No video

NDARO NA TX DULLA WAMKATAA CLAM KUMILIKI BILIONI, SISI TUNA MILIONIZA KUWAMBIA MTU TOKA HAPA

  Рет қаралды 45,807

EastAfricaRadio

EastAfricaRadio

Күн бұрын

Facebook: / earadio
Twitter: / earadiofm
Subscribes: / @eastafricaradio

Пікірлер: 36
@zebedemirambi3067
@zebedemirambi3067 8 ай бұрын
Amejibu= amejaibu😂 this one can be a good singer jinsi alivyo anza kuimba he is the best nimuombe aingiye kwenye music ataimba vizurisana naatabariki Watu Sana katika jina la Yesu Kristo ❤❤️♥️🇨🇩
@emasonnziliye8635
@emasonnziliye8635 9 ай бұрын
Ndaro muha huy anajua kujieleza🥳🥳
@bashiruhassani1017
@bashiruhassani1017 9 ай бұрын
Mm namkubar sana mtumish
@SophlaJackson-nt1nc
@SophlaJackson-nt1nc 9 ай бұрын
Safii ndalo uko vizuri maelezo yako
@muvyatijuniormj3399
@muvyatijuniormj3399 9 ай бұрын
TX Dullah amempa irene ushauri wa uhakika na kiunyamaaa,inabidi msichana apewe kazi
@kimanimuikamba4714
@kimanimuikamba4714 7 ай бұрын
Hii squad ni hatari.. Alafu uongeze steve mweusi.. Matata sanaa😂
@BAHATIKIBA-ul6wx
@BAHATIKIBA-ul6wx 9 ай бұрын
Never Dissapoint Ndaro🎉🎉🎉🎉
@MwanadiaSaid
@MwanadiaSaid 2 ай бұрын
Ndaro apo umewabeba sanA wenzako awajui kujieleza
@herifilms
@herifilms 9 ай бұрын
Pamoja sana🔥🔥🔥🔥
@tomprs255
@tomprs255 9 ай бұрын
Never disappoint East Africa
@user-ws5sd8wf1t
@user-ws5sd8wf1t 9 ай бұрын
Swala lakubadilisha nyimbo tune mpk melodies makanisa mengine mpk lines hilijambo nilakwelinalinaboa
@SophlaJackson-nt1nc
@SophlaJackson-nt1nc 9 ай бұрын
eti ela frani yaku msumbua mtu we toka hapo yaani bado saana mme jaa njaa tuu posho zamwezi izo kwenye ma KZfaq watu wanajua tafuta pesa mpaka kwenye kifo uenda watu Wasinielewe nini Namanisha
@levygasper7438
@levygasper7438 9 ай бұрын
Dullah hapo ndo umenikosha mwana umetaja Burundi kwr mwakani show umeandaliwa mwanangu
@princeemmanuelsanga4099
@princeemmanuelsanga4099 3 ай бұрын
Sa mbn nikimuangalia dula nacheka sijui nacheka nn
@kisangatz1035
@kisangatz1035 9 ай бұрын
Wabongo bwana mukipata shida munatusumbuwa sana kwa vibakuri endereeni muwe munatunza hayo maneno
@esterdoriye8377
@esterdoriye8377 8 ай бұрын
Nampendaga chard 😊😊😊😊
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express 9 ай бұрын
Haijapendeza sana, uwezo wa kwenye video zsnu haujaendana na kwenye interview hata kidogo.
@grannyboy3606
@grannyboy3606 9 ай бұрын
Interview sio comedy
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express 9 ай бұрын
@@grannyboy3606 hiyo interview yenyewe umeielewa!?. Tuache kutazama mambo kwamtazamo wa kitoto. Unajua maana ya Interview. Uliza swali moja kisha mpe uhuru mtu wa kujielezea na wengine wapewe maelekezo kabla ya kuanza kuwa wasiingiliane katika mahojiano. Mmoja akijibu wengine wanatulia mpaka mwingine aulizwe. Lakini hawa wanaingiliana kama wapomtaani wanapiga stori. Sisi tuliokua enzi za kufatilia vipindi vya habari vya redio tunajua nini lengo na maana ya mahojiano. Sio hizi zenu za kukurupuka kurupuka
@user-bi7wf4nz2d
@user-bi7wf4nz2d 9 ай бұрын
Acha uchawii
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express 9 ай бұрын
@@user-bi7wf4nz2d hakuna mchawi zaidi ya shabiki mbumbumbu anaweza kukutoa ktk mstari mnyoofu. Nikisema mimi mwenye akili timamu inatosha. Wataacha uzembe katika kazi hakuna kitu cha maana walichokifanya hapo. Bora wangeita mtu mmoja tu akahojiwa kwa upana akafunguka. Hii EATV inajifanya ya vijana kumbe ya wahuni wa vijiweni. Kaangalie interview za SnS. Mtu anaulizwa maswali ya akili na anapewa muda wa kujibu kwa akili
@adrianorayner6551
@adrianorayner6551 9 ай бұрын
Huo ni wivu
@marhamephrahym275
@marhamephrahym275 9 ай бұрын
Ila masatu yuko cool sana i feel jealous kwa bby wake😂
@evelnjuma1834
@evelnjuma1834 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂 jaman mchungaj 😂😂😂😂
@user-lz9vr6xn9k
@user-lz9vr6xn9k 4 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@uredipeter412
@uredipeter412 9 ай бұрын
Duuuhh Dada mrembo pink, nakubali mtumishi
@michaeltheophile7035
@michaeltheophile7035 9 ай бұрын
Bubu anaitwa maneno😂😂😂 nakubali
@user-jp1ve5hn1v
@user-jp1ve5hn1v 6 ай бұрын
Tx alivyojikaza na hiyo headphone😂😂😂
@Pierre-de-lubu
@Pierre-de-lubu 9 ай бұрын
Ni zamu ya T e k c 😂😂😂😂
@NuhuMetson-mt1vc
@NuhuMetson-mt1vc 9 ай бұрын
Nmekubal san wanang
@muvyatijuniormj3399
@muvyatijuniormj3399 9 ай бұрын
TX Dullah amempa irene ushauri wa uhakika na kiunyamaaa,inabidi msichana apewe kazi
@SophlaJackson-nt1nc
@SophlaJackson-nt1nc 9 ай бұрын
eti ela frani yaku msumbua mtu we toka hapo yaani bado saana mme jaa njaa tuu posho zamwezi izo kwenye ma KZfaq watu wanajua tafuta pesa mpaka kwenye kifo uenda watu Wasinielewe nini Namanisha
@muvyatijuniormj3399
@muvyatijuniormj3399 9 ай бұрын
TX Dullah amempa irene ushauri wa uhakika na kiunyamaaa,inabidi msichana apewe kazi
ПОМОГЛА НАЗЫВАЕТСЯ😂
00:20
Chapitosiki
Рет қаралды 28 МЛН
Fortunately, Ultraman protects me  #shorts #ultraman #ultramantiga #liveaction
00:10
Gli occhiali da sole non mi hanno coperto! 😎
00:13
Senza Limiti
Рет қаралды 16 МЛН
TX DULLA AMUOKOA TENA NDARO
9:00
BONGO SINEMAX
Рет қаралды 78 М.
ROASTING NDARO(MAPENZI) VS LEONARDO( POMBE)
12:28
Cheka tu
Рет қаралды 444 М.
ПОМОГЛА НАЗЫВАЕТСЯ😂
00:20
Chapitosiki
Рет қаралды 28 МЛН