DIDA ALIVYOTEMA NYONGO "MIMI SIO MDANGAJI, MAGARI YANGU NA NYUMBA SIJAHONGWA"

  Рет қаралды 73,355

Wasafi Media

Wasafi Media

8 ай бұрын

DIDA ALIVYOTEMA NYONGO "MIMI SIO MDANGAJI, MAGARI YANGU NA NYUMBA SIJAHONGWA"
www.youtube.com/@Wasafi_Media...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 451
@user-yp7lh7pm3o
@user-yp7lh7pm3o 8 ай бұрын
Dida nakukubali sana Asante Kwa kutupongeza wanawake tulio Jenga
@theresiamartin3150
@theresiamartin3150 8 ай бұрын
Dida nakupenda sana let me proud of my self nina miliki mijengo miwil ila usafir bado sina naiman Mungu atanijaalia
@faithfaith-zr6gz
@faithfaith-zr6gz 8 ай бұрын
Dida nakupenda sana umeanza kupambana kitambo, Toka hata jack ajaanza kuigiza,Dida safari za kufata mzigo dubai,china kitambo... Dida mpambanaji sana.
@rehemarwanda6039
@rehemarwanda6039 8 ай бұрын
Walper ameyatimba kwa Didah🤣🤣🤣🤣🤣
@yusrairakoze3966
@yusrairakoze3966 8 ай бұрын
Dida tatizo lako unaongeleya sana maisha ya watu tizamana na yako uache maisha yawengine afu hata wewe una kasorobo hakuna mkamilifu afu mnakoseya sana wasafi mana imekuwa nifasi ya michambo siyo fasi ya kazi zingine duuuu nishida sana
@user-dk8dr4kt7r
@user-dk8dr4kt7r 8 ай бұрын
Tatizo la wasafi hawaajiri mtu na taluma, ,..ni ushikaji tuu na utakuja waponza.....
@faithmapondo7370
@faithmapondo7370 8 ай бұрын
@@user-dk8dr4kt7r Nan kakwambia makaratas ndio yanafanya vzr watu wamesema lkn utendaj zero hyo dada mashauz meng hata kpnd kile anagombana na anty Ezekiel almpa za uso kwa kujifanya yy ndio yy
@faithfaith-zr6gz
@faithfaith-zr6gz 8 ай бұрын
@@faithmapondo7370 wambie
@faithfaith-zr6gz
@faithfaith-zr6gz 8 ай бұрын
Lkn umesikiliz mwanzo mpk mwisho!??
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 8 ай бұрын
Wafanyakaz wa wasafi mmezidi nyie kutwaaaa kuongelea wenzenu nyny mkiguswa tuu hamtaki. Yani hiyo redio imekua kituo cha mipasho na masengenyo
@Dareaziz
@Dareaziz 8 ай бұрын
Umetuombea tusio na nyumba Hilo la msng Sana namm nasema amen
@yusrairakoze3966
@yusrairakoze3966 8 ай бұрын
Afu kingine Dida mwanamke nikuhongwa mana hata uwe nakazi yamana kama huhongwi huna uzuri wowote nandomana na wewe ndowa zako hazidumu ju unajivuniya kazo ya hapo wasafi ila inabidi uwe unajishusha mana kukaliya maisha ya wengine siyo powa kabisa
@Mundi-oz7os
@Mundi-oz7os 8 ай бұрын
Kituo kinatumika kama mahali pa kumaliza beef binafsi za watangazaji jamani.? Na management inaruhusu wafanyakazi wakitumie kituo kwa maugomvi yao binafsi 😮
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 8 ай бұрын
ajabu sana aise..aibu
@zahormohd
@zahormohd 8 ай бұрын
Huyu idriss nae dume bwege anamchochea dida azidi kupayuka
@user-un7yn3jk5f
@user-un7yn3jk5f 8 ай бұрын
Acheni ujinga mbona mnaharibu wasafi hivyo
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 8 ай бұрын
Ndio tatizo la kuajiri makanjanja,,,!!!
