UTACHEKA UFE; Mau Fundi Alivyo-Jisifia Kabla ya Tuzo/Amekosa Tuzo Amejilaumu/Hataki Kushiriki tena

  Рет қаралды 266,315

BINGO ONLINE TZ

BINGO ONLINE TZ

5 жыл бұрын

Пікірлер: 195
@ezekielevarest6254
@ezekielevarest6254 5 жыл бұрын
Gud majibu kutoka kwa mau fundi
@michaelkessy5740
@michaelkessy5740 5 жыл бұрын
Anataka kutuaminisha ndugu mtagazaji......Bado uwezi kuoji maswali.....utafikiri mau ndio mtagazaji amekuzidi sana upeo
@yusufchimera1364
@yusufchimera1364 5 жыл бұрын
Siri ya mtungi shahidi kata😂😂😂😂😂
@shaphyvuai6805
@shaphyvuai6805 5 жыл бұрын
Mau unajua sanaaaaaa ibakishe Tuzo siku zote......zmeshapangiwa mshindi ndio tatizo LA Tanzania
@mwigakatumpula2175
@mwigakatumpula2175 5 жыл бұрын
Mchekeshaji ni mchekeshaji tu eti Mimi ni MTU wa promotion subiria nikamuulize alafu uje nikutajie hahahshsh mau kweli fundi
@makasittt16
@makasittt16 5 жыл бұрын
Majibu kuntu mau hongera
@nocerinocarterabdalla4247
@nocerinocarterabdalla4247 5 жыл бұрын
Jamaa kama kauwasha liquid.Ila Mau ni fundi kikweli
@deebrown7908
@deebrown7908 5 жыл бұрын
Mtangazaji utakutana nakichwa hicho Maufundi
@wilsonmcs3369
@wilsonmcs3369 5 жыл бұрын
Huwaga inatokea bahati mbaya tuu si kwamba kunguru ana shabaaa🎈📌 🌍🚴🌓. Baaada
@daudpius3075
@daudpius3075 5 жыл бұрын
Hongera xana mau
@mariamukajiru1898
@mariamukajiru1898 5 жыл бұрын
Kama umezoea kuwahoji mapoyoyo kwa Maufundi kaa mbali utaumbuka...aaahaaa... mana sharti kwa Research.. Duu mpaka mtangazaji kapata kigugumizi.
@BenCheck-jx9lo
@BenCheck-jx9lo 5 жыл бұрын
Seven o’clock. Yani naongea lugha saba mimi.
@ramadhanmanenolugome6882
@ramadhanmanenolugome6882 5 жыл бұрын
Ndio maana kina Niki mbisshi awataki kuhojiwa na vilaza
@elizabethjoseph2116
@elizabethjoseph2116 5 жыл бұрын
Huyu mtangazaji anakurupukaaa
@abdulukwachu4447
@abdulukwachu4447 5 жыл бұрын
BEST COMEDY #MAUFUNDI
@kulwangomale3630
@kulwangomale3630 5 жыл бұрын
Naelewaaaa sanaaa maundi
@happynessswai3922
@happynessswai3922 5 жыл бұрын
Kunguru hana shabaha ila anabahatisha tuu🤣🤣
@mohamedinamdenga772
@mohamedinamdenga772 5 жыл бұрын
Happyness Swai duu
@sangijamadukwa1486
@sangijamadukwa1486 5 жыл бұрын
Mtangazaji jnga kwel, hajui ktu kasome
@shekhekhandereizer559
@shekhekhandereizer559 5 жыл бұрын
hahahahahaaaaaaaa etiii ngj nimpigie alie nivalisha ivi umuulize jumla ametumia shingapi ili akupe jumla nimevaaa kiasi gn mau ww kiboko hahahaaaaaa umemnyoaa vinyweleo mtangazaji mau amekukutaaa saaambovu amezan kina uwoya na dogo janja wanapayka mzee kumbe apo kakutana na konk master mau fund mwambie afanye research uyo Hahaha
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca 5 жыл бұрын
Mtangazaji uchwara, unataka kulazimisha ujibiwe upendavyo..??
