No video

DIVAH THE BAWSE AFUNGUKA UKWELI WOTE KUHUSU MUME WAKE KUOA / AONYESHA NA USHAHIDI

  Рет қаралды 21,626

Manara TV

Manara TV

4 ай бұрын

DIVAH THE BAWSE AFUNGUKA UKWELI WOTE KUHUSU MUME WAKE KUOA / AONYESHA NA USHAHIDI

Пікірлер: 137
@sarahruge3448
@sarahruge3448 4 ай бұрын
Yani mimi namwelewa sana diva kinachomtesa anampenda sana Abdul atahangaika mpaka pale moyo wako utakapo mchukia ndo ata move on hayo ni maumivu ya mapenzi yana mtesa
@HannanSomaiyah-wp7ny
@HannanSomaiyah-wp7ny 4 ай бұрын
Usimvue nguo Sanaa ,muombee Mungu amuongoe TU🙏
@ChochoZuchu
@ChochoZuchu 4 ай бұрын
Diva Akili zako ni kama mtoto
@alwiyad1977
@alwiyad1977 4 ай бұрын
She’s stupid
@mwanaishaabubakar5013
@mwanaishaabubakar5013 4 ай бұрын
Kakojoe ikalale unajisifu sana. Leo unasema vizuriiiii kama muungwanabfulani hivi. Kakutia mjiniganga shoga, kakojoe ukalale.
@user-bn4zg3yl4c
@user-bn4zg3yl4c 4 ай бұрын
Diva tatizo unampenda sana huwezi msema mumewe kwenye public
@MsAggie5
@MsAggie5 4 ай бұрын
Sio amri yake karogwa dawa zimeisha 😂😂
@sikudhanimohammad7692
@sikudhanimohammad7692 4 ай бұрын
Siyo mumewe ni mumeo
@Jane-fi8on
@Jane-fi8on 4 ай бұрын
Sikupenda kabisa ulipo olewa na Abdul kusema ukweli . Mimi ni mkenya na sometimes hufuatilia mambo ya Tz.
@btylove1870
@btylove1870 4 ай бұрын
Eti wanawake wengi wako desperate na ndoa na Abdul😂😂😂! Kama wewe ulivyokua desperate nae adi akakuoa. Kweli nyani haoni kundule😂😂😂😂😂. Diva sio mzima kichwani I swear!!
@alwiyad1977
@alwiyad1977 4 ай бұрын
Kisa Ana zungumza English she think she’s smart
@Official83640
@Official83640 4 ай бұрын
Huyu dd ni kichaa sana kuliko vichaa wanaokula majalalani huyuhuyu ndy aliandika km hayupo na Abdul na wala wasimuhusishe na chochote sasa alifata nn huko kwenye ndoa km hamtaki mshenzi huyu anachezewa mchezo nwenyewe hajijui tu😂
@hamidasalum157
@hamidasalum157 4 ай бұрын
Na alishasema anaingilia mpk wanaume wenzie 🤣
@jamilajamal1584
@jamilajamal1584 4 ай бұрын
Mwezi mchanga huyu😢
@marysaituni4584
@marysaituni4584 4 ай бұрын
Ila Diva jaribu kuwa msiri jmn..
@user-pu6pr5jt4n
@user-pu6pr5jt4n 4 ай бұрын
Divaaa❤❤❤❤❤❤❤
@sovajulius3870
@sovajulius3870 4 ай бұрын
Aisee Diva anatia huruma nimesikiliza hii interview Diva Ana tatizo kubwa.Mara ananipenda Mara Malaya.Jamani mpaka mtangazaji kachoooka .But Im glad now wameachana it was a nightmare
@speciosermusika2009
@speciosermusika2009 4 ай бұрын
Kwani Diva !watu wengi walikuwa wamekushauri kuhusu kuolewa na Shehe Ulikaa kabisa na ukawa una sema wana kuonea wivu, Sasa nini kina kuliza mtandao Hebu tupishe huko bwana wewe.
@alwiyad1977
@alwiyad1977 4 ай бұрын
Well said
@oyay2821
@oyay2821 4 ай бұрын
Hapo Diva amemtukana sana Sheikh Abdulrazak
@barikiwa22
@barikiwa22 4 ай бұрын
Ngoma droo usipo mheshimu mke wako unajitusi mwenyewe. Diva na ujinga wake kavumilia mengi.
