No video

Halima Mdee atoa ushahidi bungeni | Mwigulu anyanyuka kumjibu | "Patachimbika, Sipendi kukera watu"

  Рет қаралды 283,038

EastAfricaTV

EastAfricaTV

2 жыл бұрын

Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5

Пікірлер: 285
@harounmaarufu3241
@harounmaarufu3241 2 жыл бұрын
Wapinzani ni watu muhimu tunadanganywa sana wananchi
@hassanlikwenangu8471
@hassanlikwenangu8471 2 жыл бұрын
I like her voice more than the minds of her...Mwaaaaa!!
@patricknyiti5303
@patricknyiti5303 2 жыл бұрын
Waziri anadanganya ...Hatakiwi kubakia ofisini dakika moja ijayo
@bonifacekalima5273
@bonifacekalima5273 2 жыл бұрын
Yaani mdogo wangu ungeingia bungeni kihalali ..kaelimu ka kuwafundisha ma CCM unako wape shule hao...wana tudanganya na skafu za serikali kulinda matumbo yao...wachape kwa maneno..
@asserytemba282
@asserytemba282 2 жыл бұрын
Sauti ya zege! Hongera sana.
@azizabdallah585
@azizabdallah585 2 жыл бұрын
Bravo Mh. Halima Mdee.
@walawioutreach4055
@walawioutreach4055 2 жыл бұрын
namuomba mungu sana sana huyu mwakilishi wa upinzani raisi amchague ampe nafasi yajuu sana serikalini hasa ya kiutendaji,huyu Dada ni zaidi ya mbunge na ni zaidi ya wabunge.>AMEN.
@queenpiscator6117
@queenpiscator6117 2 жыл бұрын
Na ujinga uuu bl kujua kuwa covid ndo imelaza chumi za nchi sasa zingeruka wapi wakati kulikuwa hakuna safari hata ma shirika makubwa duniani ni hivyo hivyo point hiyo ni nzuri lkn umeipanga hovyo sababu za kisiasa hina kosa maana na unaonekana mjinga wa kutafuta shari jifunze kwa mwenzio Ester matiku kichwaa hilebaya
@Mussajohn99
@Mussajohn99 2 жыл бұрын
Unaongea point san mdee
@vnhcstudios1943
@vnhcstudios1943 2 жыл бұрын
Mdee yupo vzur
@iam_deo
@iam_deo 2 жыл бұрын
Loh! well presented Yaani ni mpaka unasisimka mwili.
@kagwilengaiza2050
@kagwilengaiza2050 2 жыл бұрын
Ee mungu we harima mdee
@makongorowassira6593
@makongorowassira6593 2 жыл бұрын
Tatizo hapo ni kwamba huwezi kabidhi ndege kwenye kampuni inayodaiwa, ndege zote zitashikwa na wadai, fikiria kabla ya kupiga kelele
@mandileykiritokangai3042
@mandileykiritokangai3042 2 жыл бұрын
Sawa Asante Halima
@barakakusa7606
@barakakusa7606 2 жыл бұрын
Huyu ndy kamanda mwenyewe Sasa hanaga kususa kam wengine na bado anawapelekesha bungeni, H Mdee mitano tena.
@lemburiskedoki8590
@lemburiskedoki8590 Жыл бұрын
Mungu akubari sana mh hallima mdee usiogope kuongeya mungu yupo mbele yako
@balozimorwa2033
@balozimorwa2033 2 жыл бұрын
I remember 2015/16 nikiwa office ya TR niliongoza timu ya wataalam kufanya OPERATIONAL and FINANCIAL audit ya ATCL! Tumeandika a very COMPREHENSIVE and GROUND-BREAKING report on ATCL and its sustainability. Ningeshauri hiyo report ISOMWE/IREJEWE kwani bado ni VALID kwa jinsi nilivyo sikiliza inputs za Mh. Halima Mdee.
@ezekielmabwai482
@ezekielmabwai482 2 жыл бұрын
Sauti ya zege! Ila kwa kuwa si mmbunge halali najua anapuuzwa tu! Mfuateni Ndugai atawasikiliza.