@muhammadyahya5961
@muhammadyahya5961 5 жыл бұрын
hahahaaaaa kweli ww ni Mau fundi coz umemshika mtangazaji kwa maswali vigongo afanye research na sio kuropokwa ya kuckia tu
@dartimesonline5595
@dartimesonline5595 5 жыл бұрын
Mamaeeeee Fundiiiiiiiiiiiiiii umetisha aise
@thedaughterofthemosthighse5990
@thedaughterofthemosthighse5990 5 жыл бұрын
Aki ningekua mim ningemtema kiaina methali na nahau zote bado nahoji tu msweeeew mtangazaji gupapuchi kwel yan ha ha haa
@maloudamsemakweli8290
@maloudamsemakweli8290 5 жыл бұрын
Jamani tin white ringo na kipupwe mbona wanawadharau 😃😃😃pamoja na hayo pole sanaa mau
@josephinemndolwa7783
@josephinemndolwa7783 5 жыл бұрын
Your da best maufundi
@mtaalamwamambo2099
@mtaalamwamambo2099 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂 mau kawa mtangazaji ghafla, mtangazaji ajiongezeeee
@salehsuleiman1218
@salehsuleiman1218 5 жыл бұрын
Hahaha yan huyu jamaa usjekujitia hashuo la kumuhoji unaondoka bila maana dah nishida na majibu yake hahah mau wa ukweli
@mwigakatumpula2175
@mwigakatumpula2175 5 жыл бұрын
Ndugu mtangazaji acha kutuaminisha fanya research kwanza
@newall.
@newall. 5 жыл бұрын
Mwiga Katumpula nilkuwa nawish niome comment kama hii.... jamaa kama hajui anachokifanya
@jA-ox7vz
@jA-ox7vz 5 жыл бұрын
😂😂
@sundaymathew7927
@sundaymathew7927 5 жыл бұрын
Xema mtangazaji unazingua we unauliza swal hku huna deep information
@erckbohol7971
@erckbohol7971 3 жыл бұрын
5
@erckbohol7971
@erckbohol7971 3 жыл бұрын
Colo.
@yohanadidas5365
@yohanadidas5365 5 жыл бұрын
Kama unamkubali maufundi gonga like zakutoshaaa
@raybintmaulid341
@raybintmaulid341 5 жыл бұрын
shkamoo #Maufundi hyo ni mambo ya binadamu na mungu 😂😂😂😂
@ashaali7154
@ashaali7154 5 жыл бұрын
Ahsante Mau umempasha ki ukweli huyu bwana inaonekana.
@mageuzisalezi6667
@mageuzisalezi6667 5 жыл бұрын
Safi sana yuko vizur
@makasittt16
@makasittt16 5 жыл бұрын
Daaah usijali bwana ckuyako itafika t nawe 😁😁😁😁😁
@damianmosoka8254
@damianmosoka8254 5 жыл бұрын
Mau kweli una akili Sana pia ipo haraka kufikiria,, big up Kaka, sijui huyu mtangazaji kazoea kuwahoji kina Nani!!
