DUA MUDA HUU YAANZA MAJINA YAKO2 YAWASILISHE MAPEMA MJUZE NA MWENGINE MAJIBU TUSUBIRIE REHEMA

  Рет қаралды 2,585

OTHMAN MICHAEL ONLINE

OTHMAN MICHAEL ONLINE

22 күн бұрын

Пікірлер: 296
@missthussein2648
@missthussein2648 18 күн бұрын
Tatu Hussein Mwenda mwenyezi Mungu anijaalie niweze kupata mtoto anijalie kizazi kilicho chema anifungulie milango ya rizki rehema awarehemu wazazi wangu Amiin 🤲🏽
@shamsamanja9141
@shamsamanja9141 21 күн бұрын
Kwa majina matukufu ya M'Mungu na kupitia duaa hii ya sheikh Othman namwomba Allah amfanyie shifaa mwanangu Ummy amwondolee shida yake ya maradhi ameen
@halimahemed8389
@halimahemed8389 19 күн бұрын
Mimi Halima Hemed.Namuomba Mwenyezi Mingu aipe amani na upendo na uijaze baraka familia yetu na utupe wepesi katika kuesdesha mambo yetu na vizazi vyetu inshaallah
@KhizryKwekajr-jw4ze
@KhizryKwekajr-jw4ze 21 күн бұрын
Khidhri kweka naomba uniombee dua ALLAH anifanyie wepesi pale kwenye uzito na anitilie baraka pale kwenye wepesi na awaongozee wazazi wangu kaka njia iliyo nyooka na anipe mwisho mwema pamoja na wazazi wangu 🤲🤲amiin
@sheriababukhatib5491
@sheriababukhatib5491 18 күн бұрын
Sheria Abdul Rahman mungu atuondolee mitihani tulokuwa nayo mm na familia yangu
@user-ki9le1jy8e
@user-ki9le1jy8e 20 күн бұрын
Asma mussa mtogha kupitia dua hii Allah anifungulie milango yarizki afya Aman yamoyo majini mahab yaniondokee hasad nuks uchawi wot bila kusahau wazaz wangu Allah awape pepo njema huko waliko
@user-xr5lf6pe1n
@user-xr5lf6pe1n 21 күн бұрын
Zulfat kassim mohd Yaarabbi naomb kupitia duwa hii nifanikiwe ktk mamb ya kher dunian na akhera Na uwajalie walim wetu hawa uwape afya njema wazid kutungumbush mamb ya kher na uwape kila lakher kwao na shar uwaepushie ya rabbi ya kariim
@JohariLila
@JohariLila 20 күн бұрын
Johari shabani,namuomba m/mungu aniondole maradhi yote kwenye mwili wangu,sihiri za kichawi na kiwanga Matatizo yangu yote yatoke nipate shufaa ya maisha Allah nifungulie nipate kila hitaji langu
@sheriababukhatib5491
@sheriababukhatib5491 18 күн бұрын
Abdul Rahman Hassan mungu aniondolee hasadi anifungulie Kila la kheri
@KhairatiSulemani
@KhairatiSulemani 21 күн бұрын
Allah akufanyie wepesi inshallah sheikh wallah Allah akufanyie wepesi inshallah khairat Suleiman tandiko
@ameenaameena2770
@ameenaameena2770 21 күн бұрын
Assalam alaykum warahmatullah wabarakatuh,jina langu Àmina Ramadhani, kupitia dua hiyo, Allah anifanyie wepesi mambo yangu yanyooke na Allah aniepushe na mabalaa niweze kufungua kituo cha malezi ya watoto kama day care.na pia Allah anifanyie wepesi nipate ndoa na mume mwenye nami na ampe uongofu rafiki yangu.