@user-fr6nz3zc3m
@user-fr6nz3zc3m 8 ай бұрын
Makofi kwawanawake wote tuliojijengea nyumba zetu kwa nguvu zetu
@user-dk8dr4kt7r
@user-dk8dr4kt7r 8 ай бұрын
Ulisikia wapi pedeshe akaajiriwa ?? Jaribuni kuwa professionals please..
@noelapeter6288
@noelapeter6288 8 ай бұрын
😂😂😂😂
@bennamush4616
@bennamush4616 8 ай бұрын
Kakutana na dharau za mchaga 😂😂 wachaga kwa dharau hatujambo
@Cashmaker-w7j
@Cashmaker-w7j 8 ай бұрын
Dah! Maana halisi ya utangazaji hawaijui.
@bebebebe5677
@bebebebe5677 8 ай бұрын
Dida ww unapenda San kuwaongelea Wenzio Ila upendi uongelewe
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 8 ай бұрын
kinajifanya tajiri wenziye hawana na yeye pia mdangaji pia
@KassimHanga-xr7rb
@KassimHanga-xr7rb 8 ай бұрын
Didaaa Big up nakupenda Sana sababu You are the strong women katika nchi hii achana na mzushi amechanganyikiwa
@Chettymlambalipsi-lb9km
@Chettymlambalipsi-lb9km 8 ай бұрын
Dida hili jambo usingeongelea hapo studio inatakiwa mpaka saivi ulitakiwa uwe umetimuliwa kibarua
@abdullayahya8717
@abdullayahya8717 8 ай бұрын
Protocol ya mtangazaji sio kunyonyoana kwenye radio kama kuna matatizo yenu sio kwenye radio au KZfaq tv.
@noelbryson7840
@noelbryson7840 8 ай бұрын
Kabisa ndugu yangu.. Huyu mpuuzi kabisa huyu mama
@user-dk8dr4kt7r
@user-dk8dr4kt7r 8 ай бұрын
Huyu mama kajisahau anadhani kituo ni cha kwake binafsi...Niko na mashaka na taaluma yake...
@rosemery3017
@rosemery3017 8 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅 Wacha wanyonyoane wajinga hao
@boxdad
@boxdad 8 ай бұрын
Kama hudangi siungetulia na mimumeo
@najmasalim-rg6ow
@najmasalim-rg6ow 8 ай бұрын
Ndoa ni rizk ikiisha imeisha hiyo
@ibrahimfarha3853
@ibrahimfarha3853 8 ай бұрын
D D i D A ......Dida pedeje wakike ❤❤❤❤❤❤❤❤❤jeshi letu ......jembeee
@simonmalegesi414
@simonmalegesi414 8 ай бұрын
Diamond hawa mwisho wa mwezi wanalipwa pesa kwa kazi hizi zakuongelea watu aisee.
@user-pt4ft7ow1s
@user-pt4ft7ow1s 8 ай бұрын
Umeona my dear
@simonmalegesi414
@simonmalegesi414 8 ай бұрын
@@user-pt4ft7ow1s hana lipa wahuni
@infotechtz5837
@infotechtz5837 8 ай бұрын
Hivi nyie wasafi watangazaji na producer wa hicho kipindi cha dida zeroooooo kabisa. Yaan air time yote dakika 16+ mmetumia kujitetea au kisa mpo media kama mlikua mnataka kujitetea na nyie si mgeingia insta mkamjibu. For real this is very very very unprofessional and disappointing kwa chombo kikubwa kama hiki na watangazaji wakubwa kama nyie We unahisi kumsema wolper on air umejisafisha au ndo umempa push ya jina lake na bihashara yake . Really disappointing and unprofessional as well.
