Kwa uchungu Lusinde alia ugumu wa maisha nchini "Watanzania wana hali mbaya, msilete masihara...

  Рет қаралды 447,936

EastAfricaTV

EastAfricaTV

2 жыл бұрын

Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5

Пікірлер: 1 300
@unjubinunuki7174
@unjubinunuki7174 2 жыл бұрын
Mungu bariki huyu lusinde.AMENN
@stellahwilfred5762
@stellahwilfred5762 2 жыл бұрын
Wakinyamazisha wadogo hao hata mawe yatasema sote tumeumbwa japo wanasiasa hupifuka wakizifikia PESA za kodi zetu kujisahau kbs😔🤔😎
@winchislausignas4678
@winchislausignas4678 2 жыл бұрын
Lusinde upewe nguvu za kuishi na kututetea
@josephajosephat6179
@josephajosephat6179 2 жыл бұрын
Mungu ambariki sana
@kasalempalasinge7471
@kasalempalasinge7471 2 жыл бұрын
Kabisa mweshimiwa ogeyaaa
@isaacmwansile4832
@isaacmwansile4832 Жыл бұрын
Hongera lusinde sio hao wabunge vilaz
@JAKODAMO
@JAKODAMO 2 жыл бұрын
Mbunge Lusinde apewe ULINZI tafadhali! Mawaziri hawa hawatufai kabisa Tanzania: January Makamba, Nape Nnauye, Mwigulu Nchema, Ridhiwani Kikwete!! Like if you Agree
@amenmushi4240
@amenmushi4240 2 жыл бұрын
Tusimsaidie Mungu .Bali tuombe Mungu hakuna atayeishi milele
@amenmushi4240
@amenmushi4240 2 жыл бұрын
Naamini nguvu ya maombi sana
@amenmushi4240
@amenmushi4240 2 жыл бұрын
Mwanadamu yeyote ni maiti mtarajiwa shida iko wapi.
@emacratantara7434
@emacratantara7434 2 жыл бұрын
Kweli umenena
@sportsnewjs4330
@sportsnewjs4330 2 жыл бұрын
Lusinde nikweli unafaa kuwa kiongozi umenena ukweli sana''🙏 na MUNGU akubiriki akuongoze 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Tanzania' tunaweza💪
@anjiwikeulomi2852
@anjiwikeulomi2852 2 жыл бұрын
Sana sana Aishi miaka mingi
@suleimanmuhammed1347
@suleimanmuhammed1347 2 жыл бұрын
Tumchagueeee magufuli wetu wabaadae lusinde oyeeeee
@angellaminzani2652
@angellaminzani2652 2 жыл бұрын
Mtaala wa kilimo ni muhimu sana
@lovemusicnoreen9185
@lovemusicnoreen9185 2 жыл бұрын
The genius lusinde ni Kweli tusiingize siasa katika maendeleo ya nchi na wananchi
@chomasongidion6047
@chomasongidion6047 2 жыл бұрын
January,nape na riziwani hawakubaliki kabisa kabisa kwenye serikari ya Mama,wanaichi hawawapendi na ndiyo Nuksi ya Taifa.hakiyanani tena chunguzeni .yaani bola watu vitu vipande lakini kuliko uwepo wahawa watu.mama watowe
@godfredbwire4704
@godfredbwire4704 2 жыл бұрын
Ongeza na mwinguru chemba
@geey7893
@geey7893 2 жыл бұрын
Hawa wana laana kubwaa ya kumtukana yulee mzee. Itawatafuna maishaaa
@bibieismaily5761
@bibieismaily5761 2 жыл бұрын
Wapo wengi so hao tu! Lkn pa riziwani ndo pamezidi...eee!
@joycebayo8106
@joycebayo8106 2 жыл бұрын
I want to congratulate Lusinnde mbunge, anachangia vizur sana, kumbe CCM ina wabunge wazuri sana, big up sana mbunge.
@jeffferdinand788
@jeffferdinand788 2 жыл бұрын
Sema sema sema babaa hapo ndo tunapotaka mtaan huku Ali ngumu acha tufe tukapumzik nchi waishi matajiri lakin matajiri awachimbi kaburi Rais anasahau maskini anajari matajiri Mungu amsamehe uyo ostadhat
@latwifsued3316
@latwifsued3316 2 жыл бұрын
Safi Sana Mr Rusinde uko vizuri hawa wengine wanaleta siasa, hali ni mbaya kweli
@beatricekihehe3733
@beatricekihehe3733 2 жыл бұрын
Wewe ndio uliyebakia bungeni kwa ajili ya kututetea wananchi wa hali ya chini.
@praygodmtui1407
@praygodmtui1407 2 жыл бұрын
Kati ya wabunge wenye uchungu kuhusu maisha duni ya watanzania ni waziri wetu wa fetha mheshimiwa mwigulu mchemba ano uchungu mkubwa na watanzania kuliko wabunge wote na mawaziri wetu.
@ismailmichael7854
@ismailmichael7854 2 жыл бұрын
Lusende anajua alitochotumwa na wananchi, hata wengine tunamuunga mkono huku tuliko kwa 100% na wabunge wetu wapo Kama mapazia mlangoni, maisha yamekuwa magum Sana, vitu vinapanda bei utazani tuko mnadani ambapo kila mtu anapanga bei yake, ifike mahari viongozi wamfikirie yule mwananchi aliyeko kule kijijini kabisa wajue atakuwa na Hali gani kwa Sasa, ndiyo waanze kuongea baada ya kuona Hali ilivyo, na Soo kuongea tuu na kujali msrahi yao, wananchi tunaumia Sana tena Sana kwa Hali hii ya mfumuko wa bei, Iv hela ya tozo zetu zinaenda wapiiii?????