@AsiaMchomvu
@AsiaMchomvu 20 күн бұрын
Hussein Juma , Jaina Abdallah, Arafa Muhidini, Asia Muhidini,Saidina Muhidini,Juma Yusuph, Farida Muhidini Allah atufanyie wepesi na atujalie afya njema
@fatumachatila8979
@fatumachatila8979 20 күн бұрын
Allah akulipekila la kheri naitwa fatimah kupitia dua hii nifanikiwe kimaisha
@voihomebakery1589
@voihomebakery1589 20 күн бұрын
Zeitun swaleh naomba Allah amuwezeshe wazazi wangu niende nao umra
@FatimaFatima-bx8ez
@FatimaFatima-bx8ez 19 күн бұрын
Mashaallah Mashaallah Mashaallah tabaraka Allah ishaallah amin 🙏 ❤ ❤
@AhmedOthmn-gf4nw
@AhmedOthmn-gf4nw 20 күн бұрын
Hemedi Athuman jumaa...Allah ajaaliye kila nalolihitaji lifanikiwe kwa uwezo wake inshaallah
@user-wl6hn6rj9i
@user-wl6hn6rj9i 21 күн бұрын
A.aleykum ummat Muhammad. Naitwa Amina Shamsa naomba inshallah mungu anisimamie kwenye ndoa yangu
@JamesLongwe-q1l
@JamesLongwe-q1l 21 күн бұрын
SANDRA KIMAZI.. ALLAH anijalie ya kheri na mazuri ya Dunia na Akhera inshallah..
@hamidahali4093
@hamidahali4093 21 күн бұрын
Asalam Alykm warhamatulillai wabarakatu sheikh though nimechelewa illa naamini jina langu litafika inshallah Hamidah Ali na Mwanangu Zumeiyyah Hassan apate wepesi kwa ufahamu wake shuleni na shida ya macho na kichwa.
@AbdulghafurAbdi-cg2sq
@AbdulghafurAbdi-cg2sq 21 күн бұрын
Assalam alayqum ustadhi Othman Mimi jina langu Abdulghafur Abdi niko Mombasa Kenya nakuomba na mm uniweke kwa maombi insha'Allah iwe kunfa yakun ameen
@ShuwekhaOmaryMussa
@ShuwekhaOmaryMussa 21 күн бұрын
Shuwekha omary mussa sheikh niombee dua nna nia ya kumpeleka mama amgu makka inshallah panapo uhai na majaaliwa kazi nnayo ila allah aniongezee kipato changu na kunfanyia wepesi hii nia yangu itimie
@ZawadiIsmail-wz1kp
@ZawadiIsmail-wz1kp 20 күн бұрын
Zàwadi ismail.shabiru yahaya naomba inshaallah Allah anilindie ndoayangu aniondolee kla shari hasad na kla aina ya sihr ya Allah nilindie wattwangu yaarab ..mumewangu n mlevi Allah naomba mfanyie wepec aache pombe
@eshasalim1471
@eshasalim1471 20 күн бұрын
Esha Salim Naomba shifaa kwangu na jamii muslimina walmuslimati
@zukhannassor1346
@zukhannassor1346 21 күн бұрын
Zulekha khamis yarabbih nakuomba kupitia dua hii nijalie mume mwenye kher namm
@user-gd3tw3cx3k
@user-gd3tw3cx3k 21 күн бұрын
Assalam alaikum warahmatullah wabarakatuh, naitwa Ruqayyah Hassan, sheikh wng naomba musada wa dua In shaa Allah, Atukubalie dua zetu na atujalie jannah firdaus
@rajabuyassin4092
@rajabuyassin4092 20 күн бұрын
Inaitwa zena haji lnshaalah mwenyezi Mungu atufanyie wepesi ktk dua hii
@HajrahRamadan
@HajrahRamadan 17 күн бұрын
Asalamu alykm warahmatulah wabarakatu,shehe naitwa hajara ramadhani mm ni mgonjwa naomba mwenye zimungu anishushie uponyaji kupitia dua hiyo na aniongoze mm nafamilia yangu ktk kumcha Allah atupe mwisho mwema na mwanzo mwema wa. Akhera na waislam wote
@Jamalali-m6h
@Jamalali-m6h 21 күн бұрын
Assalam alaykum maalim Jina langu Jamal haji ali Nategemea kher InshaAllah.
