Unataka kuwa Truck Driver Marekani? Unajua truck drivers wanapata hela zaidi ya Tsh Milioni 250?

  Рет қаралды 341,196

EBM SWAHILI

EBM SWAHILI

2 жыл бұрын

Kuendesha malori, Truck Driving hasa USA na Canada inalipa sana. Mtu analipwa zaidi ya dola LAKI MOJA kwa mwaka kwa kuanzia.
Fuatilia interview hii na Shaban, Mtanzania ambaye ni owner-operator wa Truck kupitia kampuni yake TEMBO LOGISTICS.

Пікірлер: 2 000
@bonnkewest88
@bonnkewest88 2 жыл бұрын
Mkenya kasaidia mtanzania. Kwa kweli sisi east Africans ni mandugu. Watching from nairobi kenya. One love TZ ❤️
@shabanmpambe3857
@shabanmpambe3857 2 жыл бұрын
One love ❤️
@eliahonline3405
@eliahonline3405 2 жыл бұрын
Mungu akuzidishie zaidi
@bebick3724
@bebick3724 2 жыл бұрын
One love 🤗
@raphaelkimani2538
@raphaelkimani2538 2 жыл бұрын
This is what we should emulate.
@hassshoban8206
@hassshoban8206 2 жыл бұрын
Sisi ni ndugu
@alexandrew8483
@alexandrew8483 2 жыл бұрын
Kwa muda wa tanzania ni saa 0301 usiku , hii interview imenipa kitu kipya kwenye maisha yangu , shukrani sana brother shaban , shukran sana sana alieandaa hii interview
@kelvingitau396
@kelvingitau396 2 жыл бұрын
This is how an interview should be
@jasonmwesigwa6292
@jasonmwesigwa6292 2 жыл бұрын
I am speechless... Kwa hali ya kawaida siyo rahisi kwa Mtanzania kuweka wazi kila kitu hivi. Hii kweli inaleta hasira ya maisha. Na siyo kila mtu lazima aende USA ila waweza kupambana na pale ulipo ukafanikiwa kama Bro.Mungu akubariki sana kwa mambo 2 ndo maana unazidi kufanikiwa kusaidia jamii na kuwa na shukran
@Kapesa-bu7yv
@Kapesa-bu7yv 6 ай бұрын
Watanzania wengi ni wapo wazi kwa mambo yao
@johngibson3089
@johngibson3089 Жыл бұрын
Dangote wa North carolina asante sana kwa kutupa dondoo muhimu. Nikishinda DV na nikiwa na nauli yangu, hela ya kurent na hela ya kianzio cha maisha ya mwzi mmoja hivi na nikahitaji support yako ktk kurent, ktk kupata training ili nifuate nyayo zako ktk trucks MAWASILIANO YAKO TAFADHALI...
@martynkalasya9749
@martynkalasya9749 2 жыл бұрын
As a kenyan, i feel so proud of this man mentioning and acknowledging my fellow country man, b blessed hv really enjoyed watching this
@husseinm.george5431
@husseinm.george5431 2 жыл бұрын
Ebwana kwanza hongera sana bro, una history nzuri sana ya safari ya maisha yako, nimevutiwa sana na mimi ni mwana tasinia hiyo Truck driver Nafanya nyumbani Tanzania natamani siku moja nipate nafasi kama hiyo, Kupitia wewe natumaini unaweza kunionyesha njia ili nifike ndoto yangu kuwa Truck driver USA
@ibrahimmkwama5265
@ibrahimmkwama5265 2 жыл бұрын
Kaka umeniinspire hata Mimi nilioko huku tanzania nipige KAZI,safi sana broo dangote
@benjaminmukeshimana5626
@benjaminmukeshimana5626 2 жыл бұрын
Wa Kenyan mubalikiwe sana. Mimi Munyarwanda na Mimi nimebalikwa mikononi mwa wakenya. Hongereni sana
@harunaharuna74
@harunaharuna74 2 жыл бұрын
ntampataje
@ruockbabanguza4014
@ruockbabanguza4014 2 жыл бұрын
Mm naitaji kuwa kama nifanyaje kaka
@gasparlubaga5866
@gasparlubaga5866 2 ай бұрын
Huyu ndo mtanzania asiye na choyo na mtu,humble to the earth,brother Shabby keep it up
@esphoneochengo
@esphoneochengo Жыл бұрын
As a kenyan married to a tanzanian🇹🇿 am grateful to this guy na vile amejielezea and the way amejitolea kuzaidia wenzake one day i go to America ntakutafuta big luv from kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 2 жыл бұрын
Hongera sana EBM and Shabani.Very informative and inspiring story. Watanzania wengi wapo hapo USA ila wanabana information na wengine wanakufa nazo.. Watanzania wenzangu kuna jambo la kujifunza hapa.