@kilimanjaro695
@kilimanjaro695 2 жыл бұрын
Hakuna chochote. Hakuna kati ya hawa yupo kwaajili ya wananchi. Kama kila siku wanataka waongezewe mipesa tu na Ma V 8 Hakuna anaye jali zaidi ya family zao
@nasseralmaqbali6317
@nasseralmaqbali6317 2 жыл бұрын
Kweli ni mbunge shupavu
@salomewandya7257
@salomewandya7257 2 жыл бұрын
Wanaleta mzaa wanamkatisha
@yohanamaige6196
@yohanamaige6196 2 жыл бұрын
Lusende ndiyo mbunge anayefaa kuliko nguruwe pori wengine.
@ablestclemence7382
@ablestclemence7382 2 жыл бұрын
Halafu unasikia mama ametengeneza filamu ya bilion 7 ety hela zawadau duuuuu
@calvinanthonymtewele3177
@calvinanthonymtewele3177 2 жыл бұрын
Kumbe kuna watu Bungeni kama Lusinde, nimeipenda sana. Hongera sana kwako Lusinde.
@evalineemmanuel8178
@evalineemmanuel8178 2 жыл бұрын
taarifa kila saa taarifa kagusa pabaya
@evalineemmanuel8178
@evalineemmanuel8178 2 жыл бұрын
kama yapo mbona watanzania tunateseka alafubmnaficha ficha amsemi ukwwli
@kamlkaml4509
@kamlkaml4509 Жыл бұрын
@@evalineemmanuel8178 watu walikuwa wanafanya biashara barabarani mmefukuza
@kamlkaml4509
@kamlkaml4509 Жыл бұрын
iyo tanzania sio ulaya wala walabuni waacheni watu watafute maisha mabarabarani ivi wale wauza maindi ya kukaanga kama ni mabisi mmewapangia wapi kama siyo kuweka mashine ndani sasa si atali iyo
@kamlkaml4509
@kamlkaml4509 Жыл бұрын
@@evalineemmanuel8178 nyie ndio mmetuletea panya rodi tanzania kwa sababu ugumu wa maisha eti mnase
@saiguranlaurent441
@saiguranlaurent441 2 жыл бұрын
Sema lusinde waizi ndio wanakupiga taarifa na umewashinda kumbe bungeni Kuna watu Wana akili na elimu pia na utu Kama lusinde halima msukuma mungu atawalipa wengine ni vibaraka za wazungu
@stellahwilfred5762
@stellahwilfred5762 2 жыл бұрын
😔😔🙏🙏🙏🙏🙏
@anordmwemezi5364
@anordmwemezi5364 2 жыл бұрын
🙏🙏🙏👩‍🦯
@humphreyanderson1633
@humphreyanderson1633 2 жыл бұрын
Asilimia 90 ya wabunge wapo pale kwa ajili ya posho, cheo na matumbo YAO. Hawajui hata sababu ya uwepo wao Bungeni. Baadhi ya mawaziri ndio kabisaaa sijui hata nani anapendekeza majina yao na nani anawafaniia Vetting. Nepotism has taken Over. Nchi haita enda kokote endapo kila mbunge ana mawazo ya kuwa Waziri.
@theresiamwandara7990
@theresiamwandara7990 2 жыл бұрын
Huyu ndiyo mgogo pekee ninaemuelewa.Kututangazia kua bei zote zitapanda ni kutotumia busara.Nchi hii imepotea sekunde tu baada ya Magufuli
@lilykarim8968
@lilykarim8968 Жыл бұрын
Kweli kabisa
@husseinponda
@husseinponda 2 жыл бұрын
Mh Lusinde umeongea kwa uchungu sana kwa.kuzingatia ukali wa maisha wabunge wengine acheni kuleta porojo watu wanateseka.lazima serikali ichukue hatua
@angellaminzani2652
@angellaminzani2652 2 жыл бұрын
Ba Lusinde matajiri hawawezi kukuelewa ssi maskni tunateseka sana
@wardadanda6322
@wardadanda6322 2 жыл бұрын
Mwenye uhakika wa kula mboga Saba awezi kujua njaa na shida ya mtu anae kula mboga moja
@wardadanda6322
@wardadanda6322 2 жыл бұрын
Hali ni ngumu mno kiukwel Hali mbaya mno
@stellahwilfred5762
@stellahwilfred5762 2 жыл бұрын
Tena porojo c kdg
@mangulimanguli3974
@mangulimanguli3974 2 жыл бұрын
Big up lusinde, Wabunge kama nyinyi Wazalendo ndo mnaitajika
@zahirurumidis4301
@zahirurumidis4301 2 жыл бұрын
Kwa hakika mzungumzaj ajaenda bungeni kulala anatutetea wanyonge,kila mtu akiongea "Taharifa taharifa taharifa"kwani mbona munaingiliana???
@sarahmmbwanji3782
@sarahmmbwanji3782 2 жыл бұрын
Huyo anayetoa taarifa yeye ameshiba
@sirksirk4821
@sirksirk4821 2 жыл бұрын
Akili kubwa sana Mhe. Lusinde. Umeona mambo ambayo Maprofesa na Madaktari wa Falsafa ambao wamefanya tafiti mbalimbali katika kujipatia Elimu hizo. Ur my Professor and Doctor of Philosopher
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 жыл бұрын
Zahiru mama kazidiwa na mijizi hachomoi hapo kawakaribisha mwenyewe amerudisha awamu ya nne imerudi upya subiri 2025 asipobadilika kwa hali iliyopo anapigwa na chadema
@zahirurumidis4301
@zahirurumidis4301 2 жыл бұрын
@@margarethpolepole7438 Kwa hali hii inavoendelea ni bora nchi tukabidhi mikononi mwa upinzani hawa wanajiangalia wao hawatudhamin watu wa hali ya chini.
@patientlazaro6930
@patientlazaro6930 2 жыл бұрын
Huyu mbunge anatetea wananchi wake. Anajielewa nimempenda bure asee.
