No video

DEGE KUBWA LA JESHI LA MAREKANI🇺🇲 LIKIRUKA DODOMA AIRPORT AUGUST.31.2022

  Рет қаралды 85,259

Travellers Tv

Travellers Tv

Жыл бұрын

Пікірлер: 72
@Ambagaye
@Ambagaye 18 күн бұрын
Lilileta vifaa vya ujenzi wa jengo la ubalozi wa Marekani Dodoma
@deoyessaya8689
@deoyessaya8689 Жыл бұрын
Kuna nchi za kukosea sio kwa technology ya marekani waseme vizur kunanini wamekuja kuchukua
@TonnyCaesar
@TonnyCaesar Жыл бұрын
Kwa kweli watuambie
@aryazanzibar
@aryazanzibar Жыл бұрын
Jamanieh.. Hi inchi ni yetu sote na wala sio ya kikundi fulani cha watu. Wasitokee watu wakajifanya hii nchi ni yao peke yao. Kila Mtanzania ana haki ya kujua kinachoendelea nchini mwake. Nchi inapoingia mikataba na wawekezaji tuambiwe, ndege kama hiyo imekuja nchini tuambiwe. Nina uhakika kuwa haijaja burebure tu au kwa matembezi. Lazima kuna kitu.
@TonnyCaesar
@TonnyCaesar Жыл бұрын
Kabla hawajamuua hivi vitu vilikua haviji huku, RIP dad
@robinhomesuza8906
@robinhomesuza8906 Жыл бұрын
Wamekuja kumuona mandonga mtu kazi
@rene772
@rene772 Жыл бұрын
Jaman jaman hii imekuja kufanya nini??? Embu tujuzane kiundani zaidi ????????
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 Жыл бұрын
Hamjiulizi limekuja kufanya nn?
@abedmakoro5904
@abedmakoro5904 Жыл бұрын
The C17 global master🔥🔥
@makayladayne5407
@makayladayne5407 Жыл бұрын
My friends are in there
@jacksonmartin8485
@jacksonmartin8485 Жыл бұрын
Kila wanapokuwepo hawakuachi salama hawa hatutaki waweke base kwetu ni washenzy sana na ukiwakaribisha tu hawatoki tena
@jumannendayigeze2899
@jumannendayigeze2899 Жыл бұрын
,Haiwezekani dege hilo likaja kutembea tu lazima liondoke na mzigo wa maana
@josephambrose2215
@josephambrose2215 Жыл бұрын
Viongozi wa nchi hii wa ajabu sana🇹🇿🙏🙏🤔
@user-cw8zn2dn6m
@user-cw8zn2dn6m 3 ай бұрын
Swali ni mmoja tu!! Hii ndege kubwa namna hii la marekani, limekuja kufanya nini? Limekuja kuchukua nini? Maana najua ndege kubwa hiyo, haiwezi kuja kutoka US hadi huku Tanzania bure.
@wahidaali7730
@wahidaali7730 Жыл бұрын
Watuambie ukweli kuna nn kimeji ficha nyuma ya hili sio kawaida mareni mara wameanza na yule mwana mke leo hii tunaona ndege yamarekani hem tuambieni kuna nn nyuma yapazia nyinyi
@nimbetebwangabwa8521
@nimbetebwangabwa8521 Жыл бұрын
Imekuja kusafsha uwanja,vumbi jingi,
@user-gv8yn9lg1i
@user-gv8yn9lg1i 2 ай бұрын
Hahahaaa😅😅😅
@ukweliunauma4570
@ukweliunauma4570 Жыл бұрын
Limekuja kuchukua madini na kuleta silaha au kuja kuwafira viongozi wa ccm hamna jengine nchi ishawashinda
@NgasaMabula
@NgasaMabula 4 ай бұрын
Viongozi mnatakiwa mtuambie hii ndege imekuja kufanyaje Tanzania nasi kusema ety ndege hii ni kubwa
@yusufmohamed8874
@yusufmohamed8874 8 ай бұрын
Tumeshaibiwa
@huseninchasi
