UNAMPENDA LAKINI YEYE HAKUPENDI - JOEL NANAUKA

  Рет қаралды 193,101

Joel Nanauka

Joel Nanauka

2 жыл бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.selar.co 🔥🔥🔥

Пікірлер: 550
@SHARIFAMAULID-w2e
@SHARIFAMAULID-w2e 8 күн бұрын
Wakati mwingine unapokua mtu wa kutendwa mara kwa mara inabidi ukae utafakari kwa kina , kwanza uanze kujisafisha wewe kimwili na kiroho ukishajikamilisha geukia upande wa ukoo pengine Kuna laana za ukoo ndo zinakutesa uwe mtu wa kutendwa mara kwa mara , lakini pia ujitafakari katika safari Yako ya kimahusiano pengine ulishawahi kumtendamtu bila sababu ya msingi halafu machozi yake mungu akayapokea na yakakuweka katika wakati mgumu Tena usiosameheka yote hayo inabidi tujiulize , usilaumutu kua mbona unakua wa kuachwa Kila wakati, jitafakari ukipata majibu mkimbilie mungu, Kila changamoto inakisababishi, Asante CHIEF JOEL
@joycekapoli
@joycekapoli Күн бұрын
Kusikiliza nyimbo Kuimba Kusifu kufuta namba ikiwezekana kuacha kabisa mawasiliano yaan kumkaushia Kama ilivo elezwa unakua poa2.
@anethdaiman2089
@anethdaiman2089 Жыл бұрын
Nimejikuta nakupenda napenda kufatilia darasa lako kwa sababa unauponya moyo wangu🙏Mungu akubariki
@sarahilomo410
@sarahilomo410 2 жыл бұрын
Asante kwa somo zur mm yamenikuta na nimefuta namba zote zawad zake nimegawa zote hakuna kitu chake tena na amekula brock maana anakuwa msumbufu ilihal hana mapenzi ya kweli...ni zaid ya mwez sasa nina Amani na furaha ykutosha maisha yanaendelea vzr kabisaaa
@NaitwaChongx
@NaitwaChongx 2 жыл бұрын
Umeachwa wee Umeachwa..KUBALI KUBALI utampta wako mtapendana kwa dhati😂😂😂 Brother JOEL 🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼
@user-hb8ph8fk5s
@user-hb8ph8fk5s 17 күн бұрын
Nimechelewa kukujua japo nishapona maumivu ila 😢nikimtizama mtoto wake kumsahau inakua ngm jpo asahv ctaki ata ukarb nae mana hata malez ya mtot pia hayajui bc nikajivua mazima tumebakia na jina lake2🙌
@shadrackmasagi9608
@shadrackmasagi9608 11 ай бұрын
Umekuwa daktari wangu kwa kiasi kikubwa ktk somo hili nimejifunza mengi,ukweli nilikuwa namaumivu mengi kwa kutendwa vibaya na mtu niliye mpenda kwa kumaanisha lakini alicho nitenda najua mwenyewe,nimemtoa ktk mazingira magumu lakini alivyo nigeuka sihitaji kuelezea,akinikosea mimi ndie namuomba msamaha,ukweli nilikuwa mtumwa wa mapenzi kwake,ila kwa sasa sihitaji kukumbuka chochote kuhusu yeye na mimi kwa ajili ya usalama wa nafsi yangu,kwasababu nikiendelea kukumbuka nitajikuta nimekuwa na roho yakisasi kwake,lakini pia nataka kuishi maisha marefu,lakini pia naamini kisicho riziki hakiliki,ukikilazimisha kitakuua mwishowe
@leah1187
@leah1187 2 жыл бұрын
Somo lako limekuja wakati sahihi kwangu asnt Joel
@sherabomar6681
@sherabomar6681 2 жыл бұрын
Pole sana, hata mm nipo hapo ktk wkt mgum sana
@jkifutu7936
@jkifutu7936 2 жыл бұрын
Ebwanae imenitokea iyoo kaka daah sasaivi nipo mbali nae sana sasa ananitafuta yeye mie sina mpango nae tena nimesha mtoa moyon
@user-qh9yd9xk1x
@user-qh9yd9xk1x 3 күн бұрын
Kuna ki2 nimejifunza thanks brooh halki kama iyo ilisha nitokea nimejua namna ya kukabiliana nayo.
@shanilingenju3513
@shanilingenju3513 2 жыл бұрын
Raha ya mtu akikupenda wewe ni kumpenda zaid ndio ninavyo jua Mimi sasa we unamuonesha upendo ye anakuonesha maumivu that is not love
@jackyluns8224
@jackyluns8224 Жыл бұрын
Umenena
@ivomhagama9796
@ivomhagama9796 2 ай бұрын
Ni kujipendekeza kabsa.mapenzi nikupendana
@levinaboniephase1195
@levinaboniephase1195 2 жыл бұрын
Haki leo joel umenizungumzia mimi na kunifundisha somo ninalopitia kwa sasa kwenye maisha yangu duhh kaka yangu ubarikiwe sana na Mungu maana nimesubilia hili somo ili nijifunze jinsi gani nitapona🙏🙏🙏🙏
@joelnanauka
@joelnanauka 2 жыл бұрын
Amina, nakuombea uvuke salama na kwa ushindi pia.