@leonardkajuna1213
@leonardkajuna1213 Жыл бұрын
Watanzania labda wamepigika,wanaona haibu!
@gabrielzakaria2810
@gabrielzakaria2810 10 ай бұрын
Wachoyo san!
@dagomotionpictures4303
@dagomotionpictures4303 2 жыл бұрын
Am proud of you kijana Shaban nakumbuka way back Songea... tumecheza mpira wote Majimaji Primary School hongera sana.
@mediheal4676
@mediheal4676 2 жыл бұрын
Such an inspiration from both of you…kazi nzuri sana ndugu zetu….I’m you brother from South Sudan 🇸🇸 🇸🇸✌️❤️
@bguyanda
@bguyanda Жыл бұрын
This is so impactful. I am proud to be Kenyan and African listening to Tanzanian brother.
@MartinWakibe
@MartinWakibe 2 жыл бұрын
No wonder this man is shining with each day, because he offer helpful advice to potential truck drivers.Mungu akubaliki ndugu Shabban.endelea kung'ara.
@mussahasan6062
@mussahasan6062 2 жыл бұрын
danget wengin mafund tz mazil ya ufunf huk yakoje
@henrymamathias4905
@henrymamathias4905 2 жыл бұрын
Hi hatar
@francojoseph6106
@francojoseph6106 2 жыл бұрын
Kwa hakika, kila anaetoa kwa moyo wa upendo,Mwenyezi Mungu HUMZIDISHIA, na wala hapungukiwi
@francojoseph6106
@francojoseph6106 2 жыл бұрын
Ndugu Shaban. . . . Kwa dhati kabisa nikuoe kongole kwa kufunua ukweli wa mafanikio ya maisha yako, Nimehamasika sana kaka !, na hii iwe mfano halisi kwa waafrika walio bje kuhamasisha na kusaidia wenzao kuweza kupambana na maisha huko ughaibuni
@Tino_Official_tz
@Tino_Official_tz 2 жыл бұрын
Aiseeee!!! Hii ndio interviews yangu bora kutoka kwako kwa mwaka huu. Na pengine kwa kipindi cha miaka mi5. Mungu akubariki sana
@alexleitore2743
@alexleitore2743 Жыл бұрын
Am a KENYAN and am happy to listen to you interview this guy, he has has a kind heart, a willing to help and motivate spirit and also an appreciating person who acknowledges the ladder to his success putting God first and his family close, May his river of blessings never stop flowing and same for the KENYAN man who changed his life God will reward him double for his heart and any kenyan or tanzanian getting this story is proud you guys there.
@samsonnyinge9970
@samsonnyinge9970 2 жыл бұрын
Am so grateful of you guys. Am from Kenya Naomba msaada wa mawaidha sijui niwafikie aje.
@jamestindi8672
@jamestindi8672 2 жыл бұрын
Bonge la interview..na hii ndo maana halisi ya kuishi nje ya Tanzania, Thanks so much Brother "DANGOTE" for sharing experience.
@ramadhanhassan9546
@ramadhanhassan9546 2 жыл бұрын
Hello brother James mambo mm nataman sana kuja huko naisitoshe mm nidereva na nimeendesha mpaka daladala unanisaidiaje mpaka kufika huko kama nigarama zako nikifika huko baada yakazi nakurudishia please nakuomba unisaidie mm nimtanzania mwenzako nipo dar mm shida yangu kubwa nikazi tu
@levymugedo1830
@levymugedo1830 2 жыл бұрын
Soo proud of this Tanzania/American guy...He's so open
@henryandakofoundation
@henryandakofoundation Жыл бұрын
How do I reach you "Dangote"
@henryandakofoundation
@henryandakofoundation Жыл бұрын
How do I apply for DV lottery 2023
@frankpaul1616
@frankpaul1616 Жыл бұрын
Je nikiitaj kujifunza inakuaje
@iam_mgaya
@iam_mgaya 2 жыл бұрын
Brother tunamshukuru Sana kwa kutufungua vichwa, big up Sana Makulilo!!
@Its-Me.
@Its-Me. 2 жыл бұрын
This guy is real. True to himself. This is what I call organic love. May God's blessings locate you wherever you are.