@khadijamhapa3056
@khadijamhapa3056 Жыл бұрын
Yani huyu dada yupo sahihi sana hayo wanayo bisha yatakuja kuwatokeya puani mbeleni mana kidonda usipo kitibu mapema kinaoza
@hellenngwilla550
@hellenngwilla550 2 жыл бұрын
Safi sana
@successconcious703
@successconcious703 2 жыл бұрын
Akili kubwa sana hii
@patrickKitambo
@patrickKitambo 2 жыл бұрын
Kufail ni sehemu muhimu sana katika kujifunza biashara
@namankakindilo8121
@namankakindilo8121 2 жыл бұрын
Hujawahi kufeli point ata siku moja
@harounmaarufu3241
@harounmaarufu3241 2 жыл бұрын
Wabunge wa Ccm wakubali ukweli.
@halidnaamo6156
@halidnaamo6156 2 жыл бұрын
Hawana Jipya na Mwigulu Hafai kabisa basi we msikilize
@fredrickmatiku7783
@fredrickmatiku7783 2 жыл бұрын
Huyu dada kichwa sana akiliii anazo nyingi sana 2025 tunamrudisha mbunge wetu kawe 2025 kawe ni Halima James mdee
@tousihhhh6765
@tousihhhh6765 2 жыл бұрын
mm nampenda san anapwenti pambee
@estermpagama9664
@estermpagama9664 2 жыл бұрын
Ukiangalia Bunge wanavyochangia utaona yupi anauwezo na yupi uwezo wake ni mdogo ila kazi ipo kwani wananchi wanaelewa zama za siasa za mdomo zimepita ni utendaji tu kwa sasa
@barakakimambo4528
@barakakimambo4528 2 жыл бұрын
Love you halima,,welcome Kilimanjaro
@rommelmauma8081
@rommelmauma8081 2 жыл бұрын
Kwa Halima Mdee, wajuzi na wanafunzi wa tehama: Katika mawasilisiano kwa njia za runinga, hakuna haja ya kuongezea mbwembwe za "kinesics", yaani, "body language", kama lilivyo jukwaa au redio. TV is a "cool medium"; na "radio is a hot medium" [the late Marshall McLuhan].
@elyotikyando199
@elyotikyando199 2 жыл бұрын
Uko vizur harima
@iam_deo
@iam_deo 2 жыл бұрын
Yaani sasa hili ndio bunge linalotakiwa. Loh ni mchnganyiko wa huzuni na kicheko. Well illustrated wote watoa mada regardless Chama kipi. Nchi ni ya kwetu JAMANI!!! Watu wakitoa ushauri mbadala wasikilizwe Loh!
@mathewmartin4413
@mathewmartin4413 2 жыл бұрын
Sawa kamanda✌️✌️✌️✌️
@khamismssa7882
@khamismssa7882 2 жыл бұрын
,nikweli jamaniiii
@stephanomoses7694
@stephanomoses7694 2 жыл бұрын
Halima mdee ndio mbunge sasa . Sio hizo mbwa zingine za NDIO. mbowe awaache2 hawa covid 19 kwa heshima ya mdee. Maana yakibaki haya makondoo ya kijani hayo mambo mazito namna hyo yatajulikana vp . .ona2 wanavyobwabwanya.
@emanueliunyakind1521
@emanueliunyakind1521 2 жыл бұрын
Very good
@ummuruwaida3440
@ummuruwaida3440 2 жыл бұрын
mdee wa 2015 siyo huy kabisa
@neemastanley3539
@neemastanley3539 2 жыл бұрын
Upinzan ndo unaleta maendeleo haiwezekan kila kitu iwe yes tu hawa ndo wanaleta challenge inayopelekea maendeleo katika nchi Bravo madame Mdee
@mheleladavid2588
@mheleladavid2588 2 жыл бұрын
👏👏👏👏
@iamnormal8648
@iamnormal8648 2 жыл бұрын
Anatumia nguvu kubwa sana mpaka hoja inakosa ladha. Ona mpaka sauti inascratch kwenye around dakika hii 6:48
@athumanijuma3085
@athumanijuma3085 2 жыл бұрын
Ww sikuelewi
@arsenalwenger4797
@arsenalwenger4797 2 жыл бұрын
Kama Wana nchi hamjamuelewa halima mdee na naona mnavyo mpinga hadi ushahidi wa nyaraka na tarehe ilio chapishwa anayo, basi mnastahiki kua na njaa hivyo hivyo mpaka mwisho wa Dunia. She's a brave a woman
@abubakarikisuju80
@abubakarikisuju80 2 жыл бұрын
Halima mdee"chadema mwaka 2025 wakikuengua gombea kwa ccm"utapita rafiki yangu"uko juu
@stephensengo6877
@stephensengo6877 2 жыл бұрын
Safi sana mdada
@dismasmtui729
@dismasmtui729 2 жыл бұрын
Mdee ombeni msamaha CHADEMA.Hapa mnazungumza huku mmefungwa kamba!
