No video

DADA wa KAZI Asimulia KIFO cha MERCY, TUKIO ZIMA - "Nilikuta MITO Yote IMEJAA DAMU"

  Рет қаралды 873,640

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

DADA wa KAZI Asimulia KIFO cha MERCY, TUKIO ZIMA - "Nilikuta MITO Yote IMEJAA DAMU"
Binti aliyekuwa anamsaidia kazi za ndani marehemu, Mercy Mkandara, anayedhaniwa kuuawa na Mumewe ameeleza hali ilivyokuwa kabla ya mwanamke huyo kupatwa na umauti...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Пікірлер: 527
@atupeleobedi1389
@atupeleobedi1389 4 жыл бұрын
Mungu tujalie mwisho mwema maana mwanadamu amekua kitu chakutisha mtu umemzalia watoto unamfanyia kila kitu kama mume daah malipo ndo kuuliwa mbona wanawake tunakosewa lkn tunavumilia au kuamua kurudi kwetu hii mijitu inayojua kusaliti imeingiliwa na roho chafu ya uuaji wanaume muombeni Mungu awaokoe tena huyo bwana asitoke kabisa
@priscambwambo1030
@priscambwambo1030 4 жыл бұрын
Ushauri wa bure kwa wanawake .thamani ya mwanamke ni kubwa sana sana . Sasa ikatokea una lijanaume pumbavu likajaribu kukupiga hata kofi moja tu usiendelee kukaa nalo lifukuze mapema . Maana mazoea hujenga tabia na tamia ikikomaa inakuwa mazoea .Jamani wanawake tuamke hakuna uvumilivu kwenye ndoa ya watu wasioelewana.
@user-ro8ul2we9c
@user-ro8ul2we9c 4 жыл бұрын
Inallillah wainaillah rajiun poleni sana wafiwa hyu dada hawezi eleza sana kwa sababu hawezi jua ungomvi wa mume na mke msimlaumu sana kilicho baki tumuombee hyu dada
@enemasikanda4770
@enemasikanda4770 3 жыл бұрын
Ol
@enemasikanda4770
@enemasikanda4770 3 жыл бұрын
Saris Saris
@amissahassan3251
@amissahassan3251 4 жыл бұрын
Dhuuu jomon marehemu kazaliwa tarehe 27/12 ya Mimi nayeye siku yetu ya kuzaliwa nimoja R.I.P Dada
@annassuleiman4508
@annassuleiman4508 4 жыл бұрын
Na wewe jiandae tar 27/12 mwakani zamu Yako
@salomemakuluga9650
@salomemakuluga9650 4 жыл бұрын
@@annassuleiman4508 shindwa
@jssaa4733
@jssaa4733 4 жыл бұрын
@@annassuleiman4508 😀😀😀😀
@amissahassan3251
@amissahassan3251 4 жыл бұрын
@@annassuleiman4508 yani hapo itakuwa nizamu ya mama yako mzazi pumbavu wewe🙄🙄🙄mxuuuiiii
@amissahassan3251
@amissahassan3251 4 жыл бұрын
@@salomemakuluga9650 itakuwa zamu ya mama ata asijali my😂😂😂😂
@mariamfritsi9761
@mariamfritsi9761 4 жыл бұрын
Ukweli utakuja dhihirika tuu hata ipite muda gani.damu ya mtu haipotei bure ikiwa kama anaongea ukweli,basi utabaki kuwa ukweli,ila kama ni vingenevyo basi itadhihirika tuu
@lauraabass1077
@lauraabass1077 2 жыл бұрын
Ujumbe mzuri mdogo wangu. Inaumiza, maskini mtoto wake. Mungu aiweke roho ya marehemu pahala pema peponi.
@saidahj2543
@saidahj2543 4 жыл бұрын
Wanaosema ati muongo mara anaficha kitu munataka aongee nn ss sababu anasema alisikia kelele akiwa usingizini kushtuka akasikia dd anasema ,,mamang nakufa😭,,mume akaja chumbani anahema sana which means kulikuwa na vita...mnataka aseme nn au kivipi...nkt
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 4 жыл бұрын
Sema watu wa embe kunamtoto kafaliki kizembe majirani walilegea huyu Dada naye siange piga kelele huko nje
@lucykanuti6138
@lucykanuti6138 4 жыл бұрын
Sijui wanataka asemeje jamani mkishindana Bora mwuachane kuliko kufika uko kote jamani
@slayingtee6044
@slayingtee6044 4 жыл бұрын
Hapo kajielezea ila watu hawaelewi coz anavyoongea haijui kujielezea
@sanurandune8066
@sanurandune8066 4 жыл бұрын
Good nilitaka kuongea hii point Sasa ushaongea wwewe ju huyu Dada anasema chenye aliskia na aliona watu Wana ngangana tuu eti alifundishwa MI ata nashindwa na binadamu wengine
@happynesjohnhappynesjohn4475
@happynesjohnhappynesjohn4475 4 жыл бұрын
Uko sawa kabisa dear
@ladymashaallahilikeuaadvis997
@ladymashaallahilikeuaadvis997 4 жыл бұрын
Mnataka dada aongee ukweli gani wakati mume ashakubali alimuuwa? Na leo huyu dada amefunguka zaidi kuliko mwanzo
@mellydee6607
@mellydee6607 4 жыл бұрын
Jamani walimwengu mbona tuna maneni sana
@johnmaganga7109
@johnmaganga7109 4 жыл бұрын
huenda yakawa matatizo ya unyumba, kwa sababu inaonekana ni mambo ya ndani sana. vinginevyo hata huyu dada wa kazi angeweza kunasa hata kidogo.