@zabibusilayo9877
@zabibusilayo9877 4 ай бұрын
Kwa Mtazamo wangu Diva bado anampenda sana Abdul.Aisee hakuna kitu kigumu kama kupretend Yan unaongea TU Ili usionekane mnyonge lakini ukiwa peke Yako unaumia sana...mapenz hapana kwakweli uwiiiiiiiii🙌🙌🙌🙌🙌
@user-qs7lj7kj1k
@user-qs7lj7kj1k 4 ай бұрын
Mwanamuke unamdomo mukigombana2 kadogo unapereka mitandao mimi nafkiria ata familia yamwanaume wanajuta kwanini abdouli ali kuowa ,
@rosestigeneriksson8387
@rosestigeneriksson8387 4 ай бұрын
Sasa kweli wewe ni mzima kweli?mwanaumme malaya hivyo hana ukimwi kweli
@esterpaul5856
@esterpaul5856 4 ай бұрын
Anao mama..tunajua na tuna evidence
@ireneimbuhira7759
@ireneimbuhira7759 4 ай бұрын
​@@esterpaul5856what😮gani?
@Njeriii536
@Njeriii536 4 ай бұрын
​@@esterpaul5856umejuaje?
@Zainab_salat
@Zainab_salat 4 ай бұрын
​@@esterpaul5856ukweli? Kwani mm nilijua anaumwa ugonjwa mwingine
@rachelmnyimwa4192
@rachelmnyimwa4192 4 ай бұрын
huyu mbwa wa kike ndio anatabia mbayazaid
@MizeKombeSuleiman-id1rp
@MizeKombeSuleiman-id1rp 4 ай бұрын
Divaaaa yani cjui lini utaamkaa kwa usingizi
@zariadunia6328
@zariadunia6328 4 ай бұрын
Ila Diva hivi ni wewe kweli unayemganda huyu mwanaume mjinga malaya unatia aibu
@maimunaulotu2075
@maimunaulotu2075 3 ай бұрын
Aliwahi kukutongoza???😮
@alimatambwe3402
@alimatambwe3402 4 ай бұрын
Don’t talk someone things when you ar in anger,why guys mnapenda put everything in social media?
@marysaituni4584
@marysaituni4584 4 ай бұрын
I'm asking myself the same question..🤔
@user-pq9qc1sz7b
@user-pq9qc1sz7b 4 ай бұрын
Kama unavyo vyote hivyo kwenu.gari maghorofa.mbona unakaa nae sasa? Na unakaa nyumba yakupanga??
@user-vv1te9fu8q
@user-vv1te9fu8q 4 ай бұрын
Hana lolote na kwao hawana utajiri wowote ana maisha ya ku fake tu
@thierrybisimwa3312
@thierrybisimwa3312 4 ай бұрын
Humility is what diva needs she is a good person but she lives in a Disney world, she needs to wake up to reality and live a humble life she will be great, when u try to put others down to rise yrself esteem, u end up looking greedy for power and fame, these things can't make u a wife but a knife.
@hyy4114
@hyy4114 4 ай бұрын
Huyu Diva Wakat mwingine kama hazimtosh mungu anisamehee Hasa maneno yote ya nn si uamuz ni wako
@Hawaa-cw6fl
@Hawaa-cw6fl 4 ай бұрын
Mm naona zinamtosha uoni waliopita aliwaumiza ss kama tadinu tudan
@user-pu6pr5jt4n
@user-pu6pr5jt4n 4 ай бұрын
😂😂😂😂Divaaa
@generosennko8343
@generosennko8343 4 ай бұрын
He. Poleni vijana kwa changamoto za maisha. Sasa huyu mume bado ni shehe kweli au? Mie ni mkristu. Ila zamani tumelelewa ktk jamii ambayo ukisikia mtu ni shehe unaona amebeba majukumu makubwa sana ktk dini na kuheshimiwa tena kwa kuogopwa. Sasa je mashehe wakisikia habari hii ya kusikitisha na aibu kuhusu shehe mwenzao je watajisikia vipi?