@aminaally7116
@aminaally7116 2 жыл бұрын
Tupo wengi ndugu
@levinaboniephase1195
@levinaboniephase1195 2 жыл бұрын
@@aminaally7116 kweli mama kupitia haya mafunzo tunaweza kupona kabisa
@fayeezabdallah2217
@fayeezabdallah2217 2 жыл бұрын
@@joelnanauka kaka yng nisaidy namb yk ya simu kk
@sharonerick7729
@sharonerick7729 2 жыл бұрын
@@aminaally7116 nimefunguka akili niliona maamuzi ninayotaka kuyafanya nakosea kumbe nipo sahihi mim nakaa nae mbali nimekubali sipendwi Acha nikae nae mbali
@HariethNdunguru
@HariethNdunguru 8 ай бұрын
Kwa kweli maumivu niliyonayo nataman kubadilisha no ya simu l😢😢😢
@swabrinaridhwan5593
@swabrinaridhwan5593 Ай бұрын
😢😢😢
@vicentmlumba591
@vicentmlumba591 2 жыл бұрын
Daaaaah umenifurahisha kwelii ulivo imba Apooo🤣🤣🤣🤣🤣🔥🔥🔥🙌🙌🌹
@joelnanauka
@joelnanauka 2 жыл бұрын
😂😂😂 umependa uimbaji wangu
@mwanakingu5039
@mwanakingu5039 2 жыл бұрын
Hiyo nyimbo kweli naimbaga
@zaituniluboge8897
@zaituniluboge8897 2 жыл бұрын
Uko sahihi Joel Ila nashukuru kufatilia video zako nimekua nikimove on ,,,,,,,asante kakka joel mungu akutie nguvu na pumz ndefu kaka
@MponelaSambala
@MponelaSambala 7 күн бұрын
Hata mm limepitia maumivu makali xnaaaa tumefunga hadi ndoa ila ndoa yetu mwaka haikutimiza mwezangu alibadilika ghafla nimebaki n mtoto namshukuru Mungu kwa kunisimamia ila ngumu kumsahau ila niweza kutoka kwenye jeraha la moyo
@NuruChande
@NuruChande 3 күн бұрын
Utampata wa kufanana na ww inshallah n swala la muda tu!.utasahau😊❤
@georgegervas614
@georgegervas614 Жыл бұрын
this dude is super genius he was first student in tanzania
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 2 жыл бұрын
Ahsante sana 😍Alfu kaka Uje kutu fundisha na, afya! Ya akili 🤦‍♀️maana ai wezekena' umpend mtu wakati 'Yeye a kupenda!??? 💔
@immanuelmwaipopo1605
@immanuelmwaipopo1605 Жыл бұрын
Kupenda sio jambo la akili
@bahatimallya32
@bahatimallya32 Жыл бұрын
Umenikumbusha kitu kweli kuna sababu kubwa sana ya kuitibu akili kila mtu ana sitaili yake ya ukichaa kwahiyo hilo somo lije maana atujielewi
@abdulyshabany8502
@abdulyshabany8502 Жыл бұрын
Jaman mm Kuna kaka nampenda nimemueleza lkn naona Kam vile bd hajanielewa nfanyaj
@sarahsaimon4095
@sarahsaimon4095 11 ай бұрын
​@@abdulyshabany8502 Huyo akupendi alf unakubali vp ww kumweleza hisia zako wakati ni mwanamke?. Eeeb acha utampata wako tu. Huko nikujipunguzia thaman km mwanamke.
@simonmalegesi414
@simonmalegesi414 9 ай бұрын
​@@sarahsaimon4095👀
@happynescostat7420
@happynescostat7420 2 жыл бұрын
Joel sema,sema usiogope sema,wahoo imenichekesha sanamungu akupe zaiidi
@rommydeevan8543
@rommydeevan8543 Жыл бұрын
Dah ebana jamn tuseme ukweli huyu brother anatuokoa sana na ni asilimia zote wengi tunakumbwa na hili tatzo na hii hali inanikuta sasa nashindwa kufanya kazi , nashindwa kufanya chchte kwa ajili ya mwanamke nnaempenda kwa dhati lkn yeye haoni thamn yangu
@Dimitry-cb5tb
@Dimitry-cb5tb Жыл бұрын
Mungu akubariki kaka umeokoa maisha yangu,nilikuwa nateseka sana kwa sasa naendelea vizuri
@NellyYuda-ev5ts
@NellyYuda-ev5ts 10 ай бұрын
Mambo
@NellyYuda-ev5ts
@NellyYuda-ev5ts 10 ай бұрын
Sasa kama umeolewa huyo mtu unaishi naye unafanyaje
@zawadisadick4323
@zawadisadick4323 2 жыл бұрын
Duh , yaani mahusiano yangu Mimi na mpenzi Wangu yalipo fikia mungu nishahidi jamani.
