Ipo tofauti kubwa sana ya agano na mkataba “contract and covenant”. Mahusiano na ndoa sio mkataba bali agano na ukiharibu kitu kwenye agano madhara yake sio madogo kwako au kwa wahusika wote
Пікірлер: 4
@HenryMwamasage22 күн бұрын
umetisha jamaa langu
@jessicamasepo832021 күн бұрын
Ni kweli, tabia ni ngozi haibadiliki
@GraceSteven-qq5hn22 күн бұрын
Asant
@mwanas222 күн бұрын
Hakika maneno yakweli kabisa.Mi nimepitia mengi kwa kukosea ili swala mpaka always i wish i could reverse my life.