PESA , KUCHEPUKA NA MAWIFI SABABU ZA NDOA NYINGI KUVUNJIKA - CHRIS MAUKI

  Рет қаралды 5,896

Wasafi Media

Wasafi Media

2 ай бұрын

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 16
@aminathaabubakarmasoud565
@aminathaabubakarmasoud565 Ай бұрын
Nampenda sana Mr. Mauki❤❤❤❤❤❤❤
@mamii7935
@mamii7935 2 ай бұрын
Shukran lavidavi
@DosianaLulakuze-bv7fg
@DosianaLulakuze-bv7fg 9 күн бұрын
Kabisa kabisa hapo ni shida
@herbertbavuma7228
@herbertbavuma7228 2 ай бұрын
Mauki naomba uanze na Diva maana naona issue ya ndg,mawifi na wakwee amairudia sana huenda ilmfanya kitu.
@ngwacahnyagwaswa9979
@ngwacahnyagwaswa9979 12 күн бұрын
Kweli 😂
@robisonmabaso4720
@robisonmabaso4720 Күн бұрын
Nimepata ukakasi kuelewa kwamba kuchepuka na mawifi Ilibidi iwe Kuchepuka mkato alafu mawifi Bila mkato ni maana nyingine kabisa
@zenasmjema4050
@zenasmjema4050 23 күн бұрын
Ila kwenye Hilo swala la marafiki ni ujinga mume akiwa mjinga ndio basi Tena ndoa hakuna
@DativJoa
@DativJoa 27 күн бұрын
mi mchaga ila tangu nkiwa mdogo sijawahi kutaka kuolewa na mchaga
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 Ай бұрын
Chanzo cha ndoa nyingi kuvunjika ni wanandoa wenyewe, malezi, kwa ujumla ni changamoto, anzia kwa mwanamke mpaka mwanaume hivyo msihamishe makosa ya wanandoa. Kwa wanandugu. Mnazidi kuyakoroga tu,
@DativJoa
@DativJoa 27 күн бұрын
uko sawa. wanandoa wakishikana wakawa wamoja, wifi ,mama mkwe nawenginevhata wawe wakorofi ,hawawezi kuvuruga ndoa. mwanandoa ndo anafungua mlamgo.
@hildamarua3112
@hildamarua3112 26 күн бұрын
​@@DativJoakabisa
@hildamarua3112
@hildamarua3112 26 күн бұрын
Umenena vyema sana
@zayanazayana5518
@zayanazayana5518 Ай бұрын
Vipi na bint akiolewa hataki family ya mume Wakija wazazi wa mume mke anakasirika, pengine mume alikuwa anawasaidia wazazi wake, lakini akifika mke anamkataza Semeni pande zote
@user-kb7zn8lm8m
@user-kb7zn8lm8m Ай бұрын
Hapo wengi sio kuchukia ndug wa upande wa pili tatizo wanakuja na command zao na wanataka kukucomand hv umeolewa na wangap hii tatizo na kila unachofanya hata kiwe kizur ni kibaya tuu hii tatizo na hapo ukute mwanaume anaegemea ndug zake hii ratizo a wengi hawataki mkae nwanaume auluze mke ongea ndug ongea ajue shida nini atatue kwa uwaz mbele zao nafhan ingekuwa poa kwa wengi
@DativJoa
@DativJoa 9 күн бұрын
@@user-kb7zn8lm8m . Hakuna mke anaeolewa akiwa na chuki ya kuchukia nduguwa mume. tatizo wanaume wengi hawajui kuacha maisha ya zamani na ndugu zao ili waanze upya familia yao. wanataka kama walikua wanawasaidia waendrlee hivo hivo. . mume umeoa sasa ndugu zako wakiwa na shida wanatakiwa kumwambia mke wako . mke aje akuambie muone mtasaidiaje. kama ni pesa mkubaliane na mke kiasi halafu mpe mke awape. otherwise, hawataona thamani ya mke wako .watamdarau. na wakimfharau, mke atawachukia.
@DativJoa
@DativJoa 9 күн бұрын
@@zayanazayana5518 kuna wanaume vilaza mpaka wana saidia familia zao kwa siri. na hizo familia zinajua kabisa kijana wetu hutusaidia kwa siri mkewe asijue. sasa unafikiri mkeo akijua atafurahi? hapo ndo chuki huanza. zikianza sasa wanatafsiri eti hataki nisaidie kume mume alikosa akili . nandugu nao wasema mkewake mbaya hataki atusaidie ndo maana tuasaidiwa kwa siri. kuna wanaume vilaza mpaka wanawaambia ndugu zao eti mke wangu anawachukia. wanakua chanzo cha magomvi
CHRIS MAUKI AFUNGUKA MAZITO JUU YA SIRI ZA MAMA MKWE !!
18:48
Wasafi Media
Рет қаралды 2,9 М.
Получилось у Миланы?😂
00:13
ХАБИБ
Рет қаралды 3,4 МЛН
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 56 МЛН
WHAT’S THAT?
00:27
Natan por Aí
Рет қаралды 14 МЛН
KIJIWENOGWA:WENYE UPUNGUFU TUNAISHI NAO MITAANI
8:43
Geah Habibu
Рет қаралды 28 М.
MUWEKEZAJI MKUBWA AMVUNJA MBAVU RC MAKONDA, SEMA UNA..
18:49
CHRIS MAUKI- UKITAKA KUFANIKIWA MTUNZE MKEO (FULL VIDEO)
36:54
Tacmen Group
Рет қаралды 65 М.
Did you see the photo?
0:20
Women Power
Рет қаралды 11 МЛН
Finger Heart - Fancy Refill (Inside Out Animation)
0:30
FASH
Рет қаралды 25 МЛН