Haya sasa ni sawa kwauamuzi uliochukuwa, watanzania haya tuungane sasa tulijenge hilo bweni ndani ya muda mchache biith’nillah🤲🏽 togather we can 💪🏾
@adamapollo985925 күн бұрын
Ishaallah
@daudimaniseli75925 күн бұрын
Yes
@emmanuelsalila155725 күн бұрын
@@adamapollo9859o
@KimAsia-ec5yp24 күн бұрын
Tutachangia kuliko wakawe teja
@AbdulimalikiDulle-bp5zp24 күн бұрын
Ni kweli
@barakakibale608926 күн бұрын
huyu Shekhe yuko vyema sana ni msikivu ,Hapo kubwa ni wadau mbalimbali na viongozi wa dini waendeshe harambee mazingira ya boreshwe
@kawiche491120 күн бұрын
SAMIA ANAFANYA NINI? WAUZE HAYO MAGARI YA BEI MBAYA WATUNZA WATOTO WA NCHI YETU, NI KAZI YA SERIKALI, USTAWI WA JAMII UKO WAPI RAISI?
@youngtomuller-vh2pu13 күн бұрын
Allah please we need your help iyakanahbudo waiyakanahstainu😢😢
@SalumMkumba-wj2wl26 күн бұрын
Hongera sana DC unabusara sana Allah akulinde nasi tuinuke tupige arambee bweni lijengwe biidhin Allah kazi iendelee wanafunzi wasome inshaallah
@lulanjamd388626 күн бұрын
Mimi ni mkristo nimependa jinsi shekhe alivyo mjibu dc kwa hekima inatakiwa tuishi hivi Watanzania.
@user-sv6zy3hc8o24 күн бұрын
Kweri ndugu yangu
@alkitaamiyMihswan-p3j21 күн бұрын
ndugu yangu mungu aniongoze mimi na wewe hivi ndivo tunavoishi sisi masalafi kwa viongozi wetu.
@Lifebeaconuplift20 күн бұрын
@@lulanjamd3886 kwanini kutanguliza kuwa ww mkristo?
@alyumaraos19 күн бұрын
Huyo dc ni mshenz kama ingekuwa ni kanisani asengetoa uwamuz kama huo ila ukereketwa na ukafiri umemshikaa t
@hamisimtamike958312 күн бұрын
Yah shehe yup vzr
@DafiMohamed-dz8xk26 күн бұрын
Mungu atawasaidia matajiri wa kiislam lazima wachangie ili wapate nusra Ya Allah ...Kila jambo na sababu yake ....Sheikh mungu atakulipa
@JJ-fb9jp25 күн бұрын
Kwanini matajiri na siyo wewe?
@DafiMohamed-dz8xk25 күн бұрын
@@JJ-fb9jp In Shaa Allah ndugu upo sahihi
@SGIT-jd6fg25 күн бұрын
Kumtolea Mungu ni nia ya mtu na si tajiri buku yako ina msaada sana katika hilo
@DafiMohamed-dz8xk25 күн бұрын
@@SGIT-jd6fg upo sahihi sheikh wangu
@user-ck6ur1vk1f26 күн бұрын
Ma_ashallah! Shekhe Mungu akuongoze kwa kusema ukweli Allah akutie nguvu
@KHAMIS_SHILINGI25 күн бұрын
Allaahumma aamiin yaa rabbi 🤲🤲🤲😢
@seneu.212825 күн бұрын
Waislamu ndugu zetu mkienda msikitini toeni sadaka ili maendeleo kama haya yafanywe kwa viwango vizuri maana lengo kama nikufundishwa dini ni jambo jema ila dini haipaswi kufundishwa kama adhabu, Ile kasumba yakusema hatutoi sadaka kufaidisha viongozi wa dini muache kabisa. Sadaka ni muhimu kwa maendeleo na ukuaji wa dini yenu ikitumika vizuri kwenye mambo kama haya.
@margarethpolepole743812 күн бұрын
Seneu mwisho wa waumini wa dini hiyo kutoa mchango qa sadaka ni ahs mia 5 hao watajamiana tu jinsia moja Mhe Magoti hamna kitu hapo wakubwa watawaonea wakubwa kwa kuwalazimisha
@issarashid770726 күн бұрын
Hongera sana DC kwa kazi nzuri hekima busara na Upendo Mungu akusimamie katika kazi zako
@m-tatu105024 күн бұрын
Mimi ni Muslim ila Kwa hili usalama wa watoto haujazingatiwa. DC upo sahihi na umetumia busara kubwa shekhe pia umetumia busara kukubali makosa kukiri makosa. Mungu ni mwema yametokea haya kabla madhara hayajawapata watoto.
@sabtinaramadhani541324 күн бұрын
DC kisarawe mwenyezi mungu akulinde na kila baya ,akupe kheri na baraka zake
@ZuhuraKivaju23 күн бұрын
Allah amekujaaalia hikma sana sheikh, akulipe kwa nia yako na azidi kukuhifadhi.
@PendoMatemba-ql1ng26 күн бұрын
Shekhe umejibu kwa busara sana mwenyezi mungu Akusaidie uweze kukamilisha hilo itaji la moyo wako nakuombea
@bensonmgaya569326 күн бұрын
Huyu DC ana hekima sanaa jaman nimempenda bure Mungu akubariki
@lawrencegwerino165626 күн бұрын
@@bensonmgaya5693 hiyo sio hekima inatakiwa mtu ahesabiiwe miaka ya shetani …
@bensonmgaya569326 күн бұрын
@@lawrencegwerino1656 apana amekili makosa sio kila kosa ni kuhukumu tu bila kufikilia kumbuka hata wewe unakosea Mimi ni mkristo na hekima aliyo tumia na kumpa pesa ya vocha amefanya vizuri sana Cha msingi Mungu aendelee kumpa hekima huyo kiongozi anaona mbali sana
@binobino907826 күн бұрын
Serikali inatakiwa iwasaidie kuweka mazingira mazuri ya watoto kuendelea na masomo yao, lengo la sheikh lilikua ni zuri tu ila changamoto za kiuchumi ndio shida. Ni vyema DC atie nguvu kukisaidia kituo hicho.
