Best leader,Kaka Magoti -Umenifunza kitu leo. Good 👍
@frankpeter4178Ай бұрын
Am convinced huyu anajua kazi yake
@adamyaled1708Ай бұрын
Magoti wewe ni kiongozi wa mfano,hongera sana brother tunazidi kukuombea❤❤❤
@glorykastai3996Ай бұрын
Well done comrade, upo vizuri unastahili kwenda juu zaidi
@bulugubujashi6378Ай бұрын
Huu ndio unaitwa uongozi,respect magoti
@immazacharia75614 күн бұрын
Good leader
@phantyrhymes9536Ай бұрын
Very true Dc Magoti.
@jamaldeenmakengaАй бұрын
Humu kuna kiongozi makubwa sana, nimeshapata sehemu ya kujifunza uongozi... Ongera sana mheshimiwa DC
@TharcissCizaАй бұрын
Ninavyokusoma Kisaikolojia nafikiri bila shaka una uwezo mkubwa sana wa kuongoza.Respect kwa Rais,respect kwako pia.
@AliSalumu-to8ls16 күн бұрын
Chapa. Kazii. Magoti
@ismailmasoud6001Ай бұрын
Mnacheka, mtaumia, huyo jamaa ana kipaji cha uongozi , alivyo ni tofauti na utendaji, mtabadilika , yaani hiyo ni business in paper ..!
@alfackisadimartine5133Ай бұрын
Kafanya kazi ikulu so anaprotocal za ikulu
@daudhenry6212Ай бұрын
Hongera sana kaka
@sebastianthadeus5270Ай бұрын
Nakukubali Mzee !!
@Aminmwansile-we8vnАй бұрын
Safi sana nimekukubari bure mungu akutunze
@ndogoroedson199Ай бұрын
Safi sana Dc Magotti
@saidyusuph73576 күн бұрын
Allah akujaalie we ni zaid ya jembe
@tegemeantenga102Ай бұрын
"Wengine tuna mabomu,utalipuka" hii sentensi izingatiwe
@denisyohana810429 күн бұрын
😆😆😆😆😆😆
@musomamet29 күн бұрын
Naiona karama ya uongozi. Kila la kheri Mh. Magoti.
@thomaskiponda6079Ай бұрын
MAKONDA AANGALIE SANA KUNA KITU CHA KUJIFUNZA❤❤❤
@christopherngereri76Ай бұрын
Wel done
@abelluhende142220 күн бұрын
Hii ni bahati kwa wilaya ya kisarawe huyu ni makonda wa pili apewe ushirikiano
@bakarithegeoinformatician7406Ай бұрын
Wanafiki wanapenda sana kuhusisha Mungu
@zaharanihassan87863 күн бұрын
NJOO NYOTA NJEMA- HOMBOZA UTUSAIDIE UMEME NA BARABARA NA HAYA MACHIMBO YASIMAME
@samsonhamery3809Ай бұрын
Uongozi ni kile Mwenyezi Myngu ameweka ndani ya mtu "Uongozi hutoka kwa Mungu" japo mwili yetu ni dhaifu lakini Imani yetu, akili yetu na Roho yetu Ni Imara katika Bwana: hivyo ndivyo alivyo DC Magoti hongera sana
@sarahezekiel517028 күн бұрын
Amen, talented since birth. Ubarikiwe DC
@chrispinrafael3831Ай бұрын
Tunakukubali mkuu piga kazi nimeenda msemo wako wa kupiga spana kama makonda
@uswegemlangwa208125 күн бұрын
Wewe ni kiongozi hakika
@usafiaps318Ай бұрын
Toka Hapa
@shedrackngaila383Ай бұрын
Kiongozi bora kabisa
@alphoncewilliam4325Ай бұрын
Makonda wa 2 hongera
@SaidKhalifa-q3xАй бұрын
Kwann watu au viongozi kama hawa hawaletwi kwetu Tunduru jamani
@ankowaah22 күн бұрын
Huyu jamaa simkubali ata kidogo maana ana kisiran atar
@eliassabbath2480Ай бұрын
Kwan 3.7 seven billion na billion moja ipi kubwaa😂😂😂
@AllyGibu-cz2voАй бұрын
Kasema imeongezeka bilioni moja toka aje huyo Mkurugenzi
@nsajigwamwakalonge5702Ай бұрын
@@AllyGibu-cz2vokaweka na emojibza vicheko kumbe yuko kama kasuku hajaelewa
@TM.SullusiАй бұрын
Kukurupuka😂😂@@nsajigwamwakalonge5702
@abrazo2639Ай бұрын
Elewa neno hata kama uwe na channel gan utaondoka 😂😂😂