@ashamshami7624
@ashamshami7624 Жыл бұрын
😂😂Mungu akupe nguvu
@angasyegemwampulo2761
@angasyegemwampulo2761 2 жыл бұрын
Nilikua na msongo wa mawazo hususani juu ya mada hii ya mahusiano lkn baada ya somo hili akili yangu kunakitu imekitua hakinitesi tena
@lilianjames7537
@lilianjames7537 Жыл бұрын
Be blessed with this song kzfaq.info/get/bejne/qd-Bdsh0s7qsgqM.html
@CatheMunuo
@CatheMunuo 6 күн бұрын
Asante doct ukweli mie nimesota sana niliachwa na ujauzito mpka nimejifungua hakutaka mazoea na mimi kabisa lakin nilijitahidi kumpotezea mpka saiv ndo naenda nikipona mara nyingi apenda kuangalia muv na kusikiliza music,,,dah ila namtoto wake ila sijalii naiman na kwa somo lako hili nitazidi kumwona wa kawaida tu..
@cesiliasanjah4119
@cesiliasanjah4119 2 жыл бұрын
Ni kukaa kwenye maombi tu na kumtukuza Mungu baadae taratibu utapona.
@silverboy3065
@silverboy3065 2 жыл бұрын
Sometimes unatakiwa ukubaliane na unacho kiona maana ukilizia kutoka moyoni ya kwamba mtu akupendi aitokutesa trust me 😌
@niwawlymruma8724
@niwawlymruma8724 Жыл бұрын
Kwel
@Teddy-fq5oc
@Teddy-fq5oc Жыл бұрын
Hakika
@RizikiMarie
@RizikiMarie Жыл бұрын
Sasa kama kwa wale walio olewa kwa watu wasio wapenda waliolewa juu ya wazazi lakini waoa awakuwapenda wanaume wafanyeje sasa
@fhyubhhh2881
@fhyubhhh2881 2 жыл бұрын
Kabisa hasa kupenda kwa sana asiekupenda ni ngumu sana!!
@sarahsaimon4095
@sarahsaimon4095 11 ай бұрын
Yani sana, kumpata mtu akupende nikazi sana. Mungu atusamehe sana
@shamhamood755
@shamhamood755 2 жыл бұрын
Kwa kweli wewe ni mwalim wangu mengi unayofundisha yananipa faraja na fundisho kwangu
@paschaltimotheo5441
@paschaltimotheo5441 2 жыл бұрын
Mungu akubariki sana brother Joel kwa somo zuri na lenye mantiki kubwa..hakika wew ni zaid ya mwalimu sabab unagusa sana maisha ya watu nikiwemo mimi.
@bahatimallya32
@bahatimallya32 Жыл бұрын
Kweli kabsa hakuna binadam mwenye akili timamu ajapitia haya mambo
@joyceshiyo7257
@joyceshiyo7257 Жыл бұрын
Mungu akubariki kaka
@appsplay4324
@appsplay4324 Жыл бұрын
Mungu akubariki kw mafunzo yko aki nimeyapenda
@gracemhaya3707
@gracemhaya3707 Жыл бұрын
Barikiwa Kaka Joel,Nimejifunza. Ingawa kweli Ni kitu kigumu Sana💔Ila mafundisho Kama haya kweli yanahitajika Sana
@neemagodfrey5798
@neemagodfrey5798 Жыл бұрын
Nimejifunza. Ingawa natamani kupata uponyaji zaidi natamani kupata ushauri zaidi
@paulinedavid2524
@paulinedavid2524 Жыл бұрын
Asantee kaka joel ni wengi tunapita iyo satuation inaumiza mnoo
@reginaldipeter2272
@reginaldipeter2272 Жыл бұрын
MUNGU Ameumba vyombo vyake kwa ajili ya KUJENGA UFALME wake kwa ajili ya UTUKUFU WAKE.(Yeremia 17:1-27'10,14'Zaburi 19:12,51:1-19.Asante somo ni zuri kazi ni kuliishi, EL-SHADDAI=Waefeso 3:20
@ladywitney4361
@ladywitney4361 2 жыл бұрын
Yah vyote ulivyoongea hp ni kweli na nilitumia njia hiyo nimejikuta nimekuwa sawa pka najishagaa....Asante cna mr joel
@user-tf8rz6zh7p
@user-tf8rz6zh7p 8 ай бұрын
Mimi nilipitia pia ila sisi tulikua tunapendana kabla ila baadae mwenzangu akaja akachenji gafla kiukweli nilisota sana nililia sana nilijaribu kila njia ili kuweza kirejesha penzi ila haikuwezekana mwisho wa siku nikaanza kusota tena kutaka kujitoa katika mawazo hayo nilijaribu njia tofauti tofauti ila sikuweza mpka saiku moja ndipo nikapata mtu akanishauri jambo moja zuri sana na ndo hilo lilo nosaidia mpka leo niko poa na hata nikumuona hapo naona kama nikipande cha nyama tu cha kawaida buchani
@NuruChande
@NuruChande 3 күн бұрын
Ulishauriwa nn tuambie na ss
@mutaluckson5370
@mutaluckson5370 Жыл бұрын
Asante sana,akika nimejifunza Vingi saana kupitia wew,mwenyezi mungu akubariki saaana🙏
@ashaally5883
@ashaally5883 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana kaka Joel tunajifunza vitu vingi kutoka kwako, sasa kama nimezaa nae na mtt kafanana nae itakuaj 😌😌
@nuruemmanuel6603
@nuruemmanuel6603 Жыл бұрын
Shida ndo inakuja hapo naumia sana sjui la kufanya
@theresiamwandara7990
@theresiamwandara7990 Жыл бұрын
Unanisaidia sana Joel, Mwenyezi Mungu akubariki.Unatusaidia sana kwa hizi elimu.