@paulombay6884
@paulombay6884 2 жыл бұрын
Kumbe taarifa za wabunge Ni kulinda na serikali
@malkavoice2570
@malkavoice2570 2 жыл бұрын
Hawa watu wanapata wapi jeuri hii ikiwa hawana vyama na wanalipwa. Inamaana wanaiibia serikali mchana kweupe na Serikali imewahalalishia wizi waibe mpaka washibe ili mradi tu bunge lao liwe huru. Tulieni hivyo hivyo wawanyee kisawa sawa,hawana majukumu zaidi ya kuongea tu bungeni na kulipwa kwenda kula na familia zao.
@paulombay6884
@paulombay6884 2 жыл бұрын
Kwanz kubali hoja yake then ,Hilo sawa
@sarahmmbwanji3782
@sarahmmbwanji3782 2 жыл бұрын
Kama wanaiba nawanasema ukweli hao ndio wazuri
@malkavoice2570
@malkavoice2570 2 жыл бұрын
@@sarahmmbwanji3782 wasaliti tatizo. Pengine wangegoma kwenda bungeni hayo wanayoyafokea yasingetokea. Kelele za chura tu hizo hakuna uhalisia
@halidnaamo6156
@halidnaamo6156 2 жыл бұрын
Kina Halima hawa walishinda uchaguzi kabisa waliporwa ushindi tusiwalaumu,Kwani Samia ulimchangua wewe?
@malkavoice2570
@malkavoice2570 2 жыл бұрын
@@halidnaamo6156 sawa walishinda lkn waliporwa. Wakanunuliwa nao wakakubali laiti wangekataa Bunge lisingekuwa na haki,we unajua nn labda?
@goodluckshayo2593
@goodluckshayo2593 2 жыл бұрын
Kwa kweli na sio Siri Halima Mdee ni moja ya Wabunge makini sana. Jambo muhimu ambalo Waziri Fedha alitakiwe ajue, badala yake anadanganya kuwa shirika la ndege halidai popote mpaka ushahidi ulipoabikwa na Mbunge huyo Machari na msomi Halima James Mdee. Hongera sana
@fredrickfrank851
@fredrickfrank851 2 жыл бұрын
Hii nchi mmm!
@estermpagama9664
@estermpagama9664 2 жыл бұрын
Hatuna wataalam na wazarendo
@khamisminshehemafumbi1882
@khamisminshehemafumbi1882 2 жыл бұрын
Sijalijua tatizo,majibu au watu wa kujibu ? Hoja hazihitaji hata kuwa bungeni au kuwa mbunge maskini Ndugai !
@lucaschisamalo2852
@lucaschisamalo2852 2 жыл бұрын
Dada yangu nakupenda Sana japo sikuhizi umekuwa ccm Ila Hoja zako zinamashiko
@sashahauke2032
@sashahauke2032 2 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭
@binmassoud0459
@binmassoud0459 2 жыл бұрын
Hii ni ramadhan tunamuomba huyo Halim avae kidini japo kidogo nampenda sana Halima Mdee
@francismwantolwa2329
@francismwantolwa2329 2 жыл бұрын
Safi sana Mdee
@estermpagama9664
@estermpagama9664 2 жыл бұрын
Nami namkubari
@josephmariba9897
@josephmariba9897 2 жыл бұрын
hongera sana halima nakupa salut japo tz hatuna rais
@yuzotv458
@yuzotv458 2 жыл бұрын
Anaemlaum Mh harima nichizi kwasababu Alichosoma ni report za CAG Pia kasoma taarifa ya Atcl nakataja hadi tarehe sasa kosa lake liko wapi?!.