@salmaluhombero8466
@salmaluhombero8466 4 жыл бұрын
Jamani ametoka kwao na shela karudi kwenye jeneza eh mwenyezi mungu weh tujalie mwisho mwema amekufa kifo cha mateso dah wanaume hawa tumbo la uzazi linaniuma why God why? Sipati jibu
@Noah-se3ni
@Noah-se3ni 4 жыл бұрын
Msimlahumu huyu dada Uwenda hage lalamika. hagemuhuwa na yeye kwaiyo msimlahumu.
@shimafuad6868
@shimafuad6868 3 жыл бұрын
Rafiki yangu hicho kiswahili ulichoandikaa!!! 😄😃😃😃
@eshyndibalema1529
@eshyndibalema1529 3 жыл бұрын
Anashindwa kujielezea kiswahili kigumu
@noxlosingida2369
@noxlosingida2369 4 жыл бұрын
Huyu Dada woga umeanza kumwishia sasa yaani hapa kafunguka zaidi kuliko interview za nyuma
@evachriss5906
@evachriss5906 4 жыл бұрын
Kabisaa kaongeza maneno tofaut na mwanzo ,,nais kwakuwa yupo kwao ,,na ataongea yote tu
@ashuuuaisha9122
@ashuuuaisha9122 4 жыл бұрын
Alifundishwa asiseme. Sasa mtuhumiwa wameshambinya nyanya zake kasema alimpiga na spana. Na yy bora afunguke tu
@jojigeorige1056
@jojigeorige1056 4 жыл бұрын
Spana ipi? Ile inayoning'inia miguuni? Au
@petermanala6138
@petermanala6138 4 ай бұрын
@jojigeorige1056😂😂😂😂😂😂Ile angepata mimba bwana Sio kufa
@pauljuliustv2928
@pauljuliustv2928 4 жыл бұрын
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. Amen
@husnasalim5739
@husnasalim5739 4 жыл бұрын
Nilichogundua uyu mwanaume alimpiga mkewe kwa nia ya kumrudi tu kwa hasira kachukua kitu kizito bila kufikili baadae alivyoona hali sio alijua kapoteza faham atazinduka ndio maana ajakimbia. Lakini angepanga kumuua asingeangaikia usafiri angefanya kimya kimya angemzika kama mume wa na naomi alikusudia akamchoma na moto akazika mifuma akaweka tangazo kua mkewe kapotea kumbea kaua
@mithunichakarabot5293
@mithunichakarabot5293 4 жыл бұрын
Hii ishu inautata kuanzia kwa majirani hadi binti wa kazi hamuwezi kukaa nje lisaa mtu anavuja damu na cha zaidi majiran wamesema d msichana z
@saranawakubalisanaitvchoro9586
@saranawakubalisanaitvchoro9586 3 жыл бұрын
Polen sana
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 4 жыл бұрын
Mmmmmh...dunia inaekea kubaya...yaani mimi kila nikiona hii story moyo unaniuma sana... Nafkiria dakika za mwisho za marehemu najiskia uchungu sana. Mungu ampumzishe kwa amani mercy
@joycenahimana6079
@joycenahimana6079 4 жыл бұрын
Pole mtoto wangu mzuri umekosa mama sababu ya walimwengu wenye roho mbaya. 😭😭😭😭😭
@user-nr1bf7iu8z
@user-nr1bf7iu8z 4 жыл бұрын
innalillahi wainnaileyhi rajaoun. Mungu ndoanajua zaidi kilichofanyika.lakin huyu dada aonyesha anayozungumza ndiyo aliyosikia.