@khamishumba651126 күн бұрын
@@lawrencegwerino1656acha ujinga
@aminakipande564523 күн бұрын
@@lawrencegwerino1656😂😂 😂
@abdallahidrisa71026 күн бұрын
Mkuu wa Wilaya yuko sahihi.Tena huyu jamaa anabusara sana.Tusilaumu tuchangie kuboresha mazingira. Allah Jaalia kituo kisajiliwe
@@emmadora7848nani anakuonea amka usingizini ndugu yangu hizo dini sio zenu tumeletewa na wakoloni amkeni usingizini ndugu zangu 😭😭
@Official8364026 күн бұрын
MM NIMESEMA LKN NAONEKANA NA MM KAFILI WAKATI UKWELI NDY HUO SEHEMU SIO SALAMA WATU WAANGALIE WASIMLAUMU MKUU WA WILAYA TU NI BORA WAOMBE MICHANGO KITUO KISAJILIWE BWENI LIJENGWE MAFUNZO YAENDELEE
@HassanJaphari-rx7jy26 күн бұрын
Ameen
@zully75626 күн бұрын
@@emmadora7848kuna mtu alisema ugaidi unaanzia hapo.
@Henricovicent26 күн бұрын
Hongera sana Mhe. DC Petro Magoti kwa hekima na busara uliyo itumia. Mungu akubariki sana!
@innocentboykid244225 күн бұрын
Hekima ni msingi wa wajita
@kichanganionlinetv802326 күн бұрын
Sisi wengine tumesoma maeneo kama hayohayo leo hii tuna maadili yetu na tuna maisha mazur Alhamdulillah nikiona hivi binasfi najua na maisha tu magumu nawaombea dua ndugu zetu hawa iko siku huyu Ustadh ataneemeka tena mda si mrefu in shaa Allah
@bokasinvestment921926 күн бұрын
Maashaallah kaka watu markazi tumevumilia cz kilichotupeleka tunakifahamu tusilqzimishane mirengo shule kuna nnn kama huna maadili mzigo tuuu mtaan sindo hao wasomi wanaokaa uchi na kusema ndo utandawaziiii wenye dini hawafanyi upumbavu kama huo
@Pelegrinoemanuel26 күн бұрын
Huyu atakuwa alifundisha ugaidi
@kichanganionlinetv802326 күн бұрын
@@Pelegrinoemanuel wakristo mnachuki sana na uislam hilo tunalijua na quran ishatuambia kuwa chuki mlizonazo kwenye mioyo yenu ni kubwa kuliko hizi mnazozidhihirisha so tunawajua vzr kwahiyo comment kama hii yako ningeshangaa isiwepo
@maymunamakungu626525 күн бұрын
@@Pelegrinoemanuel Acha ushenzi wewe
@geraldkayanda607524 күн бұрын
Toa ujinga wenu,mlizaa watoto kuwapeleka kulelewa? Kama uwezo wa kulea hamna mnazaa wa nini? Badala watoto mkawapeleke shule wasome elimu inayoeleweka mpo busy na kiarabu.
@user-kr7ux2dw5l25 күн бұрын
Shekhe Allah akulipe kheri kwa kutimiza heshima na twaa kwa kiongozi wako. Ila unaona wazi kabisa viongozi wa serikali hawajijui kuwa wao ni watumwa wa wananchi. Hapo waislamu washajitahidi sana kilichobakia viongozi kumalizia tu. Na si kuwa abisha waislamu kiasi hiko. Unauzalilisha uislamu hapo. Wa ache watoto wa some dini yao. Ww waekee mazingira mazuri tu kama kweli nataka kusaidia.
@arbababdul309917 күн бұрын
Bado kazungumzia bajeti ya 60million inafanya nini kama si kujenga mambo kama hayo... mimi nakubaliana na wewe
@EzzyEddy-nv6ti9 күн бұрын
Comment yako Haina maana na Haina mashiko nenda katoe msaada
@MariamAnafi-bf9gy6 күн бұрын
Kweli
@EmmaPonera2 күн бұрын
Amedhalilisha nn mbona wakristo wanafungiwa unataka kuweka udini badala ya kuwahurumia watoto,kwani wakristo wanajengewa si wanajenga wenyewe
@twalibtz193626 күн бұрын
Maoni yangu binafsi Dini ina dhalilika hapa, waislamu Tujitoe katika dini yetu tuchangie kuendeleza madrassa zetu hii ni AIBU Sheikh anadhalilika hapa nia ni Njema Uwezeshaji hamna
@perfecttentech620826 күн бұрын
mkuu sidhsni kama hapa ni Madrasa. wazazi wawajibike kila mahli kuna madrasa na watotot wanaenda shele na madrasa. kwa nini hawa hawaendi shule?