@orgeneslema9464
@orgeneslema9464 2 жыл бұрын
Hahaha - serikali hakuna deni. ATCL-kuna deni. Kusoma hatujui. Hata picha hatuoni?
@anganilemichael115
@anganilemichael115 2 жыл бұрын
Hivi huyu yupo bungeni kupitia chama gani hasa hii nchi 🚮🚮🚮🚮
@emacratantara7434
@emacratantara7434 2 жыл бұрын
Duu Ngoma ikoli moto uko juu kamanda
@yasmeenaal4191
@yasmeenaal4191 2 жыл бұрын
Halima mdee upo cheers sana dada unaingea ya maana lakini unaacha maiki unaongelea pembeni vipi
@jumanesaidi7635
@jumanesaidi7635 2 жыл бұрын
Napenda sana jinsi Halima anavyojenga hoja, lakini naogopa anaweza kugeuka.
@phchouse
@phchouse 2 жыл бұрын
Uwepo wao Bungeni ni aibu kwa chama cha CHADEMA Hawa wabunge na viongozi wa CHADEMA Taifa lao ni Moja. Haiwezekani Speak amesema hajapata barua toka CHADEMA kuwakana. Kama ni barua ndiyo inayo takiwa kipi kinakwamisha?
@christianmwashala9760
@christianmwashala9760 2 жыл бұрын
We halima ndo mbunge wa Tanzania na watanzania sio ao wengine,,,,,aminia dad kichwa yako nomaaaaa
@kasiankillo6949
@kasiankillo6949 2 жыл бұрын
Mwigulu ziro
@eppiemodest
@eppiemodest 2 жыл бұрын
Waheshimiwa wabunge. Halima Mdee hamumwoni anaaibisha mavazi yake. Angalia kona ya mapaja. Duh kwa kweli mwanamama huyu.
@fredymwengela6763
@fredymwengela6763 2 жыл бұрын
Nyie bado ni watu muhimu bungeni chadema wanakuwa wakae na nyie myamalize
@fanueltarimo509
@fanueltarimo509 2 жыл бұрын
Umepata wapi hzo
@johnsinyinza7450
@johnsinyinza7450 2 жыл бұрын
Vichwa Kama hivo. Awepo tundu.lema.munyika ulaya John hche Peter Zito. Halima ester wangetosha kutuwakilisha walikuwa wanadema Hadi tunashiba Hilo bunge la CCM mnakula pesa zetu.hatuna haja yakuwasikiya.
@papaamashana3962
@papaamashana3962 2 жыл бұрын
Majibuyakumunufaisha mutoatalifa ovyo
@adamdemarch5565
@adamdemarch5565 2 жыл бұрын
Sabuni yakufulia kipande mianane ya kitanzania😭😭
@KARINO_MUS
@KARINO_MUS 2 жыл бұрын
Upo sahihi mama safiii waambie wamalizeee kwanza tatizoo ndo mambo mengine yaendeleee.........
@kasiankillo6949
@kasiankillo6949 2 жыл бұрын
Wazili wa fedha ziro kutoka zamani ndio maana magu alishamtoa kwenye uwazili Mara tatu nashangaa uyu mama anamkumbatia Kuna nn
@patricknyiti5303
@patricknyiti5303 2 жыл бұрын
Magu alimrudisha tena...CCM ni ileile
@shubebunyesi542
@shubebunyesi542 2 жыл бұрын
Unajua watu wana mihemko yaani mtu akitolewa na Magu ndio anaonekana afai kabisa siokweli wengine alikua anawasamehe na kuwarudisha mama kamkuta akiwa waziri mwigulu
@mandelamandela3150
@mandelamandela3150 2 жыл бұрын
@@patricknyiti5303 Magu alimrudisha akampa Wizara ambayo haina maumivu kabisa kwa WaTanzania !! Na ilionekana alimrudisha sababu bungeni km Mbunge alikuwa siyo mpinzani hakuwa na Kinyongo alimtetea Magufuri bungeni, umakini wa Magufuri ni kutompa Wizara zenye kuwaumiza waTanzania !!!! Mama Samia Nchi hii haiwezi, anakuja kumpa Wizara Nyeti kbisa matokeo yake tumeumizwa !!!!