@rasykizanjbari4996
@rasykizanjbari4996 4 жыл бұрын
Naam mungu ndo kila kitu
@rehemamagere8602
@rehemamagere8602 4 жыл бұрын
Huyu dada kweli mtihani
@blasidajulius2240
@blasidajulius2240 4 жыл бұрын
Duuuh kifo kinaumiza hiki bhac tuu Mungu ampumzishe Mercy mahala pema mana ameuwawa kikatili sana inauma😭
@neemamwanga4910
@neemamwanga4910 4 жыл бұрын
Huyu mwanaume mbwa kweli azikwe nae akiwa hai jmn jmn ningekuwa na uwezo wanipe Mimi nimzike akiwa hai
@hellenmwayole8715
@hellenmwayole8715 4 жыл бұрын
Taarifa ya Jana afade alieleza kuwa mhusika kakili kuuwa na alienda kuonyesha kifaa alichotumia kumuulia. Kwa huyu hats asiposema LA maaana ukweli ushajulikana.
@atupeleobedi1389
@atupeleobedi1389 4 жыл бұрын
Kwani mtu akikukosea hukumu yake ni kufa mbona Mungu anatusamehe tusinge baki
@julianajacksoni4275
@julianajacksoni4275 4 жыл бұрын
We mbona mambo mengine unachanganya. Interview ya kwanza ulisema ulikua sitting room unaangalia tamthilia ukiwa na huyo mtoto.. Huyo aliefanya mahuaji aliporudi ukasema ukamwambia mtoto chungulia ni nani... Leo unasema ulikua kwa jirani unaangalia tv tena had saa 6????
@noelthomas8716
@noelthomas8716 3 жыл бұрын
Nyumba nimoja kwaiyo at a alivyo mwambia mtoto chungulia ni na alikua Kwa jilani ila nyumba imeungana
@christinamsuya8857
@christinamsuya8857 4 жыл бұрын
Daaah mtoto anamuaga mama akee naona hata haelew kitu daah Mungu tusaidie wanawake🙏
@enemasikanda4770
@enemasikanda4770 3 жыл бұрын
L
@kumbeluve3246
@kumbeluve3246 3 жыл бұрын
Jamani Wana ume
@syliviamgeta8131
@syliviamgeta8131 4 жыл бұрын
Mnataka aseme ukweli gan wakat ameusema
@veronicacharles9197
@veronicacharles9197 4 жыл бұрын
Mi nmemuelewa jaman
@noellahtheodory56
@noellahtheodory56 4 жыл бұрын
Apo Sasa watu jmn wana maneno San
@anethmollel6898
@anethmollel6898 4 жыл бұрын
Anaele
@anethmollel6898
@anethmollel6898 4 жыл бұрын
Anaeleweka kabisa na wala hajabadilisha chochote
@dianamutahaba9342
@dianamutahaba9342 4 жыл бұрын
Mi mwenyewe nashangaa Mbona anajiereza vizuri tu ata Ungekua Wewe tukio Kama ilo lazma uwe mwoga.anajiereza vizuri tu Sema tu kiswaili Cha kihaya
@aloyceiluminata3650
@aloyceiluminata3650 4 жыл бұрын
Sasa kwanini ulificha ??..bwege wee!
@fadyanassor6934
@fadyanassor6934 4 жыл бұрын
ndoa ikifika kupigana ni hatari,na mama alikua anajua kua ndoa ya bintiye, ina tatizo lakini akamwambia mwanae stahamili ndio kuolewa.Ndio mana USA ama ulaya utakuta daily watu wana divorce,kikwetu ni mwiko ,utambiwa ustahamili mpaka ufe.Pole dada mercy na wanafamilia,but this could have been avoided.Ata kama ni hasira angempiga makofi,lakini kumpiga chuma vile,dah
@veronicacharles9197
@veronicacharles9197 4 жыл бұрын
Mpk chuma uyo alikusudia kabisa...mpk tunaogopa wengne
@didaali7091
@didaali7091 4 жыл бұрын
R.I.p
@johnmsigwa7783
@johnmsigwa7783 4 жыл бұрын
Watu mnaomshambulia huyu dada mlitaka yeye aeleze nini kama mnaona anaficha ukweli wewe eleza unaoujua.
@mamitomamita6284
@mamitomamita6284 3 жыл бұрын
MSICHANA AKO NA AKILI KWELI KAMA ANGEJIFANYA KIMBELE KIMBELE NAE ANGEULIWA ALITUMIA AKILI PIA MAJIRANI ALIWAJIBU SIKUSIKIA KITU ALIHOFIA MAJIRANI PIA WANAWEZA KUHUSIKA
@janekalphat599
@janekalphat599 4 жыл бұрын
Daah,! Nimeumia sana yaan kama mwanamke haumtaki ni bora umuache kiustaarabu
@fatumashaban7931
@fatumashaban7931 4 жыл бұрын
Ila huyo jamaa ni mjanja kweli ameuwa akazima umeme ili ionekane ni shoti mmh damu ya mtu haiendi bure
@priscambwambo1030
@priscambwambo1030 4 жыл бұрын
Hana ujanja wowote libwege kabisa jamanume holo mtoto wa mtu unaona hamuelewano achaneni kwa Amani. Mapemaa jua kali mchana. Alafu na wanawake msiachwe ukiwa na janaume jinga lipe talaka fastavusikae na shetani ndani ya nyumba.
