DOTTOMAGARI AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI #DOTTOMAGARI #BIFULATIDNADOTTOMAGARI #TID #carrymastorytv
Пікірлер: 37
@peterganga9924 Жыл бұрын
Nachomkubali huyu mshkaji yuko really na maisha vizuri sana
@bakarimohammed2796 Жыл бұрын
Eti Miguu Ina Vumbi Kama Mwalimu Hassan 😂😂😂😂😂
@jumamaisara755711 ай бұрын
Doto saivi upepo wake saivi muacheni yupo juu
@shaabanshaaban9228 Жыл бұрын
Dotto magari namkubali sana huyu jamaa
@rahmaabubakarisaanatu196110 ай бұрын
Dotto nimecheka mpk hy asubuhi tarehe 1 jioni mwisho wa mwezi.
@mahmoudaziz4717 Жыл бұрын
Namkubali sana dotto😂.
@bonabonala555911 ай бұрын
doto upo sawa waukaee longaaaa myaangu
@user-dz1rh2ix3h7 ай бұрын
Doto upo vzr
@user-iv2ps4ym2r4 ай бұрын
Oya nyoa nywelee kaka
@rayvanlimo4928 Жыл бұрын
Mtoto Hana rangi mbili km ndiz mzuzu😂😂😂😂
@ukhutfatumah1154 Жыл бұрын
Auna baya dotto magali ukifa auozi kwenu akuna chiz ishi maisha yako bhana
@ibraheemqassim3018 Жыл бұрын
Kaka si uende hata masomo ya uck ukjua kusoma na kuandka umetoboa doto
@joejoshua779111 ай бұрын
Kinondoni ndio sehemu ya maana Tz,bomboclaat
@bashiruhassani101710 ай бұрын
Saiv n zam yako kaka
@bonabonala555911 ай бұрын
jesca kikumbi mwanza mpango AKA king kiki warimbaga nyimbo na baba yake itwayo imbaee fungua njiaa mutoto anzaataambaa kaweloo fungua njiaa mutoto anzaa tambaa
@ibrahimmambi4469 Жыл бұрын
Hatuja.soma ila tunapesa 😂😅❤❤
@salomewandya7257 Жыл бұрын
Hahaha jmn eti ata aposti giza🤣🤣🤣
@goodneighbour2638 Жыл бұрын
ila doto kaka aisee una balaa!
@ibrahimmambi4469 Жыл бұрын
Nakuam😂nia mzee doto.ww jembe
@mdachiog521110 ай бұрын
Jesca kitumbi😂🎉
@user-pf5zc6xi9w11 ай бұрын
We mkari
@JacklineNamundengozi Жыл бұрын
❤❤ Dotto
@ibrahimmsham109911 ай бұрын
Mjomba🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@issakamangila4143 Жыл бұрын
Hii kuojiwa akiwa na mwanaume na mwanamke kuna style yaani mikono iko kiunoni mwanzo mwisho hii imekaa je naona inakuwa km style mjini ss
@elisanteshayo3882 Жыл бұрын
Daahh jamaa mbona mchafu madevu km manyoya ya mbwa
@JumaMtima Жыл бұрын
Kichogo kama nan😅😅
@NassorTwahiru-kf8fo Жыл бұрын
😅
@Killer_wayne227 Жыл бұрын
😂😂😂
@rasjamal9854 Жыл бұрын
Watu fudeke kimbo hiyo enzi ya magangwe
@user-gm2yn7ib1t Жыл бұрын
Anaongea kama kafungwa mashine mdomoni daa kila mtu na kipaji chake😂😂😂
@salaita2829 Жыл бұрын
Alikuwa mpiga debe pale manyanya hivyo ni kawaida kuongea.
@annajulius994011 ай бұрын
Afu mwanaume huyo haya bhana
@Marjeby Жыл бұрын
Hii Nchi inamatatizo sana haki ya mungu😂😂vyombo vya habari havina vitu vya maana kabisa hivi huyu jamaa ana pata wapi nafasi yakuongea kwenye vyombo vya habari mwehu kama huyu yeye mwenyewe hajitambui hata kusema vizuri hajui mradi anapiga kelele tu yani jamii inapelekwa kwenye ujinga ujinga tu
@gustavompemba178111 ай бұрын
C kama ww auna akili unamfatilia baad ufatilie tbc