DOTTO MAGARI AMJIBU BABA LEVO BAADA YA KUMUITA TEJA/ BOSS WAKE NDO TEJA.

  Рет қаралды 42,497

BinaTv

BinaTv

9 ай бұрын

Ahsante kwa kuwa mwana familia,(BINA Tv) kwa habari murua utazipata hapa, Ungana nasi kwa kila update zitakazo jitokeza.. Subscribe Channel yetu ya BINA TV ili usipitwe na habari zetu.
#alikiba, #ayotv, #block 89, #bongo #chapchap, #bunge, #bungeni, #burnaboy, #ccm, #chadema, #davido, #diamondplatnumz, #diamondplatnumz, #good #morning, #habarizaleo, #habarizamillard #ayo, #harmonize, #lavalava, #lavidavi, #live, #magufuli #makonda, #mbosso, #mgahawa, #millard, #millardayo, #millardayo, #millardayotv, #rayvanny, #refresh, #serikali, #sportsarena, #sportscourt, #spots, #sundayworship, #tanzanianews, #thestorybook, #theswitch, #tiwasavage, #trending, #uchaguzi, #wasafi, #wasafifm, #wasafimedia, #wasafi tv, #wizkid, #yope, #yope #remix, #zuchu
#BinaTv #WasafiTv #ManaraTv

Пікірлер: 81
@user-hs1en8dm7n
@user-hs1en8dm7n 8 ай бұрын
Unakosea kwa Mwenyezi Mungu nguruwe kharamu unamkosea Sana Alla
@hassanmichael7068
@hassanmichael7068 7 ай бұрын
Hili jamaa Senge sana una uhakika gani kama mlimani city wanaibia wateja
@AbuuIssa-ei8wi
@AbuuIssa-ei8wi 4 ай бұрын
Doto uko vizur
@starjay3052
@starjay3052 9 ай бұрын
kazi anayo 😁😁🤣🤣🙌🙌💥💥🔥🔥✅
@idrisajuma9314
@idrisajuma9314 9 ай бұрын
Doto safi sana upo vzr hakuwez kaka fanya kazi
@user-nl6wu6cq1i
@user-nl6wu6cq1i 9 ай бұрын
Nakukubali sanaa 😊😊
@JacklineNamundengozi
@JacklineNamundengozi 9 ай бұрын
Dotto ❤🙌
@JumaJuma-fu7ji
@JumaJuma-fu7ji 9 ай бұрын
Munaomchokoza dotto kazi munayo kwann munamchokoza uyo mzaramo afu muhuni ngoja awanyoosheni mwamba namkubali sana dotto nakukubali sana aisee uyo mtoto wa mjini dotto muhuni kitambo
@peterganga9924
@peterganga9924 9 ай бұрын
Basibasi doto inatosha🙌😂😂
@Jingu2
@Jingu2 9 ай бұрын
Media very stupid..utafungiwa unaruhusuje mtu kutaja biashara ya watu??
@mahmoudaziz4717
@mahmoudaziz4717 8 ай бұрын
Nakuelewa Doto keto😂😂😂
@jamesmachiwa3679
@jamesmachiwa3679 9 ай бұрын
Una madharau Aisee unatukana watu
@kassimhashi49
@kassimhashi49 8 ай бұрын
safi sana
@charlesmentod7314
@charlesmentod7314 9 ай бұрын
Daaaaah
@mwakiosalim2914
@mwakiosalim2914 9 ай бұрын
MbonA nko kenya nakukubali sana Dotto magari
@user-vl2ux2wl2l
@user-vl2ux2wl2l 9 ай бұрын
Kakaaa Doto Magari, au Mzee wa kuwanyoosha vibwengo machawa.