@MzeeGumbo
@MzeeGumbo 8 ай бұрын
Yaan hawa ndo wapuuzi kabisa
@MzeeGumbo
@MzeeGumbo 8 ай бұрын
Walikaa na mtayarishaji wao wakaona nibora tukajibu on air ambako Tanzania nzima inatusikiliza. Sasa mi pia naona badala ya kumsema wolper ndo mmempandisha
@DodomaKwanza
@DodomaKwanza 8 ай бұрын
Utumbo mkubwa
@MariamSuleiman-je5zs
@MariamSuleiman-je5zs 8 ай бұрын
Fact
@user-hr4pb4xu3t
@user-hr4pb4xu3t 8 ай бұрын
Fanyeni vipindi acheni usengeremaaa
@user-dk8dr4kt7r
@user-dk8dr4kt7r 8 ай бұрын
Kituo kimekuwa kama kijiwee
@user-zx8pc5rb5r
@user-zx8pc5rb5r 8 ай бұрын
Vipindi venyewe ndio hivyo tuvyonavipenda
@claudiajames2003
@claudiajames2003 8 ай бұрын
Didah hukuwa hivi my dear! Juma anakufundisha mdomo! Halafu we sio level za Juma hebu acha kufata mkumbo! Ulikuwa kichwa sana! Mnatumia radio vibaya!
@gaushehbshshehe3830
@gaushehbshshehe3830 8 ай бұрын
Diamond fukuza hawa watu fake kwa jina watangazaji kwani hii studio ni kijiwe sielewi mbona sielewi
@user-dk8dr4kt7r
@user-dk8dr4kt7r 8 ай бұрын
🤣🤣
@user-zx8pc5rb5r
@user-zx8pc5rb5r 8 ай бұрын
Awafukuze wewe utachukuwa mshara weke
@user-zx8pc5rb5r
@user-zx8pc5rb5r 8 ай бұрын
Kwani nilazima amjibu dida au angepigia simu kama dada
@emmnzey713
@emmnzey713 8 ай бұрын
Walpa has a right to sue not Dida only but also the RADIO STATION itself
@strong8534
@strong8534 8 ай бұрын
Do u think the court is a maize field where u can go in & out whenever you want 😅😅😅
@ibrahimfarha3853
@ibrahimfarha3853 8 ай бұрын
Hhhhhhhhhhhhh
@jocelyneliaminarukundo3633
@jocelyneliaminarukundo3633 8 ай бұрын
​@@strong8534😂😂😂😂😂
@user-fr7jj1bo7y
@user-fr7jj1bo7y 8 ай бұрын
Ms.Wolper is a public figure she must prove that the defendant/DIDA acted with actual malice in making the defamatory statement.
@Mundi-oz7os
@Mundi-oz7os 5 ай бұрын
​@@user-fr7jj1bo7yDefamatory statement? What is defamatory about being told the truth? C'mon!!!
@personalitiesan9806
@personalitiesan9806 8 ай бұрын
I just congratulate dida...... don't back down keep on pushing your self
@user-dk8dr4kt7r
@user-dk8dr4kt7r 8 ай бұрын
Even if you congratulate dida but remember media it's not for personal issues...they must be professionals...
@hellenmachibya2681
@hellenmachibya2681 8 ай бұрын
Ahsante my dida,,,,nakupendagaaa
@asyamgeni9819
@asyamgeni9819 7 ай бұрын
For what wao si ndo wameanza anajitia kumsifia huku anamkoroga tena sasa yote hayo unaona utamwimbiaje ana stress still anamkejeli kumpa dili ndo iwe tabu
@fatmaOmmy
@fatmaOmmy 8 ай бұрын
Didah ukiguswa2 unajidai unajua kuongea na kuchamba kumbe dawa imekuingia muache kuongelea mamb ya watu fanyeni yenu
@mariamdominic6222
@mariamdominic6222 8 ай бұрын
Sanaa atulie shida Didah Mshamba sanaaaaaaaaaaa tena sana anajionaga kama yeye ndo kila kitu kiuhalisia kama na yeye angekuwa mzuri angeongwa 😂😂😂😂😂😂
@boxdad
@boxdad 8 ай бұрын
Umepanic dida relax libibi ww
@SamirSaid-ip8nn
@SamirSaid-ip8nn 8 ай бұрын
Dida fanya kz achana na mboo ya kichambana usijishushe
@aaa64sa13
@aaa64sa13 8 ай бұрын
Hawa wanaitaji wote kubadilishwa maana awafai kabisaaaa. Walianza vizuri lkn siku hizi kimekuwa ni kipindi cha Umbea Kuchambana yaani Uchafu Wote Umo. Diamond angalia hili jambo Watatuulia Media yetu. Fukuza Wote plzzz.
