Shida kubwa mpaka wasukumwe ndoo wafanyekazi hii watu wazembe sanaa
@JUU-lw2jeАй бұрын
Hizi sifa jaman
@omega-gl9wtАй бұрын
Hayo anayoyafanya waziri inaonyesha waziri hafanyi kazi yake sawa sawa anafanya anawaaibisha wafanya kazi,pakacha likivuja alaumiwe nani????!😅😅😅
@stevenadogo3774Ай бұрын
So sad that ministers can do this to public officials
@junekanji4929Ай бұрын
Why do the officials not do their jobs as required until the minister visits the site??These officials cause a lot of suffering for the people because of their incompitence and dilly dallying
@omega-gl9wtАй бұрын
Waziri anataka sifa😅waziri anataka sifa,ukiwafukuza wafanyakazi wote atafanya kazi nani????( Kwanini uwaonyeshe wafanyakazi kwenye camera unataka sifa,mama hataki mtindo wa Magufuli😢😢😢
@deogratiusdonald5123Ай бұрын
Waziri Awesso unachapa kazi vizuri sana na unatusikiliza sana watanzania tofauti na mawaziri wengine wana dharauuu sana