No video

DC MAGOTI AANZA NA MOTO “SIPENDI UONGO, MIMI NI ZAIDI YA X RAY NINAONA HUNIDANGANYI KWENYE MRADI"

  Рет қаралды 64,802

Millard Ayo

Millard Ayo

Ай бұрын

Пікірлер: 89
@veronicalaiser7869
@veronicalaiser7869 Ай бұрын
Hongera sana Mkuu wa Wilaya. Mwenyezi Mungu aendelee kukutunza na kukupa hekima zaidi na zaidi.
@user-rw7ww2yd7i
@user-rw7ww2yd7i Ай бұрын
Bonge Moja la kiongozi hongera sana mhe magoti
@Ahmedikiringamoyo
@Ahmedikiringamoyo 23 күн бұрын
Raisi samia hongerasana kwakumpa UDC MAGOTI MUNGU AKUJAALIE
@ainessfoya4463
@ainessfoya4463 Ай бұрын
Hongera mnooo..you deserve..kwa roho safi..mungu akutunze..
@isaacktweve3773
@isaacktweve3773 Ай бұрын
Barikiwa,na kazi iendelee...
@user-io1et5ei6p
@user-io1et5ei6p 10 күн бұрын
Hongera sana kwa msimamo wa uwongozi mzee mwenzangu magoti Huo ndio mwanzo wa mafanikio ya kufika mbali ya uwongozi. Vitha ni viitha mura. Yaani amang'ana kasarikire.
@user-wl7kl3qw3t
@user-wl7kl3qw3t Ай бұрын
Hongera sana mh.Dc.
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts Ай бұрын
Asante mheshimiwa, Mungu azidi kukuinua... Namuona Makonda mwingine😂👏👏👏
@paulsibu5770
@paulsibu5770 Ай бұрын
Hongera Kaka Mungu akuinue zaidi katika utumishi huo
@johnluis35
@johnluis35 Ай бұрын
Jembe chapa kazi Dr magoti, kazi kazi
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd Ай бұрын
mchechi huyu hamaaa mungu amjalie pamoja Na jinsi alivo lakini mchangamfu mno
@johnmtumishi8554
@johnmtumishi8554 Ай бұрын
4:02 Hongera mheshimiwa DC Dr Magoti nakuelewa good speech be blessed My God protect you in the name of Jesus christ amen
@salomewandya7257
@salomewandya7257 Ай бұрын
Piga kazi Magoti❤❤❤
@user-ry8xf1no2s
@user-ry8xf1no2s Ай бұрын
Mueshimiwa laisi wangu nashukulu Kwa upendo wako auna ubaguzi Kila mtanzania mwenye uwezo una Mteua , Alha atakulipa kilalaeli inshallah
@adkajisi4536
@adkajisi4536 Ай бұрын
Huu uandishi duh
@salimanathan1073
@salimanathan1073 Ай бұрын
Mungu akubariki sana
@salmaramadhan2725
@salmaramadhan2725 2 күн бұрын
Dc Mungu akulinde baba yaaani tunakupenda kiongozi una challenge kubwa sana,kwanza maneno yako kuntuuuu aiseee ninafurahi uongee asubuhi mpaka jioni
@user-mf2ll7nz5g
@user-mf2ll7nz5g Ай бұрын
Safi sana
@boscokikoti
@boscokikoti Ай бұрын
Mungu akubariki
@Dominic-hh2nf
@Dominic-hh2nf 12 күн бұрын
Nakubali Mkuu
@luqmaneme9105
@luqmaneme9105 Ай бұрын
Piga kaz kiongozi
@Enjoy-ge5cy
@Enjoy-ge5cy Ай бұрын
Najivunia Tanzania yangu huu ndio usawa sasa piga kazi mh magoti
@trophywilson7211
@trophywilson7211 22 күн бұрын
safi sana Tanzania Imekuwa Marekani
@doiabel3793
@doiabel3793 Ай бұрын
Nimekuelewa zaidi tena sanaaaa
@Keyjop
@Keyjop Ай бұрын
Mh...Magoti ❤❤❤🔥
@nathanaelmkumbwa1770
@nathanaelmkumbwa1770 Ай бұрын
Asante sana DC wa kisarawe Mungu andelee kutunza na kukuinua mkuu.
@Banzok700
@Banzok700 Ай бұрын
Bila shaka mheshimiwa Rais hajakose kukuteua Mheshimiwa Magoti. Congratulations. Unaongea vzr na busara unayo . Mwenyeezimung akusimamie
@KundaelGeorge-tv8mz
@KundaelGeorge-tv8mz Ай бұрын