@huseninchasi Жыл бұрын
Kuna madini ya uraniam Dodoma labda wanayataka kwa sababu Tanzania hatuna teknolojia ya kuyachukua
@williamjames8190
@williamjames8190 Жыл бұрын
Iyo chuma ikitoka apo ni direct ad USA co
@mabruqjumamponda7629
@mabruqjumamponda7629 Жыл бұрын
Tusha porwa jamani
@joycenicodemus.2232
@joycenicodemus.2232 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@khalidkulanga7007
@khalidkulanga7007 Жыл бұрын
Ilikuja kusalimia tu
@abdallahmmary8591
@abdallahmmary8591 Жыл бұрын
Kuuzwa sikunyingi mbona wala halina shida at mwendazake hakuwahi gusa mgodi wa mwadui je tulijiuliza Hilo Leo tunashangaa ndege sio maajabu
@eaglecrown1101
@eaglecrown1101 Жыл бұрын
Jwtz inatakiwa iseme hao jamaa wamekuja kufanya nn, Tanzania 🇹🇿 hatutaki military base hapa 🤔
@hermanmassawe1907
@hermanmassawe1907 Жыл бұрын
Kweli imepotea! Kwani hawajui limefikaje au mpaka wakuulize uwape ruksa!
@manchalijob9600
@manchalijob9600 Жыл бұрын
Tumeuzwa
@hujacharles2223
@hujacharles2223 Жыл бұрын
Ila ni kweli nimeona picha y mama Samia pale pembeni y uwanja
@wangweemmanuel9048
@wangweemmanuel9048 Жыл бұрын
Kitu C17
@alextongori8329
@alextongori8329 Жыл бұрын
Sasa ni kuw ilikuj kufanya nn maan ndege haiwez ruka marekani mpkaa tz bila kuwa na mchongo wa maan
@hermanmassawe1907
@hermanmassawe1907 Жыл бұрын
Eti limekuja kufanya nini!
@emanuelmsigwa1927
@emanuelmsigwa1927 Жыл бұрын
Asante baba wa Dunia kuja tz .lla tusaidie kumrejesha jpm aliye chukuliwa kwa miujiza ya free mason
@hamadsaburi3569
@hamadsaburi3569 Жыл бұрын
J p m
@mabruqjumamponda7629
@mabruqjumamponda7629 Жыл бұрын
Heri JPM angelikua...ndege hio isha beba rasili mali yetu haooo
@kibabumwalabu8706
@kibabumwalabu8706 Жыл бұрын
Chakuangalia mivumbi inayotimka iyo aibu tupu mengine ayatuhusu
@jacksonmartin8485
@jacksonmartin8485 Жыл бұрын
Hawa jamaa wamekuja kufanya nini hawaendi sehemu bila faida mbwa hawa
@benjaminjoseph1747
@benjaminjoseph1747 Жыл бұрын
Jengeni uwanja acheni siasa. Aibu tupu uwanja unafuka vumbi
@florenceelikana3040
@florenceelikana3040 Жыл бұрын
Aibu kwakweli
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 Жыл бұрын
We unauliza ujinga! Wamekuja kubeba nn? Au wameleta hela za kutununulia wanambarali? Masikini tumeuzwa
@benjaminjoseph1747
@benjaminjoseph1747 Жыл бұрын
@@ndogoroedson199 poleni kwa kuuzwa
@qasammamachinya4448
@qasammamachinya4448 Жыл бұрын
Wanahamisha mizgo Yao,wasije? Tena
@dancun217
@dancun217 Жыл бұрын
Chuma kama cha vita
@richardhosea8827
@richardhosea8827 Жыл бұрын
Hili huliwezi ezua bati kweli angalia mipua yake
@mimiraia2531
@mimiraia2531 Жыл бұрын
WAUZA NCHI, WAMESHATUUZA
@geraldsanzala8119
@geraldsanzala8119 Жыл бұрын
Hapo ndo utajua huwa tuna ndege au Bajaj😏
