Watanzania muwe waelewa diamond ajasema ndege bilioni 4 amesema ametapeliwa bilioni 4 Kwa watu alioingia NAO mkataba wa ndege muelewe Hilo wabongi wagumu
@JohnThomas-zj9rd8 ай бұрын
Unavyomtetea utafikir utaipanda 😂😂😂
@mpenzisamaki94888 ай бұрын
Sheria zipo kama katapeliwa afungue mashitaka adai aache kiki katapeliwa
@JansanMokiwa-hr6hl8 ай бұрын
20 percent marekani 🤣🤣
@kamikazejoseph87998 ай бұрын
Hivi huyu jamaa mbn kama hamnazo Hivi kichwa chake kipo resi sana....
@severiniseverini43518 ай бұрын
Kuacha kumfuatilia influenza doto magari hapa Tz unajitafutia stress dotto ni influenza anajiamini na ameshatengeneza brand yake anakushawishi unanunua gari kama utani hongera kwake salute
@dannywillson58748 ай бұрын
Wabongo ndo maan hatufanikiw kuelewa kas Sana ajasema ndege n 4b kasema katapeliwa 4b katika sehm ya manunuzi mean unalipa kwa awamu izo pesa punguzen kuwa mashoga juen nmba
@edwinamos97348 ай бұрын
Hizo billion nne 4 alibeba BABA LEVO
@Eliroster8 ай бұрын
Iyo ni kweli kabisaaa
@ayubumtweve58998 ай бұрын
😂😂😂😂 DAAAAAAH WE JAMAA UMENYOKA KWELI
@chisongastephen72998 ай бұрын
Ushauri wangu wa bure kwako Doto Magari,potezea habari za kuwazungumzia Watu wengine na maisha yao,ww komaa na kuyatangaza hayo magari yako tu,kwani siku ya siku utakuwa unaonekana ni snitch tu.Mtoto wa town siku zote anaangaliaga mipango ya maisha yake tu.
@salimakida958 ай бұрын
Kwa sababu ameulizwa na mwandishi ndio maana akajibu kosa la mwandishi sio doto
@DoctorWamchongo-nw2so8 ай бұрын
Ushauri gani uo ww wakati doto anafanya yake apo anatangaza biashara zake
Tunza akiba ya maneno kaka, nko pale kitambaacheupe bossmonday nakula sehem ya azina yangu
@hemedjackson22618 ай бұрын
Viatu vyak vile km vyakutembelea kweny matope, ugoko km swala na vinjunga huy fala kweli doto❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂
@geeva998 ай бұрын
Napendaga sana akisema ifulesa akimaanisha influencer 😂😂😂
@user-pt4ft7ow1s8 ай бұрын
😂😂😂😂😂ili ifuluweza
@josephguerino74168 ай бұрын
Elimu muhimu sana. Amini
@christopherchacha79448 ай бұрын
😂😂😂😂😂 dotto basii inatoshaa
@mtahogarashid84888 ай бұрын
Pamoja sana Dotto, Njoo ununue uwanja Mbez Beach viwanja vipo Mbez nafuu tu .
@mirajryder42168 ай бұрын
Panki ka mcheza x wa uturuki😀😀😀😀🙌
@donlinechanell47608 ай бұрын
Hamkuelewa banaa hakusema jet ya bilion 4 . Billion 4 ni moja kat ya pesa alizo tapeliwa akiw anahitaji kununua jet yan alitapeliwa kama 4b katika harakat za kununua sio price ya jet hyo mue mnaelewa bana
@user-gj7dn7vv5s8 ай бұрын
hyo ndege ya kimaghumashi,,sehemu halisi ya kununua ndege huwezi dhulumiwa
@otmarmkali88838 ай бұрын
Kampuni gani aliagiza,, viwanda vya ndege ni vichache duniani kwanza ilikuaje,, mbona tunapigwa na kitu kizito.
@user-kf6ih5kk8v8 ай бұрын
Amin doto
@user-hl4eb8ct7l8 ай бұрын
Dotto magari nakkubali I'm from 🇰🇪
@user-hm5sf2iy3c8 ай бұрын
Mwamba umetisha
@sirizawa33608 ай бұрын
Kamuulize kizimkzi ndege beigani
@MbongoBoy-yg9tq8 ай бұрын
Doto upepowakoumekuja nambuniii👍
@hassanihamidu85468 ай бұрын
Muulize nyumba anayoishi ni shingapi? Kama anahizohela ainunue ilenyumba mbona anaendelea kulipa Kodi?