Upo vzr sana magoti. Mungu akusaidie
@2003hintay
@2003hintay 26 күн бұрын
Big up Sana mkuu uko vizuri Sana
@boscoafikile4737
@boscoafikile4737 Ай бұрын
Nampongeza mheshimiwa Rais kwa kukuchagua mheshimiwa Magoti, nimefurahi sana.
@ShadrackNkulangwa
@ShadrackNkulangwa Ай бұрын
Magoti hizi ndizo akili kubwa za akiba zilizo achwa na jembe jpm leo mama anaviendeleza
@edwinlyimo5611
@edwinlyimo5611 24 күн бұрын
ongera sana Mama samia Ongera kaka Dc Kaka Magoti
@masungajp1
@masungajp1 Ай бұрын
Mimi Nina umoja na huyu
@frankngoloka5416
@frankngoloka5416 Ай бұрын
Kuwa makini wabongo noma,unaweza tunzwa na milion 700 utatulia
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula Ай бұрын
Fika KIJIJI CHA VIISEGESE KUNA HUJUMA. VISEGESE NI ENEO.LA MKAKATI KUNA ENEO LA VIWANDA. WAWEKEZAJI WAMESHINDWA KUJA SABABU HAKUNA MAJI
@DevotaIjumba
@DevotaIjumba Ай бұрын
Ongera sana kiongozi Magoti.big up
@thomaskiponda6079
@thomaskiponda6079 Ай бұрын
BONGE MOJA LA KIONGOZI❤❤❤
@molenicharles9107
@molenicharles9107 Ай бұрын
MWAMBA umetiisha...very smart dc
@abdull_hafidh
@abdull_hafidh Ай бұрын
Huyu jamaa ananyayo za makonda
@Kanyawela
@Kanyawela Ай бұрын
Yuko anaongea ya maana ila wanaangalia kama hawaelewi ndo ivi anapiga kazi
@rweumbizalugaimukamu4905
@rweumbizalugaimukamu4905 Ай бұрын
Upo vizuri sana Magoti
@aimborannko4048
@aimborannko4048 Ай бұрын
❤❤❤
@cngeze
@cngeze Ай бұрын
Angalia migogoro ya ardhi kaa na watendaji na viongozi wengine watatatue migogoro ni mingi mno
@evelynebwire7684
@evelynebwire7684 27 күн бұрын
Big up my brother
@dilludillu2747
@dilludillu2747 Ай бұрын
🔥
@RichardKilepo-xj1sy
@RichardKilepo-xj1sy 22 күн бұрын
Wape ukweli
@onlythestrong8659
@onlythestrong8659 Ай бұрын
Ongea yake kama Magu vile.
@barakachibwana3708
@barakachibwana3708 24 күн бұрын
Nice
@BeniJohn-xd3cn
@BeniJohn-xd3cn Ай бұрын
Anauza Nchi
@patrickongele196
@patrickongele196 Ай бұрын
Ndugu yangu Dc Magoti kwa mwendo huo huo bila kupokea za pembeni imani yako itakufikisha ndoto njema za wanakisarawe pazuri ongeraaaaaaaa muno mwana wetu
@bakarikayugwa3295
@bakarikayugwa3295 Ай бұрын
Aroo unajuwa Mimi ni muhaya au nimsukuma piga kazi kaka tusione maneno
@user-gv8yn9lg1i
@user-gv8yn9lg1i Ай бұрын
Magoti ni Mara, sio Kagera.
@maryswaibu2218
@maryswaibu2218 Ай бұрын
Musoma huyo
@youngsachafurniture5482
@youngsachafurniture5482 Ай бұрын
Viongozi wanasifia rais tuu 😢😢
@patrickmfundiri8669
@patrickmfundiri8669 Ай бұрын
Safi mh magoti
@KassimJabu
@KassimJabu Ай бұрын
Uwe,mkweli,lakini wanapiga nchi
@MaryShayo-tg4vq
@MaryShayo-tg4vq Ай бұрын
🎉
@amosedward8523
@amosedward8523 Ай бұрын
ase Mh.Dc magoti maneno yako inabidi uendele
@deokibona2835
@deokibona2835 Ай бұрын
Ukishindwa kuweka lami ktk barabara ya kiluvya madukani - kisarawe. Utakuwa huna jipya.
@miryamkissawike3946
@miryamkissawike3946 Ай бұрын
kwani yeye hela ni zake ama muundo wa budget wananchi mnatakiwa muelewe muundo wa bugdet na vipaumbele vya kamati ya maendeleo yenu ndio kwanza
@KelvinConorard
@KelvinConorard Ай бұрын