@aishatest4451
@aishatest4451 8 ай бұрын
😂😂😂😂
@user-dk8dr4kt7r
@user-dk8dr4kt7r 8 ай бұрын
True
@vero57
@vero57 8 ай бұрын
WANAWAKE SIJUI KWANINI HATUPENDANI, KWANZA ACHENI MAMBO YA MEDIA JAMANI KHAAA!!!!
@estherboniphace9695
@estherboniphace9695 8 ай бұрын
Nikipindi cha kuchambana au, duuu tutaogopa hiii chanel
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 8 ай бұрын
Kamwambieni Jacklin Walper aache kuwafuatafuata wenzake wameteseka mpaka hapa walipo yeye kapewa tu. Inaumiza Sana kumtukana mtu kuwa hana chochote
@djsebons1389
@djsebons1389 8 ай бұрын
Dida nimekuzarau saana sikuwa najuwa kumbe wanawake wote pumba kasoro maman yangu umecepuka ume panic few sio wakujibizana kwenye radio umekauka saana kwelikweli umesirika eshima yako unaikata tu iviivi ju umecokoneka dah wanawakee koma
@abineryantonykilulu954
@abineryantonykilulu954 8 ай бұрын
Mbona povu wakati mwenzio kaongea kidogo tu Simama kwenye miiko ya uandishi usitumie kipindi kusutana watu
@OmarOmar-ob9tb
@OmarOmar-ob9tb 7 ай бұрын
Wngpy wanerudy baada y wolpa kuonyesh nyumb yke 😂😂😂
@lydiamsheri4095
@lydiamsheri4095 8 ай бұрын
Fanya mambo yako Dida Achana nao
@josephmshana5833
@josephmshana5833 8 ай бұрын
Hahahaaa mbon nasie wasikilizaji tunagusishwa"au wasikilizaji hakusema kweli"by Dida
@gaushehbshshehe3830
@gaushehbshshehe3830 8 ай бұрын
Diamond fanya reform kwa studio fukuza washikaji
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 8 ай бұрын
Hawezi tokea mwanzo imekua ni radio ambayo ni so unprofessional ni kijiwe tu ndo maana leo bab levo nae mchambuzi wa mpira na siasa, ni chombo cha habari chakushangaza sana we uliona wapi mwanahabari analeta mambo binafsi kama ivyo
@CalisternongiHaule-vk6ch
@CalisternongiHaule-vk6ch 8 ай бұрын
Jamani mpaka wanakera,kipindi cha mashamsham kimekuwa kama bongo fleva
@user-em3uf8wz6r
@user-em3uf8wz6r 8 ай бұрын
Acheni kujudge mambo yasiyowahusu fanyeni kazi
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 8 ай бұрын
Acha amtandike za uso kamtafuta mwenyewe. Huyu Dida na Gig Money ni moto usiupulize.
@ikouwasi7644
@ikouwasi7644 8 ай бұрын
​@@fahadfaraj6474sasa kwani baba levo kuwa mtangazaji we inakuuma c unasomea tu
@user-sf5lk3qo4s
@user-sf5lk3qo4s 8 ай бұрын
Dida honger mwanmke wa shoka
@ladyr.hamsini2311
@ladyr.hamsini2311 8 ай бұрын
Kujenga siyo matako kuwa kila mmoja awe nayo,daa didah mimi najenga mwa huu wa saba sijamaliza kujenga siyo mchezo,namuheshimu sana mwanamke yoyote mwenye kibanda chake japo cha udogo
@fatmas7338
@fatmas7338 8 ай бұрын
Ndugu yangu miaka saba si afadhali mm nimeanza kujenfa tangu mwaka 2000 mpaka leo sijamaliza lkn alhamdulillah nipo kibandani kwangu
@njuka3515
@njuka3515 8 ай бұрын
Asante
@user-nd8gg4ig7m
@user-nd8gg4ig7m 8 ай бұрын
Asanteee
@seifmbembe95
@seifmbembe95 8 ай бұрын
Mwanangu niseme kuna maadili ya utangazaji hapo katika maadili ya utangazaji umetoka sasa sisi tusio na radio tutaongelea wapi ? mwanangu huu ni ugomvi wa majumbani usitumie radio ambayo wewe unafanya kazi ndio ukafanya pakumsemea mwenzako na wewe dume Zima hovyo kabisa fuateni maadili ya utangazaji
@catherinekiwipa9271
@catherinekiwipa9271 8 ай бұрын
​@@fatmas7338😂😂😂daaa nacheka kwa furaha mama
@noelbryson7840
@noelbryson7840 8 ай бұрын
HUYU MAMA HAPA STUDIO ANAKARIBIA KUCHANGANYIKIWA..