@godfreyjameskabogo9823
@godfreyjameskabogo9823 Жыл бұрын
Ahsante
@doricejovinig
@doricejovinig 10 ай бұрын
Ahsante sana Kwa somo lako hakika unatuponya wengi, mimi ilinitokea alionekana kunipenda ila baada ya mda aliniacha nkawa siwez kumsahau ila baada ya kuchukua maamuzi nkamua kufuta Kila chake , ila bado yeye aninitafuta na aliniacha , iyo Hali najikuta namrudia Bado ananiumiza na me nampenda Bado , kaka angu ili limekuwa tatizo kubwa sana kwangu
@Udindigwa
@Udindigwa 2 жыл бұрын
Mungu Asimame nawe Uzidi kutujenga mana unamchango Mkubwa SANA Katika hii Dunia Kaka angu
@emmanuelmwandu.3126
@emmanuelmwandu.3126 Жыл бұрын
Ahsante sana. Umefanya nicheke kidogo, " si Kila anayefanya maziezi anajenga afya ya mwili" wengine wanajenga moyo.... Congraturation
@timothykengere2535
@timothykengere2535 2 жыл бұрын
Shukran Ndugu Nan 📚📚📚📚📚📚📚📚📚 mazuri hayo 🎙️...............
@ritharamsy4709
@ritharamsy4709 2 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭 umeongea kabisa maisha yalivo kaka akika nimejifunza kitu kamwe sitoumia tena
@fidelismakota8371
@fidelismakota8371 2 жыл бұрын
Daaaaaa kumbe tupo wengi sana tunapitia hii hali
@maggiechande20
@maggiechande20 Жыл бұрын
Hongera sana Kijana kwa Elimu unayotupatia. Mungu Akubariki.
@estermuna6802
@estermuna6802 Жыл бұрын
Nmejifunza kitu God bless you 🙏
@Frp21
@Frp21 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 axant mwalim ila inaum
@theresiamateru6426
@theresiamateru6426 Жыл бұрын
Yaani siyo kwa mateso haya nimegundua kitu Mungu akubari sana
@nassongalaxy7807
@nassongalaxy7807 Жыл бұрын
Asante kwa Somo zuri Mimi ndiyo Niko kuya pitia hayo kira nikitaka kumuacha nashindwa kabisa
@ayoubbornface2003
@ayoubbornface2003 Жыл бұрын
Asante wekaka sasachangamoto nilionayo nimme naeishinaye nisaidie nifanyeje naomba msaada wako
@issackmbigo906
@issackmbigo906 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana masomo Yako yamenitengeneza kivingine kabisa,nipo vizuri sana, naomba tuwasiliane,
@richardboaz-mashagospel2346
@richardboaz-mashagospel2346 Жыл бұрын
Mzee upendo sio hisia.....marekebisho tu! Watu wengi wanachanganya hisia na upendo....hisia hua zinabadirika kila dakika.....na hubadirishwa na vitu vingi ndani ya mwili...so upendo sio hisia, upendo ni nguvu inayotoka ndani ambayo hutokana na maamuzi. Asante
@salmamalika5871
@salmamalika5871 Жыл бұрын
Kwa kweli hii hali ngumu sanaa nna mpnz wangu tumekuwa kwa mahusiano miaka 2 Nimegunduwa ana mpnz Mwingine naona fika hanipendi Naumia Sanaa Lkn nashindwa kumuacha Naona mafunzo yako yatansaidia
@Lifeofkafoi
@Lifeofkafoi Жыл бұрын
Habari jaman, hapa brother Nanauka ameongelea pale unapompenda mtu lkn yeye hakupendi, sasa kinacho nikuta mm Kwa sasa ni tofauti na hilo, mm ninampenda mwanamke na nimesha mwambia ukweli siku kadhaa zilizopita, alinikataa akidai tayar Yupo na mahusiano, lkn bado ananitafuta tunaongelea maisha na kadhalika, nahisi pengine haniamini lkn najiuliza nifanye nn ... Naomben ushauri
@kwangukazungu8299
@kwangukazungu8299 Жыл бұрын
Kaka Joel kiukwel mafundisho yako huwa yananilenga sana nina mzazi mwenzangu kiuhalisia nilimpenda sana yaani tuliweka malengo lkn saiv ana mke mwingine na nilikuwa najipa matumain lkn naona km inashindika ingawa anabaki kunipumbaza tu naona, Asante kwa somo zuri nimejifunza kitu
@ZainabuAbubakari-mj1po
@ZainabuAbubakari-mj1po Ай бұрын
Napitia magumu sana sijui jifanyaje kila nikijaribu kukaa mbali nae nshindwa
@mariahungwi6352
@mariahungwi6352 2 жыл бұрын
Hapo kwenye vitu hapo mfano mtu alikupa gari, unatakiwa umrudishie gari lake ila kutokana na ufukara wetu na ukute mtu alikupenda sababu ya vitu basi akishavuna hivyo vitu na akaondoka kwenye maisha yako ndo kwanza anakuona bwege wewe uliejitoa kwako. Hivyo tuwe na kiasi kwenye kutoa hizi zawadi mana kadiri unavyojitoa zaidi ndio utakavyoumia zaidi siku ukigundua kua hupendwi na mtu ameondoka kwenye maisha yako.