@chomasongidion6047
@chomasongidion6047 2 жыл бұрын
Lusinde ,bashe,shabibi msukuma,kishimba .ndowabunge watanzania wanaokubalika wengine mavi yaoo.taalifa taalifa taliia ya nini sasaaa???wawe wanajitasimini hakiyamungu.aibu hata natoto yenu yanawacheka taalifa unajipendekeza kwa nani sasa!!!!!!?pumbafuu
@fatmamunde5543
@fatmamunde5543 2 жыл бұрын
Hahahahahhh
@simononey9345
@simononey9345 2 жыл бұрын
Mbn umemusahau gwajima
@aminamjanaheri9725
@aminamjanaheri9725 2 жыл бұрын
Ndugai je?😂😂
@mohamedrajab6652
@mohamedrajab6652 2 жыл бұрын
Serikali iliyopo madarakani ipo kwa maslahi binafsi na sio kwa wananchi wake,kiongozi mkubwa wa nchi anatumiwa na mabepari na ndiyo maana Tanzania ya sasa sio ya miaka ya 90,watu walifurahia maisha kwa sasa walioingia madarakani wengi ni wahuni tu na wapo kwa maslahi yao binafsi,wajue wanayofanya yana mwisho uliokaribu kabisa wananchi wa hali ya chini tunanyanyasika sana na hawa baadhi viongozi wanaotumiwa na mabepari,Ewe mmiliki wayaliyo siri na yaliyo dhahiri endelea kuwapa mitihani mikubwa mikubwa wanayoiyona na wasiyoyana amiin.
@evodiusmwombeki9247
@evodiusmwombeki9247 2 жыл бұрын
Ccm ni ile ile
@tangaoldtv1067
@tangaoldtv1067 2 жыл бұрын
Unajua tatizo hajajua uchungu wa kupigiwa kura kwahio laIzima aone ni kawaida
@issazalala4907
@issazalala4907 2 жыл бұрын
Kuanzia raisi WA kwanza Hadi SASA ilikosa Lina wausu nnchi haina akiba miaka60 ni aibu Sanaa kwakweri
@kennywilliam2466
@kennywilliam2466 2 жыл бұрын
@@evodiusmwombeki9247 ccm ni ile ile na wahuni ni wale wale.
@williumjackob8361
@williumjackob8361 2 жыл бұрын
😭😭😭😭😭
@husseinmasunga1778
@husseinmasunga1778 2 жыл бұрын
Hongera Sana mweshimiwa lusinde mungu akupe maisha marefu
@husseinjohn8404
@husseinjohn8404 2 жыл бұрын
Wabunge wakisimama kuchangia kazi yao ni kusema tunampongeza mh rais ujinga mtupu, tunahitaji wabunge kama hawa big up lusinde🙏
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 2 жыл бұрын
Ni wapuuzi tu cjui ht kitu gn wanacho mpongeza uyo bibi yao
@Karromiatz
@Karromiatz 2 жыл бұрын
TUTAMKUMBUKA MAGU song #karromia
@egidiusthadeo5573
@egidiusthadeo5573 2 жыл бұрын
Hebu punguza sauti msiseme mama hajafanya chochote na hasitaili kupongezwa Kashafanya sema nyie ndo hamjaona acha walioona wampongeze
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 2 жыл бұрын
@@egidiusthadeo5573 kafanya nn hs alicho kianzusha yy kikakamliika ikiwq vyote kaqchiwq na mqgu
@mosseskanini255
@mosseskanini255 2 жыл бұрын
@@egidiusthadeo5573 ww ni mmoja ya wapuuz wachache waliopo tz,ungekuwa unajua hali wanaopitia wananchi ungekuwa unajitafakar kabla ya kuropoka,na mwaka huu mvua ilivyokuwa ya kusua sua mbaka mwez wa 7_10 hutaamin njaa itakayotokea nchin v2 vitapanda bei hutaamin
@YFM-rq9td
@YFM-rq9td 2 жыл бұрын
Uzalendo ndo Kitu kinakosekana Sana kwa Viongozi wetu Hususa mawaziri Wenye Dhamana,,,Wanalinda nyadhifa adi Kwenye Mambo ambayo Yapo wazi yanaonekana wanataka kupindisha pindisha
@lulanjamd3886
@lulanjamd3886 2 жыл бұрын
Tanzania tuna wabunge wachache Sana wanaoumia kuhusu hali ya nchi
@stellahwilfred5762
@stellahwilfred5762 2 жыл бұрын
Very true
@tangaoldtv1067
@tangaoldtv1067 2 жыл бұрын
Kweli kabisa Mimi nimeumia SNA nape nauya kupewa uongozi mama katuaibisha SNA kwa kashfa ile ya kupanga njama nakarudishwa wanakazi ya kufunga kina makonda na na yule wa arusha alie fungwa nape anakashfa mbaya sana kuliko kina makonda lakini karudishwa
@stellahwilfred5762
@stellahwilfred5762 2 жыл бұрын
@@tangaoldtv1067 let us watch. Keep on PRAY 🙏
@nasseralmaqbali6317
@nasseralmaqbali6317 2 жыл бұрын
Wengi wa wabunge wapo kwa ajili ya maslahi yao tu
@AbrahamSekuza
@AbrahamSekuza Жыл бұрын
Mwijage ndio mana Magufuli alikutumbua bado unashida kichwani
@elipidtesha5466
@elipidtesha5466 2 жыл бұрын
Nakupongeza sana mbunge lusinde kwa kuongea maisha hali halis mtaan ,mwenyez mungu akunyanyue uwe kiongoz kwa maono uliyo nayo
@nicojohn1192
@nicojohn1192 2 жыл бұрын
Wabunge hawa wa Taarifa ndio wapigaji huyu waziri wa fedha ajitathmini hivi ana kivuli kweli sisi huku vijijini mpk kivuli imekonda pia
@hoseasteven6241
@hoseasteven6241 2 жыл бұрын
Haya mambo ya taarifa yanaboa mno sana
@deusdedithmichael2131
@deusdedithmichael2131 2 жыл бұрын
Lusinde natamani sana angekuwa waziri wa fedha
@saiguranlaurent441
@saiguranlaurent441 2 жыл бұрын
Angalieni sana mwezeni anaogea Jambo nzuri zana eti munapiga taarifa yenu ya kipumbafu hao hao ndio wajali matumbo yao hawajali wanainji walaaniwe wanakupiga taarifa wanasema kitu ambao Haina kichwa la miguu sema baba
@saumramadhan7134
@saumramadhan7134 2 жыл бұрын
2ngekua na wabunge 10 wanaojua kilichowapeleka bungen 2ngefka mbal,,
@upendodaniel8598
@upendodaniel8598 2 жыл бұрын
Siunaona wanavyomzui Kwa taarifa zao zakijinga yaani huu nimpango wao wakidikiteta
@tatusiamrisho7665
@tatusiamrisho7665 2 жыл бұрын
Huyu mbunge nimependa aisee
@rajabukhalfani4746
@rajabukhalfani4746 2 жыл бұрын
Huyu jamaa mara nyingi huwa simchukuli sirias kutokana na maneno ya kisiasa ambayo hua anayatoa ila kwa Leo well done umegusa maisha ya watanzania effectively BRAVO hon LUSINDE.