@user-hl4eb8ct7l
@user-hl4eb8ct7l 9 ай бұрын
Much love from 🇰🇪
@user-cw7gz2jp7z
@user-cw7gz2jp7z 9 ай бұрын
www qqqqqqqqwqqqqwqqwqqqqwqqqqwwqqqqqqqqwqq😂wwqqqqqqqq😂😂😂qqwqqq😂qqqqqqqqwqqqqwqqwqq😂qqqqqqwwqqqqqqqqqqqqqwqqqqqqqqqq😂q😂qqw😂qqqqqqqqwqqw😂qqqqqqqqqqqq😂qqqq😂q😂qqqq😂qqqqqqqqwwwqqq😂q😂qqqq😂wqww😂qwq😂qqq😂qq😂wq😂qq😂q😂qqww😂q😂qwwwqqqqwqq😂q😂q😂q😂qqq😂qqqwqq😂q😂qq😂😂wq😂qq😂q😂q😂q😂wqqqqqqq😂q😂qqq😂wq😂qqq😂qq
@user-cw7gz2jp7z
@user-cw7gz2jp7z 9 ай бұрын
Wwqqqq😂😂q😂q😂qqqqqqqqwqqqqwqqwqqqqqqqqqqwqqqq😂q😂qq😂qq😂q😂wwqq😂qqqqq😂q😂wwq😂qqw😂qqqqqqqqq😂qq😂😂qqqqqq😂😂qqqqqqqq😂qwqqwqqqqqqqqqqwqqqqqqqqw😂😂qqwqwqqqqwqqqqwqqwqqq😂😂qqqwwwq😂qwqq😂q😂😂qqqq😂qwq😂wwwqqqqqqq😂qq😂q😂qq😂qwqqqqwwqq😂qqq😂qqq😂qqqqqqqqqq😂😂q😂q😂😂q😂wwq😂😂q😂q😂wqqq😂😂wqqqq
@nasorobilali255
@nasorobilali255 9 ай бұрын
Dah!mwamba huyu hapa😅😅😅😅😅😅
@DebabaFikirini
@DebabaFikirini 3 ай бұрын
Nikweli ndoto anavuta unga natena anahakili
@asiyasunsocker3025
@asiyasunsocker3025 8 ай бұрын
Kweli Doto riziki mwanzo wa chuki i see.furahia maisha mtoto wa kino mwenyewe wakaribishe mjini haoo
@user-sx9wy2ru5n
@user-sx9wy2ru5n 8 ай бұрын
Mzalamo mwenzangu nakukubal huna baya Kwa kujiamin
@AhmedMohamed-mw3ev
@AhmedMohamed-mw3ev 9 ай бұрын
Huyu doto unga umemuathiru nguruwe anasema siharamu halafu ndo mtoto wa kiislam dah Allah amsameh
@mohamedally5225
@mohamedally5225 9 ай бұрын
Kwan ni Muslim hiyo mbn misalaba
@leonardmhagama5828
@leonardmhagama5828 9 ай бұрын
Nawe kama mbuyu kumbe huna tu Mpua😊😊😅😅
@richardsalala9147
@richardsalala9147 9 ай бұрын
Nani kakuambia muislam huyo? Au kwakuwa umesikia ni mzaramo?😅
@AhmedMohamed-mw3ev
@AhmedMohamed-mw3ev 9 ай бұрын
@@richardsalala9147 hahahaha
@hamzamoshi8275
@hamzamoshi8275 9 ай бұрын
Kwaiyo mnaenda kumuhoji ili awatukane watu, kwaiyo nae uyu muandishi
@salumuseif3324
@salumuseif3324 9 ай бұрын
Gala B 😂😂
@user-xc8wk2md6c
@user-xc8wk2md6c 8 ай бұрын
Doto uk vzr
@jastinedaudi-qi9vr
@jastinedaudi-qi9vr 9 ай бұрын
Daah😂😂😂😂😂😂😂
@mosesnjorogekinuthia5621
@mosesnjorogekinuthia5621 9 ай бұрын
Dotto magari nimekukumbali Sana kutoka Nairobi Kenya nangojea ile siku utapiga babalevo madondi