@Jamalali-m6h
@Jamalali-m6h 21 күн бұрын
Assalam alaykum maalim Jina langu jamal haji ali Nategemea kher InshaAllah
@Jamalali-m6h
@Jamalali-m6h 21 күн бұрын
Assalam alaykum maalim Jina langu Jamal haji ali Nategemea kher InshaAllah
@HasryOmary
@HasryOmary 20 күн бұрын
Hawa said . insha'Allah hakika ya Allah ndie mwenye mjuzi na mwenye nguvu " Allah atukubalie dua zetu na atufanyie tahfifu ya matatizo yetu"
@user-em2gw6rv1w
@user-em2gw6rv1w 21 күн бұрын
Asalaam alay kum nami shs nimechelewa ndiyo nimeiona video hii sasa hivi nami pia naitwa Hamisi Suleiman hamisi niwekee kwenye orodha ya majina watu kwenye Dua hii inshaallah Allah awapeni wepesi kwa yote mnayoyafanya kwa ajili ya Allah
@ziadamiraji9511
@ziadamiraji9511 21 күн бұрын
Asalam aleykum warahmatullah wabarakatuh Ziada bint Miraji namuomba Allah anijalie nipate mume mwema nahitaj ndoa inshaallah
@user-rn6xm4bj8j
@user-rn6xm4bj8j 21 күн бұрын
Zena Rashid na Amina Kombo.Allah akupe wepesi Inshaallah.Nakupenda kwa ajili ya Allah.Akuingize peponi bila ya hesabu.Amin.
@MullerMobam
@MullerMobam 21 күн бұрын
Nakupenda sheikh kwa ajil ya Allah natam nijee kuwa kma wew inshaallah
@ZainabAli-tx9ne
@ZainabAli-tx9ne 20 күн бұрын
Zainab Ali muhammad.naomba kupitia Dua hii npate mume mwema na niodolewe mitihan nilonayo In sha Allah.
@ShijaMarry
@ShijaMarry 21 күн бұрын
Asalaam Alyakum shekh, Majina yangu Mariamu Shija, mchumba wangu Yahya Mohammed kupitia Dua na kisimamo hiki naomba Mwenyezi Mungu atufanyie wepesi tufunge ndoa ya baraka , amani, furaha na upend
@isabellakomba1734
@isabellakomba1734 21 күн бұрын
Naitwa Aharam shekhe Allah aniondoshe katik mitihani
@sheriababukhatib5491
@sheriababukhatib5491 18 күн бұрын
Naitwa Hassan Abdul Rahman mungu aniondolee hasadi fitna uadui
@Jamalali-m6h
@Jamalali-m6h 21 күн бұрын
Allah atfanyie wepesi InshaAllah haikka yy ndy muweza wakila kitu
@salmamasood2524
@salmamasood2524 21 күн бұрын
Allah akupe Dunia na akhera
@ramadhanitwaha955
@ramadhanitwaha955 21 күн бұрын
ramadhani twaha,,,shida yangu biashara , imekuwa siyo nzuri
@subirazuberi7322
@subirazuberi7322 21 күн бұрын
Asalam aleykum Hemed saidi Allah amfanyie wepesi rizki zake inshaallah
@AminaSalim-rr1bv
@AminaSalim-rr1bv 21 күн бұрын
Ameen ya Allha ❤
@aliabdoe3214
@aliabdoe3214 21 күн бұрын
Assallamu aleiykum ustadh ni ongeze katika dua inshallah mungu atufungulia
@hassanisindi474
@hassanisindi474 21 күн бұрын
Asalam aleikum warahmatullah wabarakatuh jina langu HASSANI OMARI SINDI
@user-fs7eu1be6o
@user-fs7eu1be6o 21 күн бұрын
Mariam kambuga inshaallah allah aniondoshee maradh
@rashidawangara1318
@rashidawangara1318 17 күн бұрын
Aamiin ya rabb.
@Aminedanisman76799
@Aminedanisman76799 21 күн бұрын
Asalam aleikum warahmatullah wabarakatuh.Allah akujalie afya na umri uzidi kutukumbuka kwa dua.