@sophiekindem9071
@sophiekindem9071 4 ай бұрын
Psykopat.. Mwanaume wa Ki Islam anaruhusiwa 4 wives. Eti Mzungu Wangu.. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Famous people tunakutana nao Kila siku mitaani.. Brand, Brand ipi? 🤷🏽 Please give us a break!? 🤷🏽
@DianaWilly-mr2pf
@DianaWilly-mr2pf 4 ай бұрын
Divah anapempenda mumewe jamn aya yote anaongea anataka mumwe habadilike jmn
@user-gj2mm3ko8m
@user-gj2mm3ko8m 4 ай бұрын
😢Sheikh WA mchongo amekuroga YAANI Amekutomba akili zikawa mbovu sasa huyo Mjinga huyo Abdul. Ungemwacha Jana ungemvusha kitambo nangoja talaka kufa wewe utampata ukwili. Wewe sio mkali maana Mimi Abdul hangekaaa hata 5min
@David_keyan
@David_keyan 4 ай бұрын
Hyo mtangazaji anavyomsapoti sasa kumbe anataka tu umbea 😂😂🙌
@LeeLian95
@LeeLian95 4 ай бұрын
Me ningekua mtangazaji nahisi ningeshindwa🤣🤣🤣 kumsupport mtu kwenye upuuz siwez mxew
@David_keyan
@David_keyan 4 ай бұрын
@@LeeLian95ahahahahahha
@hadijastevenhart5676
@hadijastevenhart5676 4 ай бұрын
​@@David_keyan😂😂😂😂😂😂umejua kunichekesha.
@hadijastevenhart5676
@hadijastevenhart5676 4 ай бұрын
​@@LeeLian95usipomsapoti sasa umbea utaupataje😂😂😂
@rubbymusa1971
@rubbymusa1971 4 ай бұрын
Huna haja ya kusema yote haya, fata taratibu muache upewe talaka tumechoka jamani
@tumainimwaifunga3884
@tumainimwaifunga3884 4 ай бұрын
Diva akili yako sio nzuri
@user-kk8px8ii1z
@user-kk8px8ii1z 4 ай бұрын
Yanini kuolewa wakati,mwanamke anatakiwa amsitiri mumewe ata kama anatabia za ajabu ila kama mwanamke msitiri basi
@qelseykenya3933
@qelseykenya3933 4 ай бұрын
Be safe DUNIA NI mbaya Diva jipende
@evenasubo3117
@evenasubo3117 4 ай бұрын
You need help dada💔
@boscomtani1006
@boscomtani1006 4 ай бұрын
Mambo ya familia huwa hayazungumziwi kwenye mitandao. Busara kaeni mzungumze tofauti zenu. Mkishindwana mnajua taratibu za kufuata. Kuyaweka huku mkumbuke kuna kesho na mna familia na ndugu.
@user-yv7xg4em4s
@user-yv7xg4em4s 4 ай бұрын
Bado hujamove on .move on my dear utakufa.
@elizabethbwakila3982
@elizabethbwakila3982 4 ай бұрын
Huyu dada angekuwa mrefu au mzuri watu wa ovyo ovyo tungekoma😂
@FatumaIssa-kw3vv
@FatumaIssa-kw3vv 4 ай бұрын
My beautiful Sister in Islam I love you but sizani kama nivizuri kuongea mambo ya mumeo hazarani!! Kama umeshindwanae achana ane kuliko kuonge mazaifu ya mmeo. Sote tunapitia mazito, lakini tukishindwana tunaachana maana hakuna aijuaye kesho I'm sorry but I have to say that
@matridamwalyoyo1735
@matridamwalyoyo1735 4 ай бұрын
Diva akili zake anazjua mwenyewe 😂😂😂 et wanamtongoza😂
@user-pq9qc1sz7b
@user-pq9qc1sz7b 4 ай бұрын
Huyo so sheikh.msiharibu jina la masheikh.wote Malaysia nyie mumekutana
@user-bg3yq9ty6b
@user-bg3yq9ty6b 4 ай бұрын
Kaoa kweli tena mtoto mdg
@matridamwalyoyo1735
@matridamwalyoyo1735 4 ай бұрын
Kumbe???
@alwiyad1977
@alwiyad1977 4 ай бұрын
Anakunywa anti biotic and continue???
@claudineali3561
@claudineali3561 4 ай бұрын
Wewe Diva tukome kabisa.tumekuchoka nakelele zako atakaye amuwa kuachika niwewe mwenyewe,ukinukiwa na yeye utaamuwa.usitutoshe sisi
@rosehaule6765
@rosehaule6765 4 ай бұрын
😅😅😅😅wewee
@cdeleo9336
@cdeleo9336 4 ай бұрын
Wote mtakuwa wagonjwa maana hakuna mtu mwanaume wake ana tabia za hivyo akabaki. Wewe diva ni desperate and sick women pamoja na huyo tapeli wako
@fauziasultanikilewa7602
@fauziasultanikilewa7602 4 ай бұрын
Qumbe mange anasemaga uqweli jmn 😂😂diva alimpiga tuqio abdul 🎉🎉🎉
@leaherasto929
@leaherasto929 4 ай бұрын
Ulichosema nikweli umetumika sana
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 4 ай бұрын
So 🤷‍♀️?