@dennismwakilembe580026 күн бұрын
Mimi sio Muislamu ila nimeipenda comment yako upo tofaut na wengine wafia Dini hawataki kuambiwa ukweli Mtu anawaza kumsomea dua Dc anaacha kuwaza jinsi ya kutatua hiyo changamoto
@ziggertv318526 күн бұрын
Na ishu nikutatua changamoto na sio kulalamika
@michaelthobias996726 күн бұрын
Inabidi elimu izingatiwe sio elimu dini tu
@sheilalolila223326 күн бұрын
Michango jamani tuanzishe haraka kujenga bweni la msikiti
@user-ov6bq8dc6t24 күн бұрын
Elimu ya akhera haipatikan kiurahisi allah atawasimamia na hiki kituo kitaendelea inshaallah
@innocentlukeka680225 күн бұрын
Aliesikia magodoro ya maisha kwa kutafuta watoto anipe likes zangu3
@arbababdul309917 күн бұрын
Hahaaa kunaviumbe haviko serious#this is Tanzania
@hidayahshabani337926 күн бұрын
Allah amfanyie wepes sheikh tuchangie waweke bweni, mkuu wa wilaya yuko vixur ana huruma sana, sheikh nae mkweli, mkuu w wilaya ana huruma sana,
@DicksonEdson26 күн бұрын
Huyu shehe nimempenda sana nimstarabu
@jasmintanga247426 күн бұрын
Saana Allah amfanyie wepesi ktk usambazaji wake wa dini aende kisheria
@EliasPaul-qs2ib9 күн бұрын
Hata kama siyo mstaarabu hapo lazima ajifunze kuwa mstaarabu Kwa Maana akijifanya mkali jela inamhusu
@fatumapedersen19337 минут бұрын
Mama samia watoto nitaifa lakesho wakisoma watajenga inchi sasa watoto wanalala chini niaibu sana. Masalaam Fatuma.
@ZahraBadri-k9q2 күн бұрын
Mungu amjaalie huyu shekhe ....hasa kwa juhudi alizokuwa nazo...bahati mbaya amekosa nguvu ......Dc...unahekima sana
@deusgulamiwa748925 күн бұрын
Kazi ya kufundisha dini na maadili mema. Ni kazi nzuri ya Mungu, iboreshwe.
@trophywilson721120 күн бұрын
Lakin hao si wanatakiwa waende sekondari ndo huko Wapate na Elimu ya Dini??Ili kesho wasianze.kusema Pastor ana gari lakin shekhe Hata baiskeli hana hahaha
@deusgulamiwa748920 күн бұрын
@@trophywilson7211 Kweli, umri ule sio wa elimu ya dini pekee. Ukiangalia upande mmoja yaani ustawi "kiroho" unasema ni sawa jambo jema kufundishwa dini. Ukiangalia kwa upana wake yaani ustawi wao kwa ujumla unapata jibu wanahitaji elimu ya dunia na ya dini.
@rehemavickie652125 күн бұрын
Mungu akubariki sheikh, aisee una Mungu uko mnyenyekevu
@husseinyusuph729726 күн бұрын
Mkuu magoti Mungu akubariki sana kwa hekima kubwa uliyo onesha InshaAllah Kazi njema
@hamadiayossy26 күн бұрын
Mh DC Mwenyezi Mungu akubariki sana,Mungu akupe maisha marefu in sha Allah,
@user-gi1vf3gh1e26 күн бұрын
Achen akili mbovu iyo hali sio nzuri tuache dini pambeni watoto wanakaaje hapo ubishi sio mzuri tubadilike
@user-yj5on8cz3e26 күн бұрын
Chuki na uislamu tuuh mungu anawaona mbona watu wanauza uchi na mashoga hawakamatwi wanachekelewa tuuh na viongozi awachukui hatuwa
@emmadora784826 күн бұрын
@@user-yj5on8cz3enani aichukie dini ambayo watu wake wako kama mawe? Miaka yote hawataki kubadilika ,ninyi ni wabishi sana na ndio maana wengi hamsomi ila kulalama mnapenda sana
@ramadhanimwinyi-744526 күн бұрын
Didi haiwezi kuachwa pembeni ila utaratibu uchukuliwe dini yeyote haisemi watoto wateswe
@leonnyntandu432426 күн бұрын
@@user-yj5on8cz3e haya mambo ya kuendekeza udini ndio yaliyosababisha majanga kibiti,mkuranga,Amboni na mtwara mtu anaendesha mafundisho bila hata uongozi wa dini mkoa hufahamu tena unalaza watu msikitini alafu unatetea tu ujinga et dini kuna mtu asiyejua maana ya kumuomba Mungu na kujifunza mafundisho mema kwann mnataka sana kulazimisha dini ya kiislam ionekane na taswira mbaya kwa kukosa elimu ya dunia ninyi ndio mnaofanya uislam uonekane vibaya mbele za watu kwakujiona kama malaika na wengine ni mashetani ingali ndani humo humo kuna mashetani zaidi hata ya hawa mnaowaona wadhambi badilikeni mnakera sana vile hamjui tu mnatufanya tunaowaamini na kutamani kujifunza mafundisho mazuri ya kiislam tuchukie
@lampadshigonko300626 күн бұрын
@@user-yj5on8cz3ehawakamatwi vp... Mbona sinza wameshika madangulo yote
@kitejamayunga764526 күн бұрын
Sheikh ni mstaarabu sana. Amesema ukweli wake na Allah atamsimamia kupitia ukweli wake. Mafundisho ya Dini ni muhimu sana, tena sana, lakini shida mazingira siyo rafiki. Simple tu kuelewa.
