Je unaweza kuwa kwenye penzi na hujijui? Basi angalia hii
Пікірлер: 6
@Srene022520 күн бұрын
Utajuaje uko kwenye penzi 1.Utajisikia utayari wa kutumia muda na mtu husika(Spending quality time together) 2.Kusema mambo yako ya ndani kwa urahisi(Being honest and open to him) 3.Utayari wa kuwajibika kwa ajili yake(Being responsible for his/her needs)
@TundaEmanuel-ns8kj12 күн бұрын
😂😂😂Oooh My God !!.Kumbe nimependa hiv nayeye ananipenda hivi majaluo wangu jamn Mungu afanye wepes Tufike ndoa kiukwel tunapendana sana 🙏