@glorianikiza3940
@glorianikiza3940 4 ай бұрын
Tulivo kua tuna comment kwa diva ju ya mganga wake aka to block tujuane apa 😅😅
@AminaAmina-gs9zz
@AminaAmina-gs9zz 4 ай бұрын
😂😂😂😂😅😅😅😅diva
@efrahfarahahmed8960
@efrahfarahahmed8960 4 ай бұрын
Kama unavumilia yote hayo ungenyamaza tu mwanamke wa nguvu na roho ya huruma wakipekee kabisa😂
@user-bs2nr7gz5p
@user-bs2nr7gz5p 4 ай бұрын
Sasa kama ana matatizo unaendelea nae wa nini wewe ubongo wako ni wa kuku kila siku unalalamika kuhusu huyo mwanaume
@user-qs7lj7kj1k
@user-qs7lj7kj1k 4 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣ubongo wakuku😂😂😂😂
@mwanaishaabubakar5013
@mwanaishaabubakar5013 4 ай бұрын
Mshamba wewe limbukeni wa wanaume halafu unapenda kujisifu. Kama yeye rahisi kuvua nguo zake na wewe pia ulikuwa rahisi kumvulia weye. Si unapenda ushirikina ulikwenda kwake kuroga sasa kakuroga wewe mpaka ukaingia kingi mzimamzima. Leo unasema sawa sawa kama sio wewe. Kumbe stresse zinakurudisha kwenye asili yako leo unasema vizuriiiiii. Acha kujifanya nature yako nzuri kuliko unavyojifanya hijui kiswahili. Afadhali kakufundisha adabu na kakutia akili na mji ushauona mama be nature utakuwa mzuri zaidi. Leo mzuri hata sauti yako. Lakini kujifanya hupendeI unaonekana cartoon tu. Be nature. usijifanye
@sistersade9039
@sistersade9039 4 ай бұрын
Dah bora tu ungenyamaza diva, sijui baina yako na mumeo nani mjinga zaidi 😂
@hyy4114
@hyy4114 4 ай бұрын
Ndoa ipo ndani ya sheria ya Jamuhuri Diva umenifanya nicheke
@ChochoZuchu
@ChochoZuchu 4 ай бұрын
Huyu ni mgongwa 😂😂😂😂😂
@ireneimbuhira7759
@ireneimbuhira7759 4 ай бұрын
Una juaje?
@rosehaule6765
@rosehaule6765 4 ай бұрын
Weeee dodoma kumbe kunadangika eee kina nani wanadangiwa haoo? Kwahiyo danguro lipo dom ati mbona kukame sana😅😅😅😅
@user-yb1mv2nx6m
@user-yb1mv2nx6m 4 ай бұрын
Diva kapewa uzuri sauti nzuri kanyimwa akili mkubali mkatae😅
@faithfaith-zr6gz
@faithfaith-zr6gz 4 ай бұрын
Kuna kurogwa lkn wewe ni zaidi ya kurogwa, Yaani hata Ile akili ya ziada hata kdg hauna,, Unaanzaje kuolewa na mfuga majini... Na bado ujasema, Au katelelo ndio inakuchanganya!! Maana mhaya ikipelekea hiyo stle iyo uchomoki
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 4 ай бұрын
Kumbe Abdul muhaya
@agriparose3942
@agriparose3942 4 ай бұрын
Kwani diva ni nani mbona watu wengi wanakuina taahira tu
@ngoni7944
@ngoni7944 4 ай бұрын
Bado unampenda ungekua hummtaki ungemuacha hata kesho, unacho tafuta kwake ni kuumizana tuu, wanawake wengi wanaumizwa na wanaume ni kama wewe diva unaefikiria unapendwa huku signs zote zipo hakuna ndoa hapo. Stop foolish your self, you have one life
@dayana5513story
@dayana5513story 4 ай бұрын
Duh,she need help 🙄
@beauty2239
@beauty2239 4 ай бұрын
Mwanaume haitwi Malaya siku ZOTE ataiweje ila mwamke ukileta ngebe juu ya mwanaume utadharirika ww sasa hapo na mapenzi unampa alafu humtaki jiangalie KABLA ujaongea
@petroniesindarubaza2420
@petroniesindarubaza2420 4 ай бұрын
Sasa mbona maneno mengi si umove on 😮😮kila kukica kwenye media tupishiye ukooo bwanaaa
@AishaHaji-jn7sg
@AishaHaji-jn7sg 4 ай бұрын
😂😂😂na yeye kaomba interview….mwanaume hadhaliliki mwaya 😩😩😩
@abuibra
@abuibra 4 ай бұрын
😂😂😂😂yeye anasema wanawake wengi wanamtaka na wewe unasema wanaume wengi wanakutaka 😂😂😂😅wacheni upuuzi wenu mkae mzungumze yaishe.