@fatumashaban7931
@fatumashaban7931 4 жыл бұрын
@@priscambwambo1030 kweli hii comment umeiandika kwa hasira dada alaf hakuna kuachana kwa wema mymkisha achana tu ujue kuna tatizo sema matatizo yanazidiana tukiona yanakubuhu tuchanje mbuga tucone aibu kuachika bora kula ugali dagaa wenye amani kuliko nyama yenye karaha
@kakaaignas3675
@kakaaignas3675 2 жыл бұрын
Jinga sana
@neemamwita7503
@neemamwita7503 4 жыл бұрын
Pumzka salama Dada pollen wafiwa mungu awape nguvu ,
@dianaanyova4026
@dianaanyova4026 4 жыл бұрын
Lakini Mimi mkenya nashangaa,kwani Tanzania boss wako akifa,hauwezi kuwa hata na huzuni,mbona huyu Dada tangia mwanzo ako na macho makavu tu!!!! I'm shocked. The Lord knows the truth...
@janewarimu134
@janewarimu134 4 жыл бұрын
Sio ndugu yake
@dianaanyova4026
@dianaanyova4026 4 жыл бұрын
Hata kama sio ndugu yake!!!!!
@sebastianmichael4031
@sebastianmichael4031 2 жыл бұрын
Huyu dada achunguzwe vizuri.
@BarakaGabrielMwampamba-kj8ci
@BarakaGabrielMwampamba-kj8ci 4 ай бұрын
Tena wakenya ndo mnamambo ya ajabu Wala usingetoa hata tone la chozi hapo
@tumainmwambenengo7085
@tumainmwambenengo7085 4 жыл бұрын
Kama naww umesikia shemeji aliangalia Sana muvi mpaka kumaliza unit. Masskini Dada wawatu
@merynjau5614
@merynjau5614 4 жыл бұрын
Unajua nn hawa madada wa kaz hata wasilaumiwe kwasababu hawa wanatolewa kijijin unakuta hawajui chochote kwayo ata kusikia kelele labda aliogopa na yey atapigwa jmn
@zalhayahya2413
@zalhayahya2413 4 жыл бұрын
Hahahahaaaaa
@abisolomonuyokachaguliwaac4048
@abisolomonuyokachaguliwaac4048 2 жыл бұрын
Inauma sana mungu atunusuru cc vijana
@aliceanyango770
@aliceanyango770 4 жыл бұрын
Mimi sijui huyu dada lkn siwezi kuwa judgemental sababu kameeleza vile alisikia dada akilia mamangu nakufa na vile semeji alikuja akihema sana, si hiyo ni ushaidi tosha sana eti kulikuwa na ugombi na pia ukuta ilikuwa inagogwa ambapo ilisikitika hadi chumbani mwao basi,,, yote tuwachie Mungu sababu yeye ndiye akona mwamuzi wa mwizo. Poleni sana familia. Watching from Kenya.
@ibrahimayubukaila2465
@ibrahimayubukaila2465 4 жыл бұрын
Like kwa mercy
@yasminjafary3937
@yasminjafary3937 4 жыл бұрын
Mungu amlaze mahali pema peponi. Ameen
@moreenmichael7482
@moreenmichael7482 4 жыл бұрын
Msimlaumu huyu Dada kiswahili kwake shida ndomaana nyie mnaotaka maelezo yaliyonyooka mnaona Kama Dada maelezo yk yamepinda ila Dada kaeleza vzr sema kiswahili ndo shida,Sasa sijuw wenzangu namimi mnaosema hammwelew mlitaka mmweleweje????????halafu ikimbukwe huyo Dada hajazowea camera
@editharwiza2046
@editharwiza2046 4 жыл бұрын
Point
@beatricekingsley5062
@beatricekingsley5062 4 жыл бұрын
Nawashangaa wanavyo jifanya utadhani wenye ndowalishuhudia ilo tukio
@marymagesa7757
@marymagesa7757 4 жыл бұрын
Anaeleweka sana ni kujifanya kwa watu,angesema kiswahili cha kizaramo labda
@silyadamian5708
@silyadamian5708 4 жыл бұрын
Hawana lolote hao
@mercyjoseph687
@mercyjoseph687 4 жыл бұрын
Sahihi, sema mkavu hatari, upo ndio watu wanatapa ukakasi.
@laurenciakaffana5729
@laurenciakaffana5729 3 жыл бұрын
Dan chibo, umejua kuniliza mwanang😭😭😭😭
@azizauledi4108
@azizauledi4108 4 жыл бұрын
Acheni kumjudge huyo dada wa kazi mnataka atowe ushirikiano gn kwa mtu mwenye uelewa maelezo aliyotoa ni uthibitisho tosha jamaa kauwa mke wake ss msiolewa mnataka nn na maelezo yk ndio hy.
