Ktk watu wanajiita mashee na siwapendi kwa tabia zake za kidunia ni huyu bwana kumbuka akhera ni bora kuliko dunia unayoitafuta tunakujua unataka ubunge rooo dunia mali kitu kibaya sana
@hamadimziraymziray-ry4vi23 күн бұрын
Mmmh sheh ww cy mwanasiasa 😂😂😂
@Users252323 күн бұрын
Huyu Jamaa amebadilika saana. Sio sule wa miaka Ile. Umekuwa mjanja mjanja saana katika dini.
@user-jq2lk5tm3t22 күн бұрын
ingia ccm utembelee v8 nyingne maneno yasiw meng
@msemakweli24322 күн бұрын
Uhu ndo unafiki nyinyi si mnasema mwanamke hafai kuwa kiongozi au quran imeruhusu sahizi
@user-zh3cf5wk1k24 күн бұрын
Kwani ww mwanasiasa au muhubir mbna unaleta uchawa..
@charlesboniphace224923 күн бұрын
Hahaaa Political religion
@selemankishema578023 күн бұрын
Unatuchafulia uislam mpuuzi wewe tunaonekana waislam woote wajinga kwa sababu yako