325 күн бұрын
SHEKHE MABROOK WAJUWA KUMBEMBELEZA ALLAH HAKUNA KITU KITAKUSHINDA KATIKA DUNIYA HII KHERI INSHAALLAH AMEEN
@MwanatumuJuma-gz3fv25 күн бұрын
Mimi nina kitu kimenikaa kooni sheik naomba dua zko nko hasadi mwili wangu unawaka moto namikosi naitwa mwanatumu
@SaumJuma-ng4vj25 күн бұрын
Mm tatizo langu kudhumiwa ninapo fanya kazi silipwi haki yangu na nikikopesha mtu pia hanilipi ukida ndio chanzo cha ungomvi na matus kunitukana
@yusufuheri652425 күн бұрын
Sheikh wangu ni Nina tatizo lakukata tamaa, kushindwa na uvivu kwa JINA naitwa YUSUFU HERI ABDI