Dr. Chris Mauki: Tofauti 5 kubwa za mume na mke kwenye tendo la ndoa

  Рет қаралды 30,735

Chris Mauki

Chris Mauki

2 жыл бұрын

Je unajua wewe na mwenza wako mnatofautiana sana hususani kwenye tendo la ndoa? Unafahamu kwamba tofauti hizi zinaweza kuwafanya mfurahie ndoa yenu au zikawa mwiba mkubwa sana kama hamtozielewa sawia? Nifuatilie kwenye somo hili zuri sana nikusaidie kitu.#Tofauti5#Mume#Mke

Пікірлер: 64
@spensiozakato6165
@spensiozakato6165 2 жыл бұрын
Sijawai kushindwa kukuelewa,unajua mpaka unajua tena,Mungu akutunze kwa ajili yetu
@SeliliaAlly
@SeliliaAlly 2 ай бұрын
Asant nimejifunza kitu libalikiwe tumbo lililo kuza🎉❤
@bilalybarisesa5206
@bilalybarisesa5206 Жыл бұрын
Sahihi Mwalim 🤝kwang Ham yakufanya tendo hua inaongezeka zaidi pindi ninapokua Mgonjwa, daah uwanaume shida kwl kwl.
@telaamtauta2227
@telaamtauta2227 2 жыл бұрын
Sahihi kabisaa DK mauki shukrani sana nimejifunzq jambo kutoka kwako hapoo
@edibilybussoro1700
@edibilybussoro1700 2 жыл бұрын
Daaah! Asante Sana hasa kwa point ya pili
@ayshameme8088
@ayshameme8088 Жыл бұрын
Mauki upo sahihi kbsa
@sumaiyabakary2692
@sumaiyabakary2692 2 жыл бұрын
Mungu aendelee kukubarik
@maryandrew5204
@maryandrew5204 2 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana mtumish kwa somo zuri.
@lucycharles4533
@lucycharles4533 2 жыл бұрын
Asante sana nakukubari Sana 🙏
@ggio2520
@ggio2520 2 жыл бұрын
Thank you bro chris
@maryamconstantine2232
@maryamconstantine2232 2 жыл бұрын
Iyo point ya kwanza inatupa wakat mgumu sana cos mwanaume anataka akujue alaf badae ndio afall inlove ss sisi ambao hatujaolewa tunapata wakat mgumu sn unijue alf ndoufanye maamuz yakunioa
@sophiamfikwa7340
@sophiamfikwa7340 2 жыл бұрын
Waoooh hapa nimejifunza zaidi thank you so much
@solangesoso3100
@solangesoso3100 2 жыл бұрын
Umeongea points thanks 👏 🙌
@amankinyamagoha2861
@amankinyamagoha2861 2 жыл бұрын
Thank you kwa somo zur
@karimabdoul7619
@karimabdoul7619 2 жыл бұрын
Mwalimu bora. Ujuzi ni ufunguwao wa kilcho fungwa. Asnte Mwalimu
@user-xb3bf2gf8p
@user-xb3bf2gf8p 3 ай бұрын
😅😅😅 mungu akubariki sana we kijana nakupenda sana
@harosicharo2736
@harosicharo2736 Жыл бұрын
Asante sana mungu akuzidishie sana❤
@florencehaluwa2191
@florencehaluwa2191 Жыл бұрын
barikiwa sana mimi nilikua cjui hvo na kuna tabia moja ni mimi hyo🙏🙏
@stellahchristopher2469
@stellahchristopher2469 2 жыл бұрын
Asante kaka Chris na happy birthday
@winfridaw.mwashala289
@winfridaw.mwashala289 2 жыл бұрын
Toka nimeanza kukufatilia mwalimu Mauki, naona hii topic umeifanyia kazi na umeitendea haki! Kazi kubwa na nzuri!
@jamalibereko194
@jamalibereko194 2 жыл бұрын
Thx brother
@jamilahathumani4222
@jamilahathumani4222 2 жыл бұрын
Katika masomo yote leo nimekuelewa Sana yani
@dadarehema
@dadarehema 2 жыл бұрын
Thank you sir
@giftjustine4087
@giftjustine4087 Жыл бұрын
Mungu akubaliki Kwa ushauli wako
@jerukakayi
@jerukakayi Жыл бұрын
HakikA chris wacha Mungu akutende mema❤❤
@kambambuzi9280
@kambambuzi9280 5 ай бұрын
Aiseee we kaka unajuwa san ubarikiwe broo😊😊
@neemajeremiah6577
@neemajeremiah6577 Жыл бұрын
Umenifunza meng ambayo kwel yalikuwa kikwazo
@ZawadiKilagalila-sd2tt
@ZawadiKilagalila-sd2tt Жыл бұрын
nakuelewa sana Dr
@aishaissa2512
@aishaissa2512 2 жыл бұрын
Nice 👍
@user-dr6ix2sz3b
@user-dr6ix2sz3b 3 ай бұрын
Dr kwel kbs namm nipo ivo n'a mume wangu akiw nahasira anataka tend alaf asira inaisha kbs
@bensontemu9356
@bensontemu9356 2 жыл бұрын
Am wait🙍
@roseallen7198
@roseallen7198 Жыл бұрын
Madini mazuri namatamu tunainjoi barikiwa
@Sharifarajabudebe
@Sharifarajabudebe 2 жыл бұрын
somo nzuri
@upendowakwelinaamani1060
@upendowakwelinaamani1060 Жыл бұрын
Dr mauki tafadha naomba ujumbe uniwekee kwa lugha ya kidhungu jamani nina mtu anatakiwa nimpe huu ujumbe nikimwambia mm hata niamin