@jumajumanne4997
@jumajumanne4997 2 жыл бұрын
Mpaka uvute bangi ndo umuelewe uyu jamaa
@mwandisimfukwe326
@mwandisimfukwe326 2 жыл бұрын
yaan hiyo taarifa wazir wa fedha hama du hatari
@tungarazalucas1478
@tungarazalucas1478 2 жыл бұрын
Mwigulu sii waziri
@halidnaamo6156
@halidnaamo6156 2 жыл бұрын
Kweli kazi yake ni kuilinda Serikali na siyo Wananchi!Ajabu sana,ovyo kabisa
@seifsaidseifsaid1210
@seifsaidseifsaid1210 2 жыл бұрын
Tatizo hii nchi inaendeshwa kisisa uongo mwingi sana viongozi wengi hawana uwezo kuongoza blabla nyingi mpk kichefuchefu!
@isayakipoi493
@isayakipoi493 2 жыл бұрын
Brava Halim md ^_^
@freddymtashi5020
@freddymtashi5020 Жыл бұрын
Mwigulu kila kitu ni siasa2!! Haujui kitu!! Muongool
@rinaldaoman7892
@rinaldaoman7892 2 жыл бұрын
Wewe mwiguru CAG MUIHONGO
@charleslukumai7875
@charleslukumai7875 2 жыл бұрын
Kumbe ugoro wa Riftvalley alishalipwa.
@mweyoms5548
@mweyoms5548 Жыл бұрын
Hiki kichwa ni makini mno.Nimemuelewa vizuri mno maana hoja zimepangwa zikapangika
@frankchaula8674
@frankchaula8674 2 жыл бұрын
Akili kubwa
@kapondamsita476
@kapondamsita476 2 жыл бұрын
Tulipoteza jembe sana
@maghanighanichali9519
@maghanighanichali9519 2 жыл бұрын
Wabunge kuvaa suluari naona wakatazwe.inaonekana kama yupo night club
@marieconnect6389
@marieconnect6389 2 жыл бұрын
Changamoto lazima zisemwe....hongera mabunge wetu. Ila mbunge wetu asiishie kulaumu tu bali atoe na mapendelezo ya nini kifanyika ili tujikwamue kutikavkwenye tatizo kama lipo.... kama wengine wnevyochangia kutoa solutions.
@kasiankillo6949
@kasiankillo6949 2 жыл бұрын
Kweli ccm akuna kitu mnazikataa taharifa zenu wenyewe
@congolo1457
@congolo1457 2 жыл бұрын
Sasa kwakweli kama huu ndiyo leadership ya kina mama basi tumekwisha huyu anaongea Nini.watanzania kote walikuwa wakitaka kwenda outside the country mpaka wapitiye kenya
@shukuruwiliamu1357
@shukuruwiliamu1357 2 жыл бұрын
Hawa ndo watetezi wawananchi sio hawa wa ccm kilakitu ndiooooo
@elinessclarence8585
@elinessclarence8585 2 жыл бұрын
Ya waziri anajibu kama katoka choooni inaudhiiii sana hiii mijituuuu
@cyprianmachibula7122
@cyprianmachibula7122 2 жыл бұрын
KWA NINI MWIGURU NCHEMBA HATOI TAARIFA YA PATP LATOZO ? PIA ATUELEZE NI PESA ZILIZOTUMIKA KUPEREKA MISAFARA DUBAI NA MAREKANI TUKUE NASI
@celinamutta5058
@celinamutta5058 2 жыл бұрын
Kama utani utani vile😳😳
@telaamtauta2227
@telaamtauta2227 2 жыл бұрын
Amakweli dunia simama nishuke banaadam simkamilifu mwenyrzi mungu kilakitu kakiumba kwa.mipango yake nakumbuka zamaani hapo ndege zoilikuwa kidogo sana hadi aibu yaani ilipofika wakati wa kampeni wezetu upande wapili wslitoa ahadi kama wakipata uraisi watanunua ndege kwawingi kuondoa aibu hii leo.ndege zimeletwa haohao walio aside watanunua ndege wanasema ndege nyingi zanini kwani wanaosafiri wotee nilazima watumie ndege? Kilamtu nauwezo wake mimikana sina uwezo wandege mwingine anao viwanja vifanye kazii atakae iba yeye namungu wakee
@nathanielshauri5135
@nathanielshauri5135 2 жыл бұрын
Njoo uchukue buku la Soda maana cheche mzito tarifa hadi tarehe wote yani kirosafi
@jacksonsaugah9120
@jacksonsaugah9120 2 жыл бұрын
Ukweli haupingiki kwamba mwenda zake alikurupuka kununua ndege nyng wakati biashara haipo jamani!🤓🤓 Pia tujifunze kufanya vitu kwa kutaka sifa kwa wanaotuzunguka aaaaaaamen!!!