@fredyjeremia7074
@fredyjeremia7074 2 жыл бұрын
Ingawa nimekuelewa vyema ssana.una uchungu na wanyonge like Mimi..BARIKIWA SANA MKUU.
@dadaagnes4483
@dadaagnes4483 2 жыл бұрын
Mwigulu ni kiongozi mnafiki sana
@neemasawe7016
@neemasawe7016 2 жыл бұрын
Mnooo
@peteropiyo5934
@peteropiyo5934 2 жыл бұрын
Katika siku zote Leo ndio umeongea jambo bungeni lenye akiri
@alimakame9215
@alimakame9215 2 жыл бұрын
Nikweli
@zakariankinda504
@zakariankinda504 2 жыл бұрын
Du! hakika. Lusinde umeongea jambo lamana sana
@cattydaniel5016
@cattydaniel5016 2 жыл бұрын
Lusinde wewe ni mbunge Safi sana nakukubali hongereni Jimbo la mvumi mna mbunge makini
@annalesilwa9204
@annalesilwa9204 2 жыл бұрын
Mungu kamtumia kuongea asante Mungu
@allyhassan2973
@allyhassan2973 2 жыл бұрын
Kuna nchi zimehifadhi mafuta utadhani zinavisima kumbe ni akiba huyo jamaa kaongea ukweri kabisaaa!!. Na niseme tu kua hao wabunge wanaotoa taarifa taarifa kwenye hoja ya msingi ni wanafiki na hawakujaaliwa kua uwezo wa kufikiri mambo ya muda mrefu ka faida ya wananchi. Na hii ndio athari ya kuchagua jezi ya kijani badala kichwa. Ndani ya serekali kiutendaji kuna mapungufu mengi utadhani tuna miaka kumi ya Uhuru kwamba ndo tunaunda serekali Leo, hapo bungeni kueni Sirius kenye mambo yamsingi acheni siasa bungeni.
@rashdiyange7758
@rashdiyange7758 2 жыл бұрын
safi sana lusindeee safiiii safiiiii sanaaaaaaaaaa
@bonifansimatias6951
@bonifansimatias6951 2 жыл бұрын
Kumbukeni hata kwenye kipindi cha jakaya vitu vingi vilipanda bei aliyeshusha walichomfanyia wanajuwa wenyewe maana ufisadi umeingia alisema mtanikumbuka tena kwa mazuri
@herrysonk.edward609
@herrysonk.edward609 2 жыл бұрын
Na tutamkumbuka mpaka ahela maan sikuiz naona tunabuluzwa kama punda afe mzigo ufike
@witnesskassa2440
@witnesskassa2440 2 жыл бұрын
Lusinde pambana Mungu akutangulie
@justkibet1125
@justkibet1125 2 жыл бұрын
The command of swahili in the Tanzanian parliament is unbelievable. Love from Kenya
@stellakaluwa3647
@stellakaluwa3647 Жыл бұрын
Magala yakowapi waongo magala yao wenyewe hayo sisi wanyonge hayatusaidii
@shinipapaya846
@shinipapaya846 Жыл бұрын
Hivi nyie Chikenya mnataka nini huku? Fuatilieni mambo yenu huko huko
@marianmartin7483
@marianmartin7483 2 жыл бұрын
Hongera sana mh Lusinde
@masumajoseph8465
@masumajoseph8465 2 жыл бұрын
Mwigulu na makamba ni Kati ya Mawaziri wa hovyo kuwahi kutokea kwenye hii nchi hapa ndo tujifunze kitu kwenye uongozi Kati kuchaguliwa na kurithi uongozi
@nikolausmsakwa9056
@nikolausmsakwa9056 2 жыл бұрын
Mm naona wabunge wawe wanajali wananchi sio kujijali wenyewe wakumbuke tumewachagua SS wanyonge wakatutete sisi
@stivinshedrack7841
@stivinshedrack7841 2 жыл бұрын
Kabisa yaan hawafai kuitwa viongozi hawa
@athumanipigo9295
@athumanipigo9295 2 жыл бұрын
Na atachukua fom ya uraisi😂😂😂😂
@marcoakyoo760
@marcoakyoo760 2 жыл бұрын
Lusinde hujawahi niangusha hongera sana umekuwa sauti ya wasio na sauti
@stewardmgeni8594
@stewardmgeni8594 2 жыл бұрын
Mheshimiwa Lusinde MUNGU akubariki kijijini hali ilivyo ni mbaya na tumekata tamaa haijawahi tokea,uzuri tunajua ni MUNGU atusaidie maana tunawasikia wawakilishi wetu wengi wapo kwa maslihi yaao:
@eunicemligo5290
@eunicemligo5290 2 жыл бұрын
Safi sana Lusinde!!! 👏👏👏👏👏🎂🍾
@ignatusjoseph4216
@ignatusjoseph4216 2 жыл бұрын
Ama kweli mbunge anaongea point yakujenga Taifa wengine mkatisha tamaha kikubwa nikuwa ifadhi ya mafuta ya serikali
@lauwlawlence5312
@lauwlawlence5312 2 жыл бұрын