@priscusarbogast8589
@priscusarbogast8589 9 ай бұрын
One of the best interview Jamaa ni mkweli mpaka ana disclose details anamaanisha kweli annatia hasira kweli….!❤❤❤😊😊😊
@user-ud3wc1lp5m
@user-ud3wc1lp5m 8 ай бұрын
he is real not hiding any infor
@geofreyngambeki2695
@geofreyngambeki2695 Жыл бұрын
Habari yako kaka,pole na majukumu big up brother!!.mi ni mdau wa hii industry ya logistics nafurahi kuiona umefanikiwa kiasi hicho ukiwa uganini ninatamani sana kufika hatua uliyopo.Mungu akubariki sana
@jordanmwamlima7579
@jordanmwamlima7579 2 жыл бұрын
Hii ni kitu kikubwa sana Makulilo, asante nyingi kwa brother Shabani for sharing this!! ni Mara chache sana mbongo kushare deal za kupata michongo ya hela.
@simonmaina2165
@simonmaina2165 2 жыл бұрын
Nimefurahi kuskia vile mkenya alikusaidia na pia wewe unasaidia wengine. As a Kenyan, I have always dreamed of being a trucker na nimeangalia soo many videos mingi sana za truckers, but this has been the best. I was almost giving up on my dream lakini huyu kaka amenipa moyo sana na najua Majaaliwa nitamake it. Thanks a lot for this. You have changed my life in soo many ways. one day God willing ntakuja marekani kufanya Trucking.
@SaidSaid-ef8md
@SaidSaid-ef8md 2 жыл бұрын
Inafurahisha sana kuona mtu ana appreciate kwa mtu aliemsaidia wala hakua anajuana nae yani wamekutana for the first time na akawa mmoja wa sababu yakubadilisha maisha yako.big up bro I'm sure anajiskia furaha kwa kukwambia acha hili na mpigie cm huyu so good bro.
@muhozacaleb4897
@muhozacaleb4897 2 жыл бұрын
You man are wonderful man of compassion.Helped by others and helping others.
@godlovekimaro7167
@godlovekimaro7167 2 жыл бұрын
Hongera sana Bro Shaban. Una moyo mweupe kabisa. Na inaonyesha namna gani unapenda kusaidia wenzako.
@elikanakiheka8242
@elikanakiheka8242 2 жыл бұрын
Aiseee! Braza EBM from my heart nimekuwa nafarijika sana na kazi yako, I promise to you in America 🇺🇸 hii ni spirit braza , tuombe uzima tu.
@amanmohamed220
@amanmohamed220 2 жыл бұрын
Mm naitwa aman nipo dar bunju napenda sana kaz iyo ila wengine hatuna uwazo wakuja uko kaka utatusaidiaje kaka shaban?
@amanmohamed220
@amanmohamed220 2 жыл бұрын
Nitumie whatsap yako kaka wapambanaji tupo Bas tu iku noma
@eranguide
@eranguide 2 жыл бұрын
@@amanmohamed220 sure blo mim niko mbeya
@rebeccaalbinus5589
@rebeccaalbinus5589 2 жыл бұрын
Imenichukuwa muda mrefu kuangalia hii video mpaka mwisho niseme tu wewe kaka una moyo Mungu akulinde uishi miaka mingi uendelee kusaidia wengine. Hata hivyo nashukuru alonitumia hii link, nimepata kitu kichwani.asante kaka kwa jitihada zako.
@khalifajuma4236
@khalifajuma4236 Жыл бұрын
As a Kenya iam really very proud of Shaban a Tanzanian guy who is very open & direct to the point of really helping anyone who's ready to learn & take things seriously InshaAllah Allah will add u more & more for u also help others.... Kudos Shaban a,k,a, "DANGOTTE".
@amazingadventures.8019
@amazingadventures.8019 2 жыл бұрын
You guys got me today, I was planning to watch for 8min then switch, miraculously, I followed till end. Green card has been my biggest dream, though I was not sure what I was to do in America. Renewed my passport last November and soon God willing, a dream will come true. Thanks for this video. The best I have watched so far. I am impressed that a Kenyan showed you the technical secret.
@danielmacharia3155
@danielmacharia3155 2 жыл бұрын
Amazing Adventure, i pray for your prosperity in line with that dream...how i wish to be guided how to reach there as well. i like driving with passion.