@janemwita8615
@janemwita8615 Жыл бұрын
Asante sana kaka ila kama mtu huyo ni sister tupo naye kila siku ,mezani , nyumba moja ,kusali pamoja .inakuwaje nifanye nini nimejengewa chuki kwa sababu ya vipaji vyangu naomba ushauri
@isacknguvumali3445
@isacknguvumali3445 2 жыл бұрын
Hii ilinikuta brother nilicho kifanya ni kufuta namba yake ya simu lkn pia hata yeye nili mwambia kama kweli ana niheshimu afute namba yang.Nashukur alifanya hivyo na hajawahi knitafta tena na nimeoa tayari.
@georgeisdory3610
@georgeisdory3610 Жыл бұрын
Good
@himidijenga535
@himidijenga535 Жыл бұрын
Safi
@mrishosaadun2142
@mrishosaadun2142 10 ай бұрын
Maashallahu Alla akubrk uko vzr
@MaryBrownie-td3lk
@MaryBrownie-td3lk 8 ай бұрын
Ulifanya cha maana
@mirrorsport3477
@mirrorsport3477 7 ай бұрын
@user-od9jk1yq1e
@user-od9jk1yq1e Жыл бұрын
Kweli kaka hiyo imenipata Mara kibao Sana daaah upo good sana
@aminakipande5645
@aminakipande5645 Жыл бұрын
Niko na zawadi ya sm niko na nguo pia nifanyaje natamani hata kujiua maana bado nampenda sana nikavichome moto au nivigawe 😭
@LilianM-fn1xf
@LilianM-fn1xf Жыл бұрын
Ukivichoma moto utajipatia laana ww kitu cha kufanya vigawanye Kwa wedzako tuu
@geraldmakalala6091
@geraldmakalala6091 Ай бұрын
Pole sana ,mapenzi Yana umiza sana
@geophreygwarasa6789
@geophreygwarasa6789 2 жыл бұрын
Kaka ukitufundisha sana kuhusu mahusiano utaokoa ndoa nyingi sana hasa zilizopo kwenye migogoro mungu akubariki sana
@Divebeautyafricanhairstyles
@Divebeautyafricanhairstyles Жыл бұрын
Aiseee inauma sana kwakweli hii ilinikuta niliugua sitokuja kusahau kidogo nife uuuuwiiii namshukuru Mungu pekee kwakweli nilikaa sawa sema inanipa ugumu wakupenda tena sijui najionaje😭
@johnbarasa4631
@johnbarasa4631 2 жыл бұрын
Doctor thanks sana umenisaidia me napitia hiyohari sasaivi thanks God bless you
@sheilachemutai5971
@sheilachemutai5971 2 жыл бұрын
Utapona tu kaka
@khalidmawele2687
@khalidmawele2687 Жыл бұрын
Njia nyengine ambayo huwa inasaidia kwa kiasi kikubwa ni kutafuta mpenzi mwengine na uzuri zaidi baada ya kuwa naye ni vizuri umuelezee huyo mpenzi wako mpya hali ulikuwa ukipitia punde tu baada ya kuingia na yeye kwenye mahusiano ili ajuwe vipi akusaidie kuondoa stress ambazo umekuwa nazo. Ni njia nzuri sana na mie ni mmoja ya waliowahi kufanya hivyo
@Switielie
@Switielie 3 ай бұрын
Hapana, usijaribu kujiponya kwa kuanzisha mahusiano mengine, kwanza hayatodumu hataaa
@johansenmax4784
@johansenmax4784 Жыл бұрын
Ahsante mwalim Kwa mafundisho yako
@Switielie
@Switielie 3 ай бұрын
Mtoto wangu, kila nikimwangalia basi namkumbuka sana jamaa, no way yaani
@antonyjrc5792
@antonyjrc5792 2 жыл бұрын
Asee umenigusa sana Joel mung akubarik sana
@ruthsamson29
@ruthsamson29 2 жыл бұрын
Dahhh kumbe hii kumpenda mtu Sana afu yeye hakupendi kama unavyompenda ipo kwa Kila mtu!!! SoMo nzuri najikuta nafarijika Sana let me throw it away anything from him. It's help me to forgot him kwakweli
@latifaanuary4911
@latifaanuary4911 Жыл бұрын
Nateseka sana na hali hii
@abuuharuna2214
@abuuharuna2214 2 жыл бұрын
Huwa tunakuwa wagumu sana kuamini kwamba hanipend na hawez. Kunipenda huwa tunajifariji kwamba nimjali labda atabadilika moyo anipende
@latifaanuary4911
@latifaanuary4911 Жыл бұрын
Huyu ni mm nimefanya kila njia lkn ni sawa na bure kbs kwake
@ivomhagama9796
@ivomhagama9796 2 ай бұрын
Unamfariji chuwi na kuku mkononi asikulalue ni kupoteza mda kabsa .