Hongera Livingstone lusinde haupo hapo bungeni kwa bahati mbaya: umekuwa sauti kwa wasio na sauti, "Ukweli utabaki kuwa ukweli tuu" No matter utapokelewaje? Nimeona mwijage anataka akutoe Kwenye leli umemshitukia Eti "unanipiga Siasa na Mimi Tena? Hii Nchi watanzania wa Sasa Sio wajinga, leo hii nimemsikia C.A.G akizungumza hoja nzito Zile Hewa Hewa Ktk Kodi za watanzania zimerudi inasikitisha Sana Mungu anawaona! Upumzike salama JPM 🙏😭😭😭
@emmy85sweetie99
@emmy85sweetie99 2 жыл бұрын
Safi sna mbunge nimekuelewa vizuri, kwel unahofu ya Mungu kwa kuona wananchi tunateseka wanasiasa wanakula kwa mteremko pesa zetu kutusaidia kwenye vipind cya mpito hawataki wanaleta siasa wakat mambo yanaonekana hayatak siasa bali yanataka ufumbuzi
@josiaelia8546
@josiaelia8546 2 жыл бұрын
Viongozi mizigi
@hamisizetz8942
@hamisizetz8942 2 жыл бұрын
Ivi Kwa mfano ndo tunavamiwa saiv yaan vita.. je vifaru na magar ya jeshi mafuta yatapatikana wapi?? Mi naona n kweli kbs ayasemayo mbunge kua suala la mafuta ni usalama wa nchi
@habibndyeshobora6848
@habibndyeshobora6848 2 жыл бұрын
CCM Bado INA wabunge/ viongozi licha ya kuwepo viongozi wala rushwa/ wanaotumiwa ( wenye kutumiwa na nchi za magharibi/ traitors!!!!) Heko Mr. Lusinde. Watu kama Mwijage in wanafiki ....anajikomba ili apewe cheo hafai hats kidogo!!!!
@giftmindasi8392
@giftmindasi8392 2 жыл бұрын
Ww na gwajima Mungu awalinde!!!tumepata tena wa kututetea wanyonge!!
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 2 жыл бұрын
Mh Lusinde mungu akupe nguvu na maisha marefu ..wewe ni Mtanzania mzalendo harisi , siyo Kama wale wazungu weusi..
@lawimanumbu5103
@lawimanumbu5103 2 жыл бұрын
Waziri wa fedha hakina kitu. Jambo muhimu analeta siasa muda huu si wakubebeleza, ndo maana Magu alikuwa anasema tukichekeana hatutafika.
@henrycyprian5005
@henrycyprian5005 2 жыл бұрын
Kabisa
@sophiamlanga8030
@sophiamlanga8030 2 жыл бұрын
Angalau mnatupa mwanga sasa kwa hoja zenu tunaomba utekelezaji hali ni ngumu sana.
@patrickkalengela7125
@patrickkalengela7125 2 жыл бұрын
Bado tunawaza kufufua tu, sasa hivi hata EWURA hawaoni Cha kufanya, maana vyombo vya usafiri sasa kila kukicha wanapandisha nauli Kama watakavyo, no one to Restrict them
@josephmemba9489
@josephmemba9489 2 жыл бұрын
Mwigulu kubwajinga sana
@pauloalfayo1868
@pauloalfayo1868 2 жыл бұрын
Lusinde kweli Huwa nakuonaga mjinga na Huwa sikupenda ukweli kabisa lakini Leo nakuombea mungu uwe waziri wa fedha itakuwa nafuu tunatezeka waziri wa fedha anaongea kama kitu Cha kawaida, wengine taarifa taarifa wanapoteza point ya muhimu sana
@magembetv5866
@magembetv5866 2 жыл бұрын
Tatizo Elimu yake...
@mamachris6811
@mamachris6811 2 жыл бұрын
Akiwa Waziri anatii tu Ngumu kutoa ya moyoni
@jacksonbiswalo8360
@jacksonbiswalo8360 2 жыл бұрын
Tunahitaji Mbunge kama ww Lusinde big up🤝🤝
@revocatuskaizilege1231
@revocatuskaizilege1231 2 жыл бұрын
Baba uko sahihi,kama serikali Ina maghara ya mafuta yako wapi?? Hongera sana komando.Amina
@felixombati6423
@felixombati6423 2 жыл бұрын
bunge nchi yetu Kenya wanachangia kulingana na mlengo wa kisiasa si huduma kwa nchi au mkenya wa kawaida. hongera majirani wetu kwa taratibu kama hiyo bungeni
@samsonmtambi9866
@samsonmtambi9866 2 жыл бұрын
Genius. may lord Grant you long life
@husseinmngodo7557
@husseinmngodo7557 2 жыл бұрын
Hongera kwa kutupiganiya Mh.Lusinde. Tunawaomba wananchi wa Mtera wampitishe Mh.Lusinde awe mbunge wa kudumu katika Bunge hili.
@annamwakibuja1383
@annamwakibuja1383 2 жыл бұрын
Huyo Mama mwambieni Mungu anamuona maisha yetu nishida ye aendelee kuigiza na kupaa Nchi za Watu Mungu atamjibu
@adildewji
@adildewji 2 жыл бұрын
Wow. Well done. What a good point.
@chomasongidion6047
@chomasongidion6047 2 жыл бұрын
Nimemsahau gwajima jamani nayeye pia ni mbunge anaekubalika sana kwa watanzania.