@jenniferswai483
@jenniferswai483 Жыл бұрын
Napenda sana iyo kaza kaka sema sinamtu wakunishika mkono
@jamestemba3112
@jamestemba3112 2 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akujalie maisha marefu na afya njema kwa moyo wa kuonyesha njia kwa watu wengine
@gee_gm
@gee_gm 2 жыл бұрын
Aisee, wakubali wakatae EBM scholar ndo kisima cha fursa ughaibuni... Madini Yako ni ya hali ya juu kaka. Ubarikiwe sana kaka Shabani kwa moyo wako kwetu ndugu zako, umejitoa sana kwaajili yetu. Tanzania to the World!💪👌
@shabanmpambe3857
@shabanmpambe3857 2 жыл бұрын
Real Talk
@dreamtvkenya4096
@dreamtvkenya4096 2 жыл бұрын
@@shabanmpambe3857 how can I get to connect with you am in Kenya please
@amiryamse2729
@amiryamse2729 2 жыл бұрын
@@shabanmpambe3857 tunapataje nafasi na sisi braza coz ni dream yangu
@mohadigital
@mohadigital 11 ай бұрын
At the timecode 1:11:40 seconds, i saw your eyes get teary Thanking those that supported you. This is deep. Nimetazama hii video na kweli umegusa wengi sana, kimaoni, kifikra, kuwapa motisha hasa wale ambao wako Afrika na mambo hayawaendei vyema. Kweli sharing is caring, na kweli Shabani una roho safi, Mwenyezimungu amjaliye baba Jannatul Firdau, kokote aliko nafurahia sana kazi yako. Na vile sadaka mtu hutoa sio kwa pesa pekee, bali pia kwa fikra, kutoa information ni baraka tele unapokea. Ningependa kukufanyia Interview siku moja inshallah. Kazi nzuri sana pia tunakushukuru EMB Swahili
@bristownagila3137
@bristownagila3137 2 жыл бұрын
Thanks "Dangote" for the informative session. You are a blessed man na mwenyewe roho safi. Am really encouraged. You have made my dreams valid. One day our paths shall cross.
@luckydubebello1131
@luckydubebello1131 2 жыл бұрын
This is why I love Tanzanian wanakuwaga honest sana kusema ukweli lkn wakenya wetu they think ukienda huko utawashinda anyway good job brother 👏
@jamleckkagiri9643
@jamleckkagiri9643 Жыл бұрын
Nashukuru sana sana Kwa hii mafundisho.mi ni mkenya,mi ni truck driver natumai ntajiunga na hii sector,natumai nitapewa visa sababu Nisha Fanya Application.
@luckydubebello1131
@luckydubebello1131 Жыл бұрын
@@jamleckkagiri9643 gd hp everything goes well
@greenenergybriquettemachin694
@greenenergybriquettemachin694 2 жыл бұрын
This man is a blessing walahi
@emauf
@emauf 2 жыл бұрын
Wanyumbani kabisa 🇹🇿 Hizi ndo story napenda kufatilia youtube, nlikua nafatilia story za car-enthusiasts na car community ya marekani, ikiwemo racecars, modded cars, channel kama Daily Driven Exotics, channel hasa za African-Amerricans kama Tall guy car reviews ambaye saivi pia kahamia kwenye trucking business ndio imeweza nipa recommendation nimepata kuona story ya brother Shaban. Hoping to see more.
@josphatmeme8798
@josphatmeme8798 2 жыл бұрын
Am a Kenyan and this guy Shaban ,a.k.a Dangote, is a legend. Not many will open their hearts to give such information for free. May God bless you and your family immensely. You have truly touched my heart in a BIG way. Mungu akuzidishie kaka. Kudos to the host and the owner of this Channel. Mnafanya Kazi nzuri ya kuwafumbua waafrika macho.
@yusuphonesmo1791
@yusuphonesmo1791 Жыл бұрын
Unapatikana wapi usa? Naweza kupata kitu Kama pikipiki cc750 Honda nikakutumia pesa?
@charlesrogena4279
@charlesrogena4279 2 жыл бұрын
A proud kenyan here. Very honest man. God bless you
@benjaminimeck8941
@benjaminimeck8941 2 жыл бұрын
Hongera sana brother pia nikupongeze kwa tuwapa moyo na wengine m/mungu akujalie kazi ya mikono yako
@annahwairimu7161
@annahwairimu7161 2 жыл бұрын
Tanzanian
@domnia6980
@domnia6980 2 жыл бұрын
We Kenyans we need to be honest too like Tanzanians.
@shabanmpambe3857
@shabanmpambe3857 2 жыл бұрын
Asanteni, I remain Humble
@singilajackson12
@singilajackson12 2 жыл бұрын
Big up my brother 🙏 I have personal questions, nipe mawasiliano.
@matukimerchant5170
@matukimerchant5170 2 жыл бұрын
Nimependa Sana interview Yako kaka. Mimi sijioni nikiwa marekani wala kuifukuzia kazi hiyo ya track driver, lakini nimejifunza maengi kwenye hii interview. Hongera sana. USHAURI. Fikiria pia kuandika kitabu maana wewe ni mkufunzi na motivation speaker mzuri sana. Appreciation kwako.
