Рет қаралды 3,215
Ni kipindi cha Al Jawaabul Kaafy {Jawabu lenye kutosheleza} kinachoruka hewani Mubaashara kupitia Channel yetu ya KZfaq na Radio Ihsaan Fm, 102.1 Kila siku ya Jumatano kuanzia saa 03:30 usiku hadi saa 05:00 usiku.
Na kwa Mwezi wa Ramadhani, kipindi kinaruka Hewani kila siku kuanzia saa 03:30 usiku hadi saa 05:00 usiku.