DARK MASTER - Full Interview na Bongo Project

  Рет қаралды 1,127

Bongo Project

Bongo Project

5 ай бұрын

Mkali kutoka Chemba Squad ya Dodoma, Dark Master alikaa nasi kwa mazungumzo mazuri, marefu na ya kusisimua kuhusu safari yake ya muziki na maisha. Ameelezea visa na mikasa mingi, kujuana kwake na marehemu Albert Mangwea mpaka kifo chake, kundi lao la Chemba Squad, kina Mez B, Noorah, n.k. Amesimulia mengi sana humu. Usikose!
#darkmaster #wanachemba #bongoproject #bongofleva #ngwea
Bongo Project ni "project" mpya Tanzania inayojihusisha na kazi za sanaa na yenye lengo la kuhifadhi taarifa, historia na takwimu muhimu za sanaa ya Tanzania pamoja na wasanii wake.
--------------------
WEBSITE
--------------------
bongoproject.org/
--------------------
SOCIAL MEDIA
--------------------
Instagram: / bongo_project
Facebook: / bongo-project-10256641...
TikTok: / bongoproject
--------------------
CONTACT
--------------------
Email: info@bongoproject.org

Пікірлер: 10
@EmmanuelLekasango-rt1qx
@EmmanuelLekasango-rt1qx
Nyerere squre❤❤❤❤❤
@tsmartv1730
@tsmartv1730
Nakuombea mungu my brother kipindi kitakua international 7bu watu unao Dili nao niwakubwa wenye heshima kwenye muzik wakitanzania
@Hauleshabby
@Hauleshabby
Dark noma sanaa😊
@stunnaman5822
@stunnaman5822
Mko vizuri
@Hauleshabby
@Hauleshabby
Leo ndo nimejua alwatan kwele alikuwa msanii
@idrisatv5540
@idrisatv5540
Sensey tay nimeiyona bonge la movie nimependa ifect ya sensey tay alipogongwa na gari
BANANA ZORRO - Full Interview na Bongo Project
1:28:37
Bongo Project
Рет қаралды 139
Did you believe it was real? #tiktok
00:25
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 56 МЛН
Clowns abuse children#Short #Officer Rabbit #angel
00:51
兔子警官
Рет қаралды 42 МЛН
Who has won ?? 😀 #shortvideo #lizzyisaeva
00:24
Lizzy Isaeva
Рет қаралды 62 МЛН
I CAN’T BELIEVE I LOST 😱
00:46
Topper Guild
Рет қаралды 118 МЛН
CONVERSA COM O REGEDOR JAMBA
34:09
Remy Factos PODCAST
Рет қаралды 120
Mkasi | S14E03 with Mohammed Dewji Extended version
35:56
MkasiTV
Рет қаралды 1 МЛН
MHE. TEMBA - Full Interview na Bongo Project
1:12:30
Bongo Project
Рет қаралды 737
TUNDA MAN - Full Interview na Bongo Project
1:46:58
Bongo Project
Рет қаралды 2,6 М.
Did you believe it was real? #tiktok
00:25
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 56 МЛН