@offialkingmoscato3653
@offialkingmoscato3653 2 жыл бұрын
I'm a Kenyan and I'm sooo proud of you and John Paul!!
@Zambokamar
@Zambokamar 2 жыл бұрын
Wishing them the best in America
@alphamoshi9147
@alphamoshi9147 2 жыл бұрын
Bro you have GOD na ndio maana . May GOD bless you more.
@peterkamau5105
@peterkamau5105 2 жыл бұрын
Hi Mr. Ndangote, I am very grateful for your insight. This is not common with many people. I wish to join you in the future. Thank you so much
@omaringulangwa7880
@omaringulangwa7880 2 жыл бұрын
Miaka23 marekani unaongea kiswahili kama upo rkn wenzagu namie akikaa miaka3 anajifanya kiswahili ajui ongera sana brother
@mwangiikabz206
@mwangiikabz206 2 жыл бұрын
Very Inspiring i appreciate you brother.... ningependa kujua zaidi kuhusu ejenzi pia watu wa civil engineering
@stanslauscorman5834
@stanslauscorman5834 2 жыл бұрын
Naitwa Mr CORMAN, Napatikana Tunduma Tanzania. Nawapongeza Sana na kuwashukuru Sana kwa kujitoa kwenu kutuelimisha vyema. Mungu awabariki Sana. Mwisho naomba mawacliano ya Shaban Nina mengi private.Barikiwa Sana.
@lawrenceoyoo6416
@lawrenceoyoo6416 2 жыл бұрын
The relationship between out two countries is long standing, mostly by sharing the Kiswahili language.
@charlesmukinyo6638
@charlesmukinyo6638 2 жыл бұрын
Kaka nashukuru sana. Sio kila mtu ana moyo wa kusaidia kwa Mali , mawazo na kadhalika. Asante sana.
@mpugizinelson1215
@mpugizinelson1215 2 жыл бұрын
Very humble brother Shabani.... Mungu awabariki sana kwa hizi info , kaka Ernest tuwasiliane ....
@ULR1618
@ULR1618 2 жыл бұрын
Roho Safi Kabisa! You are one in a million!! God bless you My Brother.
@willywaire50
@willywaire50 Жыл бұрын
I am proud of you guy as a Kenyan,sisi ni ndungu na umoja wetu ndio nguvu zetu,very much challenging & encouraging
@tumsifujoachim5877
@tumsifujoachim5877 2 жыл бұрын
Very impressive information hukupenda kutumia shortcuts wala kula ngada na kuendekeza upuuzi Badala yake umekuwa mfano mzuri
@petercollins4376
@petercollins4376 2 жыл бұрын
Very insightful,and that's the true brotherhood Africans need. Keep it up brother
@harrykilongola3092
@harrykilongola3092 2 жыл бұрын
Naitaji hivyo kz bro...am a kenyan man and am drive like u
@felixmaina6033
@felixmaina6033 2 жыл бұрын
Waooh... Am a Kenyan and soo happy of Dagote. You're a good hearted man. Especially when he expresses the feelings on how he started low..God bless you more as you bless us. I hope to meet u one time.
@glorymoshi1743
@glorymoshi1743 2 жыл бұрын
Na mim nataman kwenda America kuwa dereva
@smartvisualproductio
@smartvisualproductio Жыл бұрын
Mmenifanya nilale asubuhi kwa Great interview kaka zangu @mwampambe ubarikiwe sana sana na Mtangazaji kwa kweli binafsi nimejifunza sana hasa kwenye tasnia yangu ya kuutangaza utalii wa ndani Hapa Tanzania im so so proud of you Guys Najua Mungu wa Mbinguni Atafungua Mlango mkubwa zaidi msalimie sana Dangote Bless.
@ericngetich4247
@ericngetich4247 2 жыл бұрын
That guy is a good man. Honest, candid and assertive. Great conversation. Barikiwa ndugu
@kedyjohn1848
@kedyjohn1848 2 жыл бұрын
Such a very humble man, openminded, generous, and most importantly he is very grateful to those who helped him huko nyuma. GREAT MAN indeed !
@denistindwa2250
@denistindwa2250 2 жыл бұрын
Kakake na Isa mwampambe.sarut.kwako.mzee wa songea.
