ENDELEA KUKUSANYA KUNI - PASTOR SUNBELLA KYANDO

  Рет қаралды 30,084

Reality of Christ Church

Reality of Christ Church

3 жыл бұрын

Kwenye maisha hakuna tatizo ambalo Mungu hajatengenezea mlango wa kutokea,liwe tatizo tuliloingia kuwa kutojua au kwa kujitakia.Na Mungu anapotaka kukubariki hutumia mazingira yoyote au mtu yoyote.
Karibu ujifunze neno hili kutoka kwa Mtumishi wa Mungu Pastor Sunbella Kyando na litaenda kukufungua ufahamu kwa kiasi kikubwa.
UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322
Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii
Like our Facebook: / therealityof. .
Follow our Instagram: / realityofch. .
Subscribe our KZfaq: kzfaq.info/love/67L...
Also Subscribe Roc worshippers youtube channel: / @rocworshipperz

Пікірлер: 39
@giselemurekatete6908
@giselemurekatete6908 2 жыл бұрын
Be blessed mtumishi.umenirudishia nguvu zakuendelea kutenda mema.mungu akulinde
@bukuruphilibert8658
@bukuruphilibert8658 2 жыл бұрын
Acha mb zangu ziishe huyu Pastor Kuna vitu napokea kutoka kwake hakika Bado Mungu ana watu wanaoihubiri kweli
@susansusanliza3214
@susansusanliza3214 Жыл бұрын
Barikiwa Sana nmefurahiya n mafunzo yako nkiwa qatar
@asifiwemjujulu8884
@asifiwemjujulu8884 3 жыл бұрын
Asante kwa ufafanuzi maana Mimi nilikuja hapo zaidi ya wiki na sikufanikiwa kuwaona😭😭 hadi nikaondoka.
@betekenya7456
@betekenya7456 Жыл бұрын
barikiwa.mtumishi.nimepeda.mafudizo.yako
@susansusanliza3214
@susansusanliza3214 Жыл бұрын
Amen 🙏 amen 🙏 amen nmelewa mambo ya doto ya kuni nme furahiya Sana
@risperwangari4879
@risperwangari4879 Жыл бұрын
Neno lenye nguvu na baraka, God bless you MOG
@lululucas9032
@lululucas9032 3 жыл бұрын
Nilikuwa nalihitaji hili neno munoo siku ya jana,asante Mungu kwa kuishibisha nafsi yangu kupitia huyu mtumishi
@editarichard3590
@editarichard3590 2 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi
@angeljoseph4666
@angeljoseph4666 Жыл бұрын
Amen
@wanyendakutta1936
@wanyendakutta1936 2 жыл бұрын
Our God operates daily...give us our daily bread
@lilianemadragule8919
@lilianemadragule8919 2 жыл бұрын
AKSANTI SANA DADY KWA NENO LAUZIMA.
@petermunuo1657
@petermunuo1657 Жыл бұрын
Amen mtumishi barikiwa sana
@felistamalale8207
@felistamalale8207 2 жыл бұрын
Amen, naomb nam niinuliwe
@tonnyshoo5369
@tonnyshoo5369 3 жыл бұрын
ninamiss sana kuja kanisani..lakini naamini Mungu hana mipaka
@amosenock5096
@amosenock5096 2 жыл бұрын
,, Ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU kwa ujumbe mzr.
@danstonecool1734
@danstonecool1734 3 жыл бұрын
aminaa
@heavenlight5084
@heavenlight5084 3 жыл бұрын
Nipo arusha ila nabarikiwa sana,Hua nasikiliza, na nakusikiliza zaidi
@sergioamuli8424
@sergioamuli8424 2 жыл бұрын
Asante kwa ujumbe
@monniemugo1477
@monniemugo1477 2 жыл бұрын
Watching from Kenya
@elizamsemwa3161
@elizamsemwa3161 3 жыл бұрын
Dah...kwakweli nimebarikiwa sanaaa
@jordanasadjah8451
@jordanasadjah8451 2 жыл бұрын
Thanks for the powerful word...This is my portion for the season 🙏🙏🙏more grace M.O.G Sunbella Kyando.
@faidhashaha8142
@faidhashaha8142 2 жыл бұрын
Ameen
@ednajohn8205
@ednajohn8205 2 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana na neno
@apostlelutertv4250
@apostlelutertv4250 3 жыл бұрын
Ok ubarkiwe mtumishi
@emmanuelbernard8628
@emmanuelbernard8628 3 жыл бұрын
I receive it A new Big
@janethfwamba8561
@janethfwamba8561 Жыл бұрын
Maumivu niliyonayo kweli Kuna garama
@janembalinga7074
@janembalinga7074 3 жыл бұрын
Khe na mm leo nimeota nakusanya kuni😥
@connieomondi7030
@connieomondi7030 2 жыл бұрын
This is truly my word today.
@danstonecool1734
@danstonecool1734 3 жыл бұрын
am so blessed am from kenya
@yohanamaope8327
@yohanamaope8327 3 жыл бұрын
Amina mtumishi
@pendopaul8011
@pendopaul8011 3 жыл бұрын
Man of God ur blessed 😭😭
@linnetkatama9867
@linnetkatama9867 2 жыл бұрын
How can i talk to him via message
@evelynjeremiah5618
@evelynjeremiah5618 3 жыл бұрын
AMEN AMEN
@wakilongo4048
@wakilongo4048 2 жыл бұрын
Pooooooooooo
@majjidminja8457
@majjidminja8457 3 жыл бұрын
Ni dhambi gani ilikumbukwa kwa yule mjane hata mwanae alikufa?
@ivanfaustin9717
@ivanfaustin9717 2 жыл бұрын
Amen
@rizikimarie6765
@rizikimarie6765 3 жыл бұрын
Amen
@christinesavai884
@christinesavai884 3 жыл бұрын
Amen
UNDER MAINTENANCE (MATENGENEZONI)
40:06
Reality of Christ Church
Рет қаралды 9 М.
ROHO ZINAZOZUIA MATOKEO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:21:12
Reality of Christ Church
Рет қаралды 30 М.
Little girl's dream of a giant teddy bear is about to come true #shorts
00:32
Fabiosa Animated
Рет қаралды 4,7 МЛН
Clown takes blame for missing candy 🍬🤣 #shorts
00:49
Yoeslan
Рет қаралды 38 МЛН
MALANGO YA NDOTO YANAVYOTUMIKA NA ADUI (I) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
48:01
Reality of Christ Church
Рет қаралды 24 М.
MAARIFA YANAVYOWEZA KUKUSAIDIA KUZISHINDA NGUVU ZA GIZA -PASTOR SUNBELLA KYANDO
49:26
NDOTO ZA KULISHWA VYAKULA (MAOMBEZI) - PASTOR SUNBELLA KYANDO & PASTOR JOHN SEMBATWA
1:46:44
KUNA SAUTI NYINGI KWENYE ULIMWENGU WA ROHO
25:49
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 14 М.
UMUHIMU WA KUIFAHAMU VITA UNAYOPIGANA NAYO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
45:58
Reality of Christ Church
Рет қаралды 45 М.
ARDHI INASIKIA - PASTOR SUNBELLA KYANDO
19:35
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 34 М.
SHULE YA ROHO MTAKATIFU-PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:08:35
Reality of Christ Church
Рет қаралды 19 М.
ROHO ZINAZOZUIA ONGEZEKO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:12:39
Reality of Christ Church
Рет қаралды 24 М.
Little girl's dream of a giant teddy bear is about to come true #shorts
00:32
Fabiosa Animated
Рет қаралды 4,7 МЛН