@mathewungani9724
@mathewungani9724 8 ай бұрын
MAPUA
@user-hs1en8dm7n
@user-hs1en8dm7n 8 ай бұрын
Wewe ni muislam unasali kesho utakwenda kuhukumiwa
@JumaJuma-fu7ji
@JumaJuma-fu7ji 9 ай бұрын
Dotto nkukubali kaka
@BabiLax-zh8kk
@BabiLax-zh8kk 9 ай бұрын
Ila kwelii huyu anaonekana kama teja
@ibrahimyakubu2765
@ibrahimyakubu2765 8 ай бұрын
Upo poaw kk umenyooka chakochako hela zao
@Alexthadey-lm3ju
@Alexthadey-lm3ju 9 ай бұрын
Duuuh baba level na mwijaku kwa chuma hiki kazi mnayo mtapotea mjini
@leonardmhagama5828
@leonardmhagama5828 9 ай бұрын
Duuuh kaz wanayo aseee🙌🙌🙌 hug apa kiboko
@JudithFrad-nk1di
@JudithFrad-nk1di 9 ай бұрын
Mm napenda anavoongea
@mosesjnr8436
@mosesjnr8436 9 ай бұрын
😂😂😂 msenge anaongea
@salhajuma3333
@salhajuma3333 8 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 Daaah kaka
@sadicknyahi7312
@sadicknyahi7312 8 ай бұрын
Umeniudh kumwita mwenzio mapua
@user-pw8pc3by8p
@user-pw8pc3by8p 9 ай бұрын
Nissan jux😂 ila dotto ❤❤
@user-qm3hb4sz7y
@user-qm3hb4sz7y 9 ай бұрын
Doto anajielewa sana
@JumaJuma-fu7ji
@JumaJuma-fu7ji 9 ай бұрын
🤣😂🤣😂😂eti magari sokoni dotto waone uruma wameyatimba eti umetokea wapi🤣🤣🤣
@JumaJuma-fu7ji
@JumaJuma-fu7ji 9 ай бұрын
Baba levo kayatimba😂🤣😅🤣
@bentez911
@bentez911 9 ай бұрын
Dotto magari namkubali sana uyu sio muongo amenyooka
@user-ht7ik5wy8h
@user-ht7ik5wy8h 9 ай бұрын
Ni muongo pia sana tuu...
@charleskaozya9924
@charleskaozya9924 9 ай бұрын
Hahahaha dotto anaongea anaonesha MADODI😂😂😂 yake mwanzo mwisho
@kingmzara3124
@kingmzara3124 9 ай бұрын
Mwambie na hapa ipo😅😅
@idrisajuma9314
@idrisajuma9314 9 ай бұрын
Kweli talee ni big boss kabisa hajakosea kabisa
@kulatendaudi7671
@kulatendaudi7671 9 ай бұрын
kizimkaz wamekuitwa
@obeydmwemezi3663
@obeydmwemezi3663 8 ай бұрын
Ko unataka mechi na mhaya..😅
@muddysharo7699
@muddysharo7699 9 ай бұрын
😂😂😂
@user-mo3xs7fh3e
@user-mo3xs7fh3e 9 ай бұрын
Doto nikija Tz nakutafuta
@user-pw2dv7sp9c
@user-pw2dv7sp9c 9 ай бұрын
Msukuma ajawah kua chawa we n muha ulie zamia usukuman
@jamesmachiwa3679
@jamesmachiwa3679 9 ай бұрын
Kwa iyo Viwete siyo Watu???