@johasaeed391
@johasaeed391 7 ай бұрын
Jamani narudia tena ivi huyu dida ni mzima kweli mbona anashoboka sana na watu au maisha ya watu au ashakuwa kichaa
@pichunakichuna2111
@pichunakichuna2111 8 ай бұрын
Love Dida sana 🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️❤️❤️
@najmahaliswa8813
@najmahaliswa8813 8 ай бұрын
Wallah Dada angu Dida umesema kweli mim binafs nina Kiwanja kinanizungusha akili.
@alhamdullilla5108
@alhamdullilla5108 8 ай бұрын
Dida hakuzidi lolote uyo kidume jakiii hana weupe wowote kimekaaa kama dume 😢😢😢😢 ww mzuri dida ❤
@user-dk8dr4kt7r
@user-dk8dr4kt7r 8 ай бұрын
Elewa hii sio instagram ni kituo cha habari...sasa unafaa uelewée hilo...
@user-tt6jt8pz5m
@user-tt6jt8pz5m 8 ай бұрын
DIDA WANGU, MC WANGU KWA HARUSI YANGU NAKUPENDA ❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂😂JEMBE LANGU HILO HAPA
@Tatu-rr9ms
@Tatu-rr9ms 8 ай бұрын
Tuondeleeni makelele Kaz kumkalia mwenzenu uy dida yeanyamanze kutwa kuachika ilaunamnanga mwenzio
@jacobmazengo6302
@jacobmazengo6302 8 ай бұрын
Mnaiharibu media hiyo,huwez Kuta ujinga huu efm au eatv uongoz mlitizame hilo,hayo cyo tunayotaka wasikilizaji
@user-re3zo7ie5e
@user-re3zo7ie5e 8 ай бұрын
Kwani lazima muongee mambo yake? Hilo ndio tatizo worlper mzuri nitafauti na dida
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 8 ай бұрын
Yeye mwenyewe ndiye alilikoroga kwenye media, acha amtandike za uso huyo ni rafiki yake kamnanga kuwa hana kitu ni masikini.
@user-no7pz1bz4y
@user-no7pz1bz4y 4 ай бұрын
Akitimuliwa dida wasafi, basi na wasafi itakufa.
@chibandamwende3676
@chibandamwende3676 8 ай бұрын
Muache Dida kabisa 😂😂😂
@deonatusyokta3579
@deonatusyokta3579 8 ай бұрын
Walper kayakanyaga kwa dida😂
@tunsumegideonmwamboneke9639
@tunsumegideonmwamboneke9639 6 ай бұрын
Dida ni mwanamke na nusu, she is a DIVA ( female version of a hussler) , i like her❤
@ibrahimmagere5545
@ibrahimmagere5545 8 ай бұрын
Hii ni radio au ????
@rehemasaid796
@rehemasaid796 8 ай бұрын
Kwakweli siku ya yy JACK kuonyèsha hy nyumba ndo tutaamini. Ila alikosea kusema nyumba ya DIDA km ya walinzi!