@mengifrank7238
@mengifrank7238 2 жыл бұрын
Mh.lusinde mungu akubaliki xana nahuwaga nakuftialia xana kwene halakatizako za kixelikari upo vzr. Kuwanamximamo uwouwo
@jofremwilongo668
@jofremwilongo668 2 жыл бұрын
Pole sana kwawabuge wasiyo jielewa kwasababu wawo wamelizika na mishahala yawo tunakushukulu sana silinde kwakuogeya hoja ya musingi yakutungusa ssi wanaichi mungu akupe maisha malefu ???
@athumanisururu1711
@athumanisururu1711 2 жыл бұрын
Very good Mh. Lusinde, you are right for 100% kila mwaka huwa hali ngumu ya uchumi, itaelezwa sababu itakuwa ukame wa 1975 au vita ya Kagera, sasa tunachanga vita ya Urusi, hii ni ukosefu wa dira ya uwajibikaji kW serikali na Ilani ya uchaguzi ya chama, ndiyo inayo ongoza ubovu wa utendaji serikalini kwa kuwa chama kimesha watengenezea mianya ya uozo huo.Ilani kila mwaka kipengere cha ukame na vita ya kagera, na 2025 itaingizwa vita ya Urusi.
@marykomba7077
@marykomba7077 2 жыл бұрын
0
@marykomba7077
@marykomba7077 2 жыл бұрын
0
@marykomba7077
@marykomba7077 2 жыл бұрын
ä0 ä
@marykomba7077
@marykomba7077 2 жыл бұрын
0
@marykomba7077
@marykomba7077 2 жыл бұрын
ä0 üü0ü0
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 2 жыл бұрын
Lusinde, God bless you. Taifa halina maono, halina viongozi, halina control na chochote kuanzia mafuta yote, sukari, ni wizi na wachumia tumbo tupu hawana nia ya kuwatoa Watanzania kwenye giza nene la umaskini. Mungu anaishi, macho yake yapo Tanzania.Hangaya hatoshi kuwa kiongozi.
@hawahawa6132
@hawahawa6132 2 жыл бұрын
Taarifa za nn Sasa?mtu anachangia vizur so wakina shangaz nao VIP?
@telaamtauta2227
@telaamtauta2227 2 жыл бұрын
Jamani lusinde unao gea sahihi kabisaa serikali yetu nimbovuuuu kabisaa mungu anawaona mnayo tufanyia sisi mnaotuona niwaji ga nandio tunao.wachangia nyie mnavimba matumboyenu mungu yupo mu gu akutanguliye mbele kaka lusinde
@joshuamwambene6041
@joshuamwambene6041 2 жыл бұрын
Putin alianza na maneno. Nitapiga Ukraine hatimaye akapiga. Leo hii nyie kina Mwigulu mnatuletea siasa katika huu ukali wa maisha.Lusinde anaongea ukweli maisha hayafai.
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 жыл бұрын
Joshua maisha ni nagumu sana na wanawake ndiyo wapiga kura aje mama samia huku mitaani awasikilize wauza mihogo wakaanga samaki mandazi nk asikie vumbi lake wanasema hawatampigia kura kwa hali kama hii
@mwebrania8502
@mwebrania8502 2 жыл бұрын
Kipindi cha korona,nchi zote zilifunga mipaka yake na bei za bidhaa zilikuwa chini lakini leo mtu anasema bei zimetokana na vita vya urusi
@bahatisaimon6019
@bahatisaimon6019 2 жыл бұрын
Tatizo tumbo
@epifaniamzena9593
@epifaniamzena9593 2 жыл бұрын
Ajabu ndiyo hiyo sasa
@humphreyanderson1633
@humphreyanderson1633 2 жыл бұрын
hivi Mpwapwa ina mbunge au jimbo halina mbunge!?
@justineemmanuel8227
@justineemmanuel8227 2 жыл бұрын
Jaman viongozi jueni kuwa watanzania wasasa wanaakili timamu siasa zenu za upuuzi tumezichoka . Wako wapi wazalendo wa nchi? Au kwasababu bendera yetu haina nyekundu??? BIG UP LUSINDE
@sarahshalom97
@sarahshalom97 Жыл бұрын
Mungu ibariki 🇹🇿 Mungu wabariki viongozi walio na uchungu na msimamo wa kuongoza TAIFA letu wafunike kwa Damu ya Yesu wawe salama👏👏👏👏🙌🏼🙌🏼🙌🏼
@eliyamuhuro8576
@eliyamuhuro8576 2 жыл бұрын
Mwigulu anapenda sana kulahisisha mambo nikwasababu yeye pesa kwake siyo shida nikwasababu wao wanachota tu pesa
@neemasawe7016
@neemasawe7016 2 жыл бұрын
Nataman nikupe likes mia
@eliyamuhuro8576
@eliyamuhuro8576 2 жыл бұрын
@@neemasawe7016 moja tu dada inatosha
@zennahassan1597
@zennahassan1597 Жыл бұрын
Lusinde uishi miaka miaaaa ongera xanaaaaa
@julianamasato5655
@julianamasato5655 2 жыл бұрын
Yani ww mzee nakuerewaga sana hunaga kujipendekeza unasema ukweri mtupu ww na msukuma nawakubari sana hanmga ukwepeshaji yani mnagonga zakichwa
@farajaseme2549
@farajaseme2549 Жыл бұрын
Mungu akpe maishan marefu na uhenderee kudumu naubunge ktk Jimbo lako unafaa
@gladnessmathayo3224
@gladnessmathayo3224 2 жыл бұрын
Waooooh nimeipenda maelezo ya Lusinde Mungu akubariki
@Bishopdavidndaki7184
@Bishopdavidndaki7184 2 жыл бұрын
Lusinde, lusinde, safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,
@joshuamwambene6041
@joshuamwambene6041 2 жыл бұрын
Lusinde anatufaa mno Watanzania naomba 2025 achukue fomu...ndiyo Rais wa namna ndiyo tunamtaka. Tanzania.