@dn.n4983
@dn.n4983 4 ай бұрын
Lakini hii kukuzarika usiji ukapata ukimwi so sad unakili unajitamua unajiwezi
@infodigtechforcommunityemp4103
@infodigtechforcommunityemp4103 4 ай бұрын
Hawajakuoa
@user-mo6tr3yt3m
@user-mo6tr3yt3m 4 ай бұрын
Daa diva move on uta kuja kujuta badaee Abdoul yani uwezi tena kumu badilishaaaa ata umupe nini uyo ata kuja kukuuwa na presh bure
@annievibes8794
@annievibes8794 4 ай бұрын
Huyu naye ni mjinga tuu mara amsifie mara amtukane😢
@gracekaboigora189
@gracekaboigora189 Ай бұрын
Diva fikiria kabla ya kutenda
@user-zm8eh3ym1s
@user-zm8eh3ym1s 4 ай бұрын
Huyu dada ni mpumbavu Sana,simpendi jamani
@kessynurutajiri4940
@kessynurutajiri4940 4 ай бұрын
Diva hazimtoshi, tumhurumie jamani, anahitaji Ushauri. Lkn kikubwa ajue upuuzi wake umetuchosha sana. Huo ushubwada wako umetuchosha kabisa.
@user-wd2bc7bf5x
@user-wd2bc7bf5x 4 ай бұрын
mzungu wa Google
@user-ni2ly9cz3f
@user-ni2ly9cz3f 4 ай бұрын
Huyu sio mke ni takataka
@user-cr4lt9lx6k
@user-cr4lt9lx6k 4 ай бұрын
😂😂😂😂
@user-el8mh3cy4c
@user-el8mh3cy4c 4 ай бұрын
Wewe diva ndio mshamba sisi watanzania sio washamba huna lolote
@Chingagirl123
@Chingagirl123 4 ай бұрын
How old is diva?
@salmakasim8390
@salmakasim8390 4 ай бұрын
She used to say she is 35 yrs old
@minaeli5989
@minaeli5989 4 ай бұрын
40+😂😂😂😂
@princesschii4090
@princesschii4090 4 ай бұрын
40 yrs my dear
@MaiKasimu-xf4fz
@MaiKasimu-xf4fz 4 ай бұрын
Shida ya WA BIBI...😂😂😂😂😂😂😂
@salmanassor8732
@salmanassor8732 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@alexndihokubwayo8010
@alexndihokubwayo8010 4 ай бұрын
Wewe diva huna bakwenda kubari hunapakwenda
@Official83640
@Official83640 4 ай бұрын
Kwani hapo alipo anakaa kwa Abdul au kwake yaani huyo anapanga nyumba kodi za matangazo halipiwi na mume
@estermahenge-ks3dr
@estermahenge-ks3dr 4 ай бұрын
karogwa mwenzio😅
@user-ni2ly9cz3f
@user-ni2ly9cz3f 4 ай бұрын
Haijawai kutokea mwanaume akawa malaya shauri yako
@aminakasim1198
@aminakasim1198 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@saidmohamed1330
@saidmohamed1330 4 ай бұрын
Hugo bibi jamani nimgonjwa wa akili bwege mkubwa hana lolote jizi hilo
@DianaWilly-mr2pf
@DianaWilly-mr2pf 4 ай бұрын
Anampenda mume wake jamn mwee
@soamShs-cp4dl
@soamShs-cp4dl 4 ай бұрын
Tulia tu na huyo mganga mpaaka muaibishane mitandaoni hata itokee kweli muachane dini inasema tuachane kwa wema nyinyi mupo pamoja ila mnacheza na Mungu mnafanya ndoa ni movie
@kessynurutajiri4940
@kessynurutajiri4940 4 ай бұрын
Diva huna jipya, tumekuchoka. Kwani lazima uwe na huyo Mganga?.Ww kibibi Kigagula ndo maana Kiba alikupiga chini na akakubatiza jina la Kigagula. Ww ndo unachunwa na Mganga.