@kedyjohn1848
@kedyjohn1848 2 жыл бұрын
@@denistindwa2250 Makini sana aisee. Chama kuuubwa
@piggamber5276
@piggamber5276 2 жыл бұрын
Hello
@piggamber5276
@piggamber5276 2 жыл бұрын
Hello
@kedyjohn1848
@kedyjohn1848 2 жыл бұрын
@@piggamber5276 Hey Amber
@nurualjabry1633
@nurualjabry1633 Жыл бұрын
Shabani umekaa America more than 20yrs lakini lafudhi yako ya kiswahili IPO kama ya mzaramu wa msanga..your the inspiration kwetu broo Una moyo Safi Mungu akuzidishie as a big brother of North Carolina diaspora from Africa tengenezeni platform ya kuwapa njia new immigrants wengi kutoka Africa kama wanavyofanya watu kutoka Asia especially India..blessin nyingi kwako champs
@saadysaidzahaze5980
@saadysaidzahaze5980 Жыл бұрын
Hujisifu kaka uko really nimekupenda sana unakumbuka fadhila wachache wanaroho kama yako your soo kind bro
@johnokoth7543
@johnokoth7543 2 жыл бұрын
Thank you very much for your helpful advice. As an East African am very proud of your achievement.
@dickykategile1162
@dickykategile1162 2 жыл бұрын
Shaban ur A Man that is More than Education to other People's to learn Keep going Bro pls never forget ur Native Language
@hassanajiruu7793
@hassanajiruu7793 2 жыл бұрын
Kaka Shaban Daima Mwenye Moyo Wa Mapendeleo Kwa Waingine Mafanikio yake Kuwafikia na wengine Dunia Kwake huwa ni Nusuu ya Janah.Mwenyezi Mungu Uwondosha Pazia Kwa Kila hatakalo Wewe Kaka Shaban Umefahulu Kuwa Mteuliwa miongoni mwao waja wemah.Allah always be with u. InshaAllah
@yobrahyobrah2335
@yobrahyobrah2335 2 жыл бұрын
Am into trucking business after listening thank you so much for the information,
@afrikafinest2327
@afrikafinest2327 2 жыл бұрын
You don't know how big of an impact this message is gonna have ,God bless you guys,see you soon
@DuncankGtv
@DuncankGtv 2 жыл бұрын
This is one of most educative interview with detailed information and step-by-step advice.. Big up bro
@goodluckjoseph3113
@goodluckjoseph3113 2 жыл бұрын
Dahh for real it is educative
@thebisadorychannel7574
@thebisadorychannel7574 2 жыл бұрын
Kama Busdriver mwanamke Sweden nimefurahi sana kuona kaka Unavyohamasisha watu wengi wasichague kazi tena wanapofika ugaibuni. Your truely Inspiring🙌
@ashaally5883
@ashaally5883 2 жыл бұрын
Wanitamanisha dada nataman kufika huko kwenye udereva nipo hapa Dubai napambana na hali Yang
@mohaahmed8749
@mohaahmed8749 2 жыл бұрын
Very honest and sincere . In every ten million people you will get one of his type . Usidi ubarikiwe .
@flavian-augustino.pangah
@flavian-augustino.pangah 2 жыл бұрын
Hongereni kwa mahojiano mazuri, hiyo kazi ya kuendesha hizo truck naipenda sana, naomba mnisaidie
@ceomeja670
@ceomeja670 2 жыл бұрын
Natafuta shure za CDL training
@shabanmpambe3857
@shabanmpambe3857 2 жыл бұрын
Karibu
@iddshaweji9960
@iddshaweji9960 2 жыл бұрын
@@shabanmpambe3857 wew una roho nzur mungu akubarki
@seinabelimi2296
@seinabelimi2296 2 жыл бұрын
​@@shabanmpambe3857 kaka nakufuatilia sanaaaaa
@bernardmdengede8036
@bernardmdengede8036 2 жыл бұрын
@@shabanmpambe3857 mwampambe kamwene
@musa_bin_moses
@musa_bin_moses 2 жыл бұрын
Great great inspiration , this story imenifungua macho kaka Shaban Dangote. Thanks alot for sharing it kudos.👍🏾🇰🇪
@muhozacaleb4897
@muhozacaleb4897 2 жыл бұрын
You man you are wonderful man of compassion.Helped by others and helping others.