@JoyceMourice26 күн бұрын
Amesema ukweli wap anafanya watoto wasisome mtoto wa darasa la nne amemkumbatia asomi na alisema anawatoto wakubwa kumbe na wadogo wapo
@florencejohn642726 күн бұрын
Angekuwa mstaraab angefanya huu upuuzi? Ovyoo
@user-rw2mm1jk6o26 күн бұрын
@@florencejohn6427chizi ww achakutukana watu unaongea kwajazba ya dini tu fyuuu
@kasimubangu187526 күн бұрын
Upuuzi gani ndugu@@florencejohn6427
@zahranabdi812426 күн бұрын
Kuna machokoraa wamejazana mtaani iyo serikali imefany jukumu gan lakuwasomesha?@@JoyceMourice
@meryshekoloa96121 күн бұрын
Hongera sana mungu akufanyie wepesi kwa kila jambo shehe pamoja na DC maisha magumu Sana wakirudishwa tunazalisha panyarodi mungu tutetee
@sabojanvierjaja200723 күн бұрын
Sheikh hongera sana umeweza kujitambua na kujieleza vizuri sana Mumgu akubariki sana Japo mi ni mu christo nimekuelewa sana na nimekupenda sana bure Na Bwana DC asante kwa kumuelewa Sheikh
@user-du5wk9ns9m26 күн бұрын
Bakwata simamia hili,sio kusimamia sikukuu na mirad ya msktin
@abdullazaqjuma759213 күн бұрын
Wao wako bize na maulid tu
@fawaaidibnjuma871626 күн бұрын
Kwenye kulingania dini kuna mitihani mingi. Allah akupeni subra nusra ya allah ipo pamoja na matatizo
@HusseinAbdul-is9xq26 күн бұрын
Sahihi Allah s.w.t awape subra
@groundtrader17325 күн бұрын
Serikali inataka kufunga Madrassa. Maneno yake yanaonesha niya yake kamili
@KHAMIS_SHILINGI25 күн бұрын
Allaahumma aamiin yaa rabbi 😢😢😢
@trophywilson721120 күн бұрын
ndo kulala huko kuitafuta mbingu?
@adinanibuma609626 күн бұрын
Kama serikali mnatoa kwa ajili ya mashule basi mtoe na kwa ajili ya madrasa kwani kuna wengine sio kwamba wanapenda kuwa wabunge raisi na cheo zingine za kiserikali kuna wengine wanataka kuwa masheikh serikali iangalie hili msiwalazimishe watoto na ndoto zao
@ahmedyunus721126 күн бұрын
Kabla ya kuisoma Dunia ni vyema kuisoma akhera yetu wenye Dunia tuwaachie Dunia yao
@AhmadaHassan-gy5uj25 күн бұрын
Swadaqta wa jina
@groundtrader17325 күн бұрын
Serikali wanataka madrassa zifungwe. Hawana lolote hawa. Wanataka elimu ya kizungu tu.
@manish-fp1fb25 күн бұрын
@@groundtrader173usingesoma ya kizungu, ungetuandikia nni hapa????.. ndio inayokusaidia kupambanua mambo
@omarymwaluko976521 күн бұрын
@@manish-fp1fbMambo gani ww choko nini
@user-kr7ux2dw5l26 күн бұрын
Masha Allah watoto wanasoma dini yao hapo waachane tu mnachotakiwa mujenge mabweni tu. Na sikuzalilisha.
@EmmaPonera2 күн бұрын
Sio kudhalilisha angalia usalama wa watoto
@user-kr7ux2dw5lКүн бұрын
Tunajua unatafutwa uslama ndio lakini si kwa njia ya kuzalilisha
@ukhtyrehemaabdy283025 күн бұрын
Ukiwa na busara raha sanaaa DC anabusara Sheikh anabusara hapo Lugha ni Moja Mashaallah
@vincentcharles438525 күн бұрын
DC na sheikh Mungu awabariki sana.
@nasrasalumu700521 күн бұрын
Shekhe uko sahihi sikuizi watoto wadogo watukutu huku mtaani bora kuwe navituo kama hivi hata huku mtaani wangekuwa watoto wenye heshima chamsingi tumuwezeshe shekhe atufundishie watoto wetu huku mitaani hakufai asante mkuu kwa busara zako pia shekhe allah akulipe kwa hekima uliyonayo tukiwezeshe kituo waislamu inshallah
@hermanaaron694526 күн бұрын
Kazi nzuri sana DC
@winfridamakonyola988726 күн бұрын
Mimi machozi yamenitoka eti kwa ajili ya huyo ostaz alivyo mnyenyekevu hadi nimelia😢 jamani achangiwe bweni lijengwe
@mohamedkwiga687025 күн бұрын
Nmejiskia huruma kweli asee
@jafarinauma679823 күн бұрын
Ndio ujue umuhimu wa kusoma dini huyo sheikh kasoma dini
@marywigira390420 күн бұрын
Yaani anaunyenyekevu mnoo Mungu amuinulie wafadhili wa project hii
@joycemkeka376918 күн бұрын
Kwakweli jambo la msingi nikuchanga tu wajengewe bweni zuri waendelee na mafundisho hayo yanafaida sana ila tatizo ni mazingira
@yusufumbwene566920 күн бұрын
Huyu anausakama uislam , mimi siwez unga mkono kabisa , anajifanya busara ila moyoni ana maana yake . Pambaneni na wimbi la ushoga . Chuki tu moyoni ndio zimewajaa
@cleartzboy24 күн бұрын
Yupo sawa na hii niaibu kwetu sisi waisalam tumekua wagumu sana katka swala zima la din yetu hapa tujifunze waislam hii kitu ipo sahihi lakn inaonekana kipato nikidgo ili utendaj umalizeke kifup waislam tuchangie kumaliza hil na kosa nkwamba mashekhe waliwahi kufanya huduma hyo bila miundo mbinu kukamilika
@HassanWasiwasi-lq1kh26 күн бұрын
Acha kuidanganya jamii!!! Msikiti ni zaidi ya kufanya ibada, tafadhali tumia lugha nzuri.😢
@Chakol123-k7s25 күн бұрын
Nyumba ya ibada wanapika jaman hiyo ni kambi ya jeshi au ugaidi.. nyumba ya ibada ni ibada tu
@nathanielshauri513526 күн бұрын
Hongera sana DC kazi nzuri sana ndio viongozi tunao waitaji watazania big up
@libandaonline535825 күн бұрын
Sasa kazi ya nini hapo au ndio ukafiri unakusumbua
Dc ❤et magodoro Yanaisha kwa ajili ya kutafuta watoto❤
@RaphaelHhari26 күн бұрын
Dc amefanya kazi nzuri
@BLUBEENICE22 күн бұрын
Safi sana MH.ila wazazi wa hao watoto nao vichwa vyao sio sawa.