@jacklinemwacha7897
@jacklinemwacha7897 4 жыл бұрын
Kweli kabisa wanaomlaumu huyu dada wa kazi wanaomlaumu tu bure
@jacklinemwacha7897
@jacklinemwacha7897 4 жыл бұрын
Muuaji atiwe mbaron jaman ndoa hizi mh!
@rahmakhassani4148
@rahmakhassani4148 3 жыл бұрын
Mi naona dada kaeleza kama mwanzo kaongezea vitu kugongwa ukutani pia mama wa marehem alisema watu hawa walikua na ugomvi kuhusu mwanaume kuzaa nje
@marietherdagharo9396
@marietherdagharo9396 2 жыл бұрын
Duuh wanandoa tumuombe mungu sana katka safari ya ndo maana bila mungu utaona mwenzako kama mnya
@elizabeththomas-n2f
@elizabeththomas-n2f 3 күн бұрын
How to calculate arthmetic mean
@jaysonhekima4891
@jaysonhekima4891 4 жыл бұрын
Mwanaume kashaongea ukweli kua alimuua mkewe.mkavu usoni hata machozi hamna.
@tausingomeni2568
@tausingomeni2568 4 жыл бұрын
Huyu tusimlaum, hata ongea yke anaonekan bado hajachangamk na ya mujin, ukute kasem alichokisikia na kukiona ila mumew si kakir kuuw mwenyew
@nahoomosha1190
@nahoomosha1190 3 жыл бұрын
Jamani inasikitisha mnoooo
@ashulamusin9811
@ashulamusin9811 4 жыл бұрын
Duh uchungu MTT umeniumiza mungu tujalie ujasir wanawake maana
@najmaaa6548
@najmaaa6548 2 жыл бұрын
mungu ailaze roho yko mahala pema penye wema 😭😭😭
@basumegembotwa4167
@basumegembotwa4167 4 жыл бұрын
Atakuwa alikuwa anamtesa huyu housegirl mbona hana hofu yoyote
@emanuelmwanga4
@emanuelmwanga4 4 жыл бұрын
Ivi MTU anawazaje adi kuuwa MTU dahhh mungu atunusuru uhai wa MTU huutoe bila siku yake haijafika dahhh Mara mia muachane roho ya MTU jamani inauma sanah
@bennamush1549
@bennamush1549 4 жыл бұрын
Dah Dada wa watu maskini Na tabasamu lake lote kufa ni lazima lakini siyo kifo cha namna hii inauma sana pumzika kwa amani Mamy
@stellamokiwa2025
@stellamokiwa2025 4 жыл бұрын
Hapa unadema ulivyouliza kimetokea nn ulijibu ujasikia chochote na hapa upo unatueleza ulisikia kelele na vishindo....police Kama ndan huyu hata miez sita kwanza ya kusema ukweli.
@leokamil6284
@leokamil6284 4 жыл бұрын
Alisema kama hivi hivi naomba usikilize vizuri alisema alisikia kelele akiwa kama anaota na akaskia Mama nakufa hapa kaongea pia zaidi kidogo
@rapperdx1331
@rapperdx1331 4 жыл бұрын
Huyo demu ,atakuwa anaficha kitu Pengine ni tatizo na yy kwenye ugomvi , But police Acha wafanye kazi yao
@evachriss5906
@evachriss5906 4 жыл бұрын
Mmmh acha kuhukum kitu ukijui ata km yy ndyo chanzo ,,ndyo amuue limwanaume liuuwaji tu
@noellahtheodory56
@noellahtheodory56 4 жыл бұрын
Una hakika usilolijua ulinyamazie tu usihukumu bila kujua maelezo yake yanaeleweka San tu
@aishasaid5702
@aishasaid5702 4 жыл бұрын
Marehemu alimueleza mama yake kuhusu ugomvi wao na mme wake msimuhukumu huy dada
@wardajoseph6909
@wardajoseph6909 4 жыл бұрын
@@noellahtheodory56 acha uchonganishi unawakuwa vizuri maboss usimtie dada wa kazi matatani bure kitu kama hicho huwa kina mshituko pia yeye aliogopa
@fatumaally3266
@fatumaally3266 4 жыл бұрын
Duh achen kuzusha mambo jaman kumtenezea mtu tatizo
@Teaching356
@Teaching356 Ай бұрын
😮ila wanaume na kupiga wanawake!😢😢😢😢😢😢😢
@sarahogama9540
@sarahogama9540 4 жыл бұрын
Ata sitaki kuangalia wala kusikiza huu upuzi wa huyu mfanyikazi ,,nkt!!