@untouchablepro89438 ай бұрын
Noma sana unajua sana blooda unanyoosha
@khadejakhadeja97138 ай бұрын
DOTTO umetishaaa ana ugonko 😂😂😂😂😂😂😂
@naymasaid43898 ай бұрын
Doto zungumzia maisha Yako achaujinga wanzania cc tusiwe kama mashoga unamponda msanii wanchi Yako wewepia ilojina lako la doto magari doto nilako ila magari ya watu mikono yawatu tunajuwa embu tangaza unachokifanya mambo yawatu ukiona Ivo unamuonea wivu utakufa naroho Yako ya USDA mshamba mkubwa
@sultanmaxmed3668 ай бұрын
😂😂😂😂 Doto Umeuwaa..🙌
@jimmysantana39878 ай бұрын
20 percent ulayaaaa😂
@Miss_Philips8 ай бұрын
Doto kashampa mama samia jina la kizimkazi Kumekucha 😂😂😂😂
@idrissaomba88038 ай бұрын
How much is a private jet cost to buy? A private jet can cost anywhere from $2 million to over $100 million. Ongoing expenses may include flight crew salaries and expenses, the costs of routine maintenance and unforeseen repairs, hangar rental, and aircraft insurance.
@petroleumexperts34428 ай бұрын
The cost of buying a private jet can vary significantly based on several factors, including the make and model of the aircraft, its age and condition, and any additional customizations or upgrades. Here are some approximate price ranges for different categories of private jets: Very Light Jets (VLJ): These are the smallest private jets, typically seating 4 to 6 passengers. Prices can range from $1 million to $3 million for new models. Light Jets: Light jets are slightly larger, accommodating around 6 to 8 passengers. New light jets can range from $5 million to $10 million or more. Midsize Jets: Midsize jets offer more cabin space and seating for 8 to 9 passengers. Prices for new midsize jets can vary from $10 million to $20 million and beyond. Super Midsize Jets: These jets provide increased range and space for around 8 to 10 passengers. New super midsize jets typically start at $20 million and can go well beyond that. Large Cabin Jets: Large cabin jets offer luxurious interiors and can seat 10 or more passengers. Prices for new large cabin jets often start at $25 million and can exceed $50 million or more. Ultra-Long-Range Jets: These are designed for intercontinental travel and can range from $40 million to over $100 million, depending on the model and features. It's important to note that the purchase price is just one component of the total cost of owning a private jet. There are additional expenses, including operational costs (fuel, maintenance, crew salaries), insurance, hangar fees, and more. These ongoing expenses can vary widely depending on factors like usage and maintenance requirements.
@AbasiShabani-lw2fd8 ай бұрын
Ugoko kama wa Mbu
@ellgodfather2828 ай бұрын
Tumaini katika umarufu ni diamond tu ale juu ni aliye juu tu
@deeruta98948 ай бұрын
😂😂😂😂😂 eti mguu wa mbu😂😂😂
@OfficialPizo-hn9gz8 ай бұрын
20 pacent ulaya tena
@user-vl2ux2wl2l8 ай бұрын
Hapo mwijaku akasomeeee,
@paulboniface24228 ай бұрын
Aaaaaa daah tajiri hakai shelli
@ismailchibonda50058 ай бұрын
Doto kwa hili nimekuelewa Sana 😂😂😂😂 jamaa bwege Sana anatuona Sisi mambugila nini 😂😂😂
@papangomaitala76908 ай бұрын
Mbugilaww unaeshuhulika nauongo usio kuhusu
@aminasalim87088 ай бұрын
@@papangomaitala7690😂😂😂daah
@user-ms1nr6fr7g8 ай бұрын
😅😅😅😅hivi we dotto unajua unakipaji kikubwa sana ungie bongo moves iwe kitu cha ziada
@MasiziaKari-lh6wc8 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥👍
@VicentMillanzi-tw9qe8 ай бұрын
Ditto magari nakubali sana ila unapitiliza sana siku bro...kua makin maisha yana badilika sana.....mda mwingi zungumzia KAZI yako...ukiulizwa ukisema no comment inatosha...binafsi nakubali sana
@kakaaignas36758 ай бұрын
Kabisa
@salhajuma33338 ай бұрын
Umeuwaaa😂😂😂😂😂 Duuuh watu wanajifanya Wanamiliki Mabawa
@ASALABOY8 ай бұрын
Uyu pacha w Kingwendu😊😊
@zachaamaster53788 ай бұрын
#ww kweri kufananisha unajua
@user-hl4eb8ct7l8 ай бұрын
Ila watanzania 🇹🇿 acheni mchezo hakuna jet ya billion 4 za kitanzania"
@noahpaulo38457 ай бұрын
Zipo za bilion ngapi za kitanzania
@amrozwhite10738 ай бұрын
doto ww noma huishiwi na maneno
@villa4998 ай бұрын
Aki Tanzania nyote mnapenda kiki m niko kenya na sijui raisi wetu
@ismailkasim79608 ай бұрын
😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃
@JosepitaJosepita-lq4bg8 ай бұрын
Doto nakukubaly mwanangu unaongueya sana
@jonasmuhindo8 ай бұрын
🔥🔥🔥
@patriciacarlo72368 ай бұрын
Ndege anaiweza davido,burner na wizkid
@l.marley_25428 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 doto yuko sahihi kabisa
@paulokenedy40908 ай бұрын
Na ndege hainunuliwi Kwa maneno Yako HAYO dotto
@ramsosykes64868 ай бұрын
😂😂😂😂 eti pank kama mcheza X wa uturuki 😂😂😂daaah we doto msenge Sana ujue
@jastinedaudi-qi9vr8 ай бұрын
Vimiguu km mbu daaah😅😂😅😂😅😂
@user-dk8dr4kt7r8 ай бұрын
20% wa ulaya😂😂
@dennisobwoto95158 ай бұрын
Cassypul wa TZ
@Hassan-ot1mc8 ай бұрын
Hili jamaa jinga sana
@nininahazwezabibu25957 ай бұрын
Iyii imeenda😂😂😂😂
@ramadhanhamisi74058 ай бұрын
Senge magari hauna kitu
@l.marley_25428 ай бұрын
Billioni nne zilibebwa na baba levo😂😂 na onesmo
@mdqweqwe2518 ай бұрын
😂😂
@JumaJuma-fu7ji8 ай бұрын
Iyo gari Kari mno mzuri
@barbaraogolla6835 ай бұрын
Dotto kweli!!!!
@ALLYMSELEMU-cf7wn3 ай бұрын
Hi
@tinershayo61917 ай бұрын
Dotto nakupenda bure
@fuadaladawi12558 ай бұрын
Diamond say they pin his money😢
@user-ew8zl1hc6t8 ай бұрын
Ditto Magari 😂😂, Ugoko kama Mbu
@SululuZungu-kx8ws8 ай бұрын
Naileta yng uniuzie milion 25 nnayo iyo mzee noma xn
@user-gf2mo7qw7k8 ай бұрын
Gwajima anamiliki ndege 2 na helikopta moja Mimi nimeziona
@charlesmwita74848 ай бұрын
Hili nalo kumbe huwa geti😂😂😂
@user-iq9fc1jf2t7 ай бұрын
Kizimkaz chizi ujue nae kavurugwa kimaslai zaidi.
@melichmahingule28963 ай бұрын
Privat jjet inaanzia 5,100,000,000 na sio billion 4
@urban_select8 ай бұрын
diamond kaumbuka, price ya ndege inategemea kwanza na aina ya ndege mamae, bomberdier tu ndogo kama zetu tz ina cost b24
“A private jet can cost anywhere from $2 million to over $100 million.”
@husseinfemmy50358 ай бұрын
😂😂😂😂 hatari.keto
@tinershayo61917 ай бұрын
Dotto hiyo imeenda😂😂😂😂😂
@SaimonKazimoto-xt1zo8 ай бұрын
Doto magari sema nn mondi tajiri kaka sema nini sawa doto sikupigi baba.
@user-fz1kh9in2c8 ай бұрын
Katumwa huyu na harmonize
@henrymoshi92438 ай бұрын
Sasa Dotto humjui hata 20percent unasema ni msanii wa mamtoni 😂
@degemaster27857 ай бұрын
Unaskia ndege hiyo unaskia ndege hiyo kuma make nimekuskia doto
@edwinamos97348 ай бұрын
Kweli mjomba Doto unacho sema Diamond katupiga na chuma kizito
@salehemohamed9818 ай бұрын
Kuwa na akili wewe chibu kasema malipo ya awamu ya kwanza ndio yalikuwa 4B
@edwinamos97348 ай бұрын
@@salehemohamed981 kua na akili mzee uchoki kudanganywa unafikiri ndege ni matako kila mtu anayo tatizo umenyoa nywele ukasahau akiri ni nywere unaonaje tukisema umezaliwa bila ubongo
@iniestakawambwa71078 ай бұрын
Tusione Ronaldo au messi wanamiliki ndege ukadhani simple. Huyo moo tu hana
@edwinamos97348 ай бұрын
@@iniestakawambwa7107hahahahaha kweli aseh.
@alluabdallah68938 ай бұрын
upo swa kijana
@yasser77178 ай бұрын
😂😂😂 ndege kama chips
@williambenedict60748 ай бұрын
40millions for the BMW sounds alot.. Lemmi simplified for y'all,its 1.7 million Ksh. 😂Hope y'all gon breathe in and out well rn