@deograciakashaigili5973
@deograciakashaigili5973 2 жыл бұрын
Point hiyo! Achukue fomu.
@isavikamasanja6325
@isavikamasanja6325 2 жыл бұрын
Asante nimekuelewa sana duuh wabunge wote wangekuwa kama wewe inchi yetu ingefika mbali sana
@maxnyer
@maxnyer 2 жыл бұрын
Mungu akulinde .....mbunge unayejitambua ....lusinde hakika unajua matakwa ya wananchi
@simbarajabu4157
@simbarajabu4157 2 жыл бұрын
Tunataka bei ipungue usituletee siasa zenu za ccm
@kasiankillo6949
@kasiankillo6949 2 жыл бұрын
Ivi uyu wazili mchembe anajielewa kweli naumia Sana nikisikia sipichi zake Kama mtu asiejielewa
@davidnyambuche352
@davidnyambuche352 2 жыл бұрын
😂😂😂
@getrudamartin2409
@getrudamartin2409 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@gracechuwa666
@gracechuwa666 2 жыл бұрын
Lusinde Mungu uko vizuri
@gracechuwa666
@gracechuwa666 2 жыл бұрын
Dah!hali imekuwa ngumu jamani
@elizabethtr5rrtakonaay413
@elizabethtr5rrtakonaay413 2 жыл бұрын
Hawa wabunge na mawaziri huwa wanaishi ulaya na kuja kupanga bajeti Tanzania? Lusinde pekee anaishi Tz so amazing
@freddymtashi5020
@freddymtashi5020 Жыл бұрын
Mwigulu siyo professional wa uchumi! Niwa mchongo2!!
@saidimkurago6893
@saidimkurago6893 2 жыл бұрын
Huyu waziri wa fedha ndio boya sana analeta mzaha kwenye Jambo Muhimu kama hili
@salomemchewa5187
@salomemchewa5187 2 жыл бұрын
Ajiuzuru na yeye tumemchoka
@helenarhobi1250
@helenarhobi1250 2 жыл бұрын
Serikali inalifauatilia kitu gani Mwiguru acha uongo, tunaumia wananchi kila kitu kimepanda bei unasema utumbo tu. Magufuli wetu alipokufa mkashangilia sana sasa mnaumbuka my matokeo yake ni kututesa wananchi hasa wa hali ya chini!
@stellahemilian9168
@stellahemilian9168 2 жыл бұрын
Huyu ndiye chz wa mwisho kbss
@josephinemule3604
@josephinemule3604 2 жыл бұрын
Mungu akubariki Lusinde natamani uwe raisi wa nchii hii maana unatambua maumivu ya watu wa chini, sio hawa Wana kupa taarifa ambazo hawajafikilia wanatoa kwa sababu wameshiba
@zulfaissa7814
@zulfaissa7814 2 жыл бұрын
Maashallah rusinde mwenyezi mungu akuzidishie kwapoint za msingi sn hakika Jimbo lko halitajuta kukuchagua maana umetizama kwaupana
@chazptz7555
@chazptz7555 2 жыл бұрын
Namtamanu PUTIN atusaidie kuuwa viongozi wetu baadhi ...tunaumia mpk chapati zimepannda Bei ....Kila kitu kipo juu ....tutaishi wapi hii nchi ...wanasiasa mtatuuwa
@mustaphalushoto3262
@mustaphalushoto3262 2 жыл бұрын
Hahahahahahhah bonge la point😂😂😂😂 tanzania iko na watu wa hovyo sana
@gracenkya9257
@gracenkya9257 2 жыл бұрын
Hahaaaa jmn putin
@waheedahtanzania4912
@waheedahtanzania4912 2 жыл бұрын
Astagfirullah laadhwim 🤣
@Awatee
@Awatee 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣Si umsaidie uyo putin Astaghfirullah
@chazptz7555
@chazptz7555 2 жыл бұрын
@@Awatee yani angekuwa ndugu yangu Putin ningewakomboa watz
@julianandoweka7165
@julianandoweka7165 2 жыл бұрын
Unajua ndo maana bunge lilikuwa halioneshwi live maana Kila mda taarifa watu hawako serious
@neemasawe7016
@neemasawe7016 2 жыл бұрын
Humo wanaingia hata wasio na upeo yan la hovyo
@khamiskiandiko2965
@khamiskiandiko2965 2 жыл бұрын
Asante lusinde wabunge wengine waige kutoka kwako nasio taarifa taarifa kila unaposema ukweli wanatuboa
@azzaalhabsi1505
@azzaalhabsi1505 2 жыл бұрын
Asante mh lusinde umetutetea wananchi.kweli hali ni ngumu kuliko maelezo.wangepatikana wabunge wengine kama wewe nadhani hali ingebadilika kidogo.
@simonkabuka9170
@simonkabuka9170 2 жыл бұрын
Mheshimiwa Rais anaonesha kuchoka. Hali si hali. Hivi ni lazima January awe waziri? Can't Tanzania go without January!
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 жыл бұрын
Simon kabuka huyo January kakomba hela za nssf za wastaafu kwa kupigia kampeni akawa mshindi wa kwenye kugombea urais kazirudisha sasa anakomba za nishati na madini kila siku mafuta yanapanda eti mama anataka wamsaidie kupiga kampeni ili 2025 apite kwa hali kama hii atampata nani
@paulinacherement2534
@paulinacherement2534 2 жыл бұрын
Ammezing..
@zefamange7281
@zefamange7281 2 жыл бұрын
MAMA ALIKUA ANASAFIRI HOVYO MNAMWANGALIA TUU, TOKA AMEANZA KUSAFIRI AMETUMIA BEI GANI YA PESA ZETU?