@user-vv1te9fu8q
@user-vv1te9fu8q 4 ай бұрын
Mshamba mamaako na babaako na wewe mwenyewe mbwa mkubwa mfyuuuuu
@nahyialetomia9284
@nahyialetomia9284 4 ай бұрын
Diva, where’s your 🧠? Petho za bure na English nyingi ya bure!
@user-pf5zc6xi9w
@user-pf5zc6xi9w 2 ай бұрын
Mshamba mwenyewe
@gracelisso7163
@gracelisso7163 4 ай бұрын
😢😢😢
@rukiauwonde7062
@rukiauwonde7062 4 ай бұрын
Bibi huyooooo😂😂😂
@esthermramba9395
@esthermramba9395 4 ай бұрын
Weee ila TZ si kuna watu wa ajabu jamani
@ngoni7944
@ngoni7944 4 ай бұрын
Laana yote hii unayoyapitia ni kubadili dini na kuwa muislam hiyo dini huijui na hata kusoma quran huilewi lugha. Mrudie yesu wako utaona amani ya moyo, huko uliko siko
@estermahenge-ks3dr
@estermahenge-ks3dr 4 ай бұрын
we diva 😂😂😂kumuacha uwezi na una mtangaza maovu yake 😂nikama una jidhalilisha wewe😂😂
@ireneimbuhira7759
@ireneimbuhira7759 4 ай бұрын
So asitembe mitahani? 🤔
@oyay2821
@oyay2821 4 ай бұрын
Huyu Diva atakuja juta pindi atakapo wachwa na kuchezewa na hao wazungu na wenye pesa
@estermahenge-ks3dr
@estermahenge-ks3dr 4 ай бұрын
karogwa sio yeye😅
@Hawaa-cw6fl
@Hawaa-cw6fl 4 ай бұрын
Mume gani huyo wa ovyoo hivi amuoni hao waliopita aliwaumiza inastahiki aseme ili nyie wengine mjifunze mwezenu ameyaona kwa macho
@leaherasto929
@leaherasto929 4 ай бұрын
anakudhalilisha sababu wewe nimkewe anatoka nyumbani anaenda kulala namijimama
@angonzamujunangoma8775
@angonzamujunangoma8775 4 ай бұрын
Diva ❤❤❤❤
@elizabethbwakila3982
@elizabethbwakila3982 4 ай бұрын
Huyu dada angekuwa mrefu au mzuri watu wa ovyo ovyo tungekoma😂
@user-yv7xg4em4s
@user-yv7xg4em4s 4 ай бұрын
Akii jamani hata kama meachana strianeni jamani mmeshea kitanda.
@UmmyLubna-rp6rv
@UmmyLubna-rp6rv 4 ай бұрын
Ukome kutaka vinga'sti.Akitoka huyo mtafute mwengine ulie tena kwenye media.
@foodbasiccourt2028
@foodbasiccourt2028 4 ай бұрын
Diva kalogwa lol bado anamtete
KODTEC MANARA VALENTINE SPECIAL
5:36
KODTEC OFFICIAL
Рет қаралды 35 М.
Inside Out Babies (Inside Out Animation)
00:21
FASH
Рет қаралды 22 МЛН
How Many Balloons Does It Take To Fly?
00:18
MrBeast
Рет қаралды 204 МЛН
Mom's Unique Approach to Teaching Kids Hygiene #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 37 МЛН
WANAUME WALIKUA HAWANITAKI KWASABABU YA UFUPI WANGU
1:02:41
Official Dating Assistance
Рет қаралды 23 М.
CEO JEURI: SIMULIZI FUPI YA SAUTI.
3:09:46
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 21 М.
THE JUNCTION S1:E31 | GEORGE AMBANGILE & GRACE MALS
2:25:00
iRoc Networks
Рет қаралды 12 М.
OUR LOVE STORY W/ DJ ALLYBI & MKEWE (MAMA SIMBA) | EP 03
54:03
Our Love Story Podcast
Рет қаралды 76 М.
Inside Out Babies (Inside Out Animation)
00:21
FASH
Рет қаралды 22 МЛН