@user-ik6si4zj4s
@user-ik6si4zj4s 7 ай бұрын
Haya kaonyesha sasa 😅
@salemarahbi9171
@salemarahbi9171 8 ай бұрын
Dida acha mdomo..hakuna mtu malaya kama ww sema unachezewa tu..ww kila cku una bwana mpya..sasa kwa nyumba gani ile😂😂😂😂😂😂😂mtu mzima hovyooo
@asyamgeni9819
@asyamgeni9819 7 ай бұрын
Leo anajitia ati anampa hongera wakati ile mwanzo alimkejeli
@bebebebe5677
@bebebebe5677 8 ай бұрын
Tatzo dida sikuhzi kipndi chako kimekua cha Umbea na Ndo mana Haya yote yanatokea
@beatricemshiu2816
@beatricemshiu2816 8 ай бұрын
Yaani hawa wanaharibu kituo, kazi ya chombo cha habari siyo hii
@angelambondelo2836
@angelambondelo2836 8 ай бұрын
Sana iko kituo ni cha udaku na umbea
@user-dk8dr4kt7r
@user-dk8dr4kt7r 8 ай бұрын
Wamebuma walah..
@zariadunia6328
@zariadunia6328 6 ай бұрын
Hii redio dida unamuharibia sana Diamond huyu dada ni mswahilino
@rizikiabdalla2501
@rizikiabdalla2501 8 ай бұрын
Nimewezaaaa Allhamdulillah kiuchochoroo changuuu
@reginardtibishubwamu1522
@reginardtibishubwamu1522 8 ай бұрын
Hivi kweli mwisho wa mwezi mnalipwa kwa kazi za kuongelea watu jmn hii media ina mashoga tu
@user-lq6kr2gl7n
@user-lq6kr2gl7n 5 ай бұрын
Respect kwa wanawake woooooote wapambanaji half kwa nn wanawake tuna roho za husda jamniii
@bennamush4616
@bennamush4616 8 ай бұрын
😂😂dida kakutana na dharau za mchaga 😂😂
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 8 ай бұрын
sasa kama china ulikuwa unakwenda kwa pesa yakoo na yeye hivo hivoo kudanga munadanga nyote musituchezee akili hakuna mdangaji anayesema anadanga labda masha love
@ezekielmabwai482
@ezekielmabwai482 8 ай бұрын
Hii redio ni ya KISENGE? Sasa mabishano yenu sisi wananchi tinaskiliza nini. Hili NI sawa na Danguro tu, pumbavu, Malofa, mafala.
@theresiamwandara7990
@theresiamwandara7990 4 ай бұрын
Hiyo ni nyumba yake na mumewe tena baada ya kumzalia. Dida nakukubali sana.
@athmanali
@athmanali 8 ай бұрын
Ati ni Redio presenter and Yuko live alisomea wapi hii kazi kweli.,... Jamani Diamond acha kuajiri watu ambao hawakusoma ili uwalipe cheap labour
@arnhemzuid8885
@arnhemzuid8885 8 ай бұрын
Amesomea. Kosa nikuongea against someone through registered media. Angejirecord kivyake na kurusha kivyake.
@mwitaagness455
@mwitaagness455 7 ай бұрын
Hatariii...wanatufundisha kuchamba😢
@arnhemzuid8885
@arnhemzuid8885 7 ай бұрын
Hiyo radio ina wasomi wengi tu na hata huwaoni wakijishebedua. Sasa hao nai wapate rizki wanatakiwa wajifunze maadili though informal (si kwa utaratibu usio rasmi).
@arnhemzuid8885
@arnhemzuid8885 7 ай бұрын
Amesomea. Ni vile anaona akinyamaa ni kuwa ameshindwa.
@MS.independent8934
@MS.independent8934 8 ай бұрын
Dida❤❤❤❤
@khurlainashly5686
@khurlainashly5686 8 ай бұрын
Amin yarabi 😢
@TaarabChannel
@TaarabChannel 8 ай бұрын
Wah.... mpitie na kwangu
@FatumajumanneRamadhani
@FatumajumanneRamadhani 8 ай бұрын
Dida hii ni dunia haya❤❤❤
@LeilaShah-ib4td
@LeilaShah-ib4td 6 ай бұрын
Did,wacha bwana
@josephmabula9658
@josephmabula9658 8 ай бұрын
Nyie wasafi ndo mnashindwa kuheshimu wasanii,hasa mashamsham
@hillshipping5117
@hillshipping5117 8 ай бұрын
safi sana Dida umetoa yamoyoni hawajijui hao wanajisahau malimbukeni wanatabu ktk mji huu mhhh mtihani wallah
@berthamakortha8387
@berthamakortha8387 8 ай бұрын
Jamaniiii. Anna WATOTO 3. SIO 2. WA KWANZA yuuuu wapiiii????