@aleemaalrahbi338
@aleemaalrahbi338 5 жыл бұрын
Amba rutty na mume wake😂😂😂
@maulidyyusuph6466
@maulidyyusuph6466 5 жыл бұрын
P
@damianmosoka8254
@damianmosoka8254 5 жыл бұрын
Hahahha Aleem,,, yaweza kua
@calvinntinder3722
@calvinntinder3722 5 жыл бұрын
😁😁😁 Mau majibu yko saf san
@salmaelvina3463
@salmaelvina3463 5 жыл бұрын
Hongera
@hubertpaschal2604
@hubertpaschal2604 5 жыл бұрын
Mtangazaji kasome kwanza
@hizamwaimu7634
@hizamwaimu7634 5 жыл бұрын
Duuuuuuuh kauwa kwa majibu
@nassermsallem2615
@nassermsallem2615 5 жыл бұрын
Hawa watangazaji wanatokea wapi, hahaa kayakanyaga kwa mau hahaaa fanya research babaaaa
@husseinomary4466
@husseinomary4466 5 жыл бұрын
Gonga like yako Kama umeyaona macho ya mau yalivopendeza na usingizi😂
@mussababu5623
@mussababu5623 5 жыл бұрын
Hapo ndo imeonesha kifra za watangazaji wa blogs.mtangazaji inapaswa awe na info kuliko unayemhoji cz ulifanya backgroud review.Mau yuko vizuri upstairs
@bukaone7507
@bukaone7507 5 жыл бұрын
Very nice Mau fundi, ume mkalisha jamaa
@manyamasteven4610
@manyamasteven4610 5 жыл бұрын
kiukwel tuzo iz awajazipanga fresh tuzo alio chukua madebe astahil japo ni mzur lakin co kwa uchekeshaj
@sadruhsnowwhite6483
@sadruhsnowwhite6483 5 жыл бұрын
Huyu jamaa fundi ila mbn wanambania man madebe hakupasw kuchukua tuzo y uchekeshaji Bora japo kwl madebe ni hodar ila co kwny kuchekesha ilipaswa iende kwa mau tanqu tuzo za mwaka jana
@cherrbaddest4695
@cherrbaddest4695 5 жыл бұрын
Sadruh Snow White yes real
@harmonizwcb4813
@harmonizwcb4813 5 жыл бұрын
Nihaki yake vitu anavofanya madebe nivya ukweri uyo maufundi aende shule kwa madebe bado mtoto usha nipata janja
@anthonyaloyce3178
@anthonyaloyce3178 5 жыл бұрын
Nimepewa ofaaa,,,tisha mau.
@faridahabibu5253
@faridahabibu5253 3 жыл бұрын
Mau fundi haswaa I like it
@godfreymaxwago6400
@godfreymaxwago6400 5 жыл бұрын
ahahaha eti kama ataingia mtoto aingie kwa displine majibu konk konk
@aksantedeborah7913
@aksantedeborah7913 5 жыл бұрын
Hahaha 😂😂😂 mbona leo aongelei ulimi hahah Mau jamani
@ommyp7rajaa415
@ommyp7rajaa415 5 жыл бұрын
Asantee mau fundi
@sureladykiba5608
@sureladykiba5608 5 жыл бұрын
😁😁😁huyu jamani
@amourzubeir7306
@amourzubeir7306 5 жыл бұрын
Amezoweya kuwahoji kina Mbosso ,walio na akili za kuweka nguo makalioni
@zaynsalma3466
@zaynsalma3466 5 жыл бұрын
Fala San #Mau 😂😂😂😂 Eti Hio nikazi yama jaji sas Unanipa 😂Siri ya Mtungi Shaidi Kata 😅😅😅😅😅
@khanadikhadeer2322
@khanadikhadeer2322 5 жыл бұрын
Maufundi nakukubali sana
@mwimbajinamwalimujaphetgeo1718
@mwimbajinamwalimujaphetgeo1718 5 жыл бұрын
wachekeshaji wako juu sana na tunawategemea kuliko hawa akina Gabo
@mohammedmkomi9087
@mohammedmkomi9087 5 жыл бұрын