@leosiayusuph3330
@leosiayusuph3330 16 күн бұрын
Mm naishi nae nyumba moja kila siku namuona na nimetenda kila Aina ya wema lkn yote naambulia maumivu nifanye nn
@ivomhagama9796
@ivomhagama9796 16 күн бұрын
@@leosiayusuph3330 pole mana tayari Usha chokwa hapo,hupendwi
@salumsaid8515
@salumsaid8515 6 ай бұрын
Nimekuwa nikisikiliza sana nyimbo na pia kufuta no yake vile kufanya mazoezi ila mazingira bado yamekuwa changamoto cjui unanisaidiaje
@chellynpanja3970
@chellynpanja3970 2 жыл бұрын
Ni miezi miwili tangu asepe na mwanaume mwingine.. Na tuna watoto tumeishi miaka 10 hajawahi kujali kitu yule mwanamke.. Namuombea uzima ingawa kaniumiza sana tena kwa muda mrefu hadi kuniacha..
@patrickmathias9452
@patrickmathias9452 2 жыл бұрын
Asante sana Kaka mimi pia ni muanga na hilo kwa somo lako naamini nimepata tiba halisi ubarikikiwe sana
@letionlengima6299
@letionlengima6299 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana mafundisho yako yananipa kupiga hatua moja zaidi
@abdhemed5470
@abdhemed5470 2 жыл бұрын
Mungu akupe Uhai Mrefuu
@neemamaganga9774
@neemamaganga9774 2 жыл бұрын
Kaka, Mungu akubariki huwa najifunza vitu vingi kikubwa zaidi huwa unatoa elimu ya kuonya,kushauri na kunibadilisha.be blessed.
@mixhaomary4499
@mixhaomary4499 Жыл бұрын
Asante sana kwa somo hii linanisaidia Sana
@andrewhyera4917
@andrewhyera4917 Жыл бұрын
Asantee kwa mafundisho nime yapokea vizur na, nimeelewa jambo
@lilianjames7537
@lilianjames7537 Жыл бұрын
Be blessed with this song kzfaq.info/get/bejne/qd-Bdsh0s7qsgqM.html
@obedimunguachiza8434
@obedimunguachiza8434 Жыл бұрын
Asante mpendwa Umeongea ukweli! Ubarikiwe. 🙏
@chundwatobias6672
@chundwatobias6672 Жыл бұрын
Anayependa na mwanaume, mwanamke hana upendo mwanamke anatii.
@AshuraMaurid-iz4gm
@AshuraMaurid-iz4gm 10 ай бұрын
Napitia changa moto hy brother nilimpenda na tumeishii miaka minne sasa akasema hanipendi
@kedyjohn1848
@kedyjohn1848 Жыл бұрын
So eloquent this man. Make sure you train your child to be as good as this man - very few people won't listen to them.
@lilianjames7537
@lilianjames7537 Жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/qd-Bdsh0s7qsgqM.html
@suzanayakobo2926
@suzanayakobo2926 Жыл бұрын
Mimi nipo nahiyo Hari naomba unsaidie naumwe Sana kwakumwaza rafiki nampenda sananifanyaje iliniweze kuwanahali yangu Kama mwanzo hapokei cm nikimpigia ana weka inatumikacmnikituma meji hajibu mwanzo ilikua hata cjampigia razima aniulize vipi mbona kimya jamani umepata shida masiriano my sweet baby kumbe Mimi nimekuja kuonekana ananipenda kwajili yamali zangu ira Mimi nampenda Sana pulesha inashuka Sana namwazatu naumwatu hataki kujua haliyangu nimbaya mpaka mimbaimetoka kajili yakuwaza naumia hajaniuliza naendereaje akipokea cm akijisikia anaongerea pesa imekua shida haanzi nadalamu niliumwa hii nimala ya Saba hataki umwambie naumwa Basi jamani
@kedyjohn1848
@kedyjohn1848 Жыл бұрын
@@suzanayakobo2926 Zingatia tu yaliyoainishwa kwenye hiyo video. Kuna dunia pana sana nje ya huyo mwenza wako, sema tu hujataka kukubaliana na ukweli huo. Kubali kupitia maumivu kiasi ili upate furaha zaidi mbeleni.