@abdishakurburhan4998
@abdishakurburhan4998 20 күн бұрын
Mosi Makame Burhan ,Tatu Abd Mohd .Tunamuomba Allah atutatulie mattz yetu
@RukundoSilvin
@RukundoSilvin 21 күн бұрын
Assalam alaikum warahmatullah wabarakatuh na mimi usinisahau sheikh naitwa Hakizimana Aboubakar
@rahmashapani5926
@rahmashapani5926 19 күн бұрын
Kwa majina yangu naitwa Rahma binti Shabani namuomba Mwenyezi Mungu amuepushe kijana wangu Mohamedi Karimu kwenye vilevi awe.mchaungu na pia namuomba Allah anifanikishe ktk malengonyangu na pia namuomba aniongoze.ktk ibada zangu anipe mwisho mwema pamoja na wazazi.wangu Aamin
@rahmashapani5926
@rahmashapani5926 7 күн бұрын
Namuomba Allah abariki kizazi changu riziki za halali na pia amuondolee Baba yangu maradhi kama alivyo mponya nabii Ayubu A S
@mwanamisiramadhan4773
@mwanamisiramadhan4773 21 күн бұрын
Mwanamisi, zaitun, maryam na lailatu Ramadhani Asalam alaikum warahamatullah wabarakatu shuqran jazakaallah kheir sheikh
@user-mo8fn6yy5h
@user-mo8fn6yy5h 20 күн бұрын
Shekh Jana siku ya Juma pili ndugu yangu wa kike alikuwa akimuona MTU mreeefu na Mimi nikiisoma soma ayatul kursiu alikuwa amuoni ila naomba msaada Niko mozambique 😢😢😢
@OthmanMichael
@OthmanMichael 20 күн бұрын
Inshaallah
@qttqqq1982
@qttqqq1982 21 күн бұрын
Wahida Mohammed naomba kupitia dua hii Allah amuepushie mitihani ili nami nikipata pesa zijae niweze kujenga,anijalie nisichoke Moyo WA kutoa sadaka za madrassa,anijalie wanangu Hajja na Halima wawe wacha Mungu,Amiin
@halimamfaume1925
@halimamfaume1925 21 күн бұрын
Assalam aleykum warahmatullah wabarakatuh majina ya wazazi wangu, Mwanaisha Ali na Mfaume Hassan
@husseinhassan5146
@husseinhassan5146 21 күн бұрын
Hussein Hassan naomba uniombe Inshallah
@mwanasitihashim
@mwanasitihashim 21 күн бұрын
Mwenyezimngu awafanyie wepesi.ameen
@MngambaRamadhani
@MngambaRamadhani 21 күн бұрын
Asalaam alykum shekhe wetu naitwa zubeda kibwana ramadhani naomba unitaje kwenye dua kwa ajiri ya Allah
@ZenaNzeyimana-ct5vh
@ZenaNzeyimana-ct5vh 21 күн бұрын
Assalam aalaykum warahmatullahi wabarakatuhu nami sheikh jina Zena jaafar
@rahmaomary5134
@rahmaomary5134 21 күн бұрын
Muhammad,labiybah,baarizah,haajira,waliid,mahfuudh
@user-oj1yp1tt1t
@user-oj1yp1tt1t 20 күн бұрын
Mariam bint said niombee duaa ya kuondoa aiini na hasad
@mwajohari4385
@mwajohari4385 21 күн бұрын
Asia Hassan
@user-ru6ek8bu7y
@user-ru6ek8bu7y 21 күн бұрын
Assalam alayqum warahatullah wabarakatuh. jina langu ni Mohamad sadick ,
@jumawaziri8501
@jumawaziri8501 20 күн бұрын
aamin aamin aamin
@khadijaabdala6876
@khadijaabdala6876 21 күн бұрын
As Salam alyekum warahmatullah wabarakatu naitwa khadeja Abdallah,
@ShijaMarry
@ShijaMarry 21 күн бұрын
