Dr. Chris Mauki: Hata kama unampenda vipi! Usidanganyike kwenye haya manne

  Рет қаралды 67,217

Chris Mauki

Chris Mauki

Жыл бұрын

Wengi wamechemka kwenye mapenzi na ndoa baada ya kufanya maamuzi kama vipofu kisa tu penzi lilikuwa limenoga sana wakashindwa kuona vema. Nakusaidia usikosee kama wengine. Nifuatilie

Пікірлер: 179
@Rachel-wl5lc
@Rachel-wl5lc Жыл бұрын
Hii tabia yote ni ya ex mume wangu 😢😢😢😢😢😭😭😭😭😭toka nijuwe nilikoma na nikaamua kukaa single
@mackilinapatrick4717
@mackilinapatrick4717 Жыл бұрын
Namba nne niyamtu wangu kabisa na nashindwa kumuacha lkn nikweli najua lazma kunamtu anampa mda wake lkn kumuacha nashndw ,,,,,asanteh doctor tajtaid mana ni miaka miwil sasa lkn mimi ndo napambania sana penzi hili kuonana me niombe,,, kumtafuta mimi ndo nimtafute ye nimara chache sana dah nimevumilia izo tabia zake miaka miwili nw lkn abadiliki
@uzungupoint
@uzungupoint Жыл бұрын
Sema nini Dokta? Mapenzi/mahusiano+ndoa, ni mambo ya kipuuzi sana, basi tu.
@user-kf5fy5pe9z
@user-kf5fy5pe9z
Najuta kuchelewa kukufahamu doctor mauki dah,, nahitaji ushauri sana Mimi moyo ushakufa ngazi😢😢
@user-th3th6qb2e
@user-th3th6qb2e
Ipo haja ya kusililiza wanasaikolojia kabla ya ndoa😢😢 sasa nivumilie tu mada zako sasa zanigusa kati tayari nimeingia kwenye ndoa😢😢😢😢😢
@olivanooraladin5436
@olivanooraladin5436 Жыл бұрын
Hiyo ya mwisho inamuhusu mtu Asante Sana mauki kwakuniongezea experience
@user-gb9yw3yw5l
@user-gb9yw3yw5l
Mchumba Angus sipo kalibu nae nikisikia nyimbo hii machizi yanitoka
@AgnessFred
@AgnessFred 28 күн бұрын
Kama vile ndoa yang unaichungulia ga hatak niwe namawasiliano na ndugu zang wal malafk
@mwananziaabdaallah1474
@mwananziaabdaallah1474
Nikweli kabisa kwasababu mtuu mukiwa mtoto ndio mambo kuwa magumu kwasababu mwanzo ilikuwa hivyo lakin mnapo zidi kuishi ndio vinazidi mafunzo mazuri
@naomidaudi1718
@naomidaudi1718
adi kichwa kinaniuma maumivu sana moyo wangu umechomwachomwa yote napitia kwa mchumba wangu natunaishi wote na nishazaa
@azizakunubwa6902
@azizakunubwa6902 Жыл бұрын
Asante Sana daktari hakika umekuwa na mchango mkubwa Sana katika Maisha yangu nimekuwa nikijifunza mengi Sana kutoka kwako hakika nami nitakuwa Bora na nitakuwa na mahusiano Bora na ndoa iliyobora
@christinachazy8644
@christinachazy8644 Жыл бұрын
Mungu akubaliki Dr kwa ushauri wako Yani niliye kuwa nae kabadilika sana Niko buys mara maisha magumu nimeamua kumove imebaki Salam tu
@youthssuccesstv3162
@youthssuccesstv3162 Жыл бұрын
1.usinidanganye atabadilika
@seraphineniyonzima962
@seraphineniyonzima962 Жыл бұрын
Asante saaana mungu akubariki mpendwa
@catherinenasambu5366
@catherinenasambu5366 Жыл бұрын
Thnk boss b blssd for th great msge I hav learned
@zawadithomas1008
@zawadithomas1008 Жыл бұрын
be blessed pastor
@rebeccasamsom5616
@rebeccasamsom5616 Жыл бұрын
Asante sana Dr nimejifunza kitu hapo
@user-ur3wh5fn3o
@user-ur3wh5fn3o Жыл бұрын
Asante san ..Mungu akubariki
@gloriakawago6223
@gloriakawago6223 Жыл бұрын
Haya maisha unaweza dhan kuna mtu amepewa historia ya mahusiano yako, kumbe wala nashukuru niliaamua mwenyewe kuwa huru God bless you Mauki
@TiffFatma-lw5mf
@TiffFatma-lw5mf
Ahsante kaka nimejifunza jambo... Mungu akuzidishie
If you wake up between 3AM & 5AM...DO THESE 3 THINGS
19:39
Miz Mzwakhe Tancredi
Рет қаралды 8 МЛН
Chris Mauki: Dalili 5 ameshakutoa moyoni mwake
6:27
Chris Mauki
Рет қаралды 151 М.
Как бесплатно замутить iphone 15 pro max
00:59
ЖЕЛЕЗНЫЙ КОРОЛЬ
Рет қаралды 8 МЛН
Опасность фирменной зарядки Apple
00:57
SuperCrastan
Рет қаралды 10 МЛН
No empty
00:35
Mamasoboliha
Рет қаралды 6 МЛН
UNAMPENDA LAKINI YEYE HAKUPENDI - JOEL NANAUKA
9:15
Joel Nanauka
Рет қаралды 198 М.
Dr. Chris Mauki: Tabia 5 za mpenzi mwenye akili ya mahaba
8:48
Chris Mauki
Рет қаралды 45 М.
Dr. Chris Mauki: Ukiyaona haya, hata kama unampenda, mwache aende
10:14
Dr. Chris Mauki: Je mpenzi wako ana wivu? Jiulize haya matano!
9:13
MAENEO MANNE AMBAYO FEDHA IMEJIFICHA - JOEL NANAUKA
5:52
Joel Nanauka
Рет қаралды 22 М.
SIRI YA MAKONDA NA UONGOZI WAKE ARUSHA, SABABU YA WATU KUMTAKA
12:38
Как бесплатно замутить iphone 15 pro max
00:59
ЖЕЛЕЗНЫЙ КОРОЛЬ
Рет қаралды 8 МЛН