@ShopShukuru-gx7bu
@ShopShukuru-gx7bu Жыл бұрын
Hili limenikuta brother nilimpenda mtu sana lakin mwisho wa siku akaniambia sikutaki yani gafula tu akuna hata nilicho mkosea nikajitaidi kumsahau kwa kufuta picha zake lakin aikuwa kazi ndogo brother mapezi yanatesa sana brother
@brianpaul9739
@brianpaul9739 2 жыл бұрын
Uko vizuri kka l love you so much sema apo kwenye kuama mtaa du 😂😂😂😂😂😂
@lidianaaly8691
@lidianaaly8691 16 сағат бұрын
😂😂
@fahadbabuy
@fahadbabuy Жыл бұрын
Wewe ni shujaa ulietutowa wengi kwenye maono finyu…ambayo yalituweka kifungoni kwa muda mrefu! Glory to hanuman! Keep doing you,faida ya maono yako ni mwanga kwa wengi
@rahmarayc3418
@rahmarayc3418 Жыл бұрын
Ukovizili kaka unamafunzo mazuli ilachakutu saidia tunaomba wapunguze matangazo kwenye vipindi vyoka yanachukuwa mudamlefu sana
@lydiaseventy5509
@lydiaseventy5509 2 жыл бұрын
Asante sana hii naona inausiana na afya ya akili mtu hakupendi unatunza vitu vyake. hili sasa jibu limepatikana ni kutupa vyote ukweli unakuweka huru.
@lilianjames7537
@lilianjames7537 Жыл бұрын
Be blessed with this one kzfaq.info/get/bejne/qd-Bdsh0s7qsgqM.html
@johnmligo6966
@johnmligo6966 2 жыл бұрын
Detachment katika ulimwengu wa leo ni somo Muhimu.
@joelnanauka
@joelnanauka 2 жыл бұрын
Ni muhimu sana
@johnmligo6966
@johnmligo6966 2 жыл бұрын
@@joelnanauka if u can develop detachment kama unavofanya!
@rehefehe8890
@rehefehe8890 2 жыл бұрын
Asante brother kwa lesson nzuri,, mm ndo nimetokewa na hiyo situation mwanzo mpenzi wangu tulipendana Sana, nilimsaport vitu vingi vya thamani, kazin kwangu kulitakiwa dereva wa staffs nilimuunganisha mwisho kila siku na pokea kesi ana wachukuwa wafanyakazi wenzangu saiv tuna ugomvi anamchukuwa mwengine kwa ushahid kabisa lakin ukimwambia anakua mbishi, halafu ananuna wiki nzima hanisemeshi, mawasiliano mabaya Sana, ushauri jamaniii
@betydalaurent6485
@betydalaurent6485 2 жыл бұрын
Dah pole sana mom
@annayessa5256
@annayessa5256 Жыл бұрын
Dah
@amyesanga2004
@amyesanga2004 Жыл бұрын
Dada nakuomba Kwanza relax pili mtoe moyoni akija kuomba msamaha mkatae kabisa kiufupi move on. Usikumbuke ulomtendea alikuja kukufilisi Sasa mkimbie kabla hajakuliza Kama alivyokusudia. Kama ni mwelewa utafanyia kazi wazo langu ukimkomalia utaishia kusema nilikuambia hukujali
@jackyluns8224
@jackyluns8224 Жыл бұрын
Pole sana rehe,kunamdada nae yupo mwanza alimuunganisha MTU wake kama wew ulivyomuunganisha wakwako matokeo yake akatembea na staff yote aisee yule Dada alitaman kunljinyonga but alinishirikisha nikamwambia achange no kabisaa na ampotezee na staff marafik walotembea na mume wake hawakujua no ake isipokuwa boss aliemuajiri na baadhi tu na alimsaidia sana aiseee saiv majuto mjukuu kapata mchumba mwingine na yule bwana anamfuata mpaka kwake nae ameshakataa hana muda
@annabartarazy7347
@annabartarazy7347 Жыл бұрын
Pole
@richardvalson4313
@richardvalson4313 2 жыл бұрын
Asante kaka kwa somo zuri ✊💯
@josephlyimo4977
@josephlyimo4977 2 жыл бұрын
Asante sana Bro.. Mungu azidi kukubariki
@anzurunimakala9686
@anzurunimakala9686 Жыл бұрын
Asante sana mwalimu kwa shule hii barikiwa sana
@francismtaki5979
@francismtaki5979 2 жыл бұрын
You are so good at educating people, I really appreciate what you have one day I will become one of you kind
@lucywambui7725
@lucywambui7725 Жыл бұрын
You are a blessing to me bro,be blessed too🙏🙏
@priscaemily1124
@priscaemily1124 2 жыл бұрын
Mungu akubariki umetoa tiba asante
@user-zu2dc2bj6z
@user-zu2dc2bj6z 3 ай бұрын
Asante Sana KK hayo mm yamenikuta Yani nmeumia mnoo
@halimaanab8393
@halimaanab8393 Жыл бұрын
Asanti Sana nimefurahi atah Niko karibu kumweka block Kali sana 😂, uzuri nafurahi Sana Mimi sijawahi weka mtu 💯 kwa roho , because itakuja kukusumbua , Mimi Sina stress Niko free stress siwezi jipa pressure, namwomba mwenyezi mungu , asanti Sana kaka Mimi mwenyewe Niko kufikiria hivyo unavvyo sema , asanti Sana nimefurahi umetufunza Sana shukran
@yhasintakalenyula970
@yhasintakalenyula970 Жыл бұрын
Nilifanya mazoezi sana na kiukweli nilikaa nae mbali sana na nilikata kabisakabisa mawasiliano.