Maryamu Shija InshaAllah 🙏 Mwenyezi Mungu aniponye maradhi ya kisukari, acid tumboni kiuno na uti wa mgongo Kwa kupitia Dua na kisimamo hiki 🤲🤲🤲🤲🤲 InshaAllah 🙏
@user-sw9fs6uh3i
@user-sw9fs6uh3i 21 күн бұрын
Asalamu alaikum mungu akujaze heri na neema Mimi asha Ali kutoka Kenya
@AliMohamed-ng5ps
@AliMohamed-ng5ps 21 күн бұрын
Ali mohamed from kenya naoba ALLAH anijalie mafanikio duniani na kesho akhera
@FalhiyaMandela
@FalhiyaMandela 20 күн бұрын
Naitwa aziza salumu ,,,,,kila jambo ninalolifanya linashindikana nna mambo magumu sana sana
@mwanamisidini1950
@mwanamisidini1950 21 күн бұрын
Amiin inshallah ustadh❤
@issakomo8447
@issakomo8447 21 күн бұрын
Assalam Alaykom warahmatullah wabarakatuh Jina ISSA KOMO
@AhAu2-oi5wn
@AhAu2-oi5wn 21 күн бұрын
A allykum jina rahma hamisi ..Mim niombee nipone kwa uwezo wa allah naumwa kila siku ..n.a. pia nipate mali
@zuhuranyaru5275
@zuhuranyaru5275 20 күн бұрын
Ya arhma rahimin yaa arhma rahimin yaa arhma rahimin kupitia dua hii ya shekhe osma naomba kaka yangu apone maradhi yanayomsumbua maumivu makali anayopata apone Insha Allah ALFAN FRANKO
@user-gd3tw3cx3k
@user-gd3tw3cx3k 21 күн бұрын
Nawangangu Lateefah Abdoul,na Muammar Kaddaf, na Noor malak Inshaallah
@salhabarankuyenga7865
@salhabarankuyenga7865 21 күн бұрын
Assalam aleykum warahmatullah wabarakatuh Salha Osman mume dua Allah ajaliye ndoa yangu kheri na barka idumu na maradhi yanayo nisumbuwa Allah aongoz kizazi cangu amfunguliy mume wangu huko alipo kheri
@HimnaMohamed
@HimnaMohamed 21 күн бұрын
Assalamualaikum warahmatullah wabarakatuh, Himna Omar Mohamed
@user-qs2rw8tm6n
@user-qs2rw8tm6n 20 күн бұрын
Nnamitihani kila upande ndoa kazn maradhi Allaah.ufungue njia kupitia dua hii
@Azuu-rq6te
@Azuu-rq6te 20 күн бұрын
Assalam alaykum warahmatullah,, Aziza Amour, Omar Ibrahim, Zuhura Ibrahim, Amour Ibrahim, Ibrahim Omar
@Omy-dou
@Omy-dou 21 күн бұрын
Omar ABDULLA OMAR
@halimamfaume1925
@halimamfaume1925 21 күн бұрын
Assalam aleykum warahmatullah wabarakatuh Naitwa Halima Mfaume na mtoto wangu anaitwa Aisha Omar
@AbduMohammed-fn6ot
@AbduMohammed-fn6ot 21 күн бұрын
Asalam aleykhum sheikh othman Michael, kwa majina naitwa Abdu Mohammed Pazi
@hamidahnassoro-12
@hamidahnassoro-12 21 күн бұрын
Hamida zaimu .mariamu hassani zaimu nassoro ni wagonjwa mungu awaponye na mimi nifunguke kiakili niwaze mazuri yalo mema na maendeleo .nipate kazi nipate mume mwema nimpendae watoto wangu aish na munira mungu awape uelewa ishaallh aniepushe na maradhi makubwa na madogo
@user-es2yt1jc4i
@user-es2yt1jc4i 20 күн бұрын
Bukur mama abdoul
@mwanasitihashim
@mwanasitihashim 21 күн бұрын
Asalam aleykum warahmatullahi wabarakatu. Mwanasiti hashim.msalam ali muhidini na watoto tuombe mwenyezimungu atujaalie kila la kheri atuepusha na kilA lililolashari kwetu.
