Kama ulikosa Tamasha la Eid Comedy Gala lililofanyika siku ya Eid mosi, basi Azam Media inakuletea karibu yako. Msikie Mau Fundi akiwafunda wadada namna wanavyopishana na wanaume wa kuwaoa
Пікірлер: 32
@silvasiame98616 жыл бұрын
Penye ukweli watu hukosa vicheko .... Limewapata hilo
@FourTeen_Kiid5 жыл бұрын
Loh! Stand Up Comedy Ngumu Sio Kitoto
@BigZhumbe6 жыл бұрын
😂😂😂😂😂Mungu anahangaishwa na kila mtu
@morismosses7886 жыл бұрын
Hahahaha Mau umetisha sana mkuu
@crayvanytiger59436 жыл бұрын
☺️😁😁😁😂 ahaaaa maufundi mkaliii ametisha
@mickdizleponera11916 жыл бұрын
Jamaa hajuw stand up comedy,
@fatherjaytz5 жыл бұрын
Stand comedy ngumu manina mau fundi naona unaigiza huchekeshi hii kazi wapo mafundi
@petershigemelo49736 жыл бұрын
Nlkuw kam nadharau hv kumbe mwixho kuna ki2 kizito daaaaaah mau noma xn 😂😂😂😂et oa!
@emmanuelhelen45296 жыл бұрын
Stand up comedy ni ngumu sana..inabidi uchangamfu sana muigeni MC pili pili..pia ukiwa MC ndio unaweza kufanya vzur zaid. Lakini hongera br.
@amafelician17695 жыл бұрын
Your the best
@hawaally72896 жыл бұрын
Asante mau
@raymondkaswaga83345 жыл бұрын
Stand up comedy ni ngumu sana unatakiwa uwe na ubunifu wa hali ya juu sana na the way you present pia kama hapa unaona kabisa watu hawacheki maana unajaribu kuchekesha mtu anayejiandaa umchekeshe