@alinaalina504422 күн бұрын
Kutafuta elim sio mpaka update pazuri sio
@mohamedkwiga687025 күн бұрын
Nmewapenda wote shekhe na DC Magoti...Hapo mkuu wa wilaya tusaidie angalau Bweni Moja Inshallah
@abdallahkungulilo793925 күн бұрын
Kiongozi ni ni kutafakari na kufanya maamuzi kwa Hekima na Busara, siyo Hisia na Mihemko, I salute you DC Magoti kwa namna ulivyoshughulikia kadhia hiyo, Mungu akubari!
@OchoaHomeDecor_26 күн бұрын
Maisha hayo ni bora kuliko maisha ya watoto kuzurura mitaani... Kuwa wahuni,wezi,madawa ya kulevya nk...
@HusseinAbdul-is9xq26 күн бұрын
Sahihi
@luluray211526 күн бұрын
Uko sahii ila kumbuka watoto Bado wanaitaji shule hicho kituo kinaitaji kijulikane kwa serikal na kwa wakubwa wa dini ili watoto wapewe malez Bora kinacho fanyika hapa ni sahii kabsa
@queenmwasanguti237026 күн бұрын
Umeambiwa ni wa mtaani hao?
@libandaonline535825 күн бұрын
Hakuna dc hapa ni ukristo tu unataka kuturudisha nyuma katika dini laana tu llah
@libandaonline535825 күн бұрын
Wallah nakuomba mungu sambaratisha cheo chake huyu kafiri adharirike mpaka kaima🤲🤲
@JK-uq1tv26 күн бұрын
Haya mambo ya kuaza kufundisha watoto namna ya kuja kuwa magaidi yameaza tena jaman 😢
@MuhamedAjigar-dw9ve26 күн бұрын
Nyooo umesikia wanafundisha ugaidi pale kuwa muelewa
Acheni fikra za kimagharib zilizojaa chuki, uislam sio ugaidi bwana, hiyo ni sawa na Sunday school kwa sisi wakristo !! Tusiwekeane mipaka kwa kuwapandikiza wengine ubaya !! Dini ni upendo, kwa taarifa tuu magaidi wakwanza ni hao wanaotuharibia watoto kwa ushoga na usagaji na tena wanalazimisha dunia iangamie, sembuse hawa wanaoipigania dini yao !! Acha chiki bwana
@JumaJuma-i2g25 күн бұрын
@@devisshirima6780 sahihi kabisa ndugu
@shadhirimaalim973925 күн бұрын
Hizo ni chuki zako wee unaubaguzi kwanza akuna gaidi
@AbuuAnuwar-ip7dr23 күн бұрын
Asante sana muheshimiwa, umetumia njia mzuri sana nahekma yahali yajuu licha yakuwa ulikuwa nauwezo nahaki yakumhukumu Shekhe wetu huyo maana kosa lake likowazi
@RiyanyMwakipunda25 күн бұрын
Nakupongeza Dc Magoti mpakanimetokwa na chozi kwa hekima zako good bro
@ramadhanikitenge318226 күн бұрын
Huyo shkh mm namjua anajitahd sana na ana group la mchango wa hayo mabweni ila ndo hvyo watu wanatoa kdog kdogo sana
@jasmintanga247426 күн бұрын
Allah atamuongoja
@jasmintanga247426 күн бұрын
Atamuongoza inshaa Allah
@mshambaused384025 күн бұрын
Tuma link yake ya group
@ramadhanikitenge318225 күн бұрын
Mtu anaweza akaweka namba yake nkamtumia akuunge kwny group
@MrA24G24 күн бұрын
Angepata network uarabuni wampe fedha za kujenga mabweni.Uarabuni pesa zipo ni apate link Bakwata wangempa link.Ama angeenda ubalozi wa Oman Saudia nk wangemsaidia.Waislam jikusanyeni msaidieni sheikh muonganisheni na waarabu nje ya nchi wam finance.Km dini nyingine wanavyotafuta funds nje na kujenga maskuli nk.
@user-dr2lk7im7r26 күн бұрын
Je hao watoto wanafundishwa dini tu. watoto hao waulizwe wanachofundishwa.
@AbdulimalikiDulle-bp5zp26 күн бұрын
ni dini tu wala usihofu
@seifmiraji4326 күн бұрын
Swali la kipumbavu
@user-ji5go2jf6h26 күн бұрын
😂😂😂
@stellamhando175026 күн бұрын
😂😂
@kichanganionlinetv802326 күн бұрын
We ni msenge mbona wakristo mnachuki na uislam ivi bwege wew
@user-fj5qu1qy4u24 күн бұрын
KAZI nzuri magoti DC
@EmmaPonera2 күн бұрын
Hapo kamsaidia kupata wadau wa kujenga hoster
@alphoncewilliam432526 күн бұрын
Hii aijakaa sawa
@aboudasilver654126 күн бұрын
Ukweli tusifiche WAISLAM Kwa hili wanakosea sana hii tabia misikiti MINGI hiyo tabia ipo sana kuwakusanya watoto sehem km hiyo unatabia ya ongezeko la Ushoga watoto wengi wamearibiwa sehem km hizo za mikusanyiko
@barackmoses700326 күн бұрын
𝐊𝐖𝐄𝐋𝐈 𝐊𝐀𝐁𝐈𝐒𝐀
@husnathabiti411426 күн бұрын
Mbona mfalme zumaridi mbona Analaza usiseme waislam ili nikosa kama makosa mengine
@shabanponera289526 күн бұрын
Sunday school hawaharibiwi?
@user-ci9mr5pt9v26 күн бұрын
Kwani mwenyezi mungu kwenye vitabu vyake anasemaje na mtume naye na watu wema waliishije kipindi chao? Na kuhusu ushoga mungu kakataza lakini pia vilevile kuchanganyika na Wanawake imekatazwa tusiongee tu kwa ushabiki turudi kwa mungu tufate taurati, zaburi, injili na quraan.
@IbrahimuLikolinji-ly2tp24 күн бұрын
Acha ujinga
@fatumapedersen19344 минут бұрын
Wewe nimtumbaya sana kutumia dini watoto kuishi vibaya.
@vincentcharles438525 күн бұрын
Sheikh Mungu amekupa hekima kubwa sana,wewe ni zaida ya sheikh wa mkoa,Mungu akuzidishie Ndugu yangu.
@TV-se1lf26 күн бұрын
Jamani shughuli za uendeshaji shughuli za dini ni changamoto sana, ukizingatia hakuna mfadhili wa kukamilisha kila kitu kwa wakati. serikali ituvumilie waisilamu. Ikiwezekana serikali iangalie namna ya kuwezesha taasisi za dini.
@adinanibuma609626 күн бұрын
Ni kweli kabisa
@HusseinAbdul-is9xq26 күн бұрын
Sahihi kwasababu nawatu wa dini lengo 1 VP watu wataishi Kwa Imani na khofu hvyo wanafanya kazi kubwa saana kusaidia jeshi la police 🚨 kureta usalam.
@canibalgazaboy832526 күн бұрын
Taasisi za dini zitengeneze mazingira mazuri zenyewe ko kabla ya kuibebesha lawama serikali kwanza jikagueni wenyewe kwanza muone kama mnaweza kutoa huduma hiyo
@maymunamakungu626525 күн бұрын
@@canibalgazaboy8325 Mwisho wa siku huduma lzm ziendelee watoto mashaallah wanazaliwa wengi kama yukisubira mazingiza mazuri watapotea wate hao vijiweni kwa bangi, unga n.k
@cecilialivingstone920223 күн бұрын
😂😂😂😂
@hamishatibu69926 күн бұрын
Wajengewe mabweni watoto wasome Mbona Tanga wanamabweni watoto wanasoma vizuli tu
@user-hj4bc5uh2x26 күн бұрын
Tatizo vituvyakheri havina michango m
@queenmilan202426 күн бұрын
Hongera DC
@ednalugano290626 күн бұрын
Serikali iache kulea vitu hivi kwa kisingizio cha uhuru wa Imani. Hivi vituo vinavyokusanya watoto kiholela vinakiuka haki ya watoto ya elimu,nk. Magonjwa yakitokea nani anawahudumia? Na wazazi wenye watoto hawa wachukuliwe hatua za kisheria.
@allymtito811725 күн бұрын
We jaahili kweli,
@NURUABDALLAH-kq4ui25 күн бұрын
We mpuuzi Kweli!!!!
@user-zu8ui2py1z23 күн бұрын
Ww mjinga nmoja
@user-zr1dv2tb5k16 күн бұрын
Mjinga wa mwisho
@msemasungura565126 күн бұрын
Hiyo pia nielimu kama mtoto ameshindwa kwenda shule kuliko kuzurura hata dini asome .nilazima itambulike kua pia hii nielimu.
@adinanibuma609626 күн бұрын
Ni sahihi akhy kuna watu hapa nahisi si waislam wengine pia ni nawasiasa tu wanongelea vitu vya kijinga sana
@luluray211526 күн бұрын
Kwann ashindwe kwenda shule tunajua dini ni muhimu sawa lakin kumbuka elimu ni Bure kwann ashindwe kwenda shule??
@SultanMilizar24 күн бұрын
Mh DC Magoti M Mungu akujaalie umli mrefu endelea utafika mbali umetumia hekima sana ila nikuombe umsaidie shekhe ili kupata ufadhiri wa kujengewa bweni za hao watoto Msadie Alifa kupata msaada wewe ni mtu wa watu pia ustadhi tupo tayari kukuchangia nipo tayari takuja kisarawe kukutembelea
@KONDOBANNAHMUSIC17 күн бұрын
Mh.magoti ila big up sana aseee angkuwa kiongozi mwingine hapo angetaka masifa ila wew muheshimiwa HUNA masifa ALLAH akubariki
@israeluronu995826 күн бұрын
Nyie mnaolalamika eti anazuia kazi ya Mungu mnakosea!!! Haowatt kilamtu ametoka kwao na tabia zake. Hivi vitendo vya ukarili nivingi sikwawaislamu wala wakristo. Kwaiyo wacheni kiongozi afanye kazi yake. Watt wakiumia ninyie mtalaumu jmn
@user-js1sv8kk3t26 күн бұрын
Taarifa za kiintelligensia zimebeba mambo mengi kuhusu hicho kituo..
@Makikokasongo25 күн бұрын
Tusaidie tujue
@gwajimagwajima24 күн бұрын
Intelijisia ya mavi
@ibnkhaldoun969424 күн бұрын
@HUNA LOLOTE ULIJUALO ZAIDI YA CHUKI NA WAISLAM .
@khalifaaliomar798921 күн бұрын
Asante chief
@Shamshuunoon25 күн бұрын
Niliona watu wakimjibu vibaya huyu mkuu wa wilaya jee nani Yupo tayari mtoto wake aishi mazingira hayo? Hapo hata hiyo elimu mtoto atafahamu kweli?
@Optionxll_Playz126 күн бұрын
Hivi Serikari wanakuwaga wapi mpka kitu kama hiki kinatokea ? Alipataje leseni ? Mambo ya aibu sana haya.
@WaziriAbdallah-vr4xg26 күн бұрын
Hakuna jambo la aibu hapo hayo maisha ndo maisha asilimia 90 watu wanaishi huko mikoani hivyo usifanye kama Kijiji kwako hakuna
@OchoaHomeDecor_26 күн бұрын
Leseni? Leseni gani? Alafu hayo ni maisha tunayoishi kila siku... Nina jirani yangu anawatoto sita wanalala kwenye chumba kimoja na wazazi wao kwenye chumba kimoja... Maisha hayo ni afadhari kuliko maisha ya watoto kuzurura mitaani kuwa wauni na vibaka
@Optionxll_Playz126 күн бұрын
@@OchoaHomeDecor_ ndio maana Serikari inatakiwa na watalamu wake wanatakiwa kutoka Elimu na makazi bora Ni 2024 sio 1940 lazima wawatoe wanainchi kwenye umasikini kama huo sio wanafikilia matumbo Yao tu .
@leokamil628426 күн бұрын
Ajabu sana hii
@happymvula26 күн бұрын
Me nauliza hao watoto wanaenda saa ngapi shule? Maana navyojua wanaenda madrasa wakitoka shule...siyo kuhamia ,labda kama wapo hapo kwa muda .
@ednalugano290626 күн бұрын
Waziri Gwajima, ukaguzi ifanyike nchi nzima. Makanisa na misikiti yote ikaguliwe. Na sheria iwe Kali kwa wazazi na walezi. Iko siku waovu wataweka vituo km hivi kuendesha Mafunzo ya ugaidi, ushoga,nk alaumiwe nani?
@mariakibwana370026 күн бұрын
Nimependa ulichoandika.
@HamisiKashushu26 күн бұрын
Kwa hili nakupongeza sana kazi nzuri
@alhilaltvonline24 күн бұрын
Hwenda ikawa ndio chanzo cha kupata msaada mkakamilisha kituo chenu. InshaaAllah allaj awape wepesi.
@ABUU42626 күн бұрын
Yule asiyefahamu nini maana ya dini atamuunga mkono sana DC,na Yule anaefahamu nini maana ya dini atamlaumu sana DC.
@rashidyyusuph438626 күн бұрын
Ukwel DC kakurupuka alafu watu wanaishi maisha ya shida kuliko hayo alafu wala mtu aongei chochote kwa kuwa jambo la dini na la waislam ndio hivyo tena Kumbuka sis tumesoma elimu ya dunia hiyo hiyo kwa kukaa chni na vyoo vya kulenga Lakin miaka sana yote tumeishi hivyo leo jambo la dini watu washabikia DC mwenyewe maneno machafu
@perfecttentech620826 күн бұрын
kiongozi hakuna kulaumu mtu. hapo ni kusecure usalama wa hao watoto. shekhe ajenge hostel afanye hiyo kazi
@ABUU42625 күн бұрын
@@perfecttentech6208 Kama hujui hapo kuna baadhi ni watoto wa mitaani wameletwa hapo kusaidiwa jee warudi mitaani wakazurure na kulala barabarani na masokoni? Au huko ndio salama zaidi.
@egbertlambert20 күн бұрын
Duh kweli
@lawrencegwerino165626 күн бұрын
Ni aibu kwa inchi.kuona haya mambo yanafanyika na serikali ipo…
@TwahaAliMtumbi26 күн бұрын
Wapuuuzi Sana hii serikali
@leokamil628426 күн бұрын
Aibu kubwa sana huu ni utumwa
@SophyDan-c4s26 күн бұрын
Dc Mungu akubrki,una hekima sana
@matendondambwe952723 күн бұрын
Allahu akbaru allah tusaidie waongoze mashekhe kufanya vitu kwa umakini mkubwa na kwaubora maana serekali haipo tayari watu kuwafundisha kumjua muumbaji wao wanataka tu watu wawe viongizi pasipo kumjua muumbaji NIKWELI SHEKH AMEKOSEA ILA KAKUTANA NA SERIKALI ILIOPOTEA ilipaswa SERIKALI kuingiza mkono wake wa kimali kuendeleza mafunzo
@HamisiKashushu26 күн бұрын
Uko vizuri sana mkuu nenda na kwa mwamposa wanala nje na wagonjwa
@arushijuma605626 күн бұрын
😂😂😂😂 kwakweli
@naifathassan260725 күн бұрын
Wale ni watu wazima hawa ni watoto wanaweza hata kufanyana vibaya tatizo mnaanza kuleta udini
@therealkingo25 күн бұрын
🎉😂😂
@user-mc2zl1gj6u25 күн бұрын
Usha sema hao ni wagonjwa acha wahangikie tiba na uponyaji pia ni watu wazima hawajitaji kwenda Shure ludishrni hao watt kwa wazazi wao wakaende shure na kulijenga taifa msikiti ni sehemu ya kusali na kuludi nyumbani siyo kuishi humo kazi au Shure wanafanya saa ngap? Ulizeni hao watt wanacho fundishwa kusije kukawa kunazalishwa akina hamza
@AlexKing-yg2cc24 күн бұрын
@@user-mc2zl1gj6uKwa uandishi huu hata wewe unatakiwa kwenda shule. Shure ndiyo nn?