@fatoukarekezi1829
@fatoukarekezi1829 21 күн бұрын
Fatma Bint Amri
@MwajumaAbdallahKuluzo
@MwajumaAbdallahKuluzo 21 күн бұрын
Mwajuma Abdallah kipitia Dua hii Allah aniondoshee maradh yanayonisumbua
@AishamohamedyMohamedy
@AishamohamedyMohamedy 17 күн бұрын
Assalam allaykum,Aisha ali hamad ,na watoto wangu sabra na Rahma ninamatatizo makumbwa
@GloriaNdeleva
@GloriaNdeleva 21 күн бұрын
Salam alaikum sheq wetu Allah akupe umri mrefu tuzidi kunufaika mm n mkenya ni weke kwa Dua hiyo nshaallh jinani Hussein musa shukran alhamdhu lilha
@mwanaishajuma4166
@mwanaishajuma4166 21 күн бұрын
AISHA JUMA Allah anifanyie wepesi kupata nusra ya ndoa by August kwa niliye mkusudia in sha Allah
@rajabuyassin4092
@rajabuyassin4092 20 күн бұрын
Zena Hussein
@Mbambanaji
@Mbambanaji 21 күн бұрын
Amiin kwasote
@amipol5310
@amipol5310 21 күн бұрын
Assalam aleykum warahmatullah wabarakatuh Naitwa Amissi amini
@AliJillo-yi3fl
@AliJillo-yi3fl 21 күн бұрын
Asalam aleikum naomba dua hii imfungue mwanangu Hassan Kwa utumiaji mihadarati mungu amuondoshe na ashike swalla naitwa jazila na mambo yangu nyumbani haswa swala la pesa 6:38 6:44
@zamzamchannel6977
@zamzamchannel6977 20 күн бұрын
Zainab Abdallah, Zaitun Salim yaarabi naomba utuondole maradhi na dhiki na mwanangu aweze kupita mtihani wake wa kitaifa.
@user-gy5en6cy8o
@user-gy5en6cy8o 21 күн бұрын
Dua sio lazima uombewe ukijiombea ni mzur zaid😢.ila masheikh wetu wasikuhuzi wamekua kama upande wapili msiba huu
@AmhshHdbd
@AmhshHdbd 21 күн бұрын
Swaumu saidi, inshaAllah kwa uwezo wake Allah na mtume wetu kipenzi Rehma na Amani zimshukie
@ZukraMshana
@ZukraMshana 21 күн бұрын
Zukra Iddy. Allah aniondeshee mtihani wa mashetwain na aniondeshee maradhi ya kichawi,anifunguliwe milango ya riziki.
@hassanshoms9724
@hassanshoms9724 21 күн бұрын
Hassan Salim ,Allah ani jalie mke mwema..🤲🏾
@hassanshoms9724
@hassanshoms9724 21 күн бұрын
Na wowote alie na ombi Kama ya kwangu.
@ShijaMarry
@ShijaMarry 21 күн бұрын
Majina yangu ni Mariamu Shija na Binti yangu Fatuma juma kupitia Dua 🙏 namuomba Mwenyezi Mungu amfanyie wepesi katika mitihani yake ya kidato cha nne ya Moko wanayoianza kesho InshaAllah naomba Mwenyezi Mungu watoto wangu wawe wenye akili, hekma na maarifa InshaAllah 🙏🤲🤲🤲
Русалка
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
Clowns abuse children#Short #Officer Rabbit #angel
00:51
兔子警官
Рет қаралды 72 МЛН
Does size matter? BEACH EDITION
00:32
Mini Katana
Рет қаралды 19 МЛН
THEY made a RAINBOW M&M 🤩😳 LeoNata family #shorts
00:49
LeoNata Family
Рет қаралды 41 МЛН
ALLAHU AKBAR! URADI MZITO WA AJABU UMEMTAJIRISHA NABII HUYU SOMA SANA LIA
45:17
HUU URADI WA NABII YUNUSI AS INA SIRI KUBWA YA KUFANIKIWA
1:20:38
OTHMAN MICHAEL ONLINE
Рет қаралды 7 М.
HII SALA YA MTUME USIIWACHE FUNGUA RIZIKI POA MARADHI BADILISHA MAISHA
1:06:37
OTHMAN MICHAEL ONLINE
Рет қаралды 58 М.
Русалка
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН