Unataka kuwa Truck Driver Marekani? Wanapata mshahara milioni ngapi kwa mwezi?

  Рет қаралды 221,243

EBM SWAHILI

EBM SWAHILI

2 жыл бұрын

Kuendesha malori, Truck Driving hasa USA na Canada inalipa sana. Mtu analipwa zaidi ya dola LAKI MOJA kwa mwaka kwa kuanzia.
Fuatilia interview hii na Shaban, Mtanzania ambaye ni owner-operator wa Truck kupitia kampuni yake TEMBO LOGISTICS.

Пікірлер: 696
@victornyakundi294
@victornyakundi294 2 жыл бұрын
I am a Kenyan in the USA.I love your Swahili after 20 yrs.Some get to america after three years claim to have forgotten their local languages.
@johnokoth7543
@johnokoth7543 2 жыл бұрын
Tanzanians are so humble. Thanks for the knowledge.
@seriesreview3838
@seriesreview3838 2 жыл бұрын
Watching from Kenya..this has always been on my bucket list..to start a truck company in US..🇰🇪keep inspiring brothers
@jayc7311
@jayc7311 2 жыл бұрын
I’m from Burundi 🇧🇮 and also a truck driver here in USA🇺🇸. Be safe out there brother 🙌🏾
@isacktesha6659
@isacktesha6659 2 жыл бұрын
Jamaa uko powa sana kaka nakukumbuka sana tuliagana hapa Arusha TZ wakati unaenda kupanda ndege KIA ,nakumbuka ulipima mizigo yako hapa kabla ya kuondoka
@user-qv9hn9sm6i
@user-qv9hn9sm6i
Muko kwenye ndotozangu ❤❤❤❤❤
@petermagaka547
@petermagaka547
Kazi Nzuri sana EBM
@richardscofeld9136
@richardscofeld9136 2 жыл бұрын
Nafuatilia sana interview yako kaka EBM, na nafurahi sana mafundisho yako ya nadharia na vitendo ,nimeona wuvu na umenipa nguvu nipambane ili nifikie ndoto zangu za
@bakarimusa6297
@bakarimusa6297 2 жыл бұрын
Tunakuombea uzidi kufanikiwa nduguyetu urudi na Tanzania uje uwekeze tufanye kazi inshaallah. Allah akufanyie wepes katika kaz zako na uwe mwenye kukumbuka mungu.. Ameen
@simonwamwea1757
@simonwamwea1757 Жыл бұрын
Tembo Logistics Nashukuru for sharing motivation and knowledge of owner-operator
@munaongoeliebamongi8128
@munaongoeliebamongi8128 Жыл бұрын
Many thx my brother mimi ni ENOCH MONGI kutokea eastern DRC at Butembo na shukuru xana maongezi yako tena yana vutia Xana brother
@silicontech7783
@silicontech7783 2 жыл бұрын
Kaka Tembo kazi nzuri kazi safi God bless u kwa hiyo information na wengi wamefaidika.
@collokaxar8724
@collokaxar8724 2 жыл бұрын
Mimi ni Mkenya 🇰🇪. Natamani kuishi marekani siku moja, majaliwa yake Maulana.
@wanderinderituh459
@wanderinderituh459 2 жыл бұрын
Good job EBM!!!
@paulobat3327
@paulobat3327 2 жыл бұрын
From Kenya, I play American Truck simulator once in a while, enjoying your explanation of different categories of cargo one can haul as a semi driver.
@zenj1986
@zenj1986 2 жыл бұрын
Watu wa Tanzania bara hasa walioko mbali na Dar ni watu wenye moyo uliyobeba ukweli. Mungu akufanyie wepesi
@edwardouma1630
@edwardouma1630 2 жыл бұрын
Very appreciated my brother am watching from Nairobi Kenya
@stephenmwanzake
@stephenmwanzake 2 жыл бұрын
So much educative. Hii information ni nzuri Sana, Tuzidi kujitia moyo na bidio na mola atazidi kubariki kazi ya mikono yetu.
@mawazoaliselemani8909
@mawazoaliselemani8909 2 жыл бұрын
e bhana mnafurahisha sana,nawaomba niwatembelee nikitokea huku europe,nije kujifunza maisha ya unyamwezini,ila hongereni sana.
@user-np1qw9ib2h
@user-np1qw9ib2h
Nimependa sana kuskia kiongozi anavyotupa mrejesho wa nini kinapatikana huko ughaibuni. Nikuombe ikikupendeza nipate mawasiliano na dereva Shabani broo. Ninamengi yakujifunza kabla sijachukua maamuzi👏
Why Is He Unhappy…?
00:26
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 17 МЛН
НРАВИТСЯ ЭТОТ ФОРМАТ??
00:37
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 7 МЛН
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 21 МЛН
Double Stacked Pizza @Lionfield @ChefRush
00:33
albert_cancook
Рет қаралды 91 МЛН
BOMOA BOMOA  YAZUA VURUGU ZANZIBAR
8:03
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 3,6 М.
Why Is He Unhappy…?
00:26
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 17 МЛН