YAAANI #TUZO YA UCOMEDY BORA ANGEPEWA #RINGO MAKINI TOSHY
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 5 жыл бұрын
Ringoo!!!!!sidhani wapo wengine
@fainnamvungi4364
@fainnamvungi4364 5 жыл бұрын
Mau na Tin labda
@pendosamwel7347
@pendosamwel7347 3 жыл бұрын
Mh mau umenishinda Tabia sy kwahayo majibu Nahs mtangazaji hatorudia kumuuliza maufund maswal ya kipuuzi
@ashurajanta5373
@ashurajanta5373 5 жыл бұрын
umejibu kisomi sana hongr mau
@jumaaramadhani7819
@jumaaramadhani7819 5 жыл бұрын
we mau hufai haki vilee
@georgerwebembera1565
@georgerwebembera1565 5 жыл бұрын
Dude is not only a comedian. He is also smart
@dullahshaaban9050
@dullahshaaban9050 2 жыл бұрын
Mkojani ni🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@wilsonkaseha2034
@wilsonkaseha2034 5 жыл бұрын
Dah kumbe Mau ni muelewa eeh! Amegeuka kuwa mtangazaji maana maswali anapangua halafu anahoji mfululizo, safi sana nimependa huhuu
@victorsir-nga7708
@victorsir-nga7708 5 жыл бұрын
madebe lidai alistaili kuwa muigizaji bora wa kiume kwenye tuzo
@mgongokaitira9970
@mgongokaitira9970 5 жыл бұрын
Ndio maana kuna haja ya kuajiri watu ambao utangazaji ni taaluma yake siyo kuchukua tu MTU anayejua kuhoji na kutangaza hii imepelekea kwa Mara ya kwanza Source kampiga interview mwandishi wa habari, unamkurupukia tu source huna hata script, naumia sana kuona hii hali "Media service Act " hata kama una consequences naamini utasaidia
@edgarrwebangira4113
@edgarrwebangira4113 5 жыл бұрын
Dah amepoaaaaa kwel ani
@subrynerysegerow1323
@subrynerysegerow1323 5 жыл бұрын
Kunguru kumnyea binaadam ni bahat mbaya sio kama anashabaha hahahah nimeipenda
@joycendaki8969
@joycendaki8969 5 жыл бұрын
Mau uko vzr umemjibu vzr sana
@jojo_linkissabiny5238
@jojo_linkissabiny5238 5 жыл бұрын
pole
@nassourhamad6391
@nassourhamad6391 5 жыл бұрын
mtangazaji wenu katikiswa 😂😂
@ebbyramadhani
@ebbyramadhani 5 жыл бұрын
Kwaio mchango mpaka ushinde!!!! Ndo iwe na maana
@laurensiabenjamin1126
@laurensiabenjamin1126 5 жыл бұрын
Unavijua sana kaza kaka
@edvenearpaschal6905
@edvenearpaschal6905 5 жыл бұрын
Wee kuku mbona sijacheka sasa???
@vincentauxerbius7554
@vincentauxerbius7554 5 жыл бұрын
Mafundi we nomaaa unamajibu ya kikomedy hatariii
@abdallahabibu8340
@abdallahabibu8340 5 жыл бұрын
Uyu kweli fundi
@FatmaFatma-kt1or
@FatmaFatma-kt1or 5 жыл бұрын
Ha ha ha ha nimecheka mau unavyo mjibu mtanqazaji safi sana mau
@emmanuelsimon8507
@emmanuelsimon8507 5 жыл бұрын
Mtangazaji kaxome kwanza unajiabixha
@sekeyifabian9517
@sekeyifabian9517 5 жыл бұрын
Ha ha ha ha. Mau kweli Fundi. Halafu kama katupia liquid.
@patrickalfred8387
@patrickalfred8387 5 жыл бұрын
Siri ya Mtungi Shahidi Kata!