@edwinkim2674
@edwinkim2674 8 ай бұрын
nimependa hii interview sana.thanks Bro na Mungu akubariki uendelee kutupea video za kutuelimisha
@andrewmutai1022
@andrewmutai1022 2 жыл бұрын
humble guy indeed and he have big heart to help others,big salute from qatar,,,,may God blessing be upon you dangote👏
@kamauwillis3584
@kamauwillis3584 2 жыл бұрын
Bro stay blessed u r so down to earth and humble
@eranguide
@eranguide 2 жыл бұрын
Kwa kutazama tu hii vide tayali Kuna watanzania wengi na watu wengi kutoka Africa tumepata mataminio na kazi hiyo japo tulikua tuki iona tu na tusijue kua inaukweli ndani yake kazi nzuri sana kwakweli tunaitaji msaada wenu Ili tuwe miongoni mwenu then mung awabariki sana.🙏
@sulimanm6525
@sulimanm6525 2 жыл бұрын
Bradha asante sana kwa maelezo yako muungu akubari uwendelee kuwa na moyo waimani kusaidia wengine tulitaka kujuwa kaka huku Poland kukoje kwenye maswala ya udereva kama unakufaham naomba utujuze kidg bradha
@55goodmen
@55goodmen 2 жыл бұрын
These brothers should be leaders in Africa, so humble and do for the people and community !! Nyerere type. JPM type, Sankaras, Nkrumahs, Mandelas, Bob Marleys etc
@FaustineTz
@FaustineTz 2 жыл бұрын
Aya ndo mambo sio unaenda ughaibuni alafu unakuja kututambia bongo baada usaidie kutia moyo wengine waende uko wajalibu maisha
@thatforeign4590
@thatforeign4590 2 жыл бұрын
I just bumped into this and ended up enjoying everything bout this interview. Brilliant staf
@AmedeHakizimana-cp1lj
@AmedeHakizimana-cp1lj 7 ай бұрын
Asante kwa maoni yako mze wakazi Bwana mkubwa EBM unaweza tupatishiya jina lake youtube ana nipatiya imani ipo siku na mimi ntatobowa asante ni Amédée from 🇧🇮🇧🇮
@sisterrosa4913
@sisterrosa4913 2 жыл бұрын
Barikiwa sana Kaka.Mungu akubariki sana kwa kutujuza mengi.
@festondile2039
@festondile2039 2 жыл бұрын
Hongera Sana kwa mahojiano ,safi Sana kwa huyo brother,so cooperative
@Klelcken
@Klelcken 7 күн бұрын
am happy to hear that our kenyan brother was used by God to show you a better way... May God bless and protect him wherever he is...
@eonsinyo
@eonsinyo 2 жыл бұрын
Thank you brother 🙏 ,not even relatives can give such a detailed information, Asante sana
@lillianmasinza1787
@lillianmasinza1787 2 жыл бұрын
A very good eye opener. Be blessed as you continue helping .
@jordanmillinga982
@jordanmillinga982 2 жыл бұрын
Kwa namna ambavyo uko wazi kutoa maarifa kwa wenzako ("Selfishness" umeiweka kando) ndivyo Mungu atakavyozidi kukubariki. Thank you so much.
@juliusmujungu9043
@juliusmujungu9043 2 жыл бұрын
I spend my time to watch this short video,nimependa jamaa alivyo muwazi na jinsi anavyo toa advice kwa sisi vijana tunao jitafuta kimaisha,kwa hayo yote Mungu awabaliki,mmejitoa ili kufikisha ujumbe katika jamii zetu za Africa especially East Africa.#One Love 🇹🇿
@deodatidonati7092
@deodatidonati7092 2 жыл бұрын
Mungu aliyeumba mbingu na nchi na akubariki Ndugu Shabani Mwampombe, ( Kaka wa Rehema).
@Truck-Man
@Truck-Man 2 жыл бұрын
Very good brother, you are open and truthful. Am also a truck driver from Kenya. I operate in East Africa. Let's pray for an opportunity
@clb_orynuh7564
@clb_orynuh7564 2 жыл бұрын
What a generous man! Mungu na akuzidishie mara dufu ndugu Shaban. EBM SWAHILI, kazi nzuri bro, keep it up. A kenyan trucker from Saudi Arabia. Mungu awabariki.
@twahakingwala9582
@twahakingwala9582 2 жыл бұрын
Kaka Shabani umenifanya nijisikie mwili unatetemeka mm nimzoefu wa kazi hii ya udereva kwa miaka 27 halafu sina kitu nimepata mwanga kutoka kwako sasa wewe ndio utanisaidia nimeandika haya nikiwa natemeka kaka ntakupataje plz nisaidie🤔
@Winstonfying
@Winstonfying Жыл бұрын
Huyu mwamba MUNGU ambariki sana, maana wabongo wengine utasikia, usifanye mchezo jipange haya mambo siyo mchezo, then anaishia hapo 😅 Mkuu tuunganishe na huyu jamaa, tuna mswali zaidi
@duncannjokki4315
@duncannjokki4315 2 жыл бұрын
20years Americani kiswahili hakijabadika ... salute brother....Mungu akuzidishie.