@emmaedger9435
@emmaedger9435 2 жыл бұрын
Kwan umelazishwa kusikiliza
@crepinakatundu1831
@crepinakatundu1831 3 жыл бұрын
R.I.P.Marehemu.
@deodatusrweyongeza6747
@deodatusrweyongeza6747 3 жыл бұрын
Labda shemeji kaangalia move Sana ndio maana umeme umeisha👉🤣🤣🤣
@HeppyRafaeli
@HeppyRafaeli 3 ай бұрын
Wanaume wakatili kama hawa jamani wanyongeeee. Jibu kamili kwa maelezo haya jamaa amemuua mkewee kwanini lakini kumkatishia maisha mwenzakoo?? Jamni jamnii ndg wa Mecy mhakikisheni na yeye huyu shetani anakufa
@BrianaKiondo
@BrianaKiondo Ай бұрын
Sasa ungekuwa ww ungeenda kwa boss wako chumbn ukiambiwa umefata nn
@pendomsuya1390
@pendomsuya1390 4 жыл бұрын
Hivi hamjagundua kama huyo mwanaume na ndugu zake walikua wanamtoa kafara minahis hivyo.
@jojigeorige1056
@jojigeorige1056 4 жыл бұрын
Huyu binti ndio kishamfunga baharia daah😤😢
@ireneinnocent4128
@ireneinnocent4128 4 жыл бұрын
Binti kanipa mashaka sana kwanza kwa Umri wake inawezekana hata alikuwa anamahusiano na huyo baba.. anajichanganya sana kwenye maelezo yake. Hata asiyekuwa mtaalam wa uchunguzi atakuambia huyu binti Kuna anachoficha. Anajisumbua bure maana walionyesha clip ya huyo baba alikiri na kuonuesha kifaa alichomuulia. Sasa anasema etialiondolewa hapo alafu hawajamwambia chochote... MSHENZI SANA
@lilianmwita3023
@lilianmwita3023 4 жыл бұрын
binti hana uzun hata kidogo daah
@shakilajuma7967
@shakilajuma7967 4 жыл бұрын
Mkavu
@saneathanas1812
@saneathanas1812 4 жыл бұрын
Kila mtu ananamna yake ya majonzi.huyu ndio anahari mbaya kisaikorojia bora utoe machozi
@alicenice1711
@alicenice1711 4 жыл бұрын
Poleni Sana wandugu iyo ni njia ya si sote
@fatumaramadhani9845
@fatumaramadhani9845 4 жыл бұрын
Huyu dada hasemi ukweli kabasaa yupo tu
@angelageofrey9756
@angelageofrey9756 2 жыл бұрын
Kichwa cha bosi naona nae kashiriki kifo cha dada jamani pumzika dada yetu
@aishadaudi1081
@aishadaudi1081 4 жыл бұрын
Huyu dada itakuwa chazo ni yeye maama kila siku anaongea mengine mara juzi alisima huwa wanaagalia TV sebuleni leo tena ana sema walienda kuagalia TV kwa jilani mbona haeleweki
@lovenessgodson1075
@lovenessgodson1075 4 жыл бұрын
Hata mimi nimeshangaa leo
@keifatuke99
@keifatuke99 4 жыл бұрын
Its true alisema walikuwa wanaangalia TV sitting room,kabadilisha MANENO
@mariamfritsi9761
@mariamfritsi9761 4 жыл бұрын
Huyu mschana anajua kila kitu ,ila damu ya mtu haipotei bure ikiwa kama anaficha kitu mungu atakuja muumbua tuu,
@raycemasisa5272
@raycemasisa5272 4 жыл бұрын
Kumbe nawewe umeona kama mimi
@zulfamohamed4549
@zulfamohamed4549 4 жыл бұрын
Sijaona maneno yaliyo badilishwa apo labra amui makin kumsikiliza mtu ila sijaona alicho badilisha arafu kam nanyiny munaweza ushaid kutoabas mungefika eneo la tukio
@felicianamassawe9881
@felicianamassawe9881 4 жыл бұрын
Huyu dada si bure kuna jambo nyuma pazia.maneno yake mmhh!
