Рет қаралды 898
Hivi ndivyo Kwaya ya Mt. John Bosco ilivyohudumu kwa uimbaji katika Dominika ya 4 ya Mwaka C.
Dominika hii iliambatana na maadhimisho ya Somo wa Kwaya (Mtakatifu John Bosco) ambapo iliweza kushiriki vema katika uchangiaji wa damu na kutembelea na kutoa misaada mbalimbali kwa wazee wenye mahitji maalumu.
Misa iliongozwa na Padri Leonard Cheyo na kwa Upande wa Kinanda (organists) ni Mwalimu Samsoni Jumapili na Mwalimu Tanganyika.