@zerishtz1110
@zerishtz1110 2 жыл бұрын
Sante
@rumaiya2706
@rumaiya2706 2 жыл бұрын
Sawa
@amosileonard5989
@amosileonard5989 2 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥
@AishaOman-qz7tn
@AishaOman-qz7tn Жыл бұрын
Somo nzur ubarikiwe
@albanalex5970
@albanalex5970 2 жыл бұрын
True
@user-my1vw3sv2r
@user-my1vw3sv2r 4 ай бұрын
Habari dokta yani mimi ndo nina tatizo kubwa mme wangu anajitagidi sana kunifurahisha ila mm si feal chochote kama kipindi cha nyuma ni karibia miaka mitatu sasa hii hali inanisumbua
@bensontemu9356
@bensontemu9356 2 жыл бұрын
Duh!!!😳😳😳😳
@capteinchuimchafu7894
@capteinchuimchafu7894 2 жыл бұрын
Vidume hatutaki mchezo kbca
@asfinahassan8802
@asfinahassan8802 2 жыл бұрын
Asalam Aleykum
@amoskoyo4597
@amoskoyo4597 Жыл бұрын
n mda gani wa kuwaida kufka kileleni
@danielpaul84
@danielpaul84 2 жыл бұрын
Duuhh ndomaana tunagombana kila ck
@SALIMMUUNGWANA-he9it
@SALIMMUUNGWANA-he9it 9 ай бұрын
Nimefuatilia doctor's wengi wa akili lkn wewe jamaa niakili kubwa cause una njia zakuzungumza then unaishi kwenye akili zawatu,, congratulations 👏
@wafelawafela6672
@wafelawafela6672 2 жыл бұрын
Asande sana muno nakubata nkiwa arabun
@gutumberayesuministry974
@gutumberayesuministry974 2 жыл бұрын
Asante sasa kufanyike nini ili mke afike kileleni
@isikesamike
@isikesamike 2 жыл бұрын
Mwandae kwanza. Mlete polepole kwenye tendo. Usimkimbilie, usimvamie. Zungumza naye maneno mazuri, gusa mwili wake kwa mahaba. Kama yuko vema, basi utahisi kabisa anaanza kuja kwenye njia. Hapo sasa ndipo anzeni kupeana manono ya nchi 😂😂
@ZulekhaMaulid
@ZulekhaMaulid 2 ай бұрын
Hyo ni hatar xana
@salamasalama7140
@salamasalama7140 2 жыл бұрын
Nasubir
@rahelkiteka
@rahelkiteka 2 жыл бұрын
Ni ukweli mtupu Dokta!😅
@ayshameme8088
@ayshameme8088 Жыл бұрын
Wanaume Oyeeeee🤣🤣
@winnerhapila155
@winnerhapila155 2 жыл бұрын
Kuuuumbeee😳
@user-ck7sm5zm2v
@user-ck7sm5zm2v 10 ай бұрын
Hivi kwa nini mwanamke akiona meseji mbaya kwenye simu ya mumewe huwa anachukuwa namba ya yule mke na kumpigia muda huo owo ikiwa ww aupo na kumtukana je apo analenga nini??apo mwanaume ajui
@bensontemu9356
@bensontemu9356 2 жыл бұрын
Dah!! Bro Unatoa Siri Zetu 😂😂😂😂😂😂😂
@solangesoso3100
@solangesoso3100 2 жыл бұрын
😂 ametoa siri zetu pia😆
@konobao9709
@konobao9709 2 жыл бұрын
Siri ya nini nini maana yake
@msangodiesel3132
@msangodiesel3132 2 жыл бұрын
Mapenzi wengi hatujui tunakulupuka
@jamilahathumani4222
@jamilahathumani4222 2 жыл бұрын
Yani hayo maneno yananihusu San mim yan
@azizaiddy9149
@azizaiddy9149 Жыл бұрын
Asante sana dkt nimekuelewa San sana mungu akubaliki sana kazi yako unafundisha vizuli tena san
@judagreemme5647
@judagreemme5647 2 жыл бұрын
Ahaha thank you for this, the differences are so different
@philemonpaulo2172
@philemonpaulo2172 2 жыл бұрын
Huyu jamaa huwa anajuwaje?
@kasimuthabiti6907
@kasimuthabiti6907 2 жыл бұрын
Somo zuuuuuuri kabisa
Dr. Chris Mauki: Mambo 5 Yanayoathiri Tendo La Ndoa Kwa Wanaume
14:15
Dr. Chris Mauki:      Mambo 5 mke wako angependa umfanyie faraghani
9:17
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 27 МЛН
Mama vs Son vs Daddy 😭🤣
00:13
DADDYSON SHOW
Рет қаралды 42 МЛН
How Many Balloons Does It Take To Fly?
00:18
MrBeast
Рет қаралды 191 МЛН
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
00:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 7 МЛН
Dr.Chris Mauki: Nguvu Ya Mahusiano Ya Chumbani
28:57
Chris Mauki
Рет қаралды 40 М.
DALILI NA TIBA ZA MTU MWENYE MSONGO WA MAWAZO (STRESS)
9:26
MASOMO YA KARNE
Рет қаралды 12 М.
Dr. Chris Mauki: Mbinu 6 za kudumisha mahusiano ya chumbani
9:55
Dr. Chris Mauki:  Mambo 5 ya wanaume yanayo waudhi sana wanawake
10:20
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 27 МЛН