@sabrina6457
@sabrina6457 2 жыл бұрын
Umeona awa wasichana wegi wachawi
@faithjonathan3845
@faithjonathan3845 2 жыл бұрын
Dada anaelezea tukio kiuchangamfu sana😔. Sijui ndo kufurahia kuonekana kwenye tv au?😒
@adamally8791
@adamally8791 4 жыл бұрын
Mbona hta aeleweki huyu Dada anaongea nini hyu
@moreenmichael7482
@moreenmichael7482 4 жыл бұрын
Kaongee ww huwez kuelewa Kama unataka kuelewa Zaid yahiv
@slayingtee6044
@slayingtee6044 4 жыл бұрын
Haijui kujielezea
@noellahtheodory56
@noellahtheodory56 4 жыл бұрын
Wew ndo hueleweki jipime😒
@adamally8791
@adamally8791 4 жыл бұрын
@@noellahtheodory56 Sasa cndio unieleweshe 😏😏 we ulielewa chefu 🤫🤫
@happynesjohnhappynesjohn4475
@happynesjohnhappynesjohn4475 4 жыл бұрын
🙄🙄🙆nanyie huku munayenu
@jenifajuma5395
@jenifajuma5395 3 жыл бұрын
Kutokana na maelezo ya huyu dada inamaana ukute mlinzi hajahusika na mauwaji yoyote Ila huyu baba aliekuwa anaishi nae ndio kahusika na kila kitu
@wardaheluwa734
@wardaheluwa734 4 жыл бұрын
Waume ndipo wamepatwa na jini gani mbona habari za wake kuuliwa za zidi duh!
@user-ov2mg7xp8q
@user-ov2mg7xp8q 3 ай бұрын
Angeenda na yeye kuuliza kam kuna nini, kam walikua wanapigana si angeambiwa fata shuhuli zako but dada una roho mbayaaaaaaa
@lyidiaerick9145
@lyidiaerick9145 4 жыл бұрын
Huyo mtoto kaniumizaaa😭😭😭
@RechoSanka
@RechoSanka 5 ай бұрын
Inauma sana jmn poleen
@user-iw8vl8ri4o
@user-iw8vl8ri4o 3 ай бұрын
Wanaume wenye tabia ya kupiga wanawake ni wauwaji wakimyakiya Wafungwe na kunyongwa
@marianalaswai4304
@marianalaswai4304 3 жыл бұрын
Huyu dada huenda anasema anachojua lakini mm ananishangaza Hana hofu anaonyesha meno Kama anasimulia story ya kawaida.
@RebeccaYohana-vd9cn
@RebeccaYohana-vd9cn 3 ай бұрын
Polee san
@mkushplatnam1595
@mkushplatnam1595 4 жыл бұрын
tv, kwa jirani, adi saangapi? kwa karne hii, waivyo yupo kweli, aya nawewe na shemeji, mnangalia laptop adi bando linaisha, nna vyoijua laptop, ni ndogo, haikai mbal imekaa mbali sana ni mwisho wa goti,, ili mwangalie wawil lazima mkalie kiti kimoja na mmbanane, alafu ni saa nane usiku , mbona sikweliwielewi, inaonekana unamtegatega sana,
@evidencemaimu1883
@evidencemaimu1883 4 жыл бұрын
Ivi ni nini kuvumilia kipigo😒🥺🥺🥺 Mwanaume akianza kukupiga hakupend n kusepa
@artemisneoy9596
@artemisneoy9596 4 жыл бұрын
Ina maana mna Tv ndani ila movie mnawatch kwa jirani hayo masaa?
@victorialucas9094
@victorialucas9094 4 жыл бұрын
Huyu dada hana uchungu wala hauzuniki mkavu kuna ktu anaficha sio bule pumzika kwa aman dada mecy pole mama mecy polen wafiwa wote huyo mwanamme sheria ichukue mkondo wake kama alimchoka angemuacha tuu na ndugu wa mwanamme nao wanachukulia poa tu
@mwanahamis5487
@mwanahamis5487 2 жыл бұрын
Mbona maelezo tofauti na jeshi la police..
@jackiemac1525
@jackiemac1525 4 жыл бұрын
Huyo mwanaume ameweza kuzalisha wanawake watatu nje hajatembea na huyu Dada wa kazi kwelii maana kama sielewi story ya huyu Dada anavyojieleza
@angelageofrey9756
@angelageofrey9756 2 жыл бұрын
Anajikoroga😢 vitu vinagongana
@adriannebatakanwa6904
@adriannebatakanwa6904 2 жыл бұрын
Hata ongea yake binti wa kazi inatia shaka. Smiling! Wakati anaeleza tukio zito, inawezekana kweli.
@lm6373
@lm6373 4 жыл бұрын
Msilaumu huyo dada wa kazi wengi wao ni wajinga mimi jirani wangu alitaka kufa yuko ndani anamwita dada eti alinikataza kuingiya chumbani kwake bahati ni kaja ilikuwa tutoke na mwenzangu ndo bahati nikamsaidiya sukari ilikuwa imeshuka sana hawezi hata kusimama.
@AshaSalum-z1g
@AshaSalum-z1g Ай бұрын
Polen sana
@priscambwambo1030
@priscambwambo1030 4 жыл бұрын
USHAURI WA BURE MWANAUME SI NDUGU YAKO, SI KAKA YAKO SI BABA SI MJOMBA SI DADA. NI KIBE MMEKUTANA UKUBWANI AU UZEENI HIVYO BASI KINACHOWAUNGANISHA NI UPENDO TU UKIKOSEKANA HUO HAMANA MAELEWANO TWANGA TALAKA FASTA .USISUBIRI MAAMUZI HAYATAKIWI UFIKIRIE AU USHAURI HAPANA.