Yeye kama yeye au
@user-mu1uf2rl4x
@user-mu1uf2rl4x Ай бұрын
Na ujaribu kuelewa huyu ni mkuu wa usalama ktk wilaya na sio mfatiliaji bajeti kuhusu miradi kuna watendaji,madiwani na wabunge na yy ndo mfatiliaji endapo kama miradi imepitishiwa sjui umeelewa kwa hapa
@deokibona2835
@deokibona2835 Ай бұрын
​@@user-mu1uf2rl4x nimeelewa, ila yeye ndio kajitwisha mzigo. Maneno mengi Sana. Yeye ndio kajiita rais wa wilaya.
@salmaramadhan2725
@salmaramadhan2725 2 күн бұрын
Wewe sio mlemavu baba una akili IQ
@stn4873
@stn4873 Ай бұрын
FILIDI KAMA FILIDI
@user-uw4pu9nm1u
@user-uw4pu9nm1u Ай бұрын
Huuu ndo usawa sasa, piga kaz mh.
@rashdiyange7758
@rashdiyange7758 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 kwakwer awa mjui toka enzi za magufuli awa jui tu apo ana cheka tuu ngoja muone kazi yake talia mbona 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@hamudshabani7801
@hamudshabani7801 Ай бұрын
Maneno yako yakaishi
@kissysimbaa2350
@kissysimbaa2350 Ай бұрын
Tis uyo yaaan Sio Mtu wa upinde upinde
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 Ай бұрын
Hamumjui huyo, ohooo mnoko huyo, nyie mchukulieni poa
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari Ай бұрын
Unoko wake katika haki au ubaya kama kwenye haki awe tu mnoko
@isaacktweve3773
@isaacktweve3773 Ай бұрын
Mpenda haki siku zote hilo jina ni la kawaida tu,wewe usie mnoko tunasubiri taarifa zako umelitendea nini hili taifa?
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari Ай бұрын
@@isaacktweve3773 tz watu wavivu na kupenda vya haraka akitokea mkweli anakua adui
@gabrielmushi2813
@gabrielmushi2813 Ай бұрын
😂😂😂😂 Nyie Mnavituko
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 Ай бұрын
@@FahadAbubakari ..kwenye kazi na ufuatiliaji , ni mtendaji hasa
@collinndabi1914
@collinndabi1914 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@StAr-yu3vz
@StAr-yu3vz Ай бұрын
Tunakuombea dua ira kisarawe ujitahidi maana mie nipo kijiji cha kisangile nimehama nchi yangu nipo Oman miaka mie mwanamke tunataka hajira ya wanawake ira umeme tokea rais kufa mpaka reo umeme hakuna ajira kukata mkaa miti imeisha ira ira ipo siku tunataka makonda aje kijijini kwetu
@rogersdavis3058
@rogersdavis3058 Ай бұрын
Mbona sehem nyingi umeme upo
@ejtjr2647
@ejtjr2647 Ай бұрын
Kwamba ana WACHOMBEZI wanaitika EEBANAEEE.....Senge hili, unalipwa na Raisi, hela zote ni zake? Kumanina zako.
@sir_ENOCKMACHA
@sir_ENOCKMACHA Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 nimecheka sana
@salmahalfani6307
@salmahalfani6307 Ай бұрын
Mmmmh
@LamarOmary
@LamarOmary Ай бұрын
Barikiwasana mkuu
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 93 МЛН
UNO!
00:18
БРУНО
Рет қаралды 3,5 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:40
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 33 МЛН
A little girl was shy at her first ballet lesson #shorts
00:35
Fabiosa Animated
Рет қаралды 17 МЛН
HAKUNA NDOA
11:49
Joti TV
Рет қаралды 309 М.
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 93 МЛН