@mnyetikulwa4510
@mnyetikulwa4510 10 ай бұрын
😅😅😅😅
@hassanbinally7127
@hassanbinally7127 Жыл бұрын
Hatar na nusu
@salcle9702
@salcle9702 Жыл бұрын
Tutabakia kusema tushaliwa ukiona haramu tegesha msumari.ukipata chansi ya kula na wewe kula vizuri usione huruma
@habibnjowele7751
@habibnjowele7751 Жыл бұрын
Inaitwa C17 global master/
@athumankwikima8378
@athumankwikima8378 Жыл бұрын
We know
@bsmonline8482
@bsmonline8482 Жыл бұрын
Na ni global Master kweli 😄
@steventeophil7775
@steventeophil7775 Жыл бұрын
Dhahabu zishaenda ivo
@eddechriss2664
@eddechriss2664 Жыл бұрын
Ilitua kuleta nini
@ottomsovela618
@ottomsovela618 Жыл бұрын
Imeleta ice cream za watoto
@kellyngogo3319
@kellyngogo3319 Жыл бұрын
WaTZ wamechoka eti ice cream hahahahaha
@swaibusukigwa7867
@swaibusukigwa7867 Жыл бұрын
Hapo wajuba tumeunzwa
@jackmabirangacharles9398
@jackmabirangacharles9398 Жыл бұрын
Mbona Mbunge wako wa kongwa alishatuambia siku nyingi
@user-cw2nj4io3v
@user-cw2nj4io3v 4 ай бұрын
Imekuja kuchukua Nini?
@wahidaali7730
@wahidaali7730 Жыл бұрын
Nyinyi muna furahia tuu kuona ndege kutoka marekani tatizo linakuja kama huyu mama ataendelea kuongoza taifa sijui tuta fanya nn ss
@yahyahamad1802
@yahyahamad1802 Жыл бұрын
imeleta nini?
@msowamhokole7714
@msowamhokole7714 Жыл бұрын
Madini
@victorjames3730
@victorjames3730 Жыл бұрын
Mbona ilitumia nusu runway
@nobleonlinetv9128
@nobleonlinetv9128 Жыл бұрын
Ndege za kisasa haziitaji kukimbia umbali mrefu kuruka
@Kingu-Master
@Kingu-Master Жыл бұрын
Chombo ya kaz io
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 Жыл бұрын
Acheni uongo imeleta nini sasa Condoms au Covid-19
@hujacharles2223
@hujacharles2223 Жыл бұрын
Na mm najiuliza
@sharifuamuri4638
@sharifuamuri4638 Жыл бұрын
Ahahah
@emanuelmsigwa1927
@emanuelmsigwa1927 Жыл бұрын
Asante baba wa Dunia kuja tz .lla tusaidie kumrejesha jpm aliye chukuliwa kwa miujiza ya free mason
@user-gv8yn9lg1i
@user-gv8yn9lg1i 2 ай бұрын
😩😩 nalia kwa uchungu sana.
FLIGHTLINK YAANZISHA SAFARI ZA DODOMA
2:46
tanzaniairports
Рет қаралды 6 М.
ISSEI & yellow girl 💛
00:33
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 15 МЛН
Magic trick 🪄😁
00:13
Andrey Grechka
Рет қаралды 36 МЛН
Doing This Instead Of Studying.. 😳
00:12
Jojo Sim
Рет қаралды 32 МЛН
Man Builds Hyperrealistic RC Plane at Scale | Airbus A350 Replica by @RamyRC
23:50
Inside Most Feared US Air Force Bomber Flying at Extreme Altitudes
16:17
The Daily Aviation
Рет қаралды 4,8 МЛН
Wabunifu wa Injini ya ndege (Jet Engine)
4:29
COSTECH Tanzania
Рет қаралды 14 М.
TAZAMA MELI YA TAITANIC ILIVYOZAMA NA KUUA MAELFU YA WATU
19:08
Wasafi Media
Рет қаралды 9 МЛН
ISSEI & yellow girl 💛
00:33
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 15 МЛН