@priscusjoseph7664
@priscusjoseph7664 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣 Ila hii comment 🙌🙌🔥
@alvinsafi2733
@alvinsafi2733 2 жыл бұрын
Mama sio...Anasikiliza taarabu tu Sijasikia mm kapiga watu chini wasiowajibika
@ebraniacosmosy2072
@ebraniacosmosy2072 2 жыл бұрын
NAMSHUKURU MH. RAISI NG'OMBE WANGU KAJIFUNGUA SALAMA....
@kulanyamanyamaza3664
@kulanyamanyamaza3664 2 жыл бұрын
Lusinde unaupiga mwingi unajua maisha ya mtaani daah mungu akujalie hawa wengine wapo kwa maslahi yao
@babawawiltegamaso4367
@babawawiltegamaso4367 2 жыл бұрын
ila tungept wabunge 100 kama lusnde wakawa ndio mawazili nchi inge kua sehemu salama sana kwann asipewe uwazili wamsaidie rais kufanya kz lakini hao wengine hao hatali sana watatupiga
@evelinemsaki2057
@evelinemsaki2057 2 жыл бұрын
Huyo kaijage ni mpumbavu Sana nchi iko salama Nani kamuuliza
@florahaule8280
@florahaule8280 2 жыл бұрын
Hongera sana Mheshimiwa mbunge umegusa mioyo ya wanyonge
@isayakatuwa9482
@isayakatuwa9482 2 жыл бұрын
Akiwa wazir anakuwa chiz
@rabanstudionyakanazi_audio2165
@rabanstudionyakanazi_audio2165 2 жыл бұрын
Kweli nchi iko taaban..
@mandelabentaho8329
@mandelabentaho8329 2 жыл бұрын
Mungu ibariki kazi ya Lusinde😍
@olnjangeniophiro1021
@olnjangeniophiro1021 2 жыл бұрын
Serikali imsikilize lusinde Yuki sawa hawa wanao piga wananchi mungu anawaona lusinde tupambanie baba
@asifkhanalifkhan6358
@asifkhanalifkhan6358 2 жыл бұрын
Serikali itoe vibali kwa wafanyabiashara waagize mafuta.IWE BIASHARA HURIA!
@saidimkurago6893
@saidimkurago6893 2 жыл бұрын
Wabunge wetu nivilaza sana Jambo kama hili nimuhimu sana lakini mtu anatoa hoja Muhimu wao taarifa taarifa hapo ndio utajuwa tumechagua wabunge wengi ni vichaa sana Jambo linalogusa mstakabali WA nchi wao wanaleta utani
@leahenockmrina5381
@leahenockmrina5381 2 жыл бұрын
Anasema mafuta ya reserve yapo kumbe ni mafuta ya lampuni za mafuta ya Bp puma na total ambazo ni kampuni za wazungu wakiamua kupandisha kutukomoa wanapandisha Mungu tunakuomba utusaidie watu wako
@ahmadsayyeed7910
@ahmadsayyeed7910 2 жыл бұрын
Mimi nahisi hawa wabunge wanaenda kuchukua pesa tu huko bungeni kila siku maneno hawana tofauti na wanawake wenza🖤💣
@kahemachowdry7346
@kahemachowdry7346 2 жыл бұрын
Hongera Mh Lusinde Leo umeongea point
@emmamatemu8225
@emmamatemu8225 2 жыл бұрын
Taasisi ndio mchukue fedha ili mle peke yenu. Mafisadi wameibukaa
@frankhabibulunenge6860
@frankhabibulunenge6860 2 жыл бұрын
Wananch tumesaulika Sana RIP magufuri baba yetu hatunafuraha na nchii yetu saiv nafsi zetu zinateswa zinanyanyaswa sana mungu anawaona nyiee😭😭😭😭
@malakimoses6115
@malakimoses6115 Жыл бұрын
Leo sio trat na trab leo cd haijapata scratch mh lusinde i salute you
@ombenianton3611
@ombenianton3611 2 жыл бұрын
Japo nipo chadema lkn Lusinde namkubali sana tena mno 💪💪💪🏿💪🏿👍👍👍
@tamlahmwande5866
@tamlahmwande5866 2 жыл бұрын
Ahsante lusinde MUNGU akulinde na azidi kukuongoza
@dorotheangwale7669
@dorotheangwale7669 2 жыл бұрын
Mungu akubariki baba asante kwa kutusemea kweli maisha ni magumu sanaaa
@bonifacelameck6403
@bonifacelameck6403 2 жыл бұрын
Hongela sana tena sana lusinde mungu akubaliki sana tena sana mtumishi mzalendo
@leahsamson9354
@leahsamson9354 2 жыл бұрын
SAFI SANA JIRANI YETU, HI UNA WOGA KABISAA WAMBIE , MVUMI MNALO JEMBE LITUMIENI VEMA,💪
@bobjulieoneheartband
@bobjulieoneheartband 2 жыл бұрын
MB zangu hazijatumika Buree let me say this: LUSINDE LUSINDE LUSINDE Mungu Akulinde na Watanzania niwaombe Tusali sana kabla ya kuchaguaga Wawakilishi wetu angalao Tukijipatia LUSINDE 10 Tuu watatusaidia mnooo. MUNGU IBARIKI TANZANIA 🇹🇿 MUNGU MBARIKI NA KUMLINDA LUSINDE 🇹🇿
Мы никогда не были так напуганы!
00:15
Аришнев
Рет қаралды 6 МЛН
Вечный ДВИГАТЕЛЬ!⚙️ #shorts
00:27
Гараж 54
Рет қаралды 14 МЛН
“MWALIMU NYERERE ATASHANGAA SANA AKIYAKUTA HAYA”-LUSINDE
9:17
MGOMBEA USPIKA ALIVYOWAKOSHA WABUNGE, ATUNZWA PESA
14:14
Millard Ayo
Рет қаралды 497 М.
UNASEMAJE WEWE ? TRA HAWAJUI HESABU, NJOO HAPA USEME VIZURI
10:56
Мы никогда не были так напуганы!
00:15
Аришнев
Рет қаралды 6 МЛН