@priscusjoseph7664
@priscusjoseph7664 2 жыл бұрын
Subir siku ulale njaa ndo akili itakaa sawa kuku ww
@annasolomon9855
@annasolomon9855 2 жыл бұрын
Mwone mbuzi wa kiangazi huyu.. kama mwendazake alikurupuka mbona mama samia aliziongeza zingine?? Na wew bwege kweli ikitokea ukapewa nchi hata kwa dakika Moja uiongoze utajiharishia na kujikojolea Kila mahali.. Leo hii et unapata ujasiri wa kumkejeli shujaa Magufuli kuwa alikurupuka. Hata hio kazi ya kukusanya Kodi na kuwabana mafisadi mpaka kununua ndenge ni shughuli ya akili ya hali ya juu Sana.
@msingida33
@msingida33 2 жыл бұрын
Safi kwa hoja yako mdee viongozi fungukeni acheni kukava ukweli
@marwalucas5961
@marwalucas5961 2 жыл бұрын
Pachimbishe dada laoooooo.
@masanyiwalubage9476
@masanyiwalubage9476 2 жыл бұрын
Da! Una sauti mbaya kweli yaani inanikera masikioni
@magdalenabenard4208
@magdalenabenard4208 2 жыл бұрын
Msaliti
@richardcastromzena5136
@richardcastromzena5136 2 жыл бұрын
6:02 10:35
@robertphilip385
@robertphilip385 2 жыл бұрын
Hizo ngege wanapandaga viongozi waccm hazina faida yeyote ngege gani haiendi ulaya
@hassanmuhammadamin2705
@hassanmuhammadamin2705 2 жыл бұрын
Yuda
@dassustephen5391
@dassustephen5391 2 жыл бұрын
So what mnataka?ATCL inahujumiwa hakuna lolote la maana.Magufuli alinununua nanyie mtumie akili kuziendesha kwa faida.Nonsense
@babuuwakitaa1302
@babuuwakitaa1302 2 жыл бұрын
Mdee dadangu ukovizuri tatizo ni19
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 2 жыл бұрын
Halima oyeeeee
@patrickmfundiri8669
@patrickmfundiri8669 2 жыл бұрын
Ungepita kiupinzani dah nakukubali kinoma nisha kuchaguaga lkn ndo hivyo Ila bado uko poa
@hajiramussa7656
@hajiramussa7656 2 жыл бұрын
Jamani tusaidieni sisi mabalozi tulipwe posho yetu y postikod mwezi wa pili sasa
MWIGULU AMVAA ESTER BULAYA / UNANIANGALIA SANA MIMI / WABUNGE HAMUONI AIBU
9:56
ПРОВЕРИЛ АРБУЗЫ #shorts
00:34
Паша Осадчий
Рет қаралды 7 МЛН
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 38 МЛН
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 91 МЛН
MBUNGE WA MBULU VIJIJINI ARUKA SARAKASI BUNGENI, AKIDAI BUNGENI.
10:48
Ni kuri na njira njeru cia kweheria Rigathi Gachagua wabici-ini.
27:06
KAMEME OFFICIAL PAGE
Рет қаралды 2,2 М.
ПРОВЕРИЛ АРБУЗЫ #shorts
00:34
Паша Осадчий
Рет қаралды 7 МЛН