@user-xz9zg2yk6m18 күн бұрын
Jamani umetoa maoni mazuri sana mungu akulinde kwa kufuatilia hayo mazingira ya hao watoto🙏🙏🙏
@jasmintanga247426 күн бұрын
Wote wanania nzuri kwa watoto DC amefanya kazi yake nzuri na shekh pia alikua na lengo zuri ispokua amekosea kufuata sheria tu lkn Allah awalipe kwa nia zao njema DC na shekh
@petroyohana112626 күн бұрын
Wazazi wenyewe ni maboya Sanaa, mungu atusaidie sana. Sijui nani katuloga
@olivajoseph169726 күн бұрын
Hata mm nashangaa akili Gani hizi za wazazi. Ndiomana watoto wanafanywa vibaya
Hiyo Kamati ya Afisa Ustawi wa Jamii, Mtendaji, na Afisa Tarafa, na Sheikh mwenyewe, imenifanya kuamini kweli watoto watarudishwa nyumbani kwao. Maana nimeshtuka baada ya kusikia ikifika saa 7 hutakuta mtoto hapo. Hata Nguruwe halali katika mazingira ya Namna hiyo "DC wewe Allah anakutazama" Watu wanamaliza magodoro kutafuta watoto.😂
@ramadhanizengwe26 күн бұрын
Sheikh yupo vizur sana na dc nimemkubali sana hongela dc
@tatujuma479526 күн бұрын
Big up sana mkuu una mauwa yako toka kwangu, umefanya kazi nzuri sana, kwanza ni watoto wa kiume tupu huu unaweza kuwa mwanzo wa ulawiti na kulawitiwa kwa watoto hao
Mama Samia anaona hili na Iman atafanya kitu kama alivyofanya mengi mazur yanayo gusa maisha ya watu😢
@user-do1ug7de3g26 күн бұрын
Hivi mama samia kuna jema amefanya au unampaisha tu mie sijaona pia namshuhudia Mungu
@user-du5wk9ns9m25 күн бұрын
@@user-do1ug7de3g mama kawapeleka bongo movie korea hawez shindwa hili jambo la khery
@user-hz6zl1jr8v26 күн бұрын
Waangaliqe na afya zao je ni wazima? Je hawajaingiliwa kimwili.?
@salmamlokela198726 күн бұрын
Yaan wewe una mawazo ya ovyoo
@fashion744226 күн бұрын
Wataingiliwaje wote hao naww uwe na akili
@IbrahimMaestro25 күн бұрын
Tahila ww
@yusuphmnyamani219925 күн бұрын
Kwahiyo ulivy ingiliw wew ukiw mdog unadhani na haw watoto itakuw hivyo
@saidMahinde20 күн бұрын
kweli tabiaza za m2 zikiwa chafu na mawazoyake yanakua machafu alio zoea kulawitiwa pia mawazoyake kua kilam2 analawitiwa kama yeye
@issaabdi91296 күн бұрын
Wote wako sawa dc nampongeza na sheikh ana hikma sana.
@user-so5vi2vk2j26 күн бұрын
Ubarikiwe shehe na dc kwa hekima
@thomasdunstan826326 күн бұрын
Wachunguzwe wanacho wafundisha hao watoto. Wengine wanatumia mgongo wa dini kupenyeza maovu
@allymtito811726 күн бұрын
Kwenye dini ulidhani wanafundishwa nn!!!
@jumamohamed480826 күн бұрын
Dhana mbaya dhambi
@JamesJastin-bg1rx26 күн бұрын
Acha chuki za udini
@salmamlokela198726 күн бұрын
Ovyooo kama una cha kuongea nyamaza
@simasima808426 күн бұрын
Huna akili acha chuki fis ww
@IsraelMjita26 күн бұрын
Angalieni hapo kama hakuna viashiria vya mafunzo ya kigaidi
@AshuraMaulid26 күн бұрын
Nilitaka kusema hili nimewaza kama wewe yaani wachunguzwe
@dickmagige931526 күн бұрын
Msiwe na mawazo mgando nyie
@shabanimfikirwa761826 күн бұрын
Hivi kwa nn waislam wakipewa mafunzo ya kidini mnagusisha na ugaid wakati wenzetu wakristo huwa wanakaa makambi ya kupewa kipaimara but hakuna inshu Kama hizo,then hao wanaoambiwa ni magaidi huwa watu wanaowadhamn ni wazungu,naomba tuwe wataft wa mambo kabla ya kuyazungumza.
@madengejr26 күн бұрын
Watoto wakibanwa wataeleza wanalishwa sumu ya itikadi
@SuleymanIbrahim-zi3ot25 күн бұрын
Acha ujinga wew Kila kitu ugaid ulaniwe milelw
@yusufumbwene566920 күн бұрын
Mtume wetu Muhammad ( s.a.w ) ukiangalia maisha yake yote alikuwa akilala mchangani kula alikuwa anakula tende na sio kwamba alikuwa masikini , starehe za kidunia zitawapotosha vijana , huyu dc atafute vijana ambao hawana ajira mtaani awasaidie acheni kusakama uislam
@athumanyassin779622 күн бұрын
Hizo pesa zinazotolewa ni kiasi gani kinatengwa kwa ajili ya taasisi za kidini kabla hatujawalaumu na kuwadhalilisha viongozi wa kidini?
@manfredherman289826 күн бұрын
Iv waislam kaz kutanua midomo wanawaona😢 iv kwel mnashindwa kuchangia din yenu watoto wenu wakasoma vizur 😢😢
@emmadora784826 күн бұрын
Hao kulalama ni balaaa ila kuchangia maendeleo ya taasisi zao ni 0 huo ndio ukweli japo watakataa
@bitecastory213726 күн бұрын
Toka lini uisilamu akawa na Elimu ya kutosha ila Sasa kutukana kafili ndo wamejaliwa
@SaidiAmiri-qv5ed26 күн бұрын
@@bitecastory2137unakosea sana,raisi wako dini gani? Hana elimu yule,nani aliyepigania uhuru taifa hili,chama cha TAA baadae kikazaluwa TANU ndani yake walikuwa akina nani? Acha ufala,elimu waislamu tunayo yakutosha.
@shagufasalim431026 күн бұрын
@@bitecastory2137 allah akusamehe
@salmyhussein625526 күн бұрын
Raisi jiaangalie haya mambo ya kuvamia madrasa.na kuzuia watoto wasisome dini, mungu anakuona
@audaxbizimana808426 күн бұрын
Kwan hiyo ni shule😅😅😅😅 wwnafundisha nini bila kibali
@joycehaule971726 күн бұрын
Wewe mwehu kabisaaaaaa yan DC kaongea kwa ustaarabu kabisa na ana mwelekeza wajenge mabwen kisha wawachukue watoto tena kwa utaratibu mzur sasa hapo kakataza wapi wasisome din wewe nenda shule kasome