@onesmassamoei3278
@onesmassamoei3278 2 жыл бұрын
The most encouraging and convincing interview ever. God bless you guys
@mikidadirashid
@mikidadirashid Жыл бұрын
Abari kaka mwampambe
@festondile2039
@festondile2039 2 жыл бұрын
Brother Shabani Mungu akubariki Sana kwa Moyo wako wa upendo kwa wengine,MUNGU akubariki Sana brother Ernest Makulilo
@shabanmpambe3857
@shabanmpambe3857 2 жыл бұрын
Thanks 🙏🏾
@gulfvacancy7976
@gulfvacancy7976 2 жыл бұрын
Ukitaka kumfatilia kwa mitandao atumia jina gani
@trendingfootshorts
@trendingfootshorts 2 жыл бұрын
@@shabanmpambe3857 nakupataje kaka
@masaisendo6516
@masaisendo6516 2 жыл бұрын
Kaka ntapataje hii fursa
@hamadiyb
@hamadiyb 2 жыл бұрын
@@shabanmpambe3857 kaka safi sana
@aurelialema3945
@aurelialema3945 2 жыл бұрын
Safi kazi nzuri, ushauri huu unatupa moriii one yes... be blessed you two
@yohanamtati4715
@yohanamtati4715 Жыл бұрын
Asante Sana brother Shaban mie kijana mtazania nimeflahi Sana kujua hivo msaada na sisi wadogo zako tuo Tanzania natunafanya hizi kazi Ila Kama unavo elewa changamoto za nchi yetu pamoja na wamiliki wetu.
@user-yw3uu1cw7t
@user-yw3uu1cw7t 9 ай бұрын
Am Rwandan people am very happy to listen you and I need your support for coming there
@rogersnyagah2555
@rogersnyagah2555 2 жыл бұрын
Very insightful and inspiring. Keep up the good work. You are a living legend.
@malachiaudit7846
@malachiaudit7846 2 жыл бұрын
You'll continue to prosper because you have an open heart.
@stellaprotazibashaijaban-gq4mb
@stellaprotazibashaijaban-gq4mb 11 ай бұрын
Asante sana News reporter unajuwa kumuoji mtu vizuri unatufungua ufaamu wasikilizaji.hongera kwa kazi nzuri sana🇺🇲
@pantaleogregory2175
@pantaleogregory2175 Жыл бұрын
Asante sana kwa information Kaka, unatutia moyo. Mi ni Daktari huku Tanzania lakini ni choka mbaya. Najifunza vitu hapa ubarikiwe sana Kaka.
@georgenyangai4504
@georgenyangai4504 2 жыл бұрын
Brother you are a life changer, may God bless you 🙏
@ahrak4327
@ahrak4327 2 жыл бұрын
I truly learn something from this interview. Thank you guys for sharing and I wish to pussue my dream.
@abdulrahmanpaskalina7627
@abdulrahmanpaskalina7627 2 жыл бұрын
Mzidi kubarikiwa kwa kuwa ninyi ni Watu Wema kwa kitendo cha kutoa taarifa sahihi njema ya kutia moyo jamii yenu inayopambana kujitafutia riziki🙏🙏🙏
@user-kl7zs9zh4p
@user-kl7zs9zh4p Жыл бұрын
asante sana kaka shaban dangote kwa kutupa izo information kila lakheir ndugu, nami ni mu rwanda naka canada niko truck driver lakini sio mda mrefu sasa tunakuwomba utusadiy yr contact alafu nasi tukafayidik Insha’allah kwa uyo muwelekey. Shukran
孩子多的烦恼?#火影忍者 #家庭 #佐助
00:31
火影忍者一家
Рет қаралды 48 МЛН
Русалка
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 4,4 МЛН
Freight train composition, Pugu Station, Tanzania.
3:19
Mauricio GONZALEZ
Рет қаралды 17 М.
Mtaa wa Matajiri na Watu Maarufu Tu- BEL-AIR, Los Angeles
16:17
Jack Wa USA
Рет қаралды 48 М.
HAKI YA NDOA KWA TIMETABLE | NIMEUZA MKOJO MAREKANI
53:51
Official Dating Assistance
Рет қаралды 16 М.
DAKIKA 30 NZITO ZA MKURUGENZI WA MATI SUPER BRANDS LTD NA FM MANYARA.
28:00
MATI SUPER BRANDS LTD CHANNEL
Рет қаралды 60 М.
孩子多的烦恼?#火影忍者 #家庭 #佐助
00:31
火影忍者一家
Рет қаралды 48 МЛН