@laitonmtafya5252
@laitonmtafya5252 Жыл бұрын
Mwanangu nimeipenda hi mm mume wangu akiwa Hana pesa. Anaonyesha ananipenda. Hakipata pesa. Ndipo zarahau. Zinaazaa nifanyeje
@user-dm8oh9xe3c
@user-dm8oh9xe3c 4 ай бұрын
Upo Kama Mimi yaan
@ivomhagama9796
@ivomhagama9796 2 ай бұрын
​@@user-dm8oh9xe3canapenda hela kuliko utu na thamani yako
@aash4145
@aash4145 Жыл бұрын
Yan nacheka kama mazuriiii uuuuuuw😂😂hapa kichwa cha habar ni unampenda lakin hakupendi,,,, haya ukija huku kwenye habar ifuayayo,,,, ni jinsi ya kupona machungu,,, bora nifungue nahapo pa,,,, jins yakupona machungu,,, eee jaman😭
@justinekereri7445
@justinekereri7445 Ай бұрын
Unatufanyia kazi zenye baraka sana,Siku zote unafundisha mambo katika uhalisia wake..
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 Ай бұрын
Naona leo mm na ww ndio tunafatilia hili somo😂😂
@saidalhabsi9257
@saidalhabsi9257 Ай бұрын
​@@fathiyahmuzney7367😂mimi naliludia kila wakati
@user-qz6cg3hr4w
@user-qz6cg3hr4w 3 ай бұрын
Nashukuru kutuponya ila ni ngum hasa yule wa karibu
@peaceking7241
@peaceking7241 2 жыл бұрын
Inaumasana pale anapokwambia atakuchukia ukienderea kumwambia
@PiliRama-iy7oj
@PiliRama-iy7oj Жыл бұрын
Mimi Niko kwaiyo Hali nampenda anipendi nateseka sana
@lucydominick3864
@lucydominick3864 2 жыл бұрын
Nimejifunza kitu kikubwa mnooo bro...Mungu akubariki Sanaa🙏
@lilianjames7537
@lilianjames7537 Жыл бұрын
Be blessed with this one kzfaq.info/get/bejne/qd-Bdsh0s7qsgqM.html
DALILI HATARISHI KWENYE UPENDO - JOEL NANAUKA
8:33
Joel Nanauka
Рет қаралды 126 М.
Ufanye nini watu wa kupende zaidi?
9:09
Joel Nanauka
Рет қаралды 128 М.
The child was abused by the clown#Short #Officer Rabbit #angel
00:55
兔子警官
Рет қаралды 25 МЛН
I CAN’T BELIEVE I LOST 😱
00:46
Topper Guild
Рет қаралды 104 МЛН
EPUKA MAMBO HAYA - JOEL NANAUKA
9:19
Joel Nanauka
Рет қаралды 99 М.
LIFE WISDOM : VITA YA MAPENZI  - JOEL NANAUKA
14:48
Joel Nanauka
Рет қаралды 15 М.
Vitu Vinavyowakera  Wanawake - Joel Nanauka
8:50
Joel Nanauka
Рет қаралды 178 М.
Epuka Marafiki Hawa Kwenye Maisha Yako
7:30
Joel Nanauka
Рет қаралды 183 М.
Vitu Vinavyopoteza Kujiamini - Joel Nanauka
8:31
Joel Nanauka
Рет қаралды 125 М.
VITU 4 VINAVYOJENGA MAHUSIANO - JOEL NANAUKA
4:57
Joel Nanauka
Рет қаралды 17 М.
Dr. Chris Mauki: Ukiyaona haya, hata kama unampenda, mwache aende
10:14
Wanaume Wanaokimbiwa na Wanawake - Joel Nanauka
10:07
Joel Nanauka
Рет қаралды 68 М.
Maeneo 4 Ya Kumjua Mtu Vizuri - Joel Nanauka
6:41
Joel Nanauka
Рет қаралды 119 М.
Dalili Za Mtu Anaekuacha - Joel Nanauka
6:05
Joel Nanauka
Рет қаралды 114 М.
The child was abused by the clown#Short #Officer Rabbit #angel
00:55
兔子警官
Рет қаралды 25 МЛН