@ramadhanikunambi1269
@ramadhanikunambi1269 5 жыл бұрын
#D_The_Msz,org sana Mau Nakubalii san
@mamachris6811
@mamachris6811 5 жыл бұрын
Kunguru kumnyea binadam,si kama anajua kulenga,in bahati mbaya Huyo ndo Mau ,hahahaaaa
@sadickrajabu1191
@sadickrajabu1191 5 жыл бұрын
Mau nimekupenda umemchalleng mtangazaji kweli
@sungurahusseindjuma5255
@sungurahusseindjuma5255 3 жыл бұрын
Oh
@josephdimosopantaleomadegh7599
@josephdimosopantaleomadegh7599 5 жыл бұрын
Nc
@armelmadogo5806
@armelmadogo5806 5 жыл бұрын
Kwani nani mtangazaji? 🤔🤔
@jA-ox7vz
@jA-ox7vz 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂nacheka tu nkimwona mau 😂😂😁🙌
@sharifmbulumulu3004
@sharifmbulumulu3004 5 жыл бұрын
Mau fundiiiiiii
@karimswai1140
@karimswai1140 5 жыл бұрын
Kwani uyoo nanii
@fanuelngailo5977
@fanuelngailo5977 5 жыл бұрын
Mauuuu ni fundi hatari
@wemakalam3233
@wemakalam3233 5 жыл бұрын
😃😃😃😃😃
@mbarikiwalazarowatisa2086
@mbarikiwalazarowatisa2086 5 жыл бұрын
Hahhahaa nimeelewa
@mussatwahilu3087
@mussatwahilu3087 4 жыл бұрын
Mbona machomekundu hiv mau ujue amau anatumia vituvyetu vile
@andrewbajuta4750
@andrewbajuta4750 5 жыл бұрын
Jamaaaa noumaaa kwa majbu nmeikubal
@sharayyamohd2744
@sharayyamohd2744 5 жыл бұрын
Hahahahaha mau weeeee
@SaidSaid-xh2dt
@SaidSaid-xh2dt 5 жыл бұрын
Mauuuu 😂😂😂
@zulfaomar5731
@zulfaomar5731 5 жыл бұрын
😂😂nakupenda bure
@mwalamikidisco1260
@mwalamikidisco1260 5 жыл бұрын
Safi xana
@songashaban1332
@songashaban1332 5 жыл бұрын
Duh kukunyima tuzo Ni hujuma mzee
@mohamedyshaban409
@mohamedyshaban409 5 жыл бұрын
Mtangazaji anaforce
@magynzioka1122
@magynzioka1122 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂mtangazaji rudi shule hapa umepatikana
@goodluckbenny123
@goodluckbenny123 5 жыл бұрын
utacheka ufe nikishakufa wat next???
@byagtv3277
@byagtv3277 5 жыл бұрын
Mtangazaji kajichanganya
@richardngendakumana2871
@richardngendakumana2871 5 жыл бұрын
Eeh eti of 😃😃😃nakukubali bro
@angeljonathan7718
@angeljonathan7718 5 жыл бұрын
Mtangazaji mbovu hata me namshinda anapayuka kulko kuhoji mpka Jamaaa anamchka kwa dharau
THEY made a RAINBOW M&M 🤩😳 LeoNata family #shorts
00:49
LeoNata Family
Рет қаралды 29 МЛН
Wait for the last one! 👀
00:28
Josh Horton
Рет қаралды 143 МЛН
Mkojani Na Mau Nan Zaidi
8:23
Cheka Comed
Рет қаралды 111 М.
CHEKA TU. Kings Edition. Mr Beneficial kwenye stage.
11:54
Cheka tu
Рет қаралды 1,6 МЛН
Kiko Coco E03 - TAJIRI WA KEKO
6:57
Fundi Tv
Рет қаралды 319 М.
Maswali Magumu yalivyojibiwa kirahisi na Mpoki
4:28
Millard Ayo
Рет қаралды 844 М.
Eid Comedy Gala: Mau Fundi awafunda wadada wa kisasa
3:48
Azam TV
Рет қаралды 175 М.
MUFILISI PART 1-MAU FUNDI/MKOJANI/NAGWA/MKONGO
15:33
OSO ONLINE TV
Рет қаралды 415 М.
Хитрая МАТЬ делит НАСЛЕДСТВО между ДЕТЬМИ 😱 #shorts
1:00
Лаборатория Разрушителя
Рет қаралды 3,7 МЛН
Парень со странностями помог мальчику 🥺 #фильмы #сериалы
1:00
DixyFilms - Фильмы и сериалы
Рет қаралды 5 МЛН
Нажимай выше ☝️☝️☝️ #а4 #глент #риви #viral
0:36
Как меняются люди
Рет қаралды 3 МЛН
КАКОЙ ЛОГОТИП ЛУЧШЕ? #Shorts #Глент
0:32
ГЛЕНТ
Рет қаралды 2,9 МЛН
POR QUEEE DIVERTIDA MENTE 2 !!! #SHORTS
0:15
Figuritalo
Рет қаралды 5 МЛН