@bonabonala5559
@bonabonala5559 9 ай бұрын
doto upo juu achana na huyo mapua mama levo mshamba
@denisjoel1592
@denisjoel1592 9 ай бұрын
Wambie Mr influence waelewe
@nassorsaid7445
@nassorsaid7445 8 ай бұрын
Chafu😂😂😂
@hamadhamis9763
@hamadhamis9763 9 ай бұрын
Nahiyo ogopa utakuja kutuambia umeianzisha wewe kumbe ni yadogo wa ushilombo
@shabamuhidin634
@shabamuhidin634 9 ай бұрын
nikweli Makanisani wameeka mpaka viti vya VIP masofa set na wengine hohehahe kwenye viti vya plastic😅 sasa huo si ni udhalilishaji tena kwenye nyumba ya ibada...ila wako na macho lakini hawaoni kama kawaida yao,kama huani angalia reply za ubishi👇👇👇
@kwadukassim2568
@kwadukassim2568 9 ай бұрын
Doto mzee baba mimi Ninakushauri kwasababu sasaivi wewe ushakua staa mkubwa kwiyo imba nyimbo hata1tu ya kuzingua Itasikilizwa na wa2 wengi tena kama vipi tuimbe na mimi unitoe kupitia wewe yaani we ni brand kubwa
@MussaSongo-fd1ex
@MussaSongo-fd1ex 9 ай бұрын
Wewe h baba siyo msukuma ni muha mwijaku boy mmanyema wewe. Msukuma utakuwa wewe
@richardsalala9147
@richardsalala9147 9 ай бұрын
Ni msukuma huyo kwao ni misungwi
@eddsonjeremiah6669
@eddsonjeremiah6669 9 ай бұрын
Kumbe junky
@damianwambura8314
@damianwambura8314 8 ай бұрын
Hujasabuscrubu?????
@samirshaban1663
@samirshaban1663 9 ай бұрын
Mbona mapua Alisha sababisha wasafi kufungiwa
@user-hl4eb8ct7l
@user-hl4eb8ct7l 9 ай бұрын
Jamaa kasema ukwel baba levo,hana akili timamu
@aliaden5512
@aliaden5512 4 ай бұрын
teja kafiri
@shabamuhidin634
@shabamuhidin634 9 ай бұрын
Ata kwa Wakristo ngurue amekataliwa sio Waislam tu,ila ujanja na maneno mengi yakiwa mengi unaona nkama maendeleo! ndo juzi Sheikh kasema ukiona ujinga unaubadilishaa jina ukauita maendeleo ujue huna akili
@kwisa4899
@kwisa4899 9 ай бұрын
ukristo mgumu sana maneno mengi yapo kimafumbo ,utofauti wa ukristo na uislam waislam wanameza maneno kama yalivyo wagumu kuelewa
@shabamuhidin634
@shabamuhidin634 9 ай бұрын
@@kwisa4899 sasa kwa kweli,ebu niambie andiko la Walawi limesema ngurue tusile nyama yake inamaanisha nn,kwa kikristo,sio kila kitu kimefichwa maana,hapo katajwa mnyama mwenyewe,ebu niambie Mungu alimaanisha nn aliposema watu wasile wala kugusa nguruwe? please maana wanyama wapo wengi lakini apo katajwa ngurue direct
@starjay3052
@starjay3052 9 ай бұрын
kazi anayo 😁😁🤣🤣🙌🙌💥💥🔥🔥✅
@chrispinrafael3831
@chrispinrafael3831 7 ай бұрын
Uyu jamaa awamuwezi Bora mnyamaze uyu mzalamo
@bonabonala5559
@bonabonala5559 9 ай бұрын
doto upo juu achana na huyo mapua mama levo mshamba
Fast and Furious: New Zealand 🚗
00:29
How Ridiculous
Рет қаралды 45 МЛН
Son ❤️ #shorts by Leisi Show
00:41
Leisi Show
Рет қаралды 8 МЛН
НРАВИТСЯ ЭТОТ ФОРМАТ??
00:37
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 8 МЛН
Советы на всё лето 4 @postworkllc
00:23
История одного вокалиста
Рет қаралды 4,5 МЛН
Neden yüzünü saklıyor
0:19
H. DANIŞIK
Рет қаралды 35 МЛН
ПОМОГЛА НАЗЫВАЕТСЯ😂
0:20
Chapitosiki
Рет қаралды 2 МЛН