@user-sf5lk3qo4s
@user-sf5lk3qo4s 8 ай бұрын
Amiin inshallah mung anisaidie
@Ndiyooo
@Ndiyooo 8 ай бұрын
Babu idi uwapatanisheee usi chochoye moto baba idiii😢😢😢
@stephennjamaras7987
@stephennjamaras7987 8 ай бұрын
Hii Radio Imekua Ya Hovyo Sana Watangazaji Wake Wanazingua Sasa Hii Ndio Nini
@LeticiaMussa-lt3fv
@LeticiaMussa-lt3fv 8 ай бұрын
Asante dida namshukuru Mungu kwa hiki kibanda changu
@omaryguard5929
@omaryguard5929 8 ай бұрын
Yaani Kati ya watu hawajitambui na kujierewa huwa nashindwaga kuskiliza hii midia kwaajili ya huyu changudoa na yule shoga
@user-ox3ij7ki3t
@user-ox3ij7ki3t 8 ай бұрын
Hahaha kweli
@angelalyimo2862
@angelalyimo2862 8 ай бұрын
Jamani dada D tumekuelewa😊
@denismfumbulwa5586
@denismfumbulwa5586 8 ай бұрын
Mnatoa maana harisi ya uwana habari. Mnatuletea mambo yenu ya umalaya kwenye hii radio. Watu wengi wanasiliza....
@queenmollel6739
@queenmollel6739 8 ай бұрын
Aisee ni kweli na anajidai yeye msafi hajawahi hongwa,wanatoleana Siri za ndani walizokuwa wanaadisiana zamani
@sarastephano3409
@sarastephano3409 8 ай бұрын
Ila hii radio imekua ya hovyo
@geraldbagole4494
@geraldbagole4494 8 ай бұрын
Hivi Mh.Diomond unaoje ukabidilisha kipindi walau au hata ukiweka vipindi vya Nasoni shule za msingi na sekondari,ukaviita Tution IN Tv and Radio hapo upigi hela😂😂
@abdallahmkodo
@abdallahmkodo 8 ай бұрын
Vipindi vya shule vipo tbc iyo redio ya wasafi iyoniyabiashara vipindi vya shule utalipa garama zauendeshaji
@SelinaMdoe-jv1pu
@SelinaMdoe-jv1pu 8 ай бұрын
Umemshangaa nini na mmemjadili viba ya hapo studio huyo juma inamhusu nini maisha ya wolpa nyi e niwa mmbea sana hiyo ndio dawa yenu mmezidi umbea hao wanaume nao pia wapo kama wewe dida acheni umbea
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 8 ай бұрын
Jackline Walper mpumbavu. Wenzake wanapambana na maisha kivyaovyao yeye anahongwa anawadharau. Uzuri wake asiwasimange wenzake.
@abdulkaleemmbarak6670
@abdulkaleemmbarak6670 8 ай бұрын
Bila kusisitiza Dida ,Wolper ni mrembo kukuliko ila mwalingana mambo.