@dyanatanz6574
@dyanatanz6574 4 жыл бұрын
Achen kuhoj mm hata sielewe naona nihasala tu kwa mama Mency bas. Sikion cha maana hapa kwa huyu dada. Naona Herieth anajichekea kimoyon.
@suzankasile484
@suzankasile484 4 жыл бұрын
Kwann anajichekea moyoni
@rosechuwa5084
@rosechuwa5084 4 жыл бұрын
Umeonaeee
@jescajulius8023
@jescajulius8023 4 жыл бұрын
Kwa nn ajichekee moyon?
@dicksonkakinda805
@dicksonkakinda805 4 жыл бұрын
Maskni sisi wahaya huwa kuongea kiswahili n shida" alafu huyo cyo kwamba anatabasam hapana meno yake yapo nje" kwo n km ana tabasam t" Alafu akiri zake nayeye zimeishia hapo" ila Damu ya mtu haiendagi bure na huyo baba lazma Mungu aitake Mkononi mwake
@mariamakungwa5713
@mariamakungwa5713 4 жыл бұрын
Tumbo linaniuma jamani khaaaaa
@judithnnyabigo6228
@judithnnyabigo6228 4 жыл бұрын
Mbona maelezo yake n tofauti tofauti
@fahadsaid9616
@fahadsaid9616 4 жыл бұрын
Kama kweli anachozungumza huyu dada Herieth basi mumewe kamuua
@marylaurentgerald2397
@marylaurentgerald2397 4 жыл бұрын
Inauma sanaa
@ramlahnechesa2711
@ramlahnechesa2711 3 жыл бұрын
Iyo nimbaya sana
@janechepngetich6415
@janechepngetich6415 2 жыл бұрын
R.l.p mercy
@suzanaleonard4334
@suzanaleonard4334 4 жыл бұрын
Jamani tumuogope mungu
@masukila9356
@masukila9356 3 жыл бұрын
Du kumbukeni kuwa munguyupo jamani
@deodatusrweyongeza6747
@deodatusrweyongeza6747 3 жыл бұрын
Kafala hiyo nyumba kubwa tv kwa jirani🤣🤣
@jescajulius8023
@jescajulius8023 4 жыл бұрын
Chonde chonde wazazi angalien watoto wen pindi waolewapo ama kuoa,mana kuoa ama kuolewa haimanish kujiondoa kweny majukum ya uzazi,ko wasikilizen pind migongano inapotokea ili muweze kusuruhisha ikishindikana kabsa watenganishe kwa mda na ikishindikana waachane kabsa,achen maneno yen yakusema vumilia mwangu.
@gideonmwalyego466
@gideonmwalyego466 3 жыл бұрын
Mm angemuua ndgu yngu namtia shaba tu,wla cna mjadala hao watot tutagawana na ndgu zngu tunawalea,mwnaume unakuwa na roho mbya kama mnyma unamuua mwenzko kisa mapnz,c unapga nje tu huko kupnguza machungu.
@lovenessamos5232
@lovenessamos5232 4 жыл бұрын
Leo ndio nimekuelewa kidogo
@malingumumalishe4270
@malingumumalishe4270 3 жыл бұрын
Kidogo cyosana
@benardmshalicharles1670
@benardmshalicharles1670 2 жыл бұрын
Pole xana
@nurafedrick378
@nurafedrick378 4 жыл бұрын
Huyu hakuna anachoongea hapo ukweli kwann usiseme ukweliiiii tuuuuu hivyo kwani ukisema ukweli nn kitatokea
@ramadhanimohamedi3572
@ramadhanimohamedi3572 4 жыл бұрын
X
@doreenanael7526
@doreenanael7526 3 жыл бұрын
Polen. Jamani
Matching Picture Challenge with Alfredo Larin's family! 👍
00:37
BigSchool
Рет қаралды 44 МЛН
Kids' Guide to Fire Safety: Essential Lessons #shorts
00:34
Fabiosa Animated
Рет қаралды 16 МЛН
Мы сделали гигантские сухарики!  #большаяеда
00:44
BABA YANGU KIPOFU Full episode /31/ #love
40:19
BabaJoan
Рет қаралды 151 М.
Cook with Wema Sepetu - S07E10 Gardner G Habash
8:16
Wema Sepetu
Рет қаралды 41 М.
MAMA HUYU AWATOA WATU MACHOZI KWENYE IBADA: BISHOP ELIBARIKI SUMBE
15:54
Bishop Elibariki Sumbe
Рет қаралды 1,1 МЛН
GITHAGATHAGO RURACIO-INI RWA DADA SARAH ( PART 1)
20:22
Dada Sarah
Рет қаралды 9 М.