@florencemeza6540
@florencemeza6540 8 ай бұрын
Mrembo halafu hajajichubua kama dida unamkumbuka enzi zamambo hayo ni mweusi kama mkaaa
@abdulkaleemmbarak6670
@abdulkaleemmbarak6670 8 ай бұрын
@@florencemeza6540😂
@user-dx3qc2lu5i
@user-dx3qc2lu5i 8 ай бұрын
Wanawake sisi jaman daaah😢😢😢
@eliamfiyabo8599
@eliamfiyabo8599 8 ай бұрын
Juma mnafiki Dida funguka
@SharifaOman-bf1bn
@SharifaOman-bf1bn 8 ай бұрын
Muache. Kuongealea watu kwenye media ndiomana. Munagombana wasanii. Kwa wasanii
@user-zx8pc5rb5r
@user-zx8pc5rb5r 8 ай бұрын
Kipindi ndo kinataka hivyo
@esuvathmollel2475
@esuvathmollel2475 3 ай бұрын
Sasa Dida kwamodomo huo ungepata pedeshee yupi😅😅Bora tu ujipedeshee mwenyewe
@florencemeza6540
@florencemeza6540 8 ай бұрын
Ni mdangaji kwa dizaini ya kuolewa kila mwaka na mdomo wako ndo unaachika kila mwaka ,zungumzia maisha yako ciyo ya wengine kwa nini usiziseme sababu zinazokufanya kuachika kila mwaka?? BASATA HIKI KIPINDI NDO CHAKUFUNGIA HAKINA MAADILI YOYOTE
@angeljosephat2214
@angeljosephat2214 8 ай бұрын
@abduliabdallah9197
@abduliabdallah9197 8 ай бұрын
Studio ya matangazo kwa ajili ya kuelimisha au ya michambo
@user-po8hz7xw9j
@user-po8hz7xw9j 8 ай бұрын
Huyo alovaa yanga anachochea😂😂
@rehemafeysali4444
@rehemafeysali4444 8 ай бұрын
😂😅tena taaratibu😅😅 babu idi 😅
@paul1985ization
@paul1985ization 8 ай бұрын
Dhima ya hii Redio ni hii? Aiseee!
@user-sh4in6yg3p
@user-sh4in6yg3p 8 ай бұрын
Dida ww ni mshamba wa maisha
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 8 ай бұрын
KUMEKUCHA MHHH NDIO MAANA SINAGA MARAFIK MIMI ZAID YA MUME WANGU YAAAAN WATOTO WA KIKE KWA UNAFKI ATUJAMBO MUME WANGU AYUPO NAZIMA DATA NALALA LAKIN SIO NIENDE KWA JIRAN AU NIMWITE RAFIK YANGU AJE NYUMBAN NO NO NO SASA KILA KITU ADHARAN UWIIII SITAK MARAFIK SITAK
@saidijuma5424
@saidijuma5424 8 ай бұрын
Sasa hiyo ni redio ya mipasho mh
@josephmshana5833
@josephmshana5833 8 ай бұрын
Nambona kama dida anafanyiwa interview sasa hahahaaa nakadhamiria kutumia kipind chake ipasavyo
@mwanjaaseif5229
@mwanjaaseif5229 7 ай бұрын
Nyie mmezidi sana kuongelea watu. Wolper yupo sahihi sana
@agnesjohn9382
@agnesjohn9382 8 ай бұрын
Mond fukuza hawa Machangu weka watu wenye busara tunaipenda wasafi ila haya yanayoendelea ni mauza uza siyo mazuri kwa kipindi
@paulmushi2428
@paulmushi2428 8 ай бұрын
Hii Radio imekuwa platform ya wadangaji kama dida, kama una ugomvi na mtu siutumie platform nyingine nje ya Radio ya Wasafi?
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 55 МЛН
Doing This Instead Of Studying.. 😳
00:12
Jojo Sim
Рет қаралды 22 МЛН
MAISHA YA NJE TUKIWA SAFARI ZA BIASHARA/TUCHEKE KIDOGO
9:42
Tiffany Store
Рет қаралды 16 М.
Hahahaha maneno ya dida ayo😂
1:11
JARA TV
Рет қаралды 128 М.
M&M IN MY THROAT
0:35
dednahype
Рет қаралды 4,4 МЛН
M&M IN MY THROAT
0:35
dednahype
Рет қаралды 4,4 МЛН
как пройти скулбоя за 36 секунд?
0:22
Holy Baam
Рет қаралды 1,2 МЛН
il caldo fa brutti scherzi #dog #fight #punch
0:18
Cronache della Campania
Рет қаралды 26 МЛН
哈莉奎因以为小丑不爱她了#joker #cosplay #Harriet Quinn
0:22
佐